Mambo ni moto mambo ni fire kuna cku mtakuja sema ya kweli na mtaacha kuabudu Mungu Baba Mungu mwana na Roho mtakatifu mtajua tuu haya ya krismas mbona madogo.
Hatabudu kwa mashaka kaka MUBAI ukiristu sio Dini Ni imani ukeistu Sio Dini Ni imani na kama ukifuatilia Ni kwamba mpinga Kristy yaani waabudu jua ameficha maovu yake ndani ya xmass ili Tukumbuke kwamba devil worshipers wanamjua Mungu wa kweli na ndio maana wakaamua kufanya hayo ili kuwahadaa watu .mti wenye matunda ndii huwa kinapigwa mawe. Kwa nini hawa devil worshipers wakaxhagua kuuhadaa ulimwengu Katika siku ya kuzaliwa Yesu na Ai ya kuzaliwa mtume Muhammad???? Get my point Jibu baki nalo mwenyewe .siku zote mti wenye matunda ndio hupigwa mawe . siku njema
Hv ww unajua English? Neno chrismas lina two meanings kwanza Chris ni short form ya Christ pia mas ni short form ya mass meaning Ibada ya kristo kusherehekea kuzaliwa kwake hata kwenye Bible inasema kuhusu kuzaliwa kwake acha kuwa Sadducee unataka tukusherehekee wewe mh!! Over mah dead body!! Afu bro don't forget to repent ur sins...
Mti wa matunda ndii hupigwa mawe krismas haipo kwenye Bible watu tu waliamua kuihadaa jamii ambayo inamfuata Emmanuel Mungu pamoja nasi yaani Yesu kristo Mungu aliye hai atakaye hukumu dunia law haki na kila goti litapigwa
Mambo ya kusherekea xsmas haija anza Leo mababu na mababu wao wote walisherekea kwakeli ninani alizaliwa kisha akajua siku yakuzaliea kwake bila mmke mzazi kumwuelexa kwa ufupi mwenye uwezo amulize mmke yesu ampe tarehe kamili
Skuzote ISLAMIC ONLY 1 iko na ukweli na ni dini ya sisi tulizisoma vzuri leo kuwafufunulia ..nawaskitikia sana walioko hai na walio kufia ukafirini......fateni dini yenye haki na muongozo n hii al Islamic
@@kambaleismail6874 kabsa ila wanapoteza mda na wakati islamic hakuna kitu mewachwa awu kusahauliwa kilakitu ndani ya Islamic na kitabu kitukuff al Qur ann karim
KAKA MIMI NAPENDA SANA HIZO STORY NA HADIDHI HIZO KWA SABABU NAJIFUNZA NA KUYAFAHAMU MAMBO MENGI SANA....NAZICHUKULIA KWAMBA NI SEHEMU YA DARASA FLANI AU ELIMU FLANI ...KWAHIYO USIACHE..!!
Waliwadanganya wapi umejidanganya mwenyewe kwa kuto kumheshimu Mungu wazungu walipoteza maisha walizaraulika waliuawa dunia iliwachukia ili.leo injili ihubiriwe mnaanza kuongea pumba kabisa kama umejenga kanisa na unahubiri watu funga weka duka maana yesu alianza kwa kuzaliwa kufa kufufuka na kupaa na tunajua atarudi.kama.unaona kukumbuka kuzaliwa kwa yesu ni kosa fungeni kanisa zingine mnataka kutusimika zifungeni bwana alaaaaaaa
Nikweli huyo Mtoto alizaliwa siku iyo ila so kwa nguvu za Mungu Jua, ilikuwa kabla ya Mfalme kufa Malkia alifanya Mapenzi na Moja ya Askari walinzi wake na huyo askari akampa mimba kabla mimba kuonekana Mfalme akafa ndip huyo Queen akapata mtoto ikabidi adanganye kwamba alipata Mimba toka kwa Mfalme Nimrod alikuja kupitia njia iyo ya mionzi. Lakini pia huyo mtoto inasadikika alikaa mda mfupi sana upatao wiki kitu ambacho sio sawa maana kama ni kweli ilitakiwa basi Pasaka ilipaswa iwe wiki moja baada ya Christmas kwa hiyo hii bado haina ulweli sana ivyo Tamus alikufa wakati bado mtoto mchanga kabisa SAFARI YA KUJUA UKWELI imefichwa sana sana
Yesu ni shetani ,imani ukristo ni upagani .imani ni ya wayahudi iliokataliwa na waroma .wokovu Wa kwawayahudi YASHUAH Messiah ndie wakweli Johanna 4:23-25
Unamkumbuka askofu kilaini, aliwahi kuulizwa na tbc, nikweli yesu alizaliwa tarehe 25 mwezi wa 12 ? Askofu akajibu yesu hajazaliwa tarehe 25 ila tushereekeee tu kwa sababu ya mazoea tuu
Hiv wewe tricod uko upande upi Biblia imesema wazi kwamba kutakuwa na manabii wa uwongo na hata nafsi moja unayoipotosha hukumu juu yako na waliopotea wamepotea toka tumboni wma mama zao
Nikweli unayo sema siwezi kukupinga but mm niwaombe wakristo wote tupende kusoma neno pia imani nikitu kipana sana usiukumu anacho kiamini mtu kwani hakuna dini bora hapachiniyajua sisi site niwakosefu ndomana tunaitaji toba kilasiku amina!!!
Inalillay wainailaii rajughuuuna! Dha huyo anaeuliza eti haya maneno yapo kwe bibilia,kwani ajaskia kwamba papa fras kwamba anaifuta bibilia ni yakizamani? Ahahahahaaaa bibilia yazamani yani mungu wazamani dah! Aise poleni sana nduguzangu mmeshadanganywa leo hata mkitoa povu itawasaidia nini tubuni tu namje kwenye uwislam ndo njia ambayo siratwa limustakima isha,allah,aisee!!!
Hakuna yesu yeyote aliezaliwa... Ila Tamuz ni mtoto aliezaliwa ukiwa mamake Alizaa na mwanae. Kule misri. Krismas ni safari ya jua(son/sun) tarehe 23decemba jua hupotea kabisa chini na kuinuka juu siku ya tatu...ambapo ni tarehe 25 December ndipo wakristu kadanywa eti yesu kazaliwa tarehe 25 December . Muumba anaitwa yahua na mwanae anaitwa yahusha...inijili ilibadilshwa na Constatine of Rome akipigania umaarufu...alafu wakati malkia wa England alipoanzisha kanisa Nao Catholic wakongwe wakaanzisha ishmael, Islam kwa kumleta Mohamed na Fatima ... Umaarufu wake ukiwa hasa Middle East ambapo walikua washachukia ukristu.... Nina... Mengi kuhusu urongo tuliopewa....y
Baraka Jacobs ...haya ni mambo mengi ambapo Kama hauna habari lolote itakua ngumu kuasiliana nawe...lakini nitakujibu kwa ufupi...baadaye nenda ufanye utafiti... Kwanza hakuna kitu Kama Yesu ...mwana wa Mungu hakuitwa Yesu...soma hebrew history. Mwana wa Muumba wetu yuko lakini haitwi Yesu(Jesus) Mwana wa Muumba wetu ndiyo alizaliwa lakini siyo tarehe 25.decemba.soma winter solstice wa huu tarehe. .wale wachungaji walileta zawadi kwa mtoto "Yesu "...wakifata nyota from East...soma constellation of Eastern stars.... Wa huu tarehe. Yale mafunzo ya Muumba wetu kwenye bibilia ... Kuna mafunzo yake hayakuchapishwa kwenye bibilia...
Ukeli upo n mwaujua. ..Uislam hauna longo longo. ..wala hamn historya ya kishenzi...mara o kondoo''marajoka''mbuzi ''mbwa''mara jua barid''joto bado paka n mende nao washirikishe katika hako ili orodha ya mmiungu ikamilike...sijui nani mungu wa kweli kati y mungu baba,,mama, ,mwana,,n roho mkata magongo n kuchoma Che ndo mifugo
Nami nasema ni kwa sababu ya kuwa na akili kidogo mnadanganywa na watu wanaojiita wakristo wanaovalia ngozi ya mwana-kondoo lakini ndani yao in mbwa-mwitu
Hii ni kumaanisha Imani feki ya "mwana wa Mungu" kumbe ilitoka mbali sana zama na zama Kisha with time ikawapelekea Wakristo kumfanya nabii Isa (Yesu) kumfanya mwana wa Mungu na Baadaye Yesu huyo huyo wakaitakidi kuwa Mungu mwenyewe, eeh hii ni sarakasi ya hali ya juu sana, ama vipi?
shalom umetoa maelezo mengi mazuri sisi wakristo tunjua ya kwamba jamii yetu leo inadanganywa na waislam na wengi wasiopenda mafundisho ya kiblia na hayo yanafanywa kwa umakini mkubwa ili ionekane kana kwamba wakristo wamepotoka ktk baadhi ya mafundisho ninachoweza kusema ni kua ukitaka kuoanisha mambo leo ya majra kwa kufananishia na miaka 2000 iliyopita niwaz huwezi kupata ukweli wa kimajira na ukitaka kufutilia habari za yesu katika kuran utapotoka kwani isa wa kurani sio yesu wa biblia ukitaka kujuaa waulize hao mashehe wanaokufundisha isa alizaliwa wap isa alizaliwa chini ya mtende yesu kazaliwa ktk hori la ng-ombe isa hakukaa miez 9 tisa tumboni yesu slikaa miez tisa isa alizungumza siku hiyohiyo aliyo zaliwa yesu hakua hivyo kama unajua kusoma kuran surt mariam utaona isa wa ktk kuran ni tofauti na yesu wa biblia na hayo yaliandikwa na waanzilishi wa uislam kwa makusudi ili ionekane wao wana ukweli lakini ukisoma habari za ibrahim daud musa isaka yakobo na wengine wote katika na biblia wametofautiana nasabazao ksbisa kuran inaeleza vingine biblia vingine ndio maana waislam wanasema yes hakufa napia wanasema ishmael ndii mtoto aliyetaka kuchinjwa na nabii ibrahim huo ni upotoshaj mkubwa kwani tunaona kwamba sara ndo mke halsli wa ibrahim na hajir mama yske ishmael alikua mfanya kazi wa ndani na ukisoma biblia mungu alimkataa ishmel asiwe mriithi wa ibrahim yako mengi yaliyopotoshwa kimaksudi na watu wengi kwa lengo la kuifanya biblia na mafundisho yake yana mapunguf na wakridto wachache kwa iviv wa kutosoma biblia na kutokuysshika mafundisho yake na kudakia tu vitu vya wengine bila kuuliza kwa kina wakufunzi wa biblia na mafundisho ya biblia mnakimbilia ktk mitandao na kuandika upotof upande wa krismas kuwa mwez wa 12 ni waz kwama watu walikubaliana kusheherekea kwa kuacha kusheherekea sikuu za kipagni na kuamua majira hayo kuyatumia kushehrekea kuzaliwa kwa Bwana wetu yesu kristo kwa hiyo haijalishi ni tarehe hiyo au ilikua inasheherekewa nini jawabu ni kwamba ili sikukuu hizo sasa,hazipo kyk majira hayo inasheherekewa birthday ya mtoto yesu huo ni ushindi mkuu sana kwetu na cha muhimu ni kwamba siku moja Bwana wetu Yesu kristo amezaliwa na kwa mwaka tunakumbuka siku hiyo inatosha kama wewe ni mkist mpe yesu maisha yako na hata kama sio mkiristo yesu ni halisi siku moja alizaliwa na siku moja atarudi kuwachukua walio muamini jiunge sasa barikiwa
KAMA ULIFANYA HIVI kwenye CHRISTMAS HII Hauko salama MOTO WA KUZIMU utakua juu yako! th-cam.com/video/jqv6l9LPK-s/w-d-xo.html
Tricod Media asante sana on kweli umenifulahisha nikweli kabisa Niko murundi na Niko burndi asante
Saluti kwako uko vzuri. Namshukuru mungu kwa kukupa ujasiri kazi uliyoifanya sio kazi ndogo, Asante.
Asante sana kwa kunipa nguvu
Karibuni kwa MUNGU BABA..Mimi nilikuwa mmoja wapo nikijiita mkristo. Kumbe Bwana Yesu alikuwa amenikabizi kwa MUNGU BABA nafsi ya Kwanza Yohana 17..
Kuwa mkristo sio sida wale wanaosherehekea tarehe 25'dec dio wanaojidanganya sana kwa kukosa akili
Duu !!! poleni Sana wenye imani ya kristo.kama hamjaelewa hapa Basi. Hamtoelewa tena
Na'am yesu hakuzaliwa 25 Disable
Kweli kabisa
Niukumbusho bt hakuzaliwa 25 dec watu hamuelewi
Uko sawa kabisa
Asante sana
Mathias Tarimo yaliyo funguliwa Duniani yame funguliwa nambinguni.yaliyo fungwa Duniani yamefungwa Mbinguni ajizaniae amesimama ajihazali.asije akaanguka,
ajizanie amesimama.ajihazali asje.akaanguka,
Mambo ni moto mambo ni fire kuna cku mtakuja sema ya kweli na mtaacha kuabudu Mungu Baba Mungu mwana na Roho mtakatifu mtajua tuu haya ya krismas mbona madogo.
Kweli ktk dn yetu ya kiislam Allah kasema itafka kipind ukweli utajulikana na dunia mzma itakua islam
Ndio sisi wakristo wakwel hatuna hayo masherehe maana tunajua chanzo chake , hatuna hayo sisi wasabato, but uislamu ndo umepotea kabisaaa
@@mwizarubideo7721 sasa wewe unatumia kitabu gani? hapo hupaepuki
Vp waislamu mko tayari tuandike history ya Muhammad au mtaanza vita kwa sababu wakirsto ni waelewa
@@Creative1studios1mtumwa wa fikra wa warabu😢
Naomba ufichue siri nyingi sana🙏🙏🙏🙏🙏
Kweli kabisa
Mkuu umepiga kunako kause nimefuatilia pia hiyo habari ya MFALME Nimrod wa zamani na satin Ni ukweli mtupu ..wasiijua wache wasijue
Umeifatilia wap??
