NAIBU WAZIRI WA UJENZI Eng.KASEKENYA ARIDHISHWA NA UJENZI WA DARAJA LA ITEMBE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
  • #waziriwaujenzi
    #tanzania
    #raissamiasuluhuhassan
    Naibu Waziri wa Ujenzi Eng. Godfrey Kasekenya ameelezea kuridhishwa na kasi ya ujenzi wa daraja la Itembe mkoani Simiyu na kusisitiza likamilike kabla ya msimu wa mvua kuanza.
    Daraja hilo lenye urefu wa mita 150 liko katika barabara ya Maswa-Meatu-Sibiti hadi Karatu inayounganisha kwa njia fupi mikoa ya Kanda ya ziwa na Kaskazini ambapo kukamilika kwake kutaleta tija kwa sekta ya usafirishaji, uzalishaji na utalii kwa wakazi wa mikoa hiyo.

ความคิดเห็น •