VIDEO HII ITAKUFADHAISHA SANA LAKINI ITAKUPA SIRI YA MUNGU ILIOFICHWA NA WATAWALA WA DUNIA HII...WAHI KABLA HAWAJAIFUTA th-cam.com/video/IS1HRiMAF9Q/w-d-xo.html
Kunakuwa na mihemko sana badala ya hoja. YESU atabaki kuwa mwan wa Mungu na mombozi wetu, histori imechezewaje, ujumbe uechakachuliwaje kutokana na jamii ilioandaliwa iufikie isiwe swala la msingi sana kwetu.
HAo miungu ote ni tofauti kabisa, mungu wa Wafrika wa vivuli vyote vya rangi , na hata zamani namna ya kuabudu mizimu haikuwa asili yetu binadamu alivyokuwa mgeni katika ulimbwengu wa dunia na kwa mara ya kwanza akapata mwili, akapoteza uwezo wa kuishi bila ya kula ama kunywa na uwezo wa kuona nakadhalika ( rejea THE DEA SEA SCROOLS, THE BOOKS OF ADAM AND EVE), Makabila yote ya kiafrika yaliyojenga empira kbla ya watu wowote duniani walliamini mungu mmoja mwenye nguvu kuliko wote, Kush wallitwa Ntecher yaani nguvu ambazo zipo, zinafanya vitu viwe na vifanye kazi na katu haviwezi kuasi katika kazi hiyo, mfano wa Arch Angel ambapo watu wamepotoshwa, wanazuoni wa magaribi na africa bila ya haya wanasema hawa ni "miung" haliyakuwa ukitumia rossetta stone, na vitabu mbali mbali kujifunza lugha, picha, matamko na mantiki za ufahamu wa wa wahenga wamechonga kwenye mawe ambayo ni rahiri kuharibika na hakuna anayeweza miaka hii, kitu kilichofanyika na "Taifa maskini lenye watu wasio na maarika wala vipawa" hakuna mabacho afrika hakuna kwanza Afrikani pangea , hslikadhalika kush walitambua uwepo wa "Neb Er Netcher" ambapo ni ufahamu wa kutambua kwamba tatika hizi nguvu, kuna ambayo ndio chaonzo cha kila kitu, hana jina na hawezi kutamkika. Azzazel (Shetani) kwanza jina kllake sio lucifer hili sio suala la kidini katika mawasiliano ya ulimbengu wa metaphysics Jina ndio anuani inayofika mpaka mwenye moyo kwasababu ndio kiungo pekee kinachotengeneza mawingi ya sauti hila ya kummpumzika na kwa sauti ya juu sana, wewe husiki lakini ungeweza kuona mawimbi sa sauti moyo wako ungeshangaa tena niwakoroge kidogo watanzania wenzangu "lucifer" maana yake si "Mbeba Nuru" wewe tizanma hiki nicheo alichokuanacho Alien (Mtu mabaye sio mkazi halali wa sehemu husika) mmoja ambaye sio kwamba aliabudu mpaka akaachiliwa aende peoponi, huyu Adui wa kweli wa wana wa Admu hakuwa big deals kipindi generation yake ilitawala dunia zaidi ya karne 422 sio eti miaka 4.22 bilion...Tujifunzunza kusoma maandiko ya watu wakale maana waechonga kwenye mawe na kuandika kwenye karatasi ambazo bazikuliwa na panya kupigwa na gwarika wala kuharibika ,fano kama Kitabu cha Enoch ambacho ni moja ya vitabu vya biblia ya wakristo wa ethiopia mimi napenda huwaita waasihi maana kwanza neno mkristo lilitumiwa na warumi kuwakejeli wafuasi wa Yuashua Masia limetiokana na neno Crucifix yani kusulibiwa, na kisheria ili kuwa mtu anaisulibiwa ni mtu ambayemuovu na jamii imemkata. Nasema hivi maana Maneno yana uhai, maneno yanasababisha mitetemo (vibrations) na mitetemo ni nguvu (energy) katika daraja la Kwantum au tuseme kipengele cha ulimwengu wa roho . Sasa ukituma barua au ngumi anuani sio , tene na kmwenye anuani ndio ameseti kazi bure na unajulikana na kupigwa wewe na Mr. Shetani, mzee , Zaidi ya yote safi sana endelea kutujuza na sisi tuongeze maarifa, natakuacha na kipande kigogo toka thenye kitabu kinaitwa "Kolbrin bible" chapter One, Creatin THE NAME WHICH THY CAN UTTER CAN NOT BE THAT OF THE GREAT BEING WHO< REMAINS NAMELESS< IN THE BEGINNING AND THE END< BEYONG TIME< BEYONG THE REACH OF MORTALS< AND WE IN OUR SIMPLICITY CALL IT GOD .........Ebwana Eeeeeeee? Niishie hapaila please endelea kutupa mambo asante mnoo mkuufunzi
Kuna watu huwa ni wabish na hawataki kuelewa somo.! Na mwenyez mungu kasema.! "mach na maskio yao yamezibwa yasipate kuona wala kusikia".! Niviziwi na vipofu.. Anamalzia kwa kusema!! "Ole wao siku hiyo wenye kupinga" hvyo hao wanaobisha mioyo yao imepigwa chapa na ishapat kutu.. Wapinge ila ndo kweli.!
