RC CHALAMILA AFUNGUKA CHANGAMOTO ZA MWANZA/"TUTAKABIDHIANA WANIPE USHIRIKIANO"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 พ.ค. 2021
  • All the African Music. Hottest SHOWS... Mapinduzi Ya Burudani
    Times FM Ni Redio ya Burudani Nchini Tanzania, Inayoongoza kwa kukupatia Habari za Burudani pamoja na Matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania. #KiafrikaZaidi.
    Follow us on twitter / timesfmtz and on instagram / timesfmtz
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 24

  • @bajagihaji8923
    @bajagihaji8923 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyu jamaa anaweza

  • @YusufAli-ib6xu
    @YusufAli-ib6xu 3 ปีที่แล้ว +3

    Perfect Rc for mwanza

  • @kakawamashariki8978
    @kakawamashariki8978 3 ปีที่แล้ว

    Karibu Sana Mwanza 🐟, Mh Chalamira matunda ya kazi zako hapo Mbeya yananena. "Hapa kazi tu, kazi inaendelea" 🗻🇹🇿

  • @deochalamila4010
    @deochalamila4010 3 ปีที่แล้ว +1

    Kumtanguliza Mungu...kuleta maelewano na uongozi shirikishi vkawe nguzo...usivunjike moyo na ambao wanaweza kukukatisha Tamaaa...Mungu yu pamoja nawe..kwan haki n msing wa maendeleo

  • @vascokasambala2159
    @vascokasambala2159 3 ปีที่แล้ว +2

    Angekuja songwe uyu jamaa anafaa sana

  • @deochalamila4010
    @deochalamila4010 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu wetu wa mbinguni azid kukuongoza katka kuleta utatuzi wa changamoto za wananchi Hususani mkoa wa Mwanza....

  • @mariamjuma4136
    @mariamjuma4136 3 ปีที่แล้ว +1

    Kila la kheri mh Chalamila uko vzr kiuongozi

  • @msetikebwasi1469
    @msetikebwasi1469 3 ปีที่แล้ว +3

    Chalamila karibu sana mwanza njoo uchape kazi .

  • @mursallusinde9189
    @mursallusinde9189 3 ปีที่แล้ว +1

    Nenda ukaanze na wale machinga pale nyerere road hasa pale round about wametandika barabarani kabisa wala hawaoni hatari yyte wakati mwingine magar makubwa kupita ni mpka wasogeze bizaa nyuma ndo magar yapite hii si sawa wakati mwingine watu wanapewa uhuru wanautumia vibaya kwa usalama wao pia

  • @fetreashasalumu9038
    @fetreashasalumu9038 3 ปีที่แล้ว +2

    Mwanza njoo taratibu huku Ubabe hatutaki wasukuma wastarabu, ndoho shida geteh

    • @onesmojustice2348
      @onesmojustice2348 3 ปีที่แล้ว

      Ubabe gani mnataka kulelewalelewa mfanye yenu ya ovyo hiyo haikubariki ukali lazima

  • @bunzarisisa2831
    @bunzarisisa2831 3 ปีที่แล้ว

    Mwehuuuu

  • @mariagodwin7669
    @mariagodwin7669 3 ปีที่แล้ว +2

    Hongera kawachape na watoto wa mwanza

  • @gloriamichael7935
    @gloriamichael7935 3 ปีที่แล้ว +1

    Ndaga chalamila

  • @wachapakazimedia4353
    @wachapakazimedia4353 3 ปีที่แล้ว +1

    Anabajaji 100 alikuwa mfanyabiashara huyo ameivuluga sana mbeya

    • @mwajumabakari3730
      @mwajumabakari3730 3 ปีที่แล้ว

      Wacheni manenonya dhihaka wapi wanachi Wana bajaji kuliko yy

  • @humphreyvidonyi253
    @humphreyvidonyi253 3 ปีที่แล้ว +2

    Huwaga unakiherehere sana

  • @bunzarisisa2831
    @bunzarisisa2831 3 ปีที่แล้ว

    Umefanya mbaya

    • @tonyaron85
      @tonyaron85 3 ปีที่แล้ว

      Hko unaenda kupumzika baada ya mikiki mikiki ya watoto wa mbeya siyo mchezo hawabumbwi ukizingua mbeya ndo wanazingua zaid