ZUCHU AFIKA MSIBANI KUMZIKA MZEE MWINYI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 94

  • @estheraimee8053
    @estheraimee8053 9 หลายเดือนก่อน +5

    Zuhura mtoto Mstarabu Sana 👏👏👏

  • @KassimShora
    @KassimShora 9 หลายเดือนก่อน

    Muombeeni Allah amuongoze msimkashifu Allah husamehe madhambi yote Bora utubu kabla uzito wa mauti kufika kwenye Koo lako

  • @goragora9204
    @goragora9204 9 หลายเดือนก่อน +11

    mashallah mungu akuongoze uendelee kujistiri umependeza sana iyo ndio sifa ya mwanamke stara

    • @soamShs-cp4dl
      @soamShs-cp4dl 9 หลายเดือนก่อน

      Yeye ni muislamu alietoka kwenye mifupa ya uislamu anatakiwa awe mfano kwa wengine aongozwe vipi Tena hayo maïsha ya kukaa uchi kajichagulia hashuo tu ati Mungu akuongoze mambo mengine musimtaje Mungu

    • @tatu5133
      @tatu5133 9 หลายเดือนก่อน

      Kunbe kustir wanaweza wallah nimaksudi2 na tamaa za kidunia😢😢😊

  • @h.alshidhani8971
    @h.alshidhani8971 9 หลายเดือนก่อน

    Huuu ni wakati mgumu kwa Hawa binaadamu. Mwambieni aimbe.. Hasbi allahu Wanamat wakeel

  • @AdamSoldier1999
    @AdamSoldier1999 9 หลายเดือนก่อน

    ALLAH akupe kauli thabit mzee wetu inshaallah💯

  • @MakameMdungi-f9e
    @MakameMdungi-f9e 9 หลายเดือนก่อน +3

    Allah amuongoze aachekukaa uchi na kuimba

  • @CatherineMwakyoma
    @CatherineMwakyoma 9 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu amlaze mahali pema peponi

  • @joyhylton7901
    @joyhylton7901 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤ you Zu

  • @agbordorothy4901
    @agbordorothy4901 8 หลายเดือนก่อน +1

    Love you Zuuh ❤❤😂❤

  • @HudhaimaSeif
    @HudhaimaSeif 9 หลายเดือนก่อน

    Zuchu musilam ndy umeva nn km hujuw mavaz ya kisilam unaiga wabongo

  • @bertywiththepeach3782
    @bertywiththepeach3782 9 หลายเดือนก่อน

    The song title please RIP

  • @MaryamMamaZamda
    @MaryamMamaZamda 9 หลายเดือนก่อน

    Du kweli zuchu.anaugopa msiba wa mzee.mwinyi.baada yakufkilia wakwake itakuwaje.kutwa na vichupi na shindilia

  • @SonNathan-p5c
    @SonNathan-p5c 9 หลายเดือนก่อน +4

    Ila wat ile nikaz yke ya muzik ko muache tu

  • @achatafereche7287
    @achatafereche7287 9 หลายเดือนก่อน +1

    Zuchu wetu ❤❤

  • @FelisterMunissy
    @FelisterMunissy 9 หลายเดือนก่อน

    Unakaa uchi mitandaoni leo unavaa juba siengeenda uchi kama kawaida yako hunaaibu unalaana ww umevaa ngozi ya kondooo ndani si mtu acha kituaibisha mungu atakuadh8bu

    • @Tanafa-j9q
      @Tanafa-j9q 9 หลายเดือนก่อน

      Nyokooo mbwaaa weee

  • @ibrahimlatif1917
    @ibrahimlatif1917 9 หลายเดือนก่อน

    Mshenzi tu huyu mbwa mkubwa mzinifu

  • @Sunflower001-xt3ou
    @Sunflower001-xt3ou 9 หลายเดือนก่อน +1

    Love you zuchu ❤❤❤❤

  • @JohnMchugune
    @JohnMchugune 9 หลายเดือนก่อน +5

    mungu ampoke baba yetu

  • @vickynyakio7346
    @vickynyakio7346 9 หลายเดือนก่อน

    Kwani waislam hamfunzwi umuhimu wa upendo na unyenyekevu...mna chuki sana na kujifanya perfect...unaweza kuwa unajifanya kujistiri sijui nyef nyef zote mnajifanya kama mnaongeanga na Mungu life life... Sasa uko na chuki na kuongea mwenzako vibaya Unadhani Mungu ndio kakutuma you judge others...Zuchu aishi maisha yake atajua na Mungu wake yeah