Kiufupi huwezi kumjua yesu kiusahihi wake bila kusoma ktk Quran na hadith za mtume mhamad s.a.w . wakristo watapata tabu sana kwa kumkataa na kushindwa kumuamin mtume mhamad nakubaki tu kuburuzwa na wazungu kifikra Nyoone ktk uislaam hakika kwa Allah nyoyo zenu zitatulia na mtaishi kwa furaha yakweli sababu ni 100 kwa mia ndiyo dini tuliyo chaguliwa watu wema Ndugu yangu amin usiamin bila kusliim huwezi kuupata uzima wa milele ((peponi)) Yesu ipo siku atarud tena ataswali msikitin mtume alisema atakae kua anaswalisha siku hiyo anaitwa MUHAMMAD IBNI ABDI LLAH Karibun ktk nuru ya Allah
Tricod media , historia zenu ni nzuri . lakini , ukweri harisi mnaupita juuu.. mnakua mnazungumzia bibilia pekeee yake .. quan haujawahi kuizungumzia kwa kua wewe ni mkristo .. kua unasoma vitabu vyote vya imani.. bibilia ni kitabu chenye CONTRADICTIONS kibao..
Alafu pia , ukiendea kufuatilia mambo ya bibilia , unajaza kufru katika nafsi yako , kwa kua bibilia iliandikwa kwa amri zaaa watu wa LUMI .. sasa endapo tukisubiria kua bibilia ndio ituongoze Kama kitabo kitokacho kwa mungu , haitowezekana , sisi wote tutaishia jahannam
Biblia ni neno la Mungu lililokamilika na lina tosha ndio maana kuna onyo; (Ufu 22 ) ------------ 18 Namshuhudia kila mtu ayasikiaye maneno ya unabii wa kitabu hiki, Mtu ye yote akiyaongeza, Mungu atamwongezea hayo mapigo yaliyoandikwa katika kitabu hiki. 19 Na mtu ye yote akiondoa lo lote katika maneno ya unabii wa kitabu hiki, Mungu atamwondolea sehemu yake katika ule mti wa uzima, na katika ule mji mtakatifu, ambao habari zake zimeandikwa katika kitabu hiki. . ....Kila alichokusudia Mungu kukisema alikisema wakati wa Yesu hakuna lililobaki, kitabu cha ufunuo kama kinavyojitambulisha ni cha mambo yajayo.
Sharon Ndowo kabisa yani, hao wote wawil no yesu wa uongo, yesu yuko zake mbinguni kwa babake, hajaacha picha duniani Bali maandiko tuu, nasi tunaamini lakin atajamwona, acheni kupotosha watuu
@@TricodMedia mi pia napenda sana unapotoa somo lenye utata kumhusu Yesu Kristo, ma amini kwenye maandiko huwa siongezi wala sitapumguza ntatoa magazeti ya maandiko ya kutosha
@@kondesaidi2040 ingekuwa vema ukaendelea kusoma alichokiandika Luka, ili kuona walichotunga na yeye kama alikanusha, bali Luka aliendelea kuandika hivi; (Luke 1 ) ------------ 3 nimeona vema mimi nami, kwa kuwa nimejitafutia usahihi wa mambo hayo yote tangu mwanzo, kukuandikia kwa taratibu, Theofilo mtukufu, 4 upate kujua hakika ya mambo yale uliyofundishwa. . .....What amazing!
Yesu alikuwa na ndugu sita wanaume wa nne na dada wa wili; "Huyu si mwana wa seremala? Mamaye si yeye aitwaye Mariamu? Na nduguze si Yakobo, na Yusufu, na Simoni, na Yuda?" (Mat 13: 55) . .Yakobo alikuwa wa kwanza kufa; "Akamwua Yakobo, ndugu yake Yohana, kwa upanga." (Mat 12: 2) . ..... "Lakini sikumwona mtume mwingine, ila Yakobo, ndugu yake Bwana." (Gal 1: 19) . .Mariamu mamaye Yesu Kristo; aliendelea kuishi na mwanaye Yohana nyumbani kwake; "Na alipokuwa akifikiri haya akafika nyumbani kwa Mariamu, mamaye Yohana, ambaye jina lake la pili ni Marko; na watu wengi walikuwa wamekutana humo wakiomba." (Mat 12: 12) . .Yuda ameanza kwa kujitambulisha hivi; "Yuda, mtumwa wa Yesu Kristo, ndugu yake Yakobo, kwa hao walioitwa, waliopendwa katika Mungu Baba, na kuhifadhiwa kwa ajili ya Yesu Kristo." (Yud 1: 1) . .Ndugu wa Yesu hawakuwahi kujitambulisha kuwa ni ndugu zake kwa kuwa walijua hakuwa mtu wakawaida, waliendelea kujiita watumwa wa Bwana.
