IBADA YA SANAMU NA FAMILIA ILIYOMILIKIWA: BISHOP GWAJIMA LIVE FROM DAR; TANZANIA 19th MAY 2019

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 160

  • @livingstoneakyoo6228
    @livingstoneakyoo6228 5 ปีที่แล้ว +3

    Hawamo Hawamo Wamepigwa Wamepigwa Majeshi Majeshi. Pamoja sana mtumishi wa Mungu Yesu Kristo; Askofu Mkuu Josephat Gwajima. Bwana awe nawe na kukuzidisha na kukuchunga na kukuongoza. Wafilipi 4:13, "Ninayaweza mambo yote katika Kristo Yesu anitiaye nguvu". Amen

  • @anthonymutuku4523
    @anthonymutuku4523 5 ปีที่แล้ว +2

    my heart is on this servant,with the power to performing miracles and maintaining the clarity of the gospel,hamna utata katika mafundisho ,na utenda miunjiza na pia lifestyle yake yanaelekeza mmoja katika ukweli wa neno,

  • @MAFUNDISHO1
    @MAFUNDISHO1 ปีที่แล้ว

    Anayekusanya pamoja nasi ni mwenzetu! Acha kazi zikutambulishe! Somo zuri na mashauri mazuri kwa utukufu wa Christo

  • @ridiaemanuel9752
    @ridiaemanuel9752 5 ปีที่แล้ว +8

    Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu japo wengine hawakuelewi lakini tupo tunaokwelewa. endelea na huduma yako aliyokupa mungu zaidi na zaidi ya hapo.

    • @davidhaule4261
      @davidhaule4261 5 ปีที่แล้ว

      Mungu
      Akubarikisana
      Mtumishi
      Wamungu

    • @davidhaule4261
      @davidhaule4261 5 ปีที่แล้ว +1

      Songa.mbele
      Baba.watashindana
      Naww.lakini
      Hawatakushinda.semababa
      Tupone
      Mungu
      Akulinde.sikuzote
      Zamaisha
      Yako

  • @cherilydavid3066
    @cherilydavid3066 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akulinde yaani mahubiri yako yananipaga faraja saana napokua na hofu ya maisha nikisiliza nafarijika mno. We ni shujaa na jemedari wa kweli.

    • @cherilydavid3066
      @cherilydavid3066 5 ปีที่แล้ว

      Translation. May God protect you your teachings restore comfort in me. When I am in fear of life and listen to them I feel hope again . You are really brave and a warrior!

  • @rosemukuri1327
    @rosemukuri1327 3 ปีที่แล้ว

    Ninapokeya uhuru Baba
    kwa kuwa misingi yoooote umeigusiya na ukaingowa asante Jazwa zaidi
    Barikiwa
    💪🙏🎺🎻🎷👍

  • @bettyandeso6559
    @bettyandeso6559 5 ปีที่แล้ว +5

    Amen nimefunguliwa na kabarikiwa na familia yangu.ahsante sana askofu Gwajima.

  • @rhodamwita3
    @rhodamwita3 5 ปีที่แล้ว +3

    Amina mtumishi wa Mungu tunazidi kubarikiwa pande za Musoma Ufufuo na Uzima

  • @magrethelias3030
    @magrethelias3030 5 ปีที่แล้ว +3

    Amen, Barikiwa Sana mtumwa wa Kristo, Mungu aendelee kukutumia na kukuinua Utukufu hata Utukufu

  • @francisngwale4567
    @francisngwale4567 5 ปีที่แล้ว +4

    Amen MUNGU akutumie Zaidi Nimebarikiwa Mtumishi

  • @samwelraphael6560
    @samwelraphael6560 5 ปีที่แล้ว +8

    Somo Zurii kweli nabarikiwa na Mchungaji Gwajima. Nipo pande za Geita..Tanzania

    • @bonifacesamson4247
      @bonifacesamson4247 5 ปีที่แล้ว +1

      Mutumishi. Sijawakubarikiwa. naneno. kamairi. baba. natamani. nishike. mukono.