  • @margaretbirenge4081
    @margaretbirenge4081 9 หลายเดือนก่อน +1

    My baby 4rever ❤❤❤❤❤

  • @ThecklaChembe
    @ThecklaChembe 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mmmmm jamani msibani hpo mbona hvo watu

  • @mohamedimbawala1187
    @mohamedimbawala1187 9 หลายเดือนก่อน +2

    Kwani wewe utaishi milele akuna mkamilifu ndio mana Kuna toba

  • @AswilaSeif
    @AswilaSeif 9 หลายเดือนก่อน

    Majabu Leo umijistr kila siku vichipi🥹

  • @SalmaSalooom-c8q
    @SalmaSalooom-c8q 9 หลายเดือนก่อน

    Punguzeni makasiriko namaisha ya wenzenu kutwa midogo inawezekana we ndo kahaba wakupindukia mzazi kakushindwa fyuuu

  • @amirmohamed2729
    @amirmohamed2729 9 หลายเดือนก่อน

    Leo tena? Wala____

  • @KOMBOKOMBO-g9i
    @KOMBOKOMBO-g9i 9 หลายเดือนก่อน

    Kumbe zuchi pia ana buibui wee makubwa

  • @mohammadoman8963
    @mohammadoman8963 9 หลายเดือนก่อน

    Poleni watanzania

  • @Wastara-ot1lp
    @Wastara-ot1lp 9 หลายเดือนก่อน

    Nikabaya sema tusenti tu shukuru kwahilo

    • @pengefeza2563
      @pengefeza2563 9 หลายเดือนก่อน

      Utalia sana na bado

  • @mukeshimanarose1334
    @mukeshimanarose1334 9 หลายเดือนก่อน

    😊😊🙏❤❤🇧🇮🇰🇪

  • @espy18
    @espy18 9 หลายเดือนก่อน +1

    Zuchu❤❤❤❤

  • @blessmimi
    @blessmimi 9 หลายเดือนก่อน

    Queen ZUCHU ❤️❤️❤️

  • @mwanahkombo9496
    @mwanahkombo9496 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah ❤

  • @Mlasidunia
    @Mlasidunia 9 หลายเดือนก่อน +1

    My queen ❤️❤️❤️❤️

  • @claraluoga6828
    @claraluoga6828 9 หลายเดือนก่อน

    Kwani zuchu naye nimwanaye mwinyi??

  • @OlgaAmboulou
    @OlgaAmboulou 9 หลายเดือนก่อน +2

    ZUCHUUUUU ❤❤❤

  • @MakasWee
    @MakasWee 9 หลายเดือนก่อน +1

    Msogezeni achungulie kaburi aone tueendapo lala

    • @Rahima-kv6mn
      @Rahima-kv6mn 9 หลายเดือนก่อน +1

      Kwani ajui kama tukifa tunaendaga wapi maisha tu kila mtu na utafutaji wake Mungu atupe mwisho mwema sote tunaomba Ilo😢😢😢

  • @Lundege_Hips
    @Lundege_Hips 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ameenda kufanya nini huyu mvaa uchi mastejini

    • @DoreenKemuma-i5k
      @DoreenKemuma-i5k 9 หลายเดือนก่อน

      kama yeye ni mtenda dhambi pia wewe uko hapo nonsense

    • @MaulidMtaji-mc5fr
      @MaulidMtaji-mc5fr 9 หลายเดือนก่อน

      Na wewe umejuaje Kama anava uchi stejini

  • @Wastara-ot1lp
    @Wastara-ot1lp 9 หลายเดือนก่อน

    Ndiomaana haka nenepi nikachawi

  • @marselinarweyemamu4034
    @marselinarweyemamu4034 9 หลายเดือนก่อน

    Huyu zuchu c ni juz akiwa uchi jukwaan mpk anaimba matusi eti hata mumpe Mku....leo keshavaa ijabu dooo

  • @umpump8472
    @umpump8472 9 หลายเดือนก่อน

    Mbona asitembe uchi kawaida yake. Ati ati mwislamu

  • @mohamedali7544
    @mohamedali7544 9 หลายเดือนก่อน

    Mxinifu number one in Zanzibar

  • @shadiwaigwa9230
    @shadiwaigwa9230 9 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana wote

