NILIANZA KUFUNDISHA CHINI YA MTI HUU MIAKA YA SABINI MPAKA LEO SILIPWI, SHEKH RAMADHANI SUNGU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2020

ความคิดเห็น • 107

  • @mohammedrajabumwamba1322
    @mohammedrajabumwamba1322 3 ปีที่แล้ว +5

    Innalillahi Wainnailaihi Raajiuun Sheikh Allah akujaalie kilalenyekheri huko uliko Allahumma Amiin🙏

  • @busnaoman9981
    @busnaoman9981 3 ปีที่แล้ว +3

    Inalilah wainailayh rajighon shekh wetu Allah akulaze pema pepon inshallah

    • @miriumloyy8968
      @miriumloyy8968 3 ปีที่แล้ว +1

      Sisi sote kwake tutarejea ,tumuombee tuu innallillah wainnaillayh rajioun,kondoa Leo nimajonzi tu

  • @mwanakombopongwe8244
    @mwanakombopongwe8244 3 ปีที่แล้ว +4

    MASHALLAH MASHALLAH MASHALLAH JAZAKALLAH KHEIR INSHAALLAH

  • @maliamhotimaliamhoti5302
    @maliamhotimaliamhoti5302 3 ปีที่แล้ว +6

    Allah awahifadh masheikh wetu. Allah awalipe khery.

  • @khadijahussain6092
    @khadijahussain6092 3 ปีที่แล้ว +3

    Allah akupe makaz mema sheikh wetu 😭

  • @munaisa5850
    @munaisa5850 ปีที่แล้ว +1

    Inalilahi wainailehirjiun Mungu amuweke peponi

  • @sofinajuma9284
    @sofinajuma9284 3 ปีที่แล้ว

    mashallah mungu awaweke mzidi kutuongoza. hii tanga jamn

  • @kinesakn4723
    @kinesakn4723 3 ปีที่แล้ว +4

    Mambo yameshikiliwa na Allah sio badawiy

  • @ummyzee6247
    @ummyzee6247 3 ปีที่แล้ว +4

    Allah atupe umoja ummati muhammad

  • @jamalathman6219
    @jamalathman6219 3 ปีที่แล้ว

    Inalilahi waina ileihi rajiun Allah akurehemu sheikh wetu

  • @abuusuleym3676
    @abuusuleym3676 3 ปีที่แล้ว +3

    ibada iyooo kwa masufi

  • @maatumkadhi1760
    @maatumkadhi1760 3 ปีที่แล้ว +1

    Maa shaa Allah

  • @AbdullahAbdullah-fz9xg
    @AbdullahAbdullah-fz9xg 3 ปีที่แล้ว +4

    Hapo ni wapi!??

  • @wardakaanynyi6948
    @wardakaanynyi6948 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallah shekhe wetu

  • @aisharamadhani2156
    @aisharamadhani2156 3 ปีที่แล้ว +2

    Allaah awaongoze ktk njia ya sawa

  • @habibuhaji-j8t
    @habibuhaji-j8t วันที่ผ่านมา

    ya subhana llah watu wanaabudia miti sasa ee

  • @YasinRamadhani-ek8df
    @YasinRamadhani-ek8df หลายเดือนก่อน

    Mashaalah

  • @jamillahramadhani147
    @jamillahramadhani147 3 ปีที่แล้ว +1

    maashaallah

  • @mbarakamsangawina8123
    @mbarakamsangawina8123 3 ปีที่แล้ว +1

    subha llah

  • @sharifaabdullah6825
    @sharifaabdullah6825 3 ปีที่แล้ว

    Masha allah

  • @abuuaisha3582
    @abuuaisha3582 ปีที่แล้ว

    اجعل لنا ذات أنواط كما لهم ذات أنواط.....الله المستعان

  • @biggestnasritv2601
    @biggestnasritv2601 3 ปีที่แล้ว +1

    BIGGEST BOSS NASRI

  • @mwanahamis5487
    @mwanahamis5487 3 ปีที่แล้ว

    Innalilah wainna illah rajiuon Safari yake iwe ya Kheir chuma kimeondoka Polee kwa wanafunzi wotee wa sungu walipo