    • @bonifacesamson4247
      @bonifacesamson4247 5 ปีที่แล้ว

      naitwaboni. Niko mwanza. ubarikiwe. baba

    • @lonissanga7505
      @lonissanga7505 5 ปีที่แล้ว

      amen

  • @الوردالورد-ز4غ
    @الوردالورد-ز4غ 4 ปีที่แล้ว

    Great man of God yani bibilia yote unaijua umenifunza mambo Men gi sana May u live long

  • @sanyadenis1395
    @sanyadenis1395 2 ปีที่แล้ว

    Thanks a lot Denis from Kampala Uganda

  • @salomefesto9225
    @salomefesto9225 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante baba nakuelewa napia na muelewa Yesu aliye ndan yako

  • @emilydavidmdoe3552
    @emilydavidmdoe3552 5 ปีที่แล้ว +1

    Amen amen,nakuamini baba yangu.Yaani yaani yaani, heehee wapigwe mpaka.

  • @broadfuturetv6737
    @broadfuturetv6737 5 ปีที่แล้ว +3

    Asante kwa mafundisho mazuri mchungaji

  • @lulungunda2471
    @lulungunda2471 5 ปีที่แล้ว

    Napenda unavofundisha na yanatusaidia wengi kutoka. ....mungu aufunike daimaaaa,

  • @japhetdaud3781
    @japhetdaud3781 5 ปีที่แล้ว +10

    Be blessed the man of God Bishop Gwajima - do not be quiet, go foward hallelujah 🙋🙌🙌🙌

  • @frolacharles6788
    @frolacharles6788 5 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda sana Mchungaji Mungu Akubariki sana ❤❤❤

  • @kimennjeri5248
    @kimennjeri5248 5 ปีที่แล้ว +3

    You always teach me every day pastor.God bless you ever

  • @majorazacharia21
    @majorazacharia21 ปีที่แล้ว

    Ukimwona Yesu amebebwa na Mama yake kimbia!!!!!!!😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @vickyndinda4132
    @vickyndinda4132 2 ปีที่แล้ว

    Your teachings are on another level.God bless you

  • @PascalhabakukiPascal-md1lr
    @PascalhabakukiPascal-md1lr ปีที่แล้ว

    Amène papa mafundisho Mazurie kweli

  • @ladyhellen77oti65
    @ladyhellen77oti65 5 ปีที่แล้ว +1

    Baba ubarikiwe kwa fundisho hii

  • @mupesi8886
    @mupesi8886 5 ปีที่แล้ว +5

    Amina baba NENO LITASIMAMA YA ULIMWENGU YATAPITA LAKINI NENO LITASIMAMA

  • @livingstoneakyoo6228
    @livingstoneakyoo6228 5 ปีที่แล้ว +2

    Showers mpo juu mtabaki kuwa kileleni mawinguni juu kabisa. Holy Spirit Fire!!!!!!!!!!!!

  • @ibrahimshembilu4458
    @ibrahimshembilu4458 5 ปีที่แล้ว +4

    ubarikiwe sawa mtumishi wa mungu

  • @We2k7
    @We2k7 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa combo ça BWANA

  • @janetjanet8669
    @janetjanet8669 4 ปีที่แล้ว

    Amen barikiwa sana mtumishi wa Bwana 🙏🙏

  • @alinefeyi6731
    @alinefeyi6731 4 ปีที่แล้ว

    Amina Munguakubariki

  • @moonlighttv3478
    @moonlighttv3478 5 ปีที่แล้ว +6

    im with you,pastor God bless you,Ameeeen

  • @josephedes1453
    @josephedes1453 5 ปีที่แล้ว +2

    I'm blessed much more from a man of God

  • @juddieemma32
    @juddieemma32 2 ปีที่แล้ว

    Naomba mchungaji nami unifungue ...naota ndoto za ajabuajabu...