Hahaha Dada angu kwenye biblia ya kingereza neno ndugu lilisomeka brother yaani kaka yake na yesu hata mtume paul alimuita yakobo brother of the lord kaka wa bwana
Kwanza messiah sio MUNGU,ni mwana wa MUNGU, ambaye amuaminiaye yeye ameokolewa, na yeye sio yesu wa giriki anaejiita Mungu, na yofauti wa Israel alisema tufate amri kumi alizopewa Mussa ila wakigiriki kaja na agano jipya eti hakuna umuhimu wa agano la zaman, messiah akasema tukumbuke sabato ila wa Greece kasema tuitakase jpil yan ni vitu viwili tofaut watu tunaamudu jua, SUN DAY ni Sun warship, jaman tuanze kufatilia historia mana shetan ameudanganya ulimwengu mzima
Enyi weusi wenzangu mbona kira siku munatu onyesha picture ya yesu muzungu hakuna picture ya yesu mweusi nawasikitikiya sana hamukujuwa kama huyo yesu muna ona kirasiku kwenye picture siyo mukombozi wenu wakwetu sisi weusi mukombozi wetu ni weusi jinarake arikuwa ana yitwa kutumane mula
Ngoja nikueleze na historia yako hiyo ya uongo, ukitaka kumthibisha Yesu unayesema wa theologia kwamba ana nguvu uje na hayo mapepo yako utakipata cha moto. Kama unabisha nipigie simu nikuombee wala hautaleta tena hadithi zako namba ni 0752238137/ 0783870637
Kama bible imeandika nduguze, inaonesha walizaliwa watoto wengine haiwezekani yusuph alibaki hivyohvyo bila kuongeza watoto, ujue kila kitu hakijaandikwa kwenye bible, alafu swala lingine hzo picha zote sio yesu.hao ni actor tu, nashangaa sisi tumechukulia kuwa ndio picha halisi ya yesu, wakati majira zile hapakuwepo na kamera.
Waambie kaka hakuna anaefahamu sura ya YESU hao n actors yeye yuko mbinguni hekaluni anatuombea kwa BABA yetu muumbaji yeye n Bwana wa mabwana na Mfalme wa wafalme abayetumiwa na wazungu n Bryan decon aliigiza 1979 hiyo movie lakn ndgu zetu mashehe wanakosoa tu kwa kuwa hawana historia ya kristo real anakuja mawinguni kila jicho litamwona😋😋
Quran haina kasolo ata therusi toka ilipo shukuka miaka 500 Ad adi leo ijabadilisha kama biblia inavyoguswa na watu wengi ni kitabu kilichokamilika na kimebeba vitabu vyote vinne vya mungu,zaburi,tourati injili,na qurani yenyewe so kijana kitabu hiki ni ulinzi wa mngu kama yeye alivyoeka ahadi ndani ya kitabu chake tofauti na kitabu cha biblia
Kombo Juma , Sa Kwenye Qur an unataka aje Kuchambua ninii..??? Aichambue ili Apate nini,anaijuakwanza iyo Qur an ?? We kama huiamin Qur an.. ALLAH hapungukiwi na Chochote kwa we Kutokumuamin kwako, we Baki na Ukafiri wako.
@@TricodMedia Unaogopa kuusema ukweli uliopo kwenye kuran kwa sababu unaogopa kafara kama ulivyoandika hapo au kwakuwa mwenyewe ni muislam??? Miaka ya yesu hapakuwa na technology ya camera so nashangaa uhodari wako na confidence yako unapoelezea huu uongo wako??🤔🤔who gives you such confidence bro???
Kuna video nimeipata kwenye mtandao naomba namba zako za whatsapp ili watu wazidi kuamini mzungu ametuchezea sana akili for long, na mi leo kupitia hii video nimeelewa nini nia yake wanavyosema new world oder ni mpango ambao ulikuwepo na upo toka kipindi kirefu aisee na karibu wanafanikiwa
Fala ni wewe asca maana hata yesu alisema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa au ukweli wa mambo hiv wew kwa hakiri yako unadhani kuwa yesu alikuwa mzungu?yesu hakuwa mzungu bali alikuwa mtu mweusi hata waisrael ni mm na wewe hao waliopo leo pale esrael siyo waisrael ni mapandikizi tu ya wazungu wakiwemo wamarekani na waingereza hata hiyo misri ilikuwa ya watu weusi soma historia ya mafaro wa misri na ndiyo maana hi Joseph baba mlezi wa yesu aliambiwa na malaika amchukuwe mtoto yesu pamoja na mama yake waende misri ili herode asimuue sababu misri ilikuwa na watu weusi hivyo isingelikuwa raisi kumuua yesu
Acha kuchanganya watu,,,ijili kuhusu yesu iliandikwa na wafuasi wake ,ikiwepo petrol na mathayo....mbona unasema hakuna ushahidi wowote kutoka watu walioishi naye....tena rangi haina mashiko.kilicho muhimu ni mafunzo yake...
