Kiswahili ni chetu sisi wote waafrika. Tangia tutoke misri na kusini mashariki ya kameruni kuelegea mahali tulipo sasa, Afrika ya kati, mashariki na kusini. Kiswahili ni cha watu wa Afrika wote, wa Bantu, kush, Kemet, Wanubi, Igbo na wananchi wengine wa Afrika. Pamoja milele.
Nakuelewa Sana bro
🎉🎉

Mzee wa peku peku, sio pow
Hapa Kenya tunakuenzi balozi Mrisho!
mjomba endelea kumwagilia,naamini lazima mbegu zitaota!
Hakuna mwingine kama mama. Tukienzi na kueneza kiswahili chetu.