  • @rozinamaleka214
    @rozinamaleka214 5 ปีที่แล้ว +4

    Nakuelewa sana Gwajima

  • @fanuelkabelinde564
    @fanuelkabelinde564 5 ปีที่แล้ว +6

    Barikiwa Sana Baba

  • @titushaule2772
    @titushaule2772 5 ปีที่แล้ว

    Amen Baba somo zuri sana nimebarikiwa sana ameeeen

  • @rosemukuri1327
    @rosemukuri1327 4 ปีที่แล้ว

    Napoteya nawe ubarikiwe

  • @gracenyangusi6230
    @gracenyangusi6230 3 ปีที่แล้ว

    Ameeen dady Gwajima. Aaaaaaaaaa

  • @dennismokua8704
    @dennismokua8704 3 ปีที่แล้ว

    Naitachi maombi nabitia maisha ngumu in kiwa Kenya in Mimi Dennis

  • @Patience.67
    @Patience.67 3 ปีที่แล้ว

    Asante baba kwa mafunzo

  • @happyelias4536
    @happyelias4536 5 ปีที่แล้ว

    Mungu akutunze baba

  • @siprianalifonce8086
    @siprianalifonce8086 5 ปีที่แล้ว +5

    Amen nimebarikiwa Sana Sana

  • @frolacharles6788
    @frolacharles6788 5 ปีที่แล้ว +1

    Amen Mtumishi wa Mungu

  • @mammyali3424
    @mammyali3424 5 ปีที่แล้ว +4

    Siku moja nitakuja kushuudia fadhili za Mungu... majeshi majeshi..yako ulimwenguni kote

    • @Philipoupdates
      @Philipoupdates 5 ปีที่แล้ว

      Karibu sana kwenye huduma yangu +255767204792

  • @drritte6967
    @drritte6967 5 ปีที่แล้ว +7

    Barikiwa Baba, ninakuelewa vzr sana.

  • @deboraimanueli3324
    @deboraimanueli3324 5 ปีที่แล้ว +4

    Karibu moshi marangu

  • @ebenezerholychurch2647
    @ebenezerholychurch2647 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante Sana bishop

  • @resamaria4617
    @resamaria4617 2 ปีที่แล้ว

    Asante Yesu

  • @mammyali3424
    @mammyali3424 5 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe Sana mtumishi asante kwa mafundisho.. nikiwa Dubai

  • @mpokianyitike7800
    @mpokianyitike7800 4 ปีที่แล้ว +1

    We need you to help us

  • @pauljames5704
    @pauljames5704 5 ปีที่แล้ว +1

    Nachukua miliki za wagen kwajina la yesu

  • @nginamugwe8093
    @nginamugwe8093 5 ปีที่แล้ว +7

    Napenda ukakamavu wako mchungaji..mahubiri yako yanitia nguvu ya kupiga ma adui bila hofu

  • @gracebura3577
    @gracebura3577 5 ปีที่แล้ว

    Nakukubali sana baba nipo dodoma

  • @sarifusteven4634
    @sarifusteven4634 2 ปีที่แล้ว

    fire 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @bhokeoffcial6340
    @bhokeoffcial6340 2 ปีที่แล้ว

    Haleluya haleluya haleluya

  • @dennismokua8704
    @dennismokua8704 3 ปีที่แล้ว

    Umenichenga mchungaji na sasa Mimi nimegudua kuna ibaanda ya sanamu

  • @barikielisulle9300
    @barikielisulle9300 5 ปีที่แล้ว +1

    baba yangu wa kiroho ninakuelewa.