  • @leylahbillah4876
    @leylahbillah4876 3 ปีที่แล้ว

    Maashallah maashallah maashallah

  • @shifaazawadi4438
    @shifaazawadi4438 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah

  • @selemanwaziri7653
    @selemanwaziri7653 3 ปีที่แล้ว

    Inshaalah

  • @ibrahimdabo7163
    @ibrahimdabo7163 3 ปีที่แล้ว

    baraka zote zinatoka kwa mwenyezi mungu siyo mtii shehe umebuma duuuu

  • @khairotv2802
    @khairotv2802 3 ปีที่แล้ว

    KUMBE ALIKUWA anawaaga kabisa huyu MZEE Allah amrehemuu SHEIKH sungu

  • @hassancharo1496
    @hassancharo1496 3 ปีที่แล้ว

    MASHA ALLAH HIZI NDIYO DALILI ZA MWENYEZI MUNGU ANAPO MPENDA MJA WAKE MWENYEZI MUNGU ANAPO MPENDA MJA WAKE HUWAMBIYA MALAIKA MM NA MPENDA MJAWANGU FULAN KWAIVYO NA NYINYI MPENDENI NA MALAIKA NAO HUZUNGUKA KWA WANA DAMU NAO WAMPENDE MTU YULE

  • @maalimndago4663
    @maalimndago4663 3 ปีที่แล้ว

    Sheikh sungu ni rajulun hai na mait mola akueke pema

  • @mwanaimaabdallah7825
    @mwanaimaabdallah7825 3 ปีที่แล้ว +2

    SubhnaAllah

    • @hajimahingika6921
      @hajimahingika6921 3 ปีที่แล้ว

      Umejiwekea kwa ajili ya maisha ya kesho Akhera Sheikh.

  • @hilalalhabsi2047
    @hilalalhabsi2047 ปีที่แล้ว +1

    Sauti za bomba za wanawake zimeingiliana umenifanya akili yangu iudhike sijaelewa kitu

  • @hassmanmchura4284
    @hassmanmchura4284 3 ปีที่แล้ว

    Kwa we uliyejaaliwa kuwa ktk dn hi yahaq sema ALHANDULILAH mana n raha tele haswa ukiwaunaijuwa dini vzur.

  • @ankaldally2734
    @ankaldally2734 3 ปีที่แล้ว +1

    Shirk kubwa mzee anaongelea. Zindukeni ndg zangu elimu ni nuru na ujinga ni kiza. Mzee aache ushirikina

  • @kinotasontravel3883
    @kinotasontravel3883 3 ปีที่แล้ว

    Allah Akbar

  • @leylahbillah4876
    @leylahbillah4876 3 ปีที่แล้ว

    Maskin innalillah wainna ilayhi rajioun daah imeniumaa sana aisee😭😭😭😭😭

  • @abuunutsamuonlinetv2703
    @abuunutsamuonlinetv2703 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwahiyo mnaomba dua kwa baraka za mti sio za alie umba mti huu ni mtihani sana