Kweli kabisa
Kwanin muendelee kuabudu kwa mashaka dn inabadlka badlka njoen ktk uislam dn iliyotoka kwa Allah sio ya kubadlkabadlka
Hatabudu kwa mashaka kaka MUBAI ukiristu sio Dini Ni imani ukeistu Sio Dini Ni imani na kama ukifuatilia Ni kwamba mpinga Kristy yaani waabudu jua ameficha maovu yake ndani ya xmass ili Tukumbuke kwamba devil worshipers wanamjua Mungu wa kweli na ndio maana wakaamua kufanya hayo ili kuwahadaa watu .mti wenye matunda ndii huwa kinapigwa mawe. Kwa nini hawa devil worshipers wakaxhagua kuuhadaa ulimwengu Katika siku ya kuzaliwa Yesu na Ai ya kuzaliwa mtume Muhammad???? Get my point Jibu baki nalo mwenyewe .siku zote mti wenye matunda ndio hupigwa mawe . siku njema
joseph Masunga kwenye biblia nitapata wapi hiyo habari
Uko vizuri sana
Asante kaka Nakuelewa Aise. Ubarikiwe sanaaaaaaaa😘.
Tuambie kuhusu bakwata na sun bana
Aminaaaaa 😘😘😘😘
Wala auitaji utumie akili nyingi toka umeanza kusoma bibilia umesha kutana na hilo neno krismas kama hakuna uliwahi kuji uliza kalileta nani
Hahahaha
exactly
Hv ww unajua English? Neno chrismas lina two meanings kwanza Chris ni short form ya Christ pia mas ni short form ya mass meaning Ibada ya kristo kusherehekea kuzaliwa kwake hata kwenye Bible inasema kuhusu kuzaliwa kwake acha kuwa Sadducee unataka tukusherehekee wewe mh!! Over mah dead body!! Afu bro don't forget to repent ur sins...
@@estherkim4535 soma n ufaham jitahd kusoma vzr bble il upate kuelew vzr usitupe maan zako zszojulkna zmetoka wap
@@estherkim4535 mm niliuza pastor akasema ni siku iliekwa ili kukumbuka kuzaliwa kwake christo bt hakuzaliwa 25 dec
Mungu anakuona nakuombea Roho mt akufumbue macho useme kweli yake maan hujui
Lete maandiko ili umpinge km huna maandiko wewe ndio uko ktk upotevu
Heii mungu tuhurumie hatujui tutafuata nani, ka dunia inawexa simama nshuke
Tatizo ni kuwfuata mayahudi, mayahudi wamemkataa nabii wa mwisho, na nyie munafuata tu, huo ni mtihani, soma qur' an utakuta ukweli
Tatizo ni kuwfuata mayahudi, mayahudi wamemkataa nabii wa mwisho, na nyie munafuata tu, huo ni mtihani, soma qur' an utakuta ukweli
Asante kwa kutufumbua macho
Wah sishelekei tena
Proud to be Seventh day adventist...NOTHING IS NOT REALLY...EVERYTHING IS ON BIBLE...for more information text me
urembo na afya kuwa msabato siy shida, kitu cha mhim ni kuishi maisha matakatifu ndo kitu Mungu anataka
SDA THERE IS A LOT OF DECEPTIONS TOO
Kaka wape vidong vyawo uislam ndio dini ya hakiiiiii haina shaka kaka hongela sana
Mti wa matunda ndii hupigwa mawe krismas haipo kwenye Bible watu tu waliamua kuihadaa jamii ambayo inamfuata Emmanuel Mungu pamoja nasi yaani Yesu kristo Mungu aliye hai atakaye hukumu dunia law haki na kila goti litapigwa
Proud to be seventh day adventist
Yaani tunasheherekea ushenzi huu kweli? Mungu atuongoze. Chrismas Byebye....
Mambo ya kusherekea xsmas haija anza Leo mababu na mababu wao wote walisherekea kwakeli ninani alizaliwa kisha akajua siku yakuzaliea kwake bila mmke mzazi kumwuelexa kwa ufupi mwenye uwezo amulize mmke yesu ampe tarehe kamili
@@felicianmapunda2328 tarehe gani?????
unafanya kazi nzuri,kuelimisha watu,watakuelewatuu
By completed
Skuzote ISLAMIC ONLY 1 iko na ukweli na ni dini ya sisi tulizisoma vzuri leo kuwafufunulia
..nawaskitikia sana walioko hai na walio kufia ukafirini......fateni dini yenye haki na muongozo n hii al Islamic
All religion fall under rome empire
Ndio maana tuna waambia Watu wawe wa islam
@@kambaleismail6874 kabsa ila wanapoteza mda na wakati islamic hakuna kitu mewachwa awu kusahauliwa kilakitu ndani ya Islamic na kitabu kitukuff al Qur ann karim
Acha maneno mengi,, na wewe fuatilia Allah kilikuwa ni kitu gani..utaacha maneno mengi
Hata mseme vipi mie ni wa yesu ropokweni tuu
ukristo ndy dini ya kweli 👏
Lete andiko
Ok
Nakupata bro
God bless you so much my brother,maana I watched in English it was about secret of this Christmas ,I feel bad
Hahahaha
Kaka nimekukubali ila ninatamani kujua YESU alizaliwa tarehe Gani? Ninatamani kujua
Je! Hii kalenda ya jan, feb, hadi dec ilitengenezwa na nani?