  • @elenatantine9608
    @elenatantine9608 3 ปีที่แล้ว

    Amen papa

  • @felinusfaostin5308
    @felinusfaostin5308 5 ปีที่แล้ว

    barikiwa sana baba wetu

  • @josephmutemi7494
    @josephmutemi7494 4 ปีที่แล้ว

    Ameeeeen God bless you Man of God

  • @arounluhamba447
    @arounluhamba447 5 ปีที่แล้ว

    Mbingu zipo juu yako baba nakuelewa sana

  • @rajohkinson2087
    @rajohkinson2087 5 ปีที่แล้ว +2

    looking forward to see you Bishop...Stay blessed

  • @hightec-blend8880
    @hightec-blend8880 5 ปีที่แล้ว

    Mchungaji nabarikiwa sana na mafundisho yako , nisaidie kuhusu MATHAYO 23:9 watumishi kujiita baba

    • @jimmysecha7791
      @jimmysecha7791 5 ปีที่แล้ว

      Soma 1Wakoritho 4: 15 Ndugu mtu anayekufundisha Injili Wa kwanza au anayemfundisha MTU namna ya kumtumikia MUNGU ni baba Wa MTU huyo
      Halafu please lazima uelewe maana ya baba kiroho ni chanzo, au mwanjilishi au jambo au kitu wale mafarisayo na masadukayo walipenda kuitwa hivyo Kwa kutaka sifa pasipokuwa na sifa za baba .
      Kama anavyojua baba ni majukumu ila wao walipenda kuitwa hivyo ndio maana BWANA YESU akasema msimwite MTU baba maana baba huwa haitwi ila ni ndio jinsi alivyo....... Kwa maelezo zaidi piga simu number 0715771640

  • @dorothdorothwanjala8222
    @dorothdorothwanjala8222 5 ปีที่แล้ว +4

    Ameeeeeeeeeeen

  • @amossamwel7749
    @amossamwel7749 5 ปีที่แล้ว +4

    amen simba

  • @michaelgerrard6862
    @michaelgerrard6862 5 ปีที่แล้ว +4

    Amen

    • @marysusuma3837
      @marysusuma3837 5 ปีที่แล้ว

      Mch mungu akubariki sana ujumbe huu waushindi we Nissan hodari watapigana made hawatakushinda.

    • @ibrahimshembilu4458
      @ibrahimshembilu4458 5 ปีที่แล้ว +1

      amini mtumishi wa mungu

    • @antudidas7546
      @antudidas7546 5 ปีที่แล้ว

      Aminaaaaa Baba nabarikiwa sanaaaaaa

    • @seburigidamsungu6252
      @seburigidamsungu6252 5 ปีที่แล้ว

      Ameeeen shujaa wa bwana

    • @raphaelmbwana4674
      @raphaelmbwana4674 5 ปีที่แล้ว

      Nakubali Yesu ni Mwokozi

  • @bennagemeestate820
    @bennagemeestate820 5 ปีที่แล้ว +19

    Kuna watu wanatabia ya kufungua vedeo then unadislike,, sijui maana yenu, ,,, ni Mwenye kuipost ajue hmpendi?????? tnaita popularity, pomposity,
    HUJAIPENDA IACHE kunachanel nyingi Sana chini ya hili jua

    • @cypmkutubi3109
      @cypmkutubi3109 5 ปีที่แล้ว +1

      Ndio maana kuna option mbili, like na dislike, kwahiyo mtu yeyote yuko huru kuchagua, na siyo kuchaguliwa!

  • @tamaraeliz7114
    @tamaraeliz7114 5 ปีที่แล้ว +4

    Ameen God Bless You Man of God

  • @magrethelias3030
    @magrethelias3030 5 ปีที่แล้ว

    Nimefurahi sana, mang'ana gasarekire, Mara hiyo.

  • @innoadrew5645
    @innoadrew5645 5 ปีที่แล้ว +1

    Wiiiiiiiii ameen

  • @sarafinasarafina8208
    @sarafinasarafina8208 3 ปีที่แล้ว

    Ameeeeen

  • @estasage498
    @estasage498 5 ปีที่แล้ว

    Hawa wazungu wanapenda idols sijawayi kuona.