VIDEO HII ITAKUFADHAISHA SANA LAKINI ITAKUPA SIRI YA MUNGU ILIOFICHWA NA WATAWALA WA DUNIA HII...WAHI KABLA HAWAJAIFUTA
th-cam.com/video/IS1HRiMAF9Q/w-d-xo.html
Dahhhh, historia huwa inanifurahisha sana, lkn Yesu atabaki kuwa Yesu daima na milele...amen.
Amina sana hizi ni story tu zinawezekana za kutungwa tu hahahaa
Kunakuwa na mihemko sana badala ya hoja. YESU atabaki kuwa mwan wa Mungu na mombozi wetu, histori imechezewaje, ujumbe uechakachuliwaje kutokana na jamii ilioandaliwa iufikie isiwe swala la msingi sana kwetu.
Mafundisho mazuri barikiwa sanaaaana mutumishi wa Mungu
Nikifika mbinguni Yesu nitamjua kwa arama za misumari
HAo miungu ote ni tofauti kabisa, mungu wa Wafrika wa vivuli vyote vya rangi , na hata zamani namna ya kuabudu mizimu haikuwa asili yetu binadamu alivyokuwa mgeni katika ulimbwengu wa dunia na kwa mara ya kwanza akapata mwili, akapoteza uwezo wa kuishi bila ya kula ama kunywa na uwezo wa kuona nakadhalika ( rejea THE DEA SEA SCROOLS, THE BOOKS OF ADAM AND EVE), Makabila yote ya kiafrika yaliyojenga empira kbla ya watu wowote duniani walliamini mungu mmoja mwenye nguvu kuliko wote, Kush wallitwa Ntecher yaani nguvu ambazo zipo, zinafanya vitu viwe na vifanye kazi na katu haviwezi kuasi katika kazi hiyo, mfano wa Arch Angel ambapo watu wamepotoshwa, wanazuoni wa magaribi na africa bila ya haya wanasema hawa ni "miung" haliyakuwa ukitumia rossetta stone, na vitabu mbali mbali kujifunza lugha, picha, matamko na mantiki za ufahamu wa wa wahenga wamechonga kwenye mawe ambayo ni rahiri kuharibika na hakuna anayeweza miaka hii, kitu kilichofanyika na "Taifa maskini lenye watu wasio na maarika wala vipawa" hakuna mabacho afrika hakuna kwanza Afrikani pangea , hslikadhalika kush walitambua uwepo wa "Neb Er Netcher" ambapo ni ufahamu wa kutambua kwamba tatika hizi nguvu, kuna ambayo ndio chaonzo cha kila kitu, hana jina na hawezi kutamkika. Azzazel (Shetani) kwanza jina kllake sio lucifer hili sio suala la kidini katika mawasiliano ya ulimbengu wa metaphysics Jina ndio anuani inayofika mpaka mwenye moyo kwasababu ndio kiungo pekee kinachotengeneza mawingi ya sauti hila ya kummpumzika na kwa sauti ya juu sana, wewe husiki lakini ungeweza kuona mawimbi sa sauti moyo wako ungeshangaa tena niwakoroge kidogo watanzania wenzangu "lucifer" maana yake si "Mbeba Nuru" wewe tizanma hiki nicheo alichokuanacho Alien (Mtu mabaye sio mkazi halali wa sehemu husika) mmoja ambaye sio kwamba aliabudu mpaka akaachiliwa aende peoponi, huyu Adui wa kweli wa wana wa Admu hakuwa big deals kipindi generation yake ilitawala dunia zaidi ya karne 422 sio eti miaka 4.22 bilion...Tujifunzunza kusoma maandiko ya watu wakale maana waechonga kwenye mawe na kuandika kwenye karatasi ambazo bazikuliwa na panya kupigwa na gwarika wala kuharibika ,fano kama Kitabu cha Enoch ambacho ni moja ya vitabu vya biblia ya wakristo wa ethiopia mimi napenda huwaita waasihi maana kwanza neno mkristo lilitumiwa na warumi kuwakejeli wafuasi wa Yuashua Masia limetiokana na neno Crucifix yani kusulibiwa, na kisheria ili kuwa mtu anaisulibiwa ni mtu ambayemuovu na jamii imemkata. Nasema hivi maana Maneno yana uhai, maneno yanasababisha mitetemo (vibrations) na mitetemo ni nguvu (energy) katika daraja la Kwantum au tuseme kipengele cha ulimwengu wa roho . Sasa ukituma barua au ngumi anuani sio , tene na kmwenye anuani ndio ameseti kazi bure na unajulikana na kupigwa wewe na Mr. Shetani, mzee ,
Zaidi ya yote safi sana endelea kutujuza na sisi tuongeze maarifa, natakuacha na kipande kigogo toka thenye kitabu kinaitwa "Kolbrin bible" chapter One, Creatin
THE NAME WHICH THY CAN UTTER CAN NOT BE THAT OF THE GREAT BEING WHO< REMAINS NAMELESS< IN THE BEGINNING AND THE END< BEYONG TIME< BEYONG THE REACH OF MORTALS< AND WE IN OUR SIMPLICITY CALL IT GOD
.........Ebwana Eeeeeeee? Niishie hapaila please endelea kutupa mambo asante mnoo mkuufunzi
Amini tumerisi imani na tume amini binadam hatumwani tena mungu make tumekalili na tumefuata mkumbo
Kuna watu huwa ni wabish na hawataki kuelewa somo.! Na mwenyez mungu kasema.! "mach na maskio yao yamezibwa yasipate kuona wala kusikia".! Niviziwi na vipofu.. Anamalzia kwa kusema!! "Ole wao siku hiyo wenye kupinga" hvyo hao wanaobisha mioyo yao imepigwa chapa na ishapat kutu.. Wapinge ila ndo kweli.!
