#LIVE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 พ.ค. 2022
  • Mpenja Tv imetembelea Nyumbani alikozaliwa Mchezaji wa Yanga Sc, Dickson Isack Ambundo,Nyakato National Mtaa wa Ikoi Jijini Mwanza ambapo ilipata Wasaa wa Kuzungumza na Familia yake ili kujua Historia ya Maisha yake na Soka kiujumla.
    #MpenjaTv #YangaSc #DicksonAmbundo
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 99

  • @hassanparamana2215
    @hassanparamana2215 2 ปีที่แล้ว +8

    Thanx Bi mkubwa kwa kutuletea hiki kiumbe kwa taifa la tanzania tuseme Alhamdulillah 🤲💛💚💪🇹🇿🇦🇪

  • @johnbernad3990
    @johnbernad3990 2 ปีที่แล้ว +12

    Familia hii inaupendo sana Mungu azidi kuwabariki jaman na azidi kuwapa upendo mzuri

  • @issaramadhan2490
    @issaramadhan2490 2 ปีที่แล้ว +8

    Eeeeeh M/Mungu uzidi kumlaza Mama angu maala pema peponi ama kweli Mama ni nguzo na mwanga wa maisha duniani....!!!🙏🙏 Naamini Mama ungekuwepo ungenipongeza kwa kazi ninazozifanya....!!

  • @khamisshee5131
    @khamisshee5131 2 ปีที่แล้ว +5

    👍 kazi nzuri
    🇰🇪🇰🇪🇰🇪
    aka bachuchu mombasa 001
    🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @johnbernad3990
    @johnbernad3990 2 ปีที่แล้ว +6

    Huyu mama ambundo nimempenda bule jamani anazungumza vizuri sana na anatoa baraka tele kwa mwanae na kwa tim nzima

  • @humphreyjulius9643
    @humphreyjulius9643 2 ปีที่แล้ว +4

    Oooh having a mother is a blessing.

  • @ashuramhandoashuramhando6798
    @ashuramhandoashuramhando6798 ปีที่แล้ว

    Mzazi Bora kizazi Bora nidham Bora upendo kwa wingi Mungu awabariki🙏🙏

  • @dianasago9214
    @dianasago9214 2 ปีที่แล้ว +2

    Hii familia inaonekana ina busara sana na upendo mama mchesi pia anaonekana ana Hekima sana 💚💛

  • @johnbernad3990
    @johnbernad3990 2 ปีที่แล้ว +7

    Natamani hii interview ingefanyika baada ya mechi ya jana ya Yanga na mbeya kwanza ingekuwa bomba kweli kweli, ki ambundo ambundo 🤣🤣🚶🚶

  • @shadimwambula7748
    @shadimwambula7748 2 ปีที่แล้ว +7

    Ambundo niatariii sanaa

  • @angeljumla4344
    @angeljumla4344 2 ปีที่แล้ว +11

    Acheni uswahili eti hapafanani. We kwenu pazuri? Au ulitakaje kumbuka hapo ni kwa wazazi wake siyo kwake.

    • @Andrew_Kibasa
      @Andrew_Kibasa 2 ปีที่แล้ว

      Shida hao vijana wanaosema maisha ya watu hawajui background za familia za watu,Yawezekana Ambundo ndio mkombozi wa familia kwahiyo mtu mwenye anafikiria vyema ataanza kujudge umri wa mtu ndio tuangalie mafanikio

    • @stewartsylvester2353
      @stewartsylvester2353 2 ปีที่แล้ว

      @@Andrew_Kibasa upo Sahihi kabisa aiseeee
      Vijana Wengi tunapambana mnoooo kuokoa family zetu
      Yaani tena Kama wengine ndo ukute wa kijijini Basi tu 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 2 ปีที่แล้ว +5

    Mm mpenzi sana sana wa simba lakini nampenda sana huyu mtoto

  • @michaelmillinga5064
    @michaelmillinga5064 2 ปีที่แล้ว +4

    Huyu mwandishi ni mzuri Sana.. nimempenda Sana.. yupo humble Sana.. na charming

  • @hamadeddymaclayz
    @hamadeddymaclayz 2 ปีที่แล้ว +3

    Mama mungu ampe afya njema

  • @matridamwalyoyo1735
    @matridamwalyoyo1735 2 ปีที่แล้ว +3

    Mtangazaji aongezewe mshahara very charming,

    • @hawa7966
      @hawa7966 2 ปีที่แล้ว +1

      Naunga mkono hiyo kauli Binti anajitahidi Sanaaaa yaani Sana Sana MSHAHARA Uongezwe🙏💛💚💛💚💛💚