  • @azizamohammed583
    @azizamohammed583 9 หลายเดือนก่อน

    nn makasirikooooo

  • @stanchi138
    @stanchi138 9 หลายเดือนก่อน

    Zuchu nembo ya diamond,

  • @shadiwaigwa9230
    @shadiwaigwa9230 9 หลายเดือนก่อน

    Mvua ni baraka

  • @AlouiseNgenDanDumwe
    @AlouiseNgenDanDumwe 9 หลายเดือนก่อน

    Leo kajistili makubwa

    • @AminiMsellem-gk3yy
      @AminiMsellem-gk3yy 9 หลายเดือนก่อน +1

      Cha msingi kuombeana mwisho mwema usishangae wewe unaejisitiri kila siku mauti yakakukuta gest na chupi tu Tuombeane mwisho mwema 🙏🙏🙏

  • @fitinakipita6813
    @fitinakipita6813 9 หลายเดือนก่อน

    Yanawausu kila MTU anazambi zake

  • @1961nungwi
    @1961nungwi 9 หลายเดือนก่อน

    Huyo aliyempokea nani?😊

    • @ErickyKibuyu-rp6lx
      @ErickyKibuyu-rp6lx 9 หลายเดือนก่อน

      Usalama unazani Nani?😅😅😅😅

    • @1961nungwi
      @1961nungwi 9 หลายเดือนก่อน

      @@ErickyKibuyu-rp6lx nimemfananisha na Fulani😂😂

  • @MichaelMwasenga-jo3dq
    @MichaelMwasenga-jo3dq 9 หลายเดือนก่อน +1

    diamond platnumz yukowap

    • @mercybarasa3674
      @mercybarasa3674 9 หลายเดือนก่อน

      Alifika mbele ya Zuu

  • @shadiwaigwa9230
    @shadiwaigwa9230 9 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah

  • @mayazuri8
    @mayazuri8 9 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂hahahah

  • @HUSSEINALLY-b7f
    @HUSSEINALLY-b7f 9 หลายเดือนก่อน +1

    Wacha aendeleekucheza uchi jukwaani.hapo kwenye kifo ndo mwisho

    • @elizabethchabluma-zw5qz
      @elizabethchabluma-zw5qz 9 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe vp hii ni safari yetu wote hata wewe mtoa tigo mwisho wako utakuwa huo hakuna mtu anae weza kumuhukumu binadamu mwenzie kima wewe

    • @AminiMsellem-gk3yy
      @AminiMsellem-gk3yy 9 หลายเดือนก่อน +2

      Usimuhukumu mja muombee mwisho mwema hata wewe una makosa kwa mungu cha kuomba Allah atupe mwisho mwema 🙏🙏🙏

    • @Jimmy12692
      @Jimmy12692 9 หลายเดือนก่อน

      Nyie Makuma huyo ni masanii sio Sister wala shehati msanii anatakiwa kutengeneza upekee kwenye kazi zake kuanzia mavazi hadi music wake kila vazi lina sehemu yake yani nguo za church unataka kutuvalia Club😂😂😂 nguo ya beach unatuvalia mtaani acheni undezi Vijana wengi bongo mnasumbuliwa na tatizo la Afya ya Akili 😂

  • @kakazkanda
    @kakazkanda 9 หลายเดือนก่อน +1

    👁️👁️

  • @LailaMilaji-qc6bi
    @LailaMilaji-qc6bi 9 หลายเดือนก่อน

    Hacha ubwege wewe huyu mwanamuziki huliona wapi mwanamuziki kuvaa dira

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 9 หลายเดือนก่อน

    Mnamikogo mpaka misibani

    • @foodbasiccourt2028
      @foodbasiccourt2028 9 หลายเดือนก่อน

      Msiba ni celabration ya maisha hapa duniani umekomment kimaskini sana

    • @selemankishema5780
      @selemankishema5780 9 หลายเดือนก่อน

      @@foodbasiccourt2028 pumbavu calebration?

    • @LevinaSowa
      @LevinaSowa 9 หลายเดือนก่อน

      Hati

  • @hailinhelen4675
    @hailinhelen4675 9 หลายเดือนก่อน +1

    msibani tu ndio watu wanajuwa kujistiri shenzi weye si ungekuja na vichupi vyako tu shenzi typ weye ..potelea mbali mkutakana tukaneni mpaka mchizike sijali wala nn

    • @AminiMsellem-gk3yy
      @AminiMsellem-gk3yy 9 หลายเดือนก่อน +3

      Tuombeane mwisho mwema usikute wewe unaejisