KANJIBHAI ,ERICK ,SIKITU NA MASAI KIMENUKA,UTACHEKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 70

  • @phaniceayako855
    @phaniceayako855 2 ปีที่แล้ว

    Jameniii kicheko chaniuwaaa watching from kenya

  • @brightonlusambo5000
    @brightonlusambo5000 2 ปีที่แล้ว

    Masaiii umetisha sana umenifurahisha sana aseee

  • @universitylink
    @universitylink 2 ปีที่แล้ว +2

    Eti swahili mtu ya mwisho mungu kuumba

  • @jamesmwatela9707
    @jamesmwatela9707 2 ปีที่แล้ว +1

    That's too much Mr Mtanga.😂😂😂 Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 representing.

  • @salehrashidshekidele1039
    @salehrashidshekidele1039 2 ปีที่แล้ว

    Kaz nzur kaka

  • @semanajmv
    @semanajmv 2 ปีที่แล้ว +3

    Mtanga you are doing exactly the same as my Boss used to do

    • @temuemanuel4671
      @temuemanuel4671 2 ปีที่แล้ว

      Kumbe wahindi wako hivyo.
      Nilikuwa nasikia sikia, leo nimeprove

  • @blessingpriri6876
    @blessingpriri6876 2 ปีที่แล้ว

    From Zambia safi sana Mtanga comedy

  • @Meddy_012
    @Meddy_012 2 ปีที่แล้ว

    Kanjibahi mbona mlalamishi sana...hahaaaa

  • @sinyama6090
    @sinyama6090 2 ปีที่แล้ว

    Safi mtu wangu. Naenjoy nikiwa kitale kenya

  • @leilahhassanomary7189
    @leilahhassanomary7189 2 ปีที่แล้ว

    Noma sana

  • @kennedyessau5169
    @kennedyessau5169 2 ปีที่แล้ว

    Pamoja sana mtanga KENNEDY from Kakola kahama

  • @nemesapollo4846
    @nemesapollo4846 2 ปีที่แล้ว

    Swahili jinga sana uwiiii kanibakhi utatuua na cheko

  • @konvictibra4986
    @konvictibra4986 2 ปีที่แล้ว

    Hahaha kanjibhai boss mkorofi...hahahaha 🤣 😆 😂

    • @jamilaratabu1586
      @jamilaratabu1586 2 ปีที่แล้ว

      Jamani minaachakazi sikuiyoiyo looooh sio kwa boss uyumkorofi yaani kamwambia amsindikize alafu anamkata nauli 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @RashidiAhmad-ow5fb
    @RashidiAhmad-ow5fb 4 หลายเดือนก่อน

    Yani uniagize alafu nauli yangu Duuu!

  • @kibwanahussein9234
    @kibwanahussein9234 2 ปีที่แล้ว

    Masaii

  • @nyokaatzmatatila8861
    @nyokaatzmatatila8861 2 ปีที่แล้ว +1

    ARUSHA

  • @kibwanahuseni9517
    @kibwanahuseni9517 2 ปีที่แล้ว

    Masai nainjoi side🙋🙋🙋🙋🙋🙋🙋

  • @djlion5610
    @djlion5610 2 ปีที่แล้ว

    Ni dj lion mtanga nawapenda sana Kila siku nawatizama mtie movie nyingi zinatupa raha

  • @nyokaatzmatatila8861
    @nyokaatzmatatila8861 2 ปีที่แล้ว +1

    Erick

  • @Oscarmarwa-fitnesstrainer
    @Oscarmarwa-fitnesstrainer 2 ปีที่แล้ว

    Eric, sikitu, kanjibai safi sana

  • @thabitimkufi7388
    @thabitimkufi7388 2 ปีที่แล้ว

    Hahaaaa eti hii kubwaaa totooo

  • @jeanclaudekamanzi9678
    @jeanclaudekamanzi9678 2 ปีที่แล้ว

    Duh leo kanjibai kapatina zuruma zuruma zake kila siku ! Masai kapandisha morii hapo nikutembeza bakora tu pesa ya mamayoyo. Ha ha ha ha ha tisha sana

  • @siamoye4549
    @siamoye4549 2 ปีที่แล้ว

    Jaman Eric mpaka nikiangalia nataman kulia tena

  • @enjobw5682
    @enjobw5682 2 ปีที่แล้ว

    Tuna enjoy sana na mtanga comedi😀😀😀😃😃😃😃😃

  • @lizzybahati3739
    @lizzybahati3739 2 ปีที่แล้ว

    Erick 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @johnchrisniyongabo4661
    @johnchrisniyongabo4661 2 ปีที่แล้ว

    Umenikumbusha chogo Wa efm ,r.i.p ,chogo

  • @faizalmombaofficial8229
    @faizalmombaofficial8229 2 ปีที่แล้ว

    Swahil jinga Kweli😅😅 Pemba Mozambique

  • @lubambilubambi8681
    @lubambilubambi8681 2 ปีที่แล้ว

    Hahahaha hahahahaaa Swahili Bana😂

  • @firtekfluidconnector1537
    @firtekfluidconnector1537 2 ปีที่แล้ว

    Good

  • @barakajoshua275
    @barakajoshua275 2 ปีที่แล้ว

    Ahahaha

  • @nemesapollo4846
    @nemesapollo4846 2 ปีที่แล้ว

    Anafanya dressing table,kioo yangu mm aaah

  • @danifodtossy6308
    @danifodtossy6308 2 ปีที่แล้ว

    Aaaaaaaaaaaaaah bosii kazinguaaa hata ningekuwepo Mimi

  • @dullayorashiddullayorashid7444
    @dullayorashiddullayorashid7444 2 ปีที่แล้ว