Kiufupi huwezi kumjua yesu kiusahihi wake bila kusoma ktk Quran na hadith za mtume mhamad s.a.w . wakristo watapata tabu sana kwa kumkataa na kushindwa kumuamin mtume mhamad nakubaki tu kuburuzwa na wazungu kifikra
Nyoone ktk uislaam hakika kwa Allah nyoyo zenu zitatulia na mtaishi kwa furaha yakweli sababu ni 100 kwa mia ndiyo dini tuliyo chaguliwa watu wema
Ndugu yangu amin usiamin bila kusliim huwezi kuupata uzima wa milele ((peponi))
Yesu ipo siku atarud tena ataswali msikitin mtume alisema atakae kua anaswalisha siku hiyo anaitwa MUHAMMAD IBNI ABDI LLAH
Karibun ktk nuru ya Allah
Mohammad mwenyew aliumbwa na yesu..... Yesu ndo alikuumba wewe
Check nae huyu alie potoka na Quran yenu kitabu cha majini Soma yakobo 1:10
Nnachojua yoseph kabla ya kupewa bikira maria alikua ana wake na watoto so hao watoto wa yoseph ni kaka na dada wa yesu pia
Uko vizuri boss 👍👍👍🔥🔥
Asante kwa mafundisho ya bibilia
RESPECT THE RESEARCH YOU HAVE DONE IS COMMENDABLE ASANTE SANA MUNGU AKUBARIKI NA AENDELEZE JUHIDI ZAKO ZA KILA SIKU BE BLESSED ALWAYS
Asante sana ndugu
chapo ê
Kwanza ni upumbavu kusema aloyezaa ni bikira. Swala la Yesu kuwa na ndugu halina mjadala, ni kweli
Mimi ni watatu leo naombeni like zangu. Hongera Kaka
Umetisha sana
Tricod Media:Zaid ya sanaaaa ila ipo oneday ukweli utakuja kukaa waziwazi wa hiki unachokielezea ambao MAYAHUD copy walikitengeneza Hongera DRICOD.
Tricod media , historia zenu ni nzuri . lakini , ukweri harisi mnaupita juuu.. mnakua mnazungumzia bibilia pekeee yake ..
quan haujawahi kuizungumzia kwa kua wewe ni mkristo .. kua unasoma vitabu vyote vya imani..
bibilia ni kitabu chenye CONTRADICTIONS kibao..
Alafu pia , ukiendea kufuatilia mambo ya bibilia , unajaza kufru katika nafsi yako , kwa kua bibilia iliandikwa kwa amri zaaa watu wa LUMI .. sasa endapo tukisubiria kua bibilia ndio ituongoze Kama kitabo kitokacho kwa mungu , haitowezekana , sisi wote tutaishia jahannam
endelea kutupa elimu
kwa kweli naipenda Tricod Media
Asante saaaaaanaaaa sanaaa
Kazi nzuri,watu wengi wamezaliwa wakaapata stori za yesu na kuamini,lakini hawamjui atakidogo.
Asante sana kweli kabisaa
nimekuelewa
Tuko sawa
Mimi sishangai Bro ila ukweli upo Kwa Mungu aliyetuumba Na Imani yakila1 itamponya
kikubwa imani tu
Nakukubali kijana
Asante sanaaa
we ninani kwanza tukujue jina lako ucje ukawa niwale wanao kwenda kuabudu jiwe leusi makkar na kumuacha yesu christo mwana wa m-mungu alie hai
❤❤❤❤
Pamoja bro
Biblia ni neno la Mungu lililokamilika na lina tosha ndio maana kuna onyo; (Ufu 22 )
------------
18 Namshuhudia kila mtu ayasikiaye maneno ya unabii wa kitabu hiki, Mtu ye yote akiyaongeza, Mungu atamwongezea hayo mapigo yaliyoandikwa katika kitabu hiki.
19 Na mtu ye yote akiondoa lo lote katika maneno ya unabii wa kitabu hiki, Mungu atamwondolea sehemu yake katika ule mti wa uzima, na katika ule mji mtakatifu, ambao habari zake zimeandikwa katika kitabu hiki.
.
....Kila alichokusudia Mungu kukisema alikisema wakati wa Yesu hakuna lililobaki, kitabu cha ufunuo kama kinavyojitambulisha ni cha mambo yajayo.