    • @ngushy8798
      @ngushy8798 2 ปีที่แล้ว

      Huy mzee shehe mpungaaa

  • @mrsultanzimbwe6746
    @mrsultanzimbwe6746 11 หลายเดือนก่อน

    Matatizo ya Aqiida n shida kubwa sana

  • @abuusuleym3676
    @abuusuleym3676 3 ปีที่แล้ว +1

    we mzee umri uwo bado unafanya shirki

  • @mwanaimachayoa8217
    @mwanaimachayoa8217 2 ปีที่แล้ว

    Maneno ya shirki vipi utabaruku kwenye mti

  • @mresamresamresa5622
    @mresamresamresa5622 3 ปีที่แล้ว

    Inalillah wainnalillahi rajighuna

    • @sakinat2527
      @sakinat2527 3 ปีที่แล้ว

      Allah amraham na amueke pema penye wema, Amiin

  • @fatualetoya5066
    @fatualetoya5066 3 ปีที่แล้ว +1

    🇹🇿💖🧡

  • @malakiyazidu0080
    @malakiyazidu0080 3 ปีที่แล้ว

    mashaallah

  • @mwachidzopoposalimpopo8890
    @mwachidzopoposalimpopo8890 3 ปีที่แล้ว

    Inshallah mungu yuko n heri zk

  • @teddykanondo5753
    @teddykanondo5753 3 ปีที่แล้ว +4

    Tatizo la sisi Watanzania tunakua na tabia ya kubishana bila kutaja vigezo vilivyofanya Tanzania ifikie "UCHUMI WA KATI" Mimi binafsi nimesomea mambo ya uchumi nijiuliza hawa watu kila kukicha Watanzania walio wengi wanawaita Wazungu "MABEBERU". Watu walioko kwenye Bank ya Dunia walio wengi ni Wazungu. Inakuwaje wanasema tumefikia "UCHUMI WA KATI" wakati Dola 1 ya Marekani ni shillingi za Tanzania 2310/=, Paundi 1 ya Uingereza ni shilingi za Tanzania 2290/=, Euro 1 ni shilingi za Tanzania 2740/=, Dinari 1 ya Kuwaiti ni shilingi za Tanzania 7600/=, Dila 1 ya Marekani ni sawa na Kenyan shillings 100/=, sasa niapeni vigezo vilivyotumika kuiweka Tanzania kwenye uchumi wa Kati wakati Watanzania walio wengi kipato chao ni chini ya dola 1 ya Marekani kwa siku. Wazungu ni watu wenye mbinu nyingi sana katika kuweka hadharani maendeleo ya nchi. Wanajua kabisa wakiambia Serekali ya Tanzania "UCHUMI WENU UMEKUWA" wasomi na wana Siasa watapinga tena kwa hoja. Majukwaa yote ya Siasa za Tanzania wapinzani wanapinga kwa nguvu zote na sababu kubwa ni kwamba hali za Watanzania ni mbaya sana. Miradi mikubwa ya kuzalisha kipato imekufa vikiwemo viwanda, Uwekezaji wa ndani na nje, Mashirika ya Umma yamekufa, Miradi ya vijiji imefilisika, Wafanya biashara wakubwa wamefilisika na wengine wamekimbia nchi. Magufuli amefanya kazi kubwa kwa upeo wa fikra zake lakini akasahau ajira za Watanzania na ndizo zinamtesa sasa hivi. Wapinzani wamevuna wanachama wengi sana kutoka ndani ya CCM, wale unaoona wanarudi CCM toka upinzani ni watu waoga wanaosikiliza hotuba za mheshimiwa Magufuli ambazo mara nyingi amekuwa akijisahau kuwa aliwahi kusema tena hadharani kuwa "MAENDELEO HAYANA CHAMA". Akarudi akajisahau kule Musoma akasema "MKICHAGUA MADIWANI NA WABUNGE WA UPINZANI SITAPELEKA MAENDELEO MAENEO HAYO". Kiongozi wa nchi ukisha kuwa na mtoto wa Tumboni na Mgongoni umeigawa nchi na ndio maana sasa hivi kuna watu wa Magufuli, Tundu Lissu, Zitto Kabwe, na wengineo. Angalia mikutano ya Wana Siasa ilivyoigawa nchi. Mheshimiwa Magufuli anaenda na Wana Muziki kwenye mikutano yake sasa huwezi jua watu wamefuata Sera zake au Muziki. Lissu akiwa kwenye Mikutano yake amejaza watu huwezi jua wanamfuata
    kwa Sera zake au kwa mshangao kuwa Binadamu atakuaje hai huku amepigwa risasi 16 wakati Tembo anapigwa risasi moja tu na kufa. Watanzania wanajiuliza nchi yenye utwala wa kisheria binadamu anapoteaje, Waandishi wa habari wanapoteaje, Raia wa kawaida wenye mapenzi na vyama vya upinzani wanapoteaje, Wafanya Biashara wenye mapenzi na upinzani wanafilisiwa. Madakitari wametishwa wasitoe ripoti za COVID19, Tanzania na Kenya nani wanajua kwenda Kanisani na Misikitini. Katika watu wenye mpaka mrefu sana ni Kenya na Tanzania. Kutoka Lake Victoria mpaka Indian Ocean. Wafanyakazi hawaongezewi mishahara, Wafanyakazi wametumbuliwa sana na kufukuzwa bila kulipwa stahiki zao. Rais wa nchi anaweka ndugu zake HAZINA ya umma ili akichukua fedha isijulikane. Rais wa nchi ni mbaguzi, Mkabila, Mnafiki, Mwongo, Jeuri, Katili, uliona wapi Rais anatoa amri watu Wachome vifaranga. Wasimamizi wa uchaguzi Mwaka huu watashuhudia makubwa Tanzania. Kama Tume haitatenda haki na kusimamia uchaguzi kwa umakini mkubwa sana Wataingiza Tanzania kwenye uvunjifu wa amani na hili litasababisha baadhi ya viongozi au Tume yenyewe kufikishwa Mhakama ya Kimataifa ICJ. "SAFARI HII CCM WAJIPIME"