Daaaaaa asantekk kutufunguamacho
huyu kaka ameweka hii video ili wale wanaotaka kukana dini wakane msio na imani mtakonda sana kwa kila mnacho kisikia poleni sana ndugu zangu
Hahahahaha mbona unaogopa kwani kuabudu wapagani kuna ubaya gani hasa kama umeamua kujifanya haujui
Huamini Nini sasa wew
uko vizur
Asante sana
haile selassie Jah wangu sisi twamusifu yahuva yahu rastafari i
Biblia inasema vizuri kusikia mtasikia na kuona mtaona lakini hamtaelewa
Unasema ukweli wala hauja kosea ,Mungu aweze kutusamehee sana
Kweli kak uislam ndy dini y kwel
Mimi sijui eeee MUNGU naomba nifundishe kuujua ukweli, sielewi hii dunia, mambo ya dunia yanatisha sasa
C stands for 3 Ostands for 15, R stands for 18 O stands for 15 again N stands for14 and A stands for 1 and you add all you get 666
nikwer ata mimi ninaamini kabisaaaa
Mpinga kristo
Mmmmh dunia simama nishuke
Hahahahaha
kwa hiyo ina maana wanaoabudu siku ya jumapili mbali na wakatoliki wanamwabudu mungu jua.
Uyo ukweli
KAKA MIMI NAPENDA SANA HIZO STORY NA HADIDHI HIZO KWA SABABU NAJIFUNZA NA KUYAFAHAMU MAMBO MENGI SANA....NAZICHUKULIA KWAMBA NI SEHEMU YA DARASA FLANI AU ELIMU FLANI ...KWAHIYO USIACHE..!!
Asante sana kwa kunitia moyo
Mr genears genears m
guda bro
Waliwadanganya wapi umejidanganya mwenyewe kwa kuto kumheshimu Mungu wazungu walipoteza maisha walizaraulika waliuawa dunia iliwachukia ili.leo injili ihubiriwe mnaanza kuongea pumba kabisa kama umejenga kanisa na unahubiri watu funga weka duka maana yesu alianza kwa kuzaliwa kufa kufufuka na kupaa na tunajua atarudi.kama.unaona kukumbuka kuzaliwa kwa yesu ni kosa fungeni kanisa zingine mnataka kutusimika zifungeni bwana alaaaaaaa
Safi maana umefundisha kile ambacho watu wengi walikuwa hawajui
Asante sana
Kwa kweli hata mi niliamini yesu kazaliwa siku hyo Kumbe sio kweli hata hakuna sehemu biblia imeandika hvo
Gud san kaka tupe stori mwanzo wa dini ya kiislam
Kwa hiyo hapo kabla hajazaliwa huyo mtoto jua lilikuwa haliwaki
mnaogea nn nyinyi mungu ni mungu tu wesilamu pray God sio mtume hamend
Nikweli huyo Mtoto alizaliwa siku iyo ila so kwa nguvu za Mungu Jua, ilikuwa kabla ya Mfalme kufa Malkia alifanya Mapenzi na Moja ya Askari walinzi wake na huyo askari akampa mimba kabla mimba kuonekana Mfalme akafa ndip huyo Queen akapata mtoto ikabidi adanganye kwamba alipata Mimba toka kwa Mfalme Nimrod alikuja kupitia njia iyo ya mionzi.