Sharon Ndowo kabisa yani, hao wote wawil no yesu wa uongo, yesu yuko zake mbinguni kwa babake, hajaacha picha duniani Bali maandiko tuu, nasi tunaamini lakin atajamwona, acheni kupotosha watuu
Huwa nafarijika sana ninapokuona kwenye comment maana unatujenga sana watu tulio na mashaka na imani
@@TricodMedia mi pia napenda sana unapotoa somo lenye utata kumhusu Yesu Kristo, ma amini kwenye maandiko huwa siongezi wala sitapumguza ntatoa magazeti ya maandiko ya kutosha
Huyu mwana blog yupo sahihi ushahidi mwingine ni 1:1 Luka.
@@kondesaidi2040 ingekuwa vema ukaendelea kusoma alichokiandika Luka, ili kuona walichotunga na yeye kama alikanusha, bali Luka aliendelea kuandika hivi; (Luke 1 )
------------
3 nimeona vema mimi nami, kwa kuwa nimejitafutia usahihi wa mambo hayo yote tangu mwanzo, kukuandikia kwa taratibu, Theofilo mtukufu,
4 upate kujua hakika ya mambo yale uliyofundishwa.
.
.....What amazing!
Chimbuko la warumi ni wapi na lime anzaje
SIRI YA MIAKA YA YESU ILIOPOTEA KWENYE BIBLIA miaka 12-30 MASON NA WA HINDU WAHUSIKA HUWEZI KUAMINI
th-cam.com/video/7ubqTlR2Lvk/w-d-xo.html
254 forever na London Dani
Historia tume ipata kazi ni kwetu kujua ukweli Asante! 254 forever
dah yani inasikitisha sanaa ila kweli kila mtu na imani yake lakini ukweli yesu sio mungu wala mwana wa mungu
Hahahahaha
yesu ni mungu soma isaya 9:6 na warumi 9:5 maandiko yapo kibao ila alifanya kazi kwa namna tofauti..
wewe uliumbwa na yesu? nijibu
Yusu ni njia ya kweri na uzima
Naweza kubaliana na yesu kuwa alikuwa na nduguze,ila watakuwa ni wadogozake baada ya kuzaliwa ,maria aliendelea kuzaa wa totot wengine
Yap kweli kabisaaa
Nataka nifahamu kuusu uwo yesu wa picture na filamu iyo ya yesu ya zamani
Duuu nikitendawili ,,ila nakupata sana
Yesu alikuwa na ndugu sita wanaume wa nne na dada wa wili; "Huyu si mwana wa seremala? Mamaye si yeye aitwaye Mariamu? Na nduguze si Yakobo, na Yusufu, na Simoni, na Yuda?"
(Mat 13: 55)
.
.Yakobo alikuwa wa kwanza kufa; "Akamwua Yakobo, ndugu yake Yohana, kwa upanga."
(Mat 12: 2)
.
..... "Lakini sikumwona mtume mwingine, ila Yakobo, ndugu yake Bwana."
(Gal 1: 19)
.
.Mariamu mamaye Yesu Kristo; aliendelea kuishi na mwanaye Yohana nyumbani kwake; "Na alipokuwa akifikiri haya akafika nyumbani kwa Mariamu, mamaye Yohana, ambaye jina lake la pili ni Marko; na watu wengi walikuwa wamekutana humo wakiomba."
(Mat 12: 12)
.
.Yuda ameanza kwa kujitambulisha hivi; "Yuda, mtumwa wa Yesu Kristo, ndugu yake Yakobo, kwa hao walioitwa, waliopendwa katika Mungu Baba, na kuhifadhiwa kwa ajili ya Yesu Kristo."
(Yud 1: 1)
.
.Ndugu wa Yesu hawakuwahi kujitambulisha kuwa ni ndugu zake kwa kuwa walijua hakuwa mtu wakawaida, waliendelea kujiita watumwa wa Bwana.
Kwaio ni ndugu zake au kaka zake wa damu kutoka kwa mariam
Ni kaka na dada wa damu kutoka kwa mamaye Mariamu
Hahaha Dada angu kwenye biblia ya kingereza neno ndugu lilisomeka brother yaani kaka yake na yesu hata mtume paul alimuita yakobo brother of the lord kaka wa bwana
Ndio mariam baada ya kumzaa yesu aliolewa na Joseph wajina wangu wakaendelea kuzaa
@@TricodMedia lakini Joseph mbona huwajibu hawa ndugu zetu Waislam jamani?
Unajuwa sometimes nakuwaga nachangikiwa maana naonaga kuvurugwa sana na hizi history
Hahahahaha pole sana sema hizi story usichukue kila kitu maana sio kila ukweli ni salama
Mmmh👂👂👂👂👂
Upo wewe mtu
Mjomba nina swali moja tu ,je Yesu christo alikuwa mweusi?
Mbona iloneno Tricod Media Linanembo ya Kifreemason??
Mbona tunaanza kuumbuana tenaaaa
Mbona umeshindwa kugbu Hilo swali, unasema kuwa mnaumbuliwa?
Jibu swali
Ndo mana mnacho ongea kuhusu yesu ni kuvuruga watu Mungu hadhihakiwi
Huwezi kuelezea usichokiamini unaletea uongo unazani unaweza kumpotosha?
