KIZAA ZAA CHATOKEA SHETANI ANASWA WAZIWAZI || PROPHET : ALPHA KIHAMBA ||

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 33

  • @marthamwakatobe1596
    @marthamwakatobe1596 3 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana mtumishi. Nimejifunza kitu hapa. Kweli kabisa siku hizi Roho Mtakatifu hapewi nafasi makanisani kwa kufuata taratibu na katiba. Mungu atusaidie.

  • @AmosOkwachi
    @AmosOkwachi 4 หลายเดือนก่อน

    Asante yesu kwa mtumishi huyu

  • @RehemaGodfrey
    @RehemaGodfrey 4 หลายเดือนก่อน

    Aminaa ninawapata kutoka dar salam🧎🧎🧎🙏🙏🙏

  • @scholasticakariuki6775
    @scholasticakariuki6775 28 วันที่ผ่านมา

    Mbarikiwe

  • @marthamwakatobe1596
    @marthamwakatobe1596 3 หลายเดือนก่อน

    👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻

  • @HappinessMgonja-dt3wg
    @HappinessMgonja-dt3wg 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwee Mtumishi wa Bwana Alpha nakuelewa mno,napata kitu kipya kabisaa

  • @jestinakalage1442
    @jestinakalage1442 4 หลายเดือนก่อน +4

    MUNGU wa MBINGUNI akubariki sana:: Unaongea kitu kikubwa na kizito mno:: Mwenye sikio la asikie kwa maana BWANA YESU KRISTO analiambia KANISA::

  • @JaneChissawilo-dr7nn
    @JaneChissawilo-dr7nn 4 หลายเดือนก่อน

    Ninakuelewa sana mtumishi! Ubarikiwe sana!

  • @nancyshikuku-vs9le
    @nancyshikuku-vs9le 4 หลายเดือนก่อน

    Ameeen Ameeen MUNGU akubariki sana mtumishi Alfa nmekuelewa.

  • @EvelinaMsigwa
    @EvelinaMsigwa 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu muumba mbingu na nchi akubariki

  • @GodfreyMayala-y5f
    @GodfreyMayala-y5f 4 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @innocentkituma2714
    @innocentkituma2714 4 หลายเดือนก่อน

    Haleluya haleluya Haleluya

  • @ELIZABETHMTAITA-nr4vp
    @ELIZABETHMTAITA-nr4vp 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu aliyehai akutie nguvu mtumishi wake

  • @anthonysambali7274
    @anthonysambali7274 4 หลายเดือนก่อน

    Nakuelewa sana Mtumishi wa Mungu

  • @OthnielKashaija
    @OthnielKashaija 4 หลายเดือนก่อน

    Sema

  • @EilaAssa
    @EilaAssa 4 หลายเดือนก่อน

    Ulicho funulia na mimi piya nimefunuliwa ayoayo asante

  • @joycenyalembe7718
    @joycenyalembe7718 4 หลายเดือนก่อน

    Umesema kweli mtumishi, watu wengi tunaokoka ili kuepa uovu. Ila swala la kumiliki hatulifikilii ndio maana hata majukwaa makubwa yanamilikiwa na watawala wasiomini.

  • @gloryfidelis102
    @gloryfidelis102 4 หลายเดือนก่อน

    Yesu tusaidie kuelewa haya Mtumishi wako ameyanena,ni kweli Bwana Yesu maneno haya ni amina na kweli.Chukizo la uharibifu liondolewe mioyoni,limekamata nafsi Kristo usituchoke endelea kutusaidia

  • @veronicakiganga4547
    @veronicakiganga4547 4 หลายเดือนก่อน

    Naam. Haya ndio mafundisho yenyewe hasa ambayo tunapaswa kuyafundisha ili tuwapate watu watakaoamini na kisha tutawale pamoja na Kristo hapa hapa duniani.

  • @AgnessMloka
    @AgnessMloka 4 หลายเดือนก่อน

    Nikajuwa nyakati bado kumbe ndizo hizi,,,dhiki kuu na Chapa ya mnyama,,,,😭mifumo ya dunia yotee NI ushetani , elimu na sheria zikiwa ndiyo namba moja

  • @EilaAssa
    @EilaAssa 4 หลายเดือนก่อน

    Nikweli ulisho Sema mtumishi lazima tuokowe Dunia dawa nimoja tu nikushukuwa utawala uwe katika mikono ya watu wa mungu

  • @Juliusmganga4734
    @Juliusmganga4734 4 หลายเดือนก่อน

    Shalom Mtumishi wa Mungu. Sasa mtu akitaka kuishi nje wa mfumo wa Joka anatakiwa afanyeje, au awe mtu wa tabia gani.mbali ta kuokoka ?