    Masai janja😂😂

  • @muzafarsharif9465
    @muzafarsharif9465 2 ปีที่แล้ว

    kanjibahi unakaonea kamasai 😭🤣

  • @nyangehassan902
    @nyangehassan902 2 ปีที่แล้ว

    Ponjoro maskini sana

  • @nyokaatzmatatila8861
    @nyokaatzmatatila8861 2 ปีที่แล้ว +1

    Hahahaaa

  • @kelvinlukuvi8353
    @kelvinlukuvi8353 2 ปีที่แล้ว

    Ukolofiiiii

  • @phaniceayako855
    @phaniceayako855 2 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @erictech25
    @erictech25 2 ปีที่แล้ว

    Swahili jinga bwanaaaaaaa

  • @mrisho_ikandilo
    @mrisho_ikandilo 2 ปีที่แล้ว

    Hii nitoto kubwa

  • @blessingpriri6876
    @blessingpriri6876 2 ปีที่แล้ว

    Masai upo sahihi Bana

  • @nyokaatzmatatila8861
    @nyokaatzmatatila8861 2 ปีที่แล้ว +1

    Lipa 40000 kwa maxai. Bado nakata matumizi 😂😂😂😂😂

  • @jumamtwana815
    @jumamtwana815 2 ปีที่แล้ว

    Hahaha🤣🤣🤣🤣🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭

  • @gustamusicoffice563
    @gustamusicoffice563 2 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣duuu harar

  • @karisacharo2074
    @karisacharo2074 2 ปีที่แล้ว +1

    Na hii ndio tabia ya wahindi kupenda kudhulumu wafanyikazi

  • @hebronsdaughter1661
    @hebronsdaughter1661 2 ปีที่แล้ว

    Mm dai ww dogo dogo 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @maryamabdullah9169
    @maryamabdullah9169 2 ปีที่แล้ว

    😃😂😂

  • @tshepangorapeleng99
    @tshepangorapeleng99 2 ปีที่แล้ว

    Weye mnoma baba tulikua tumekumis

  • @hijaramadhani3221
    @hijaramadhani3221 2 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣 Erick nakuelewa kitambo sana

    • @lizzybahati3739
      @lizzybahati3739 2 ปีที่แล้ว

      Nampenda hivyo hivyoooo😂😂😂😂

  • @jumahamad9463
    @jumahamad9463 2 ปีที่แล้ว +2

    WAHINDI NUKSI SANA VISHUKA SANA YAANI ATAA KUTUMIA WABAHILI

    • @monicahovda4524
      @monicahovda4524 2 ปีที่แล้ว +1

      Tena ukivaa vizuri anadhani unamwibia, anataka uvae hovyo hovyo

  • @brythonmbinga8495
    @brythonmbinga8495 2 ปีที่แล้ว

    Haaaa

  • @Rikas_Riphin
    @Rikas_Riphin 2 ปีที่แล้ว

    😂😂😂🤣🤣🤣💯💯

  • @hamad-yu4qs
    @hamad-yu4qs 2 ปีที่แล้ว

    😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 2 ปีที่แล้ว +1

    Mtanga wewe sasa umesindikizwa, alafu tena aliekusindikiza akulipe, 😯haa kanjibai mkorofi anataka kudhulumu.alafu hataki kuambiwa ukweli.😅 swahili jinga kabisa. Nimefurahi sana. 27.02.22.

  • @saidyomary1671
    @saidyomary1671 2 ปีที่แล้ว

    Hahaaa

  • @Masai_kifimbo
    @Masai_kifimbo 2 ปีที่แล้ว

    ahahahahaaa

  • @mozanamata4628
    @mozanamata4628 2 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂

  • @danifodtossy6308
    @danifodtossy6308 2 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @soccertv293
    @soccertv293 2 ปีที่แล้ว

    Poti tuko pamoja , from Hale KOROGWE TANGA

  • @patrickmulonda9710
    @patrickmulonda9710 2 ปีที่แล้ว

    Safisana kabisa

  • @dtv6734
    @dtv6734 2 ปีที่แล้ว

    Asa wewe unisindikize Mimi , aLafu Nauli uJiLipie mwenyewe - Aah! Content mbovu hii ........

    • @mtangacomedy
      @mtangacomedy  2 ปีที่แล้ว

      Mbona mzuri hujawai kusifia ,?

    • @dtv6734
      @dtv6734 2 ปีที่แล้ว

      @@mtangacomedy Huwa nasifia sanA tU

  • @mlachakekamaliza4842
    @mlachakekamaliza4842 2 ปีที่แล้ว

    Pongezi, kama kawa ni Josphart basweti. Lolgoran kenya .Tumewapata kwa njia iliyo swali kabisa.wana comedians sembetv mlimani kenya lolgorian.

  • @Derevamkongwe6864
    @Derevamkongwe6864 2 ปีที่แล้ว +1

    Mtanga inabidi uwape tag waigizaji wako kwenye mitandao ya kijamii kama vile Instagram ili wapate follow