Kwanza messiah sio MUNGU,ni mwana wa MUNGU, ambaye amuaminiaye yeye ameokolewa, na yeye sio yesu wa giriki anaejiita Mungu, na yofauti wa Israel alisema tufate amri kumi alizopewa Mussa ila wakigiriki kaja na agano jipya eti hakuna umuhimu wa agano la zaman, messiah akasema tukumbuke sabato ila wa Greece kasema tuitakase jpil yan ni vitu viwili tofaut watu tunaamudu jua, SUN DAY ni Sun warship, jaman tuanze kufatilia historia mana shetan ameudanganya ulimwengu mzima
Hahahahaha
Hahahaha uko vizuri sanaaaa
source ya information zako utaipata wapi
Hizi story huwazinanichanganya kwanini lakini
Kaka naomba namba zako Kuna kitu unisaidie
Nitumie Namba yako ntakucheki
Huyu ndiyo ukweli. Basi tuite Yesu wa historian ndiye Yesu halisi na Yesu wa kitapeli atupiliwe mbali
Kaka uko makini nakuelewa sana
Asante sanaaaaaa
IS there anyone who can describe how our Lord Jesus Christ looks like? Mbona twapotezana...Jesus Christ of Nazareth the one I know is spirit. ...
Nakuelewa sana japo tukisema hivyo tunaibua tatizo lingine inamaana story zilikua za kutunga hakukua na mtu kama huyo
Kaka naomba namba zako za wahtsApp Kuna kitu naomba unisaidie
Nitumie namba yako ntakucheki
@@TricodMedia naomba na mimi yangu 0755056035
Naona nifupishe magazeti kidogo leo ili isiwe kiro Joseph kuyasoma.
Hahahahahahaha sawa ngoja nitafute mada ya kukuchokoza vizuri na mistari ya biblia
@@TricodMedia njoo tu ilimradi usipotoshe kwa makusudi, mi sichoki najua hata kama sio wote wapo watakao ona njia kwa mbali
Weka evidence bro wew hayo umeyatoa wap?
Enyi weusi wenzangu mbona kira siku munatu onyesha picture ya yesu muzungu hakuna picture ya yesu mweusi nawasikitikiya sana hamukujuwa kama huyo yesu muna ona kirasiku kwenye picture siyo mukombozi wenu wakwetu sisi weusi mukombozi wetu ni weusi jinarake arikuwa ana yitwa kutumane mula
CHANNEL YAKO NI BORA SANA PLEASE NAOMBA UWEKE NA KIINGERAZA ILI NCHI ZINGINE WA WEZE KUFAIDIKA NA WISDOM YAKO PLEASE PLEASE
Asante sana sms yako imenigusa sana kuna mda najiskia kukata tamaa ila sms yako imenipa nguvu ya kupambana zaidi
Sasa napata ukweli kuusu yesu wazungu wametudanganya muda mrefu
Ngoja nikueleze na historia yako hiyo ya uongo, ukitaka kumthibisha Yesu unayesema wa theologia kwamba ana nguvu uje na hayo mapepo yako utakipata cha moto. Kama unabisha nipigie simu nikuombee wala hautaleta tena hadithi zako namba ni 0752238137/ 0783870637
Oya , nisaidie vyanzo vya habari hizo ?
Hahahahaha nag hamaad
@@TricodMedia sijakuelewa !!!
Kama bible imeandika nduguze, inaonesha walizaliwa watoto wengine haiwezekani yusuph alibaki hivyohvyo bila kuongeza watoto, ujue kila kitu hakijaandikwa kwenye bible, alafu swala lingine hzo picha zote sio yesu.hao ni actor tu, nashangaa sisi tumechukulia kuwa ndio picha halisi ya yesu, wakati majira zile hapakuwepo na kamera.
Kweli kabisa
Waambie kaka hakuna anaefahamu sura ya YESU hao n actors yeye yuko mbinguni hekaluni anatuombea kwa BABA yetu muumbaji yeye n Bwana wa mabwana na Mfalme wa wafalme abayetumiwa na wazungu n Bryan decon aliigiza 1979 hiyo movie lakn ndgu zetu mashehe wanakosoa tu kwa kuwa hawana historia ya kristo real anakuja mawinguni kila jicho litamwona😋😋
Eebwana bibilia nineno ambao rimekamirika natukingia ndani wanatwambia haturusiwi kupunguza au kowongeza hatakidogo ira ukichunguza sana wazungu warificha hisitoria takweli wakatudanganya alafu ubishi hawataki kwamana wawo wanajuwa ukweri ukowapi wewe unasikiaje kaka? dada?
Kaka mbna hua cku zote ckupati tu hua unanichanganya unazidisha chumvi nyingi sana ukweli 25% & Uongo 75%, so endelea 2u wakumeza ameze eeh!.
Hahahaha sababu 25% ni historia na 75% ni injili ya kwenye biblia hahahaha
You are a confuser. Yesu siyo picha. Jesus is not history. Jesus is Lord. He is Saviour.