  • @ameliadickson9733
    @ameliadickson9733 5 ปีที่แล้ว +3

    You always say facts

  • @rosemukuri1327
    @rosemukuri1327 4 ปีที่แล้ว

    Baba munipigiye awa niko mtoto déni Please Dady

  • @emanuelbrysonshauritv.1638
    @emanuelbrysonshauritv.1638 5 ปีที่แล้ว +4

    Somo zuri sana

  • @japhetdaud3781
    @japhetdaud3781 5 ปีที่แล้ว +4

    Unatishaaa

  • @barick
    @barick 5 ปีที่แล้ว +2

    Ameni

  • @songweairport7602
    @songweairport7602 4 ปีที่แล้ว

    VERRRRRRRRRRRRY POWERFUL SERMON

  • @zaiciousmuneer3697
    @zaiciousmuneer3697 5 ปีที่แล้ว +2

    ameeeeh

  • @enockosward5813
    @enockosward5813 5 ปีที่แล้ว +3

    True gospel

    • @paschalselina7164
      @paschalselina7164 2 ปีที่แล้ว

      Baba maubili matamu kama haya. Ubarikiwe

  • @henryokello6609
    @henryokello6609 ปีที่แล้ว

    Amen asnt

  • @dollyesey1478
    @dollyesey1478 4 ปีที่แล้ว

    IAM walking in the bondage of darkness , anyone who can help me to get him ,naomba Kama Kuna yeyote aneza noconnect naye anisaidie please... Naomba number please

  • @naomipemwa200
    @naomipemwa200 5 ปีที่แล้ว

    may God almightyguide always

  • @samuelpatient5968
    @samuelpatient5968 5 ปีที่แล้ว

    Amen iyo kweli

  • @JosephatGwajimaRudishaTv
    @JosephatGwajimaRudishaTv  4 ปีที่แล้ว

    th-cam.com/play/PLKasB8zDTCL-jXnbRpY_0e-ydrNjlulzU.html

  • @primoherman3153
    @primoherman3153 5 ปีที่แล้ว +2

    Good education

  • @alainmpoko7019
    @alainmpoko7019 5 ปีที่แล้ว

    gloire au Seigneur

  • @mwimbajinamwalimujaphetgeo1718
    @mwimbajinamwalimujaphetgeo1718 5 ปีที่แล้ว

    Niko Marecan na barikiwa sana

  • @nzomukundafatuma5364
    @nzomukundafatuma5364 5 ปีที่แล้ว +1

    Love toi. San.
    Mrc bcp pour le ta parole

  • @pauljames5704
    @pauljames5704 5 ปีที่แล้ว

    Aminaa

  • @millicentochieng5740
    @millicentochieng5740 5 ปีที่แล้ว

    Amen and Amen

  • @josmoneymkolwe3044
    @josmoneymkolwe3044 4 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @margaretmuranga1362
    @margaretmuranga1362 5 ปีที่แล้ว +5

    Amen Ameeen

  • @abrahamakyoo1011
    @abrahamakyoo1011 4 ปีที่แล้ว

    Abraham akyoo

  • @mariamfaith9914
    @mariamfaith9914 5 ปีที่แล้ว

    Amen majeshi majeshiiii majeshi WA Bwana +254

  • @rosemukuri1327
    @rosemukuri1327 4 ปีที่แล้ว

    Na mimi niko shujaaa

  • @bahatilusambo2757
    @bahatilusambo2757 5 ปีที่แล้ว

    Mahubiri yamejaa maarifa na ushujaa

  • @DannySJ
    @DannySJ 4 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥👍

  • @elizabethsimbenga4773
    @elizabethsimbenga4773 5 ปีที่แล้ว +1

    Mimi ni roho nilitoka mbinguni

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 4 ปีที่แล้ว

    Fimbo, ufufuno gumbo

    • @rahabnkya8276
      @rahabnkya8276 4 ปีที่แล้ว

      Kwaya inaimba na kucheza vizuri na wanastaili nzuri vijana tupu hawa. Barikiwa saaaaaana.