    • @mohamedkikale7241
      @mohamedkikale7241 3 ปีที่แล้ว

      Yaaan pamoja nakusoma uchumi bado huwezi kufafanua maana haris ya uchumi, katika taifa kichwa kimejaa mitazamo yakisiasa tu! Kwa taarifa yako chapa kazi hiyo elimu uliyosoma update kuisaidia jamii yako, ni ushauri tu!

    • @faidhakadangu7876
      @faidhakadangu7876 3 ปีที่แล้ว

      acha siasa ndugu iitumie elimu yako kuisaidia jamii kila mtu atakwenda na amali zake.

    • @zuhurahussein5132
      @zuhurahussein5132 3 ปีที่แล้ว +1

      Mshamba kweli wew kwanza uku umefuata nin?? Alaf unakuja kutuletea siasa uku

    • @suleimanabdalla4594
      @suleimanabdalla4594 3 ปีที่แล้ว

      @@zuhurahussein5132 ushirikina huu upowazi mkiambiwa mnabisha

    • @suleimanabdalla4594
      @suleimanabdalla4594 3 ปีที่แล้ว

      @@faidhakadangu7876 kweli hujakua mchanungu Mana unatabaruku kwa mjiti Allah akuongoze

  • @abubakariabubakarimafitq783
    @abubakariabubakarimafitq783 3 ปีที่แล้ว

    Hasan libasri allah amurehem anasema. ibilisi anapenda sana bidaa kama hizi kuliko maaswi. Kuliko pombe,wizi,zinaa,

    • @hassancharo1496
      @hassancharo1496 3 ปีที่แล้ว

      Abubakar punguza kejeli dhidi ya waisilam we nzako hawa wana swali wana funga ramadhani wana hijji na wanaisoma korani ujione wewe msafi

  • @abuumaryam1628
    @abuumaryam1628 3 ปีที่แล้ว +1

    Watu wa bidaaa wana shida sana

  • @signtv9848
    @signtv9848 3 ปีที่แล้ว

    Kwa Baraka za mti huu
    Subhana Lah

    • @ukwasiukakasi4363
      @ukwasiukakasi4363 3 ปีที่แล้ว +3

      Maalim hakuna shirki hapo maana ameelezea kwa undani maendeleo ya elimu yaliyopatikana toka mwanzo alipoanza kufundisha chini ya mti huu miaka ya sabini Allah ameijaalia elmu chini ya kivuli cha mti huu ikiwa ni shirki kusema baraka za mti huu vipi tukisema kwa baraka za mtume muhammad s.a.w au kwa baraka za waja wema waliotangulia?