    • @tengwatv
      @tengwatv  4 หลายเดือนก่อน +3

      Mtumishi wa Mungu umeuliza swali la msingi sana!
      Mungu anamwambia Karebu, Hesabu 14:24 "kwa kuwa Karebu alikuwa na Roho nyingine ndani yake, naye ameniandama kwa moyo wake wote; Yeye nitamleta katika nchi hii..
      Mungu akisha kuwaokoa watu kutoka Misri, aliwaangamiza tena jangwani wale wasioamini.
      Hii inamaana kwamba; watu wengi wameokoka kwa nje, yaani kujiunga na madhehebu; lakini si kujikana nafsi zao na kumwandama BWANA kwa mioyo yao yote...

    • @JosiaMarwa
      @JosiaMarwa 4 หลายเดือนก่อน +3

      Namshukuru sana mtumishi wa MUNGU kwa majibu aliyokujibu hapo juu.
      Kwa hali ilivyo sasa na namna MIFUMO ya joka ilivyoenea kila mahali ulimwenguni kote ni HUDUMA YA UAMSHO NA MATENGENEZO YA KIROHO pekee ndiyo yenye dhamana ya kubomoa hiyo MIFUMO ya joka,ndiyo maana haya mambo yanafunuliwa.

    • @EvelinQueen
      @EvelinQueen 4 หลายเดือนก่อน

      Sasa tufanyeje binafsi napenda hii injili imenifungua akili sana sas nifanyej niache kusali kwenye madhehebu eeh Mungu nisadie maana tumepoteza mwelekeo😢

  • @veronicakiganga4547
    @veronicakiganga4547 4 หลายเดือนก่อน

    Injili kama aliyohubiri Dr.Myles Munroe. Huyu walimuua maana walihofia utawala wao unaenda kupinduliwa. Kwa hio hii onjili ina vita kali mno. Maana shetani mwenyewe ndio mnapambana nae. Jemedari wetu wa vita halali wala hasinzii, safari hii tunauteka na kumiliki nchi hii na kuitawala Kristo akiwa ndio Mfalme wetu wa amani. Tuko paok tujipe moyo hakika tutashinda si muda mrefu tangu sasa.

  • @InjiliyaUfalmetv
    @InjiliyaUfalmetv 4 หลายเดือนก่อน

    Yaan naogopa niliota joka linavichwa vingi yaani nguo niliokuwa nimevaa eti rangi ikawa inafanana na lile joka We Mungu nisaidie

    • @tengwatv
      @tengwatv  4 หลายเดือนก่อน +4

      Maana ya hilo joka ni mfumo wa mpinga Kristo na yule joka wa zamani na Mnyama na Ibirisi..
      Sasa huu mfumo wa Joka unafanya kazi ya kuwatalawa watu katika namna ya ibada au kuabudu.
      Kwa hiyo hizo rangi za joka kufanana na nguo ulizokuwa umevaa, ni kwamba vazi lako, yaani mwenendo wako wa kuabudu umehaririwa na joka.
      Sasa nini ufanye? Njoo inbox nipigie kwa namba +255(752 001 840

    • @InjiliyaUfalmetv
      @InjiliyaUfalmetv 4 หลายเดือนก่อน

      @@tengwatv Sasa Mtumishi nisaidie Kitu kimoja Kwa vile nikivyoona silazima niingie kujitoa Huko au unanusaidiaje Huu ujumbe unapiga kelele mno masikioni kwangu Niko Hapa namwambia Mungu skusaidie kutoka kwenye hii mifumo

    • @Werema3760
      @Werema3760 4 หลายเดือนก่อน

      In box ya nn siuseme mtumishi na wengine tujue nn cha kufanya? Maana ni wengi. Au NI SIRI? Maana kuna manabii hutumia mtindo huu kuwapiga watu!😭.kama ni ukombozi kwa njia ya damu ya YESU ni BURE, ushauri ni BURE pia.​@@tengwatv