NSCA2022: Hotuba kamili ya Waziri Pindi Chana katika usiku wa tuzo za BMT (17/03/2023)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ก.ย. 2024
  • Kwa kabisa ni mtindo aliopanda nao jukwaani kutoa hotuba yake...
    Ni Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Pindi Chana katika usiku wa Tuzo za Wanamichezo Tanzania kwa mwaka 2022 ziliandaliwa na Baraza la Michezo la Taifa, shughuli nzima ikifanyika katika ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam.
    Katika mengi aliyozungumza, Waziri Pindi alitoa agizo kwa Mikoa yote Tanzania kutenga maeneo ya wazi kwa ajili ya michezo.
    Hii hapa hotuba yake...

ความคิดเห็น •