Jalsa Salana Tanzania 2024: jumapili,kikao cha nne

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024
  • Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Jumujiya ya Waislamu wa Ahmadiyya Tanzania Unafanyika Kwa Siku Tatu Mfululizo kuanzia tarehe 27 hadi 29 September 2024.
    Jumuiya ya Waislamu wa ahmadiyya ni Taasisi ya kiislam inayopatikana Mikoa yote Tanzania na karibia wilaya zote za Tanzania, Pia inapatikana Duniani kote ambapo ipo katika zaidi ya nchi 200.
    Jumuiya ya waislamu wa ahmadiyya ina Kiongozi wake mkuu mwenye cheo KHALIFA ambaye sasa niwa tano toka kuanzishwa kwake. Ukhalifa wa kiahmadiyya umepatikana katika misingi ya kinabii.
    Unaweza kujifunza zaidi kuhusu Ahmadiyya na Uislam kwa ujumla kupitia tovuti ya www.alislam.org/ au kwa kiswahili kupitia tovuti ya www.alislam.org/
    pia unaweza kutufuatilia kupitia mitandao ya kijamii kupitia Viunganishi (links) vifuatavyo Instagram bonyeza link hii
    ...
    Facebook bonyeza Link hii hapa Chini
    www.facebook.c...
    Pia Twitter
    Ja...
    UPENDO KWA WOTE CHUKI SI KWA YEYOTE
    LOVE ROF ALL HATRED FOR NONE

ความคิดเห็น • 1

  • @jamalilitamba7084
    @jamalilitamba7084 วันที่ผ่านมา

    A.A.W.W nashauri hizi clip zingekuwa zinapostiwa kwa kwa kila muhutubu.