Mungu akubarik endelen kusugua magoti kuiombea huduma yenuo mamangu ros na bet hamna huduma inayokwend without praying mungu awabariki songeni mbele na injili
Dada rozi mungu azidi kukuinua kila inapoitwa leo,ninapokuona kuona unaimba naskia faraja sana tena sana dada yangu,napenda wooote walio na wanaokuombea mabaya usinyenyuke mungu alie juu awaonyeshe kesho yako mama,wewe nikiungo wa mungu kila sehemu utakayowekwa nilazima unukie nauwe naladha nzuriii mama!! Watasubiri sana kwako barikiwa dada!!
Hakika wanitosha Jesus.
Congrats, wimbo unabariki
Ninapenda nyimbo zadina kwani zinakupa moyo
Nazipenda sana nyimbo za dini ilaa Mimi muisilam lakini Daaaa zinafuraisha sana
Nangoja kesho yangu my dear ubarikiwe
HALLELUIYA hakika kesho yetu njema inakuja ROSE MUHANDO barikiwa zaidi IN JESUS NAME upone kwa JINA LA YESU KRISTO MAMA
wonderful song my sister Beatrice may God expand your Territories.......kesho ya matumaini
kesho yangu inakuja. ameniii.
Bwana Yesu kiristo hongora kwazi nzur
indeed pia nami naingoja kesho iliyojafuraha maana hapo kilio kitafika mwisho...mum and mu sister "amen".
Aaamen naiona keshoyangu inakuja
nzuri kweli sijuwi kama Kuna kosa
Amen naingoja kesho mateso nileo kesho itafika.. .
waniba raha sana dadangu ubarikiwe mpaka ushangae.
naingoja kesho Ahsante
Nakupenda mama Mungu azid kukbariki mnoo🙏
Nyimbo haiishi hamu masikioni mwangu❤❤❤ so amaizing song I like it
Amen am waiting my great tomorrow by faith in Jesus name amen 🙏🙏
kweli naingoja kesho,amina kubwa
kesho yangu ya neema na furaya
Hakika naingoja kesho yangu
Amin naingoja kesho ya kuinuliwa
Amena. Nayiona kesho. Be blees you so much
Nimeipenda na ni mzuri sana,m'barikiwe.
Haleluya naingoja kesho yangu kwa jina la Yesu
kweli naingoja kesho yangu.
Mungu akubarik endelen kusugua magoti kuiombea huduma yenuo mamangu ros na bet hamna huduma inayokwend without praying mungu awabariki songeni mbele na injili
wow wimbo huu umenibariki sana natamani niusikie kila mara afu unanipa Marah sana mubarikiwe ma Dada sana
muta niimbiya wimbomoya naona muko makali sana
ameeeeen...hata Mimi naingoja kesho yangu ...barikiweni sana.
May GOD lift you
Amen wimbo huu unafanya my lifestyle kubadirika xana
woow!nimeipenda!pia mm kesho yangu yaja
Kesho yangu yaja...amina
ASANTE SANA KWA KUTAZAMA MY MUNGU AKUTUNZE
Kesho adui watakoma!!!
Amen piami kesho yangu yajaa...mubarikiwe sana dada Rose na Beatrice. wimbo mtamu kweli?
Mkovizuriii sautii nzurii wimboo unamaana vidio Nina mahadirii
Munguuu aenderee kuwainuaaaa
Ameni
hii kesho pia mi naisubiri tu....very ispiring. God bless
ni moja na iyo nyegine ya stephen kasolo na rose muhando
Amen ubarikiwe na Mungu akuinue zaidi
Hakika kesho yangu inakuja. Malango ya baraka zangu kafunguka. Amen!!!!
Nc song
Mum rose... Shikilia apo mungu akubariki
..Am blest by the song.,.Nifundishe kunyamaza by. Marthar mwaipaja. you realy bless my heart.. May. God uplift u
Mungu aibariki huduma zenu ktk kumwimbia
naingoja kesho yangu pia
kesho yangu ni kicheko kwangu na kilio na aibu kwa watesi wangu
wow what a great song!!,Mungu akubariki sana Dada yangu kwa kazi hii iliyotukuka!
😭😭Amen naingoja kesho yangu itafika tu Mubarikiwe siz Rose kiimani mumenijenga
Amen. I know my tomorrow will be better than what am going through.
Inapendeza, keep it up Rose muhando.Nakuombea mungu akuongezee
Hongera sana Beatrice.. Wimbo mzuri, full of HOPE.