Hahahahaha kweli kabisa
Kwa maana yule wanaemuabudu waroma nakumtengezea sana vzr si yesu yule tambua dini yenu mumeingiziwa ibada ya kuabudu masanam na hilo munalijua
siyo wa imani ni wa movie bana, uyo mweusi ndo oreginal , chuki za wazungu tu
Hahahahahahaha umeuaaa
So you mean that yesu was Africans and wich contry from Africah
Sasa mjomba kwani yeye Yesu christo alikuwa Nani?
Je wewe ambaye unasoma hii historia ya yesu NA wewe ulipata wapi coz ni kama Hakuna ukweli kuhusu yesu Sasa sisi tumwabudu Nani?
Yesu hakua na Dada wala kaka.
Kama biblia inatuambia Mariam alikua bikra sasa uyo kaka au dada alizaliwa vpi??
Kwaio ukiwa bikra ukazaa bado unabaki bikra au unachanganya maana ya ubikra
Baada ya kupata mimba aliolewa sasa hapo unatueleza aliishi na mume bila kufanya mapenzi au
@William Kavaya kwa hiyo kumbe unaposema mungu mwana unamaanisha mwanadamu
walizaliwa baada ya yesu soma mathayo 13:55 walizaa na joseph
@@irenelemanuel4161 🙈kumbe Maria alimsaliti mungu kwa kuendelea kuzaa na wanaume wengine coz mnasemaga yesu ni mwana wa mungu.
Haya bhana
Uje uchambue na Qur'an maana hadi sasa najua sana Biblia kuliko Qur'an kiundani
Huko unataka nitolewe kafara
Quran haina kasolo ata therusi toka ilipo shukuka miaka 500 Ad adi leo ijabadilisha kama biblia inavyoguswa na watu wengi ni kitabu kilichokamilika na kimebeba vitabu vyote vinne vya mungu,zaburi,tourati injili,na qurani yenyewe so kijana kitabu hiki ni ulinzi wa mngu kama yeye alivyoeka ahadi ndani ya kitabu chake tofauti na kitabu cha biblia
Kombo Juma , Sa Kwenye Qur an unataka aje Kuchambua ninii..??? Aichambue ili Apate nini,anaijuakwanza iyo Qur an ?? We kama huiamin Qur an.. ALLAH hapungukiwi na Chochote kwa we Kutokumuamin kwako, we Baki na Ukafiri wako.
@@moodyhassany8928 Huna ulijualo unafuata hisia na mapenzi its better ungekaa kimya 😂 🤣 🤣
@@TricodMedia Unaogopa kuusema ukweli uliopo kwenye kuran kwa sababu unaogopa kafara kama ulivyoandika hapo au kwakuwa mwenyewe ni muislam??? Miaka ya yesu hapakuwa na technology ya camera so nashangaa uhodari wako na confidence yako unapoelezea huu uongo wako??🤔🤔who gives you such confidence bro???
Kuna video nimeipata kwenye mtandao naomba namba zako za whatsapp ili watu wazidi kuamini mzungu ametuchezea sana akili for long, na mi leo kupitia hii video nimeelewa nini nia yake wanavyosema new world oder ni mpango ambao ulikuwepo na upo toka kipindi kirefu aisee na karibu wanafanikiwa
tupe proof evidence za kutosha sio picha tuu na maneno
Una mapepo wewe ondoka na upotofu wako wa kishetani, ushindwe na ulegee fala wewe
Hahahahahahahahaa
Mh! Fala kwa Jina la yesu au
Fala ni wewe asca maana hata yesu alisema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa au ukweli wa mambo hiv wew kwa hakiri yako unadhani kuwa yesu alikuwa mzungu?yesu hakuwa mzungu bali alikuwa mtu mweusi hata waisrael ni mm na wewe hao waliopo leo pale esrael siyo waisrael ni mapandikizi tu ya wazungu wakiwemo wamarekani na waingereza hata hiyo misri ilikuwa ya watu weusi soma historia ya mafaro wa misri na ndiyo maana hi Joseph baba mlezi wa yesu aliambiwa na malaika amchukuwe mtoto yesu pamoja na mama yake waende misri ili herode asimuue sababu misri ilikuwa na watu weusi hivyo isingelikuwa raisi kumuua yesu
an imagination away from reality
HIS RESEARCH DO YOURS ITS JUST A TOPIC NOT A CHANGE
Hahahaha
Tunaomba jibu Mbona alama yenu ya tricod media ni alama ya free mason
alama ya free mason ikoje?
Acha kuchanganya watu,,,ijili kuhusu yesu iliandikwa na wafuasi wake ,ikiwepo petrol na mathayo....mbona unasema hakuna ushahidi wowote kutoka watu walioishi naye....tena rangi haina mashiko.kilicho muhimu ni mafunzo yake...
huyu ni mu islam akioneya
nami nilitaka kujua huyu kaka huwa ni dini gani maana huwa nafuatilia sana. kaka nijuze wewe ni dini gani?
Kaka mbna hua cku zote ckupati tu hua unanichanganya unazidisha chumvi nyingi sana ukweli 25% & Uongo 75%, so endelea 2u wakumeza ameze eeh!.
Hahahahaha
Namngojea nahuyo yesu wa history😅😅😅 hatar sana uko vzr kaka