MAMBO YATAKAYO KUZUIA KUFIKIA MALENGO, NDOTO NA MAFANIKIO 2024 - ACHA SASA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ม.ค. 2024
  • Ukamilishaji wa malengo,ndoto uchochea mafanikio ya kila mmoja wetu, ni matokeo ya nidhamu ya hali ya juu, bila nidhamu ya muda wako, pesa zako au marafiki na mengineyo ni ngumu sana kufanikiwa katka malengo na ndoto zako. Kwa kuzingatia hilo 2024 nataka uwe bora kwako, kwa kuanzi kujua vitu au mambo amabyo utufelisha wengine kila mwaka. Na ndo maana kwenye video nitakuelezea mambo yanaweza kukuzuia kufikia malengo, ndoto na mafanikio mwaka huu 2024. Najua kila mwaka uwa tunautaratibu kuweka malengo, na resolutions mbalimbali lakini kufikia February unakata tamaa kwasababu ya changomoto au mambo ninayoshare na wewe leo. Karibu
    Like video hii, share na rafiki na Subscribe kwa video mpya kila wiki (Jumapili )!!
    -----------------------------------------------------------------------------------------------------
    🏆Lengo Langu 🏆"Ni kushare na wewe Masomo chanya juu ya mambo mbalimbali katika Maisha na kuhakikisha tunakuwa sehemu ya mafanikio yako.
    🔴Nimeanzisha Podcast yangu mpya inaitwa Gonline kwenye Afripods, link hii 👉 afripods.africa
    Usiache pia kuniandikia mawazo kwenye comment section na share kwa wengine pia ila wajifunze zaidi.
    🔴 BIASHARA, MATANGAZO, KUSHIRIKIANA NA USHAURI EMAIL: onlinemedia364@gmail.com WHATSAPP : (+255) 629-718385
    #Malengo #Ndoto #Mafanikio

ความคิดเห็น • 7

  • @chuji_tz
    @chuji_tz 5 หลายเดือนก่อน +2

    Thanks

  • @bertinaafonsorapaz8345
    @bertinaafonsorapaz8345 5 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Kaka,huu mwaka hadi kieleweke

  • @CollisBill-mu3zp
    @CollisBill-mu3zp 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana Leo pita pita zangu
    Nimeiona hii channel
    Asante mkuu

  • @aboumwanyika898
    @aboumwanyika898 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ulikuwa kimya Sana. Kaka

    • @GOnlinepositivity
      @GOnlinepositivity  5 หลายเดือนก่อน

      Changamoto tu ilitokea kwenye channel yangu