    • @nyatya199
      @nyatya199 3 ปีที่แล้ว

      Haifai kusema kwa baraka ya fulani hata kama ni nabii balii hili halina dalili nalasawa nikusema kwa barka za matendo mema uliyoyafanya hili linadalili

    • @ukwasiukakasi4363
      @ukwasiukakasi4363 3 ปีที่แล้ว

      @@nyatya199 nipe elmu zaid wazazi wanatoa baraka kwa watoto wao imekaaje hii

    • @msafiriduwiya7765
      @msafiriduwiya7765 3 ปีที่แล้ว

      @@ukwasiukakasi4363 baraka sio za wazazi wazazi Yao dua inayokubaliwa haraka baraka hutoa MOLA WA VIUMBE

  • @muhidinali8180
    @muhidinali8180 3 ปีที่แล้ว

    Hatarisana kutabaruku kupitia mti

  • @abuusuleym3676
    @abuusuleym3676 3 ปีที่แล้ว

    aliekuumba hakutoshi fungua aya 18 suratu yunus utapata jibu lako

  • @abuusuleym3676
    @abuusuleym3676 3 ปีที่แล้ว

    kwnza huyo badawiy ni nan ww

  • @mohamedchorah8514
    @mohamedchorah8514 3 ปีที่แล้ว

    .

  • @hawaheri5833
    @hawaheri5833 3 ปีที่แล้ว

    Laiti ingekuwa maiti inarudi ingerudi wa kilio changu lakun hakikusaidia

  • @sharifgojo878
    @sharifgojo878 3 ปีที่แล้ว +1

    haaaaa yani unatabaruk kwa mti hiyo shirki iliyo wazi kabisa na shekh samir upo dah!!!!!!?

    • @bongojoonlinetv977
      @bongojoonlinetv977 3 ปีที่แล้ว

      Kwan nn maana ya kutabaruku?

    • @nyatya199
      @nyatya199 3 ปีที่แล้ว

      Mtihan saana

    • @solemba595
      @solemba595 3 ปีที่แล้ว

      Nafikiri aliteleza kidogo, Mti hauwezi kuwa na baraka, Mwenyewezi Mungu ndio anatoabaraka

  • @mudhihirumikidadi6066
    @mudhihirumikidadi6066 3 ปีที่แล้ว

    Usiombe kwabaraka zamti huo niushirikina

    • @minakhamiskhamisi6193
      @minakhamiskhamisi6193 3 ปีที่แล้ว

      Yn ndgu yg weeeewe ach nikupe pole Maan hujui ukiongeacho kwa acha mzeee wetu safri yake iwe salm

    • @sajumahege4903
      @sajumahege4903 2 ปีที่แล้ว

      @@minakhamiskhamisi6193 hakuna usalama hapo kwenye ushirikina ni khatari sana, eti badawy ananufaisha, subhaanallah. Allah ametakasika na hayo mnayomshirikisha nayo

  • @abubakariabubakarimafitq783
    @abubakariabubakarimafitq783 3 ปีที่แล้ว +1

    Tatizo masange kunaushirikina sana tena mkubwa nahiyo nishirki allah atuongoze

  • @muhidinali8180
    @muhidinali8180 3 ปีที่แล้ว

    Eti tunatabarukunamtihuu hatarikubwasana

  • @abuusuleym3676
    @abuusuleym3676 3 ปีที่แล้ว

    unataka baraka kwa mti

    • @ramangadu6451
      @ramangadu6451 3 ปีที่แล้ว

      Kasome.

    • @ramangadu6451
      @ramangadu6451 3 ปีที่แล้ว

      Sio Kunufaika Tu. Unaweza Hata Kudhurika. Ukumbuke Nabii Adam Alahi Salamu. Alitolewa Peponi Kwa Kula Tunda

    • @sajumahege4903
      @sajumahege4903 2 ปีที่แล้ว

      @@ramangadu6451 ndio aliuomba barka?