  • @felixmagulu6142
    @felixmagulu6142 2 ปีที่แล้ว +4

    Mpenja TV mko vema kwa habari zenye tija kwa jamii

  • @ramsolaitayo1009
    @ramsolaitayo1009 2 ปีที่แล้ว +1

    Yanga oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

  • @aishasaid9705
    @aishasaid9705 2 ปีที่แล้ว +4

    Wow ndgu zangu kabisa wanyiramba oyee

  • @meckitridamichael6513
    @meckitridamichael6513 2 ปีที่แล้ว +4

    Ukiona mtu anadharau maisha ya mtu mwingine jua hyo nilimbuken wa maisha maisha ameyajulia mtandaon

  • @zubedamuhamed1873
    @zubedamuhamed1873 2 ปีที่แล้ว +3

    Edwin (edo kipanga) bonge moja la mido

  • @daudhenry6212
    @daudhenry6212 2 ปีที่แล้ว +1

    Weweeeeeeee mwandishi hujafika Shelui umefika Mwanza au Air Tanzania hahahahaaaa ! Super interview

  • @stevemwakisimba5986
    @stevemwakisimba5986 2 ปีที่แล้ว

    Wasafi mgepata mdada wakutafuta content kama huyu mtakua mmejitanua Zaidi kwenye media yenu hatusemi mumuibe huyu mdada hapana jitengenezi wakwenu huyu ni wa mpenja tv! Dada upo vizuri

  • @zainabuhamisi576
    @zainabuhamisi576 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera ambundo na huyo kaka yake atafutiwe timu acheze vipaji vimekaa tu

  • @daudhenry6212
    @daudhenry6212 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera familia ya Isaac Ambundo

  • @jamaicaevakeyz3737
    @jamaicaevakeyz3737 2 ปีที่แล้ว

    Mzeee edwin waekeze mtaa wa national chimbuko la kocha MASTER one lv

  • @kapelotz9967
    @kapelotz9967 2 ปีที่แล้ว

    Wew dada tuna kuombea kwa Mungu mpenja akuongeze mxhahara mana unatuhabalixha habari nzuri xana ambazo zimejificha yan wewe ni zaid yaah

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 2 ปีที่แล้ว +3

    Jamani nimeamka asbh uku mtaani kila Mtu anatembea kale ka staili ka ambundo adi makolo mi sijapenda kabisa ichi kitu😁😁

  • @ip_header
    @ip_header 2 ปีที่แล้ว +2

    Ambundo mchezaji muhimu ktk match muhimu (a.k.a Game changer)

  • @wananchitv8690
    @wananchitv8690 2 ปีที่แล้ว +2

    Nendeni kwao na yule dogo wa namungo, Emmanuel Charls, nampendaga sana.

    • @mingajohn6518
      @mingajohn6518 2 ปีที่แล้ว

      Yule sio mtanzania ni Mnigeria

    • @wananchitv8690
      @wananchitv8690 2 ปีที่แล้ว

      @@mingajohn6518 No ni mtanzania, nilisikia ni mtu wa kanda ya ziwa pia. Nimemaanisha yule anachezaga namba 3

    • @jonasbogohe7262
      @jonasbogohe7262 2 ปีที่แล้ว

      Yule ni mtu wa mwanza

  • @daudhenry6212
    @daudhenry6212 2 ปีที่แล้ว +2

    Ambundo anafanana na mamaake ! Safi sana

  • @charlesmasele6327
    @charlesmasele6327 2 ปีที่แล้ว +5

    Ambundo stail

  • @mohamedngota8535
    @mohamedngota8535 2 ปีที่แล้ว +2

    That feels good mpenja tv

  • @jacquelinesangu1521
    @jacquelinesangu1521 2 ปีที่แล้ว +1

    Feytoto 🤸💪🕊️

  • @aymanzinyo122
    @aymanzinyo122 2 ปีที่แล้ว

    Mama hongera kaongea vzr

  • @kazimilykulwa2516
    @kazimilykulwa2516 2 ปีที่แล้ว +3

    Bonge la interview

  • @abdullahselemani1607
    @abdullahselemani1607 2 ปีที่แล้ว

    edo kweli wew fundi sisse nakueelewa sana

  • @suzyjoseph2367
    @suzyjoseph2367 2 ปีที่แล้ว

    Edween anamzid kiwango Ambudo tunamjua niukweli anasema Ila aaache kale katabia kake akae vzr

  • @shomaryrajabu1354
    @shomaryrajabu1354 2 ปีที่แล้ว

    Yanga oyeee

  • @johnbernad3990
    @johnbernad3990 2 ปีที่แล้ว +4

    Tupo mtaani tunadunda ki ambundo ambundo chezea wewe 🚶🚶

  • @josephinejoseph3919
    @josephinejoseph3919 2 ปีที่แล้ว +4

    Waoow

  • @clausemsemwa297
    @clausemsemwa297 2 ปีที่แล้ว +1

    Kijana wetu taratibu ameanza kuipora mioyo yetu wananchi.......

  • @carrenbenson2111
    @carrenbenson2111 2 ปีที่แล้ว +2

    Wee dada unaijua kazi yako sana.