Lakini pia huyo mtoto inasadikika alikaa mda mfupi sana upatao wiki kitu ambacho sio sawa maana kama ni kweli ilitakiwa basi Pasaka ilipaswa iwe wiki moja baada ya Christmas kwa hiyo hii bado haina ulweli sana ivyo Tamus alikufa wakati bado mtoto mchanga kabisa SAFARI YA KUJUA UKWELI imefichwa sana sana
Yaaah nikweli
Hayo ndio mnayajua leo kuwa warumi kuwa hawana dini cha ajabu eti kanisa litapokelewa na yesu wakati mungu hakumtuma hata mjumbe wake mzungu
Mimi nashikilia nilichonacho ninachokiomba kikanijibu sitaenda kushoto wala julia NIKO AMBAE NIKO NDIE NINAHIKILIA
karibu tutunze sabato ili tusije tukalaniwa kwa kuivunja na kuibadili amri ya MUNGU
MPUMBAVU WEEEE SHETANI WA KUZIMU MTAHANGAIKA SAAAANA KAFIE MSIKITINI HOKOOOO FAAALAAAA WEEEE ZUNGUMZIA EID NA MAULIDI LUSFER MBWEHA WEEE. YESU NI BWANAAAAAAAAA
Ukitaja jina la Yesu ni sawa umemtaja Tamusi mungu jua but mtoto wa Mariamu anaitwa Masihi Issa mwana wa mariam
Maganga Njilo acha uongo
Acha kufuru ndugu, unaogopa nini kuisema kweli? Nimrod alibeba nafsi ya Mungu Baba??? Huyo nimrodi unamjua wewe? Umeongea vzr ukaharibu mwishoni. Eti walikuwa wanamuabudu Mungu. Wewe mwenyewe unataja hapo majina ya miungu. Halafu unasema walikuwa hawamuabudu shetani. USIWE MUOGA. ISEME KWELI.
Mungu wangu🙄.
Hahahahaha
Tutasherehekea Christmas kwaajili ya mkombozi wa ulimwengu kama wao walisherekea ushetani wao watajua
niulize haya maelezo yako yapo kwenye Bibilia?
Nitumie kitabu cha biblia kinaoangasia kuzaliwa kwa Jesu kulikuwa tarehe 25'dec
Huja hishi kwenye iyo baridi ndo mana una hendelea kudanganya watu. Hujuwi lolote kuhusu baridi ya huku
Yesu ni shetani ,imani ukristo ni upagani .imani ni ya wayahudi iliokataliwa na waroma .wokovu Wa kwawayahudi YASHUAH Messiah ndie wakweli Johanna 4:23-25
Kwanini dada
Tafadhali usikose kusoma johana 3:16,upate kujua yesu in mwana wa mungu na usome 3:36 johana amwaminiye mwana yuna ucma wa milele
Mungu na akushushe kuzimu leo
hayo unayo yasema hayahusiano na noel
Hahahaha
Unamkumbuka askofu kilaini, aliwahi kuulizwa na tbc, nikweli yesu alizaliwa tarehe 25 mwezi wa 12 ? Askofu akajibu yesu hajazaliwa tarehe 25 ila tushereekeee tu kwa sababu ya mazoea tuu
Dini yahakinaukweli niuslam hakunaga mamboya uwongo kamahayo niukweli kwenye sulat marim namtende hule ulikua umekauka kabisa miujiza yamwenyezimungu kwamariam alipoambiwa aushike ukawambichi ukawanamatunda tenayaliyoiva njoenihuku kwenyeusilam mutaupenda wallah
nivile yenyu mtangazaji hachayafumbua lakini doooo!! ningekuwa na muda ningekuambia haunge rudi tena musikitini
Proud to be seventh day adventist
soma Luka 2:8 utapata dondoo Sahihi baadhi, Jamani fungukeni vichwa
Mmmmh kuna vingi vimejificha
Angalieni msije kudanganywa maana wapo watakaokuja kwa jina langu wakisema Mimi ndie, na wengne wakinikataa, mjue Sikh za mwisho zinakaribia!
Ni yesu wa aina tatu yesu wa movie yesu wakipagani na yesu wa mariam
😂😂😂😂😂
Una laana wewe na mungu akulaani kwakupotosha watu wewe ni shetani kabisa mwisho wako ni mbaya sana labda utubu na kurekebisha maneno yako
Ndio mana wasabato walitoka huko mapemaaa. Sachini humu youtube kuna moja inayosema 'papa afuta bibilia ' yaan sijui hata watu wanapelekwa wapi.
Braza keep it on..... Matumiz ya akili ni muhim kuliko kushikiwa kama Hao wanao ku abuse.....
Hiv wewe tricod uko upande upi Biblia imesema wazi kwamba kutakuwa na manabii wa uwongo na hata nafsi moja unayoipotosha hukumu juu yako na waliopotea wamepotea toka tumboni wma mama zao
Nikweli unayo sema siwezi kukupinga but mm niwaombe wakristo wote tupende kusoma neno pia imani nikitu kipana sana usiukumu anacho kiamini mtu kwani hakuna dini bora hapachiniyajua sisi site niwakosefu ndomana tunaitaji toba kilasiku amina!!!
Inalillay wainailaii rajughuuuna! Dha huyo anaeuliza eti haya maneno yapo kwe bibilia,kwani ajaskia kwamba papa fras kwamba anaifuta bibilia ni yakizamani? Ahahahahaaaa bibilia yazamani yani mungu wazamani dah! Aise poleni sana nduguzangu mmeshadanganywa leo hata mkitoa povu itawasaidia nini tubuni tu namje kwenye uwislam ndo njia ambayo siratwa limustakima isha,allah,aisee!!!