  • @abdallahhalphani7439
    @abdallahhalphani7439 3 ปีที่แล้ว

    Anasema alikua hana chochote.. lakini kwa Baraka za mti huu mambo yanakwenda vizur.... ndugu zangu hii si ni shirki ya waz kabisaa

    • @adenmikoba7506
      @adenmikoba7506 3 ปีที่แล้ว

      shirk ipi

    • @Quranonlycenter
      @Quranonlycenter 3 ปีที่แล้ว

      @@ahmadabdulrahman7675 baba eeeh wapinga tuu wakutukuzwa ni Allah na ndie mwenye kufanya KILA jambo ..sio kuwaeka masharifu juu ni binadamu kama sisi na wako na mapungufu kama sisi.Tufuate aliotuamrisha Mungu na Mtume wake..

    • @Quranonlycenter
      @Quranonlycenter 3 ปีที่แล้ว

      Hebu tuelimishe na sisi kuna khalifa gani akafanya zefe na kusoma maulid????mambo mengine ni kutumia akili zetu sio kusukumwa kama gunia... Inshaallah Mungu atuongoze njia ilionyooka..Ameeeen.

  • @asafsulayman9375
    @asafsulayman9375 3 ปีที่แล้ว

    Itaku Lwah We mzushi Mushrik, tubu kabla ya kuanga Dunia, Rudi katika Kitabu na Sunna

    • @masala8099
      @masala8099 3 ปีที่แล้ว +1

      Akili huna

  • @zahorrashid5459
    @zahorrashid5459 3 ปีที่แล้ว

    Huyu shekh mbona simuelewii.mti mti mambogani hy.

    • @bennymochiwa4800
      @bennymochiwa4800 3 ปีที่แล้ว

      ukitumia akili yako uwez kumuelewa lkn ukitumia hekma na busara unaweza kumwelewa

    • @sajumahege4903
      @sajumahege4903 2 ปีที่แล้ว

      @@bennymochiwa4800 Allah akikupa hekima jua amekupa kheir nyingi, moja wapo ni kuwa na ikhlaas kwenye matendo, sasa ushirikina na bidaa ni kheir na hikma hizo?

  • @ismailhassan5662
    @ismailhassan5662 3 ปีที่แล้ว

    Aisee sijui hawa niwaisilam wa ainagan bidaah imewajaa.

    • @nyatya199
      @nyatya199 3 ปีที่แล้ว +1

      Hawatoacha watu sunna ispokuwa wataifuata bidaa

    • @saidhassanahmed4
      @saidhassanahmed4 3 ปีที่แล้ว

      nenda ukasome kwanza afu ndio useme bidaa watu awakurupuki kila kitu wanafanya na sababu

    • @ismailhassan5662
      @ismailhassan5662 3 ปีที่แล้ว

      @@saidhassanahmed4 njoo markaz pongwe tanga ujionee uislam wa sawasawa usiekua nauzushi tunafanya yale ya kitabu nasuna sio kumfata shee kamanyie shew akisema leo tupige madufu mnaenda akisema twenden makaburin mnaenda sijui zafa mara muridu mh haya ndo bidaa hayakuepo wakat wa mtume s.a.w.

    • @abubakariabubakarimafitq783
      @abubakariabubakarimafitq783 3 ปีที่แล้ว

      Allah allah awaongoze hawa watu wabidaa.

    • @nyatya199
      @nyatya199 3 ปีที่แล้ว

      @@saidhassanahmed4 hakuna ushahidi wa hili kama unawo tuma namba yako nikupigie unipatie ushahidi huo, haya mambo niyakisufisufi tu hamna lolote zaidi yakufuata matashi ya nafsi

  • @mwanakombopongwe8244
    @mwanakombopongwe8244 3 ปีที่แล้ว +2

    MASHALLAH MASHALLAH MASHALLAH JAZAKALLAH KHEIR INSHAALLAH

  • @musitemusite4316
    @musitemusite4316 3 ปีที่แล้ว

    Maashaallah

  • @mwanaimaabdallah7825
    @mwanaimaabdallah7825 3 ปีที่แล้ว +2

    SubhnaAllah