  • @guccij6236
    @guccij6236 2 ปีที่แล้ว +3

    Kmb Ambundo Yanga dam tumejua🤣

  • @rizikidaniel1438
    @rizikidaniel1438 2 ปีที่แล้ว +2

    Fungal domo lako we. VM VP au kwenu pazur sana acha ushamba kama keen pazur ukfa unaeda napo

  • @salehssaidategirddb2994
    @salehssaidategirddb2994 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyo edwin hatar

  • @zackofficial9840
    @zackofficial9840 2 ปีที่แล้ว

    Kaka hujakosea mdogo wako Dick fundi sanaaa
    Pale Yanga Dick na Mapinduzi huwa mafundiiiii

  • @pillyomary6127
    @pillyomary6127 2 ปีที่แล้ว +1

    Hapo kwa mama kanifuhisha

  • @miskiaayallah1872
    @miskiaayallah1872 2 ปีที่แล้ว

    Kaka kama kaka

  • @sergesenzoferrari8273
    @sergesenzoferrari8273 2 ปีที่แล้ว

    Apo Kwa Arsenal apo cha chaaaaaaa

  • @pastordavidjames
    @pastordavidjames 2 ปีที่แล้ว

    Da!! Nimewaona washikaji zangu wa mwanza home boy,,kadanke ungezungumzia na ligi ya mbuzi ya mahina sec nusu itoe roho watu,,,, mpe hai kocha wetu MASTER kawatoa wengi kasoro mimi tu Haha

  • @mamlucy2605
    @mamlucy2605 2 ปีที่แล้ว +1

    W

  • @joshuamwambene6041
    @joshuamwambene6041 2 ปีที่แล้ว +1

    Wananchi

  • @abdallayunnus3475
    @abdallayunnus3475 2 ปีที่แล้ว +4

    Ambundo fundiii

  • @calvindericksekei4541
    @calvindericksekei4541 ปีที่แล้ว

    Ali gaucho 1

  • @ngorshermelody2021
    @ngorshermelody2021 2 ปีที่แล้ว

    Aloooo kumbe ambundonimsukuma

  • @abdulkareemseif1892
    @abdulkareemseif1892 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu jamaa katokea familia ya kishua

  • @rizikidaniel1438
    @rizikidaniel1438 2 ปีที่แล้ว +1

    We kwenu pazur?acha. Ushamba

  • @alickomsyani3900
    @alickomsyani3900 2 ปีที่แล้ว +1

    Ninachompendea huyu Mama ni mtu wa mpira

  • @tatumussa651
    @tatumussa651 2 ปีที่แล้ว +1

    Hhhh

  • @ngorshermelody2021
    @ngorshermelody2021 2 ปีที่แล้ว

    Ndomna kafanikiaa kumbe anatumia jina lababuakeupandewamama yani isack ambundo

  • @robinhomesuza8906
    @robinhomesuza8906 2 ปีที่แล้ว

    Mimi siangalii chochote namuangalia asha kabuga tu

  • @madaamhawa8947
    @madaamhawa8947 2 ปีที่แล้ว

    Dada uyo kakake fundi. Vby

  • @johnthobias39
    @johnthobias39 2 ปีที่แล้ว

    Kandanki😂😂😂😂😂

  • @ludobudege1662
    @ludobudege1662 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mwandishi hajui kazi ya uandishi wa habari sijui ameokotwa wapi hata hajui kuuliza swali anakurupuka tu

  • @vumiliamgendi148
    @vumiliamgendi148 2 ปีที่แล้ว

    Mbona hapafananii na mchezaji anaechezea clabu kubwa au halipwi vizuri na utopolo

    • @masanjamasunga4019
      @masanjamasunga4019 2 ปีที่แล้ว +4

      Ww unataka paweje, na Yanga ana mda gani? Unaujua uwekezaji wake?

    • @humphreyjulius9643
      @humphreyjulius9643 2 ปีที่แล้ว +1

      Kwani we kwenu pakoje idiot

    • @kingmsukuma1238
      @kingmsukuma1238 2 ปีที่แล้ว +1

      nazani kwenu do hapafai kabisa

    • @clementiddi5708
      @clementiddi5708 2 ปีที่แล้ว +1

      Ulitaka pawe Mecca?

    • @carrenbenson2111
      @carrenbenson2111 2 ปีที่แล้ว +1

      Sip vizuri hivyo unavyoongea, usimdharau usiemjua

  • @johnbernad3990
    @johnbernad3990 2 ปีที่แล้ว +3

    Muulize vizuri mzee atakimbia ukweli maana mmefanana sana

  • @zainabusama3923
    @zainabusama3923 2 ปีที่แล้ว

    Mama mungu ampe afya njema

  • @shedrackmwaipopo219
    @shedrackmwaipopo219 2 ปีที่แล้ว

    Daa hiyo ambundo kwasisi wasafwa tusi Kubwa sana