Hakuna yesu yeyote aliezaliwa... Ila Tamuz ni mtoto aliezaliwa ukiwa mamake Alizaa na mwanae. Kule misri. Krismas ni safari ya jua(son/sun) tarehe 23decemba jua hupotea kabisa chini na kuinuka juu siku ya tatu...ambapo ni tarehe 25 December ndipo wakristu kadanywa eti yesu kazaliwa tarehe 25 December . Muumba anaitwa yahua na mwanae anaitwa yahusha...inijili ilibadilshwa na Constatine of Rome akipigania umaarufu...alafu wakati malkia wa England alipoanzisha kanisa Nao Catholic wakongwe wakaanzisha ishmael, Islam kwa kumleta Mohamed na Fatima ... Umaarufu wake ukiwa hasa Middle East ambapo walikua washachukia ukristu.... Nina... Mengi kuhusu urongo tuliopewa....y
Nimejifunza kitu hapa
Pole
Nimekuelewa
Umesema eti Hakuna Yesu aliyezaliwa. Hivi una maana Biblia inadanganya kua Yesu alizaliwa????
Baraka Jacobs ...haya ni mambo mengi ambapo Kama hauna habari lolote itakua ngumu kuasiliana nawe...lakini nitakujibu kwa ufupi...baadaye nenda ufanye utafiti...
Kwanza hakuna kitu Kama Yesu ...mwana wa Mungu hakuitwa Yesu...soma hebrew history.
Mwana wa Muumba wetu yuko lakini haitwi Yesu(Jesus)
Mwana wa Muumba wetu ndiyo alizaliwa lakini siyo tarehe 25.decemba.soma winter solstice wa huu tarehe.
.wale wachungaji walileta zawadi kwa mtoto "Yesu "...wakifata nyota from East...soma constellation of Eastern stars.... Wa huu tarehe.
Yale mafunzo ya Muumba wetu kwenye bibilia ... Kuna mafunzo yake hayakuchapishwa kwenye bibilia...
Kwendaaaaaaaaaaa
Mta ujua ukweli nao uta waweka huluu.
Hahahahahaa kama nakuona vile
Nimekuelewa
tangu nianze kukufatilia aisee umenikosha usemayo nikweli ila mpaka utulie sana ndoo utaelewa
Asante sanaa
Nilikuwa naheshimu sana Christmas Ila kwa sasa nimeokoka
Duuh! bora uislam tu
Hahahahaha
Hatuabudu jiwe wala Muhammad wala Isa bali tunawafwata... wakuabudiwa n Mungu pekeee
Ukeli upo n mwaujua. ..Uislam hauna longo longo. ..wala hamn historya ya kishenzi...mara o kondoo''marajoka''mbuzi ''mbwa''mara jua barid''joto bado paka n mende nao washirikishe katika hako ili orodha ya mmiungu ikamilike...sijui nani mungu wa kweli kati y mungu baba,,mama, ,mwana,,n roho mkata magongo n kuchoma Che ndo mifugo
Acha kuongea usiyo ya jua, acha kuwa potesha watu, maelezo unashindwa kuprove
Akili mbovu wew
i wish you say this in english
Kwa kweli mm cjakuelewa toa utofauti wa kale na sasa
hujui maana yakale
Christmas , ni sherehe ya kipagani
Kwaio mlikubali na nyinyi kudanganywa hahahahhaaa
mbali na kudanganywa wakristo wana amini waliyo muua nabii jesus ni watu wenye uasili gani
Usizue mapya hahaha
me nataka nijue izo kafara ni za dizain gn?
Napenda sana kuskiliza hiki kipindi
Ni imani yako na MUNGU WAKO(I cannot do without ma Jesus Christ)
Kusoma hamjui basi hata picha hamuoni,????? Hii story ni sahihi na imezagaa dunia nzima tokeni kwenye ujinga
Kweli kabisa
Hivi Kaka, Kwann usiandike kitabu. Kuhusu Santa Claus nilisikia ana Kaka yake ambaye ni mbaya yaani Yupo pande ya kishetani
Wasiokuelewa ni wale waliopotoka ila kwa walioongoka wataami
Kweli kabisa
Hahahaha
Kabsaaa kka
U
@@TricodMedia
U
Nami nasema ni kwa sababu ya kuwa na akili kidogo mnadanganywa na watu wanaojiita wakristo wanaovalia ngozi ya mwana-kondoo lakini ndani yao in mbwa-mwitu
ASANTE
Duh....
Nikweli kaka
Asante pia
Nimekuelewa sana lakini sijui upo kwa mujibu wa kalenda gani?