Mungu azidi kukuza hiyo kipaji
ASANTE SANA KWA KUTAZAMA MY MUNGU AKUTUNZE
Japo mbele naona milima,
Japo mbele naona mateso,
Japo mbele naona adui,
Lakini kesho inakuja;
#HALLELUYA muNGU WANGU#
Beatrice mungu aendelee kukuinua
kweri kabic
Japo mbele naona Giza lakin mwaka unafika
Keep it up Rose & Beatrice may God bless the good work you too are doing. Naingoja kesho yangu.
This is called mentorship. A good leader train her juniors to b like her.
Nice song
God bless you guys!!!!
Amen. Dada rose tuakuombea upone
Rose MUNGU akubariki in Jesus Christ
nmebarikiwa jaman mweee.nice song
Kwa kweli naingoja kesho kwa hamu, barikiweni xana
Amen
That song gives me hope of seeing my tomorrow. I like it
Amina ipo vizur
Amina naaamini kesho yangu ipo
Uwiiii mamaaa umepasua anga la wakuu-nyota ing'are daima☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆ baraka kwako mpendwa
Binti hayati manyota I see you not sleeping. you are wake and that is God like to Kesha tusisizia kuja kwa Yesu kuko karibu
Ubarikiwe mutumishi wa MUNGU
wimbo unao bariki. barikiweni
wimbo mzur nimefurah. nami nasubiri kesho yang nibarikiwe...
Be blsd a lot
Shwari kabisa
nimeipenda hiyo nzuri sana
Naiona kesho yangu hisio ya kusumbuka!God bless you ladies
BaBA
AMENI NIME BARIKIWA ATA MIMI NANGOJEA KESHO ILIYO NA BARAKA. AMENI AMENI AMENI.
Mukenya Halisi.
nice song
Safi kabisa Beatrice niko Nairobi Kenya, niruhusu nikuchapie remix.
Off opl
Hjp
Kweli wimbo mzuri
Wimbo mzuriiiu
waooh ni nzur
woow.. who else is watching.wimbo huu umechangamsha asubuhi. jina la yesu libarikiwe
Amina Wangu barikiwa zaidi kwa kutazama. Help me share with others nao wahudumiwe
N monk . Njjgt_
Rehema Kiteto mambp
@@beatrice_kitauli we've eewwww
Rehema my course mate howa you
Kitauliiiioo
Oh la la la la la naingoja kesho..
jeremiah kamnde, Rose barikiwa
Rose may God blss you na akupee nguvu
Wow wow wonderful naingoja kesho.
Good song sisters
Mungu Azid Kuwabarik
Bravoo my dada nice song.....mbarikiwe sana
Nice song but na me naingoja kesho mbalikiwe wapendwa wa bwana
asantesana nikoburundi napendasana nyimbozako Mungu akuinuwe
amen
Dada rozi mungu azidi kukuinua kila inapoitwa leo,ninapokuona kuona unaimba naskia faraja sana tena sana dada yangu,napenda wooote walio na wanaokuombea mabaya usinyenyuke mungu alie juu awaonyeshe kesho yako mama,wewe nikiungo wa mungu kila sehemu utakayowekwa nilazima unukie nauwe naladha nzuriii mama!! Watasubiri sana kwako barikiwa dada!!
Natamani sana nimuone dada rose. Uimbaji wake tu unanipa amani na ananizidishia amani pale ninapokuwa na huzuni.
Amina 🙏 from Congo 🇨🇩
Dada zangu mubarikwe saana
Kiukweli uko vizuri sana MUNGU akuzidishie uwezo wako katika huduma hii na shughuli zako za kila siku.
Mama
Mama
Rudi kwa Yesu dada ...
mbarikiwe watumishi wa mungu
Naingoja kesho, mateso dhiki magonjwa ni leo tu... you bless my heart , barikiweni sana
Napenda sana, unanifundisa mambo mengi sn
samahan upo kwenye Ndoa au unamchumba au upo masomoni
pia mm naingoja kesho natumai itakua yafuraha naingoja kwa hamu
I like the song,hakika kesho yangu itang'aa sitanung'unika tens..
munaimba mzuliisana Mungu ababalikisana
I went into tears on watching this song. My #Kesho yaja katika Jina la Yesu Kristo
Mungu azidi kukuinua
kila Rose muhando anaposhirikishwa huwa aharibu, nice song nimeupenda!!!
kesho yangu inakuja
Hongereni Beatrice na Rose kwa wimbo wenye ujumbe mzuri wa matumaini ya kesho. Mungu azidi kuwabariki na kuwatumia katika huduma.
Be blsd alot