Kiukweli ktk watu naowapenda ktk sector zote Tz ni majeshi yote ya Tz awe police Trafic magereza hata baba lao wanaheshi nawapenda sana Mungu awalinde majeshi yetu amani yetu
🤠🤠👮hiii kazi naipenda jmn licha ya mshahara sijui nn ila nilitaman sana siku namm nipige miguu ivo nanitoe heshima kwa viongozi wangu nakulinda usalama wa watz wenzangu daaha
Hujitambui soma historia harf uone nani amemuiga mwenzie tpdf 1961 pt 1919 na baadhi ya polisi ndo walikua sehem ya kuanzisha tpdf kwa maelekezo ya jk nyerere sasa nyie poyoyo mmeenda jkt juzi mnaropoka tu
Hongera lGP Kwa kumaliza kipindi chako salama👏👏👏👏
Gwaride Safi kabiza,,,hongera sana baraka toka kwa Mola kwao watanzania wote na sote Afrika nzima🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kiukweli ktk watu naowapenda ktk sector zote Tz ni majeshi yote ya Tz awe police Trafic magereza hata baba lao wanaheshi nawapenda sana Mungu awalinde majeshi yetu amani yetu
🤠🤠👮hiii kazi naipenda jmn licha ya mshahara sijui nn ila nilitaman sana siku namm nipige miguu ivo nanitoe heshima kwa viongozi wangu nakulinda usalama wa watz wenzangu daaha
Acha kabisa raha sana
Ila FFU siyo mchezo wako vizuri.
Paredi Nzuri sana imetulia nimependa guuzmarch imetulia
Huyo trafic sajin gard ya kwanza ya matrafic anafanya utani anarusha mguu km yupo mbugani anatuharibia jeshi letu bhana
Hahahaa
Traffic mbona wanavitambi au ndio hela za maderevaa😂😂😂
hela zetu hizo mkuu
Ha ha haaaaaaaaaaaaa umeniumiza tumbo kwa kucheka
😅😅😅
@@hidayatondogoso8329 itakua helaa za madreva haooo
😎😎
Very nice,, Sarut for you.
Nakubar sana mzee wangu
Hongera mzee wetu
Big up our police
Madawili mumeniangusha vimiguu vinaishia chini sana
Mtaiga sana
Acha roho mbaya haitakuzika, nn kmeigwa hapo ambacho umekuona? Alafu soma historia vzr ili ujue mambo ubinafs tu ndg duuh
Jeshi la kwanza Tanzania ni polisi 1934
Mashallah tz hoyeee
Hakuna FFU mwenye kitambi,
Hahahaa dah!
11:44 adi 11:48 wakuu wote wamekalia viti vnavyofanana kasoro m1 amekalia tofaut y??
Mgeni rasmi,
Kweheli mzee
Hongera 👍
Tanzania juuuuuuuuuuuuuuuuujuu👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍
Ongera sana jesh kwa utuliv mwwz huuuuuuuu
Safii
Inapendeza sana hongereni wadau.
P 1 sana
Hapo wenye matumbo kazi kubwa.
😀😀😀😀😀
Tanzania hoyee
Why kumuaga baada ya muda mrefu namna hii?Somebody help me I want to know
Umri wa kustaafu ulikua haujafila ndio umefika ndio maana kaagwa rasmi
@@mabala1949 hahahah kumbe pale alitumbuliwa? Ila sasa angeagwa tu hivyo hivyo
Aisee
Hapo hata kutoa ushuzi ni ngumu sana, maaana hiyo kauka kauka sio ya kitoto.
😂😂😂😂
Unanichekesha sana
Kila kitu wanacopy kutoka Kwa baba lao Tpdf
Hujitambui soma historia harf uone nani amemuiga mwenzie tpdf 1961 pt 1919 na baadhi ya polisi ndo walikua sehem ya kuanzisha tpdf kwa maelekezo ya jk nyerere sasa nyie poyoyo mmeenda jkt juzi mnaropoka tu
@@maseleleonard8885 nmekuelewa sana kaka🔥🔥
Polisi kitambo 1919
Traffic wanavitambi
Hawa ni afadhali, trafiki wa Kenya vitambi vimezidi.
🔥🔥🔥
Nachukia polisi vibaya mno .kesi ya buku anakubambikia laki moja 👿👿
Usiwachikie hao hawanaga mshahara mkubwa ,
@@mariamm2724 😂😂😂
@@mariamm2724 ww Unalipwa M 10 per month uko vzur
Ni ngumu jambaz kuvipenda vyombo Vyetu vya ulinzi na usalama
@@musannuru9842 mbavu zangu mie
Huyu alikuwa nani wapendwa
Huyo die baba wataifa 😂
Hapo kama kuna mama anamimba hata ya myezi 6 anajifungua.
@@seifmohamed836 😂😂😂😂🤣 au ndo igp aliyemuachiaga siro madaraka
@@issackjoseph6436 ndo Ernest Mangu,sasa hv ni balozi
Agp alopita
Kwan huyu alistaafu lini?
Nani kaona hapo kofia ya Afande imeanguka na hakuikota aliendelea na gwaride
Iliokotwa na mmoja kutoka nje
Aruhusiwi kuokota yeye , wa nje ndo anakuja kuokota
Ndo utaratibu huo
usalama barabarani😁
Huyu IGP anayeagwa ni nani?
Ernest Mangu
Alie mkabizi siro nafasi
MWANAFUNZI aliyekuwa wa kwanza kitaifa katika matokeo ya kidato Cha sita 2020
(Gusa link 👇👇👇 kutazama)
th-cam.com/video/sCRVqfb7jXg/w-d-xo.html
Hata mm nilikuwa wakwanza kitaifa kidato Cha pili.
O
🔥🔥🔥🔥