*Nabii Issa* hakuzaliwa tarehe 25, someni QURU'AN nyie msioamini.
kwa sisi tunaojua atuwez bisha
Nani alikwambia alizaliwa Tarehe hiyo?sie tunajua kwa nini tumeamua tu kuiadhimisha
Mi na pita tuu jamani
Hii ni kumaanisha Imani feki ya "mwana wa Mungu" kumbe ilitoka mbali sana zama na zama Kisha with time ikawapelekea Wakristo kumfanya nabii Isa (Yesu) kumfanya mwana wa Mungu na Baadaye Yesu huyo huyo wakaitakidi kuwa Mungu mwenyewe, eeh hii ni sarakasi ya hali ya juu sana, ama vipi?
Luka 1:24-26
Ngoja nipitie hapa niangalie mstari unasemaje
shalom umetoa maelezo mengi mazuri sisi wakristo tunjua ya kwamba jamii yetu leo inadanganywa na waislam na wengi wasiopenda mafundisho ya kiblia na hayo yanafanywa kwa umakini mkubwa ili ionekane kana kwamba wakristo wamepotoka ktk baadhi ya mafundisho ninachoweza kusema ni kua ukitaka kuoanisha mambo leo ya majra kwa kufananishia na miaka 2000 iliyopita niwaz huwezi kupata ukweli wa kimajira na ukitaka kufutilia habari za yesu katika kuran utapotoka kwani isa wa kurani sio yesu wa biblia ukitaka kujuaa waulize hao mashehe wanaokufundisha isa alizaliwa wap isa alizaliwa chini ya mtende yesu kazaliwa ktk hori la ng-ombe isa hakukaa miez 9 tisa tumboni yesu slikaa miez tisa isa alizungumza siku hiyohiyo aliyo zaliwa yesu hakua hivyo kama unajua kusoma kuran surt mariam utaona isa wa ktk kuran ni tofauti na yesu wa biblia na hayo yaliandikwa na waanzilishi wa uislam kwa makusudi ili ionekane wao wana ukweli lakini ukisoma habari za ibrahim daud musa isaka yakobo na wengine wote katika na biblia wametofautiana nasabazao ksbisa kuran inaeleza vingine biblia vingine ndio maana waislam wanasema yes hakufa napia wanasema ishmael ndii mtoto aliyetaka kuchinjwa na nabii ibrahim huo ni upotoshaj mkubwa kwani tunaona kwamba sara ndo mke halsli wa ibrahim na hajir mama yske ishmael alikua mfanya kazi wa ndani na ukisoma biblia mungu alimkataa ishmel asiwe mriithi wa ibrahim yako mengi yaliyopotoshwa kimaksudi na watu wengi kwa lengo la kuifanya biblia na mafundisho yake yana mapunguf na wakridto wachache kwa iviv wa kutosoma biblia na kutokuysshika mafundisho yake na kudakia tu vitu vya wengine bila kuuliza kwa kina wakufunzi wa biblia na mafundisho ya biblia mnakimbilia ktk mitandao na kuandika upotof upande wa krismas kuwa mwez wa 12 ni waz kwama watu walikubaliana kusheherekea kwa kuacha kusheherekea sikuu za kipagni na kuamua majira hayo kuyatumia kushehrekea kuzaliwa kwa Bwana wetu yesu kristo kwa hiyo haijalishi ni tarehe hiyo au ilikua inasheherekewa nini jawabu ni kwamba ili sikukuu hizo sasa,hazipo kyk majira hayo inasheherekewa birthday ya mtoto yesu huo ni ushindi mkuu sana kwetu na cha muhimu ni kwamba siku moja Bwana wetu Yesu kristo amezaliwa na kwa mwaka tunakumbuka siku hiyo inatosha kama wewe ni mkist mpe yesu maisha yako na hata kama sio mkiristo yesu ni halisi siku moja alizaliwa na siku moja atarudi kuwachukua walio muamini jiunge sasa barikiwa
Huyu Joshua VIP ktk mistali yote umesikia Quran hapo ? Hyo n biblia tu inawakana , wapi imeandkwa trh 25 yesu ndo kazaliwa
@@joshuamdoe8052 aminaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mim sitaaaaaa niwasikilixe hawa my sevior Jesus Christ iven if its
@@joshuamdoe8052 wanapotosha sana ila Yesu ni halisi kabisa na cha msingi wamkubali huyu Yesu ili awaponye fikra zao amen
Kumbe ni wapagani ?
Hahahahaha
y'MUBAI MONTANA
Nime Acha ku sherekea sikuku
Kama nafunguriwa vile ktk roho na mwili
Aminaaaaa
Naomba ile story ya anunnaki kuumba wanadamu
Ila kunaukweli tatizo wachungaji wakiwemo akina maritini luthr hawakufafania kwahiyo kanisa la jumapili alisaidi sana tu
Hahahaha
Hakuna jinsi ni kusilimu 2 la sivyoooo ni moto 2 haukwepeki mungu anakuonyesha live tumia akiri yako