Heri wanaoelewa huu ujumbe,siku nilipokutana na MFALME TENGWA pale Suma JKT sikurudi kanisani tena.Ee YESU nakuomba uwalinde watumishi hawa ili waendelee kutufunulia siri za mbinguni.Amina
Si kweli, MUNGU ANA WATU WENGI, MWILI WA KRISTO DUNIANI NI MKUBWA NA VIUNGO VYA KRISTO NI VINGI,SIYO WEWE NA TENGWA TU,MSIJIDANGANYE KRISTO ANA WATAKATIFU WENGI
Mnaona kwa macho ya nje kwamba kristo ana watu wengi! Wapo ndio wanaohubiri tubuni lakini omba kujua mioyo yao ni wauaji, waasherati, wazinzi. Kwa hivyo ni wakati wako kusimama kama wewe uchunguze moyo wako na kuomba Mungu akafungue macho ya rohoni
Kwani Mtumshi ,Mungu Katika Israel Alipo muinua Gideon kama muamuzi wakati huo unataka wewe kusema kwamba ,unaweza kumuelekeza majira yanapo anzia na yanapo ishia pia Hata ikatokea Mungu akakuonyesha mtumish wa kweli ambaye moyo WAKO unataka utayatenda Sawa sawa Mtu wa Mungu.
Mungu anawatu wengi mno Mimi mwenyewe nimechaguliwa Na kumbe napewa niwaambie watu watubu Maana Ufalme wa Mungu umekaribia ,Mkisema hivyo mnampangia Mungu kaxi? Acheni kujiinua Sana Nasema hivi Mungu anawatu wengi Sana na wanahubiri injili yakweli kabisa ,Wengine walioitwa na Mungu inamaana mnawaweka kwenye fungu gani? Naomba kujibiwa
Ukijua moyo wa mtu basi huwezi sema ni wengi. Sema wewe upo maana sasa katika makanisa mengi ulimwenguni wachungaji wengi ni nyoka madhabauni na watu hawajui.
Kweli KBS Mtumishi watu wA MUNGU tupo wengi Sana,Ila watu Hawa n'a akina mbalikiwa wanachemka kupita kiasi wampokea Roho bila mafundisho sahihi walipaswa kwanza kutulia,hâta Eliya aliwaambia MUNGU manabii wote wamekufa akasema Bado nimejisazia Manabii Bado hawajamuabudu baali,Duniani Kuna watu wA MUNGU wengi Sana,mengine asemayo hayakutoka Kwa MUNGU mara eti MUNGU anasema mambo yote ni ushenzi kweli,
Nakuelewa mtumishi
Mfalme Tengwa ni mtumishi wa kweli wa MUNGU,nabii Alfa HAKIKA umeitwa na Bwana YESU, sijawahi kuwa na mashaka nanyi. MUNGU awatunze.
Halelluya wafalme wa BWANA
Halelluya mashujaa wa BWANA mliyo teuliwa kwa nyakati hizi msimame na injili ya kweli halelluya wafalme nami ni mfalme pamoja nanyi halelluya
Heri wanaoelewa huu ujumbe,siku nilipokutana na MFALME TENGWA pale Suma JKT sikurudi kanisani tena.Ee YESU nakuomba uwalinde watumishi hawa ili waendelee kutufunulia siri za mbinguni.Amina
Hata mimi sijawahi kurudi
Hallelujah
Aliyezaliwa na wito ndani yake hawezi potea... hata ukaenda wapi Mungu ako pamoja nawe.
Piga kazi ya Bwana mtumishi
Si kweli, MUNGU ANA WATU WENGI, MWILI WA KRISTO DUNIANI NI MKUBWA NA VIUNGO VYA KRISTO NI VINGI,SIYO WEWE NA TENGWA TU,MSIJIDANGANYE KRISTO ANA WATAKATIFU WENGI
Mnaona kwa macho ya nje kwamba kristo ana watu wengi! Wapo ndio wanaohubiri tubuni lakini omba kujua mioyo yao ni wauaji, waasherati, wazinzi. Kwa hivyo ni wakati wako kusimama kama wewe uchunguze moyo wako na kuomba Mungu akafungue macho ya rohoni
Kwani Mtumshi ,Mungu Katika Israel Alipo muinua Gideon kama muamuzi wakati huo unataka wewe kusema kwamba ,unaweza kumuelekeza majira yanapo anzia na yanapo ishia pia Hata ikatokea Mungu akakuonyesha mtumish wa kweli ambaye moyo WAKO unataka utayatenda Sawa sawa Mtu wa Mungu.
Pole mungu akusamehe sana huo ni ufinyu wa kiroho kisimani na kiufaham
Hata Hawa watumishi waitwa Kwa vipawa vyao usiwapinge
Shida nyie au wewe unachemka sana
Mungu anawatu wengi mno Mimi mwenyewe nimechaguliwa Na kumbe napewa niwaambie watu watubu Maana Ufalme wa Mungu umekaribia ,Mkisema hivyo mnampangia Mungu kaxi? Acheni kujiinua Sana Nasema hivi Mungu anawatu wengi Sana na wanahubiri injili yakweli kabisa ,Wengine walioitwa na Mungu inamaana mnawaweka kwenye fungu gani? Naomba kujibiwa
Ukijua moyo wa mtu basi huwezi sema ni wengi. Sema wewe upo maana sasa katika makanisa mengi ulimwenguni wachungaji wengi ni nyoka madhabauni na watu hawajui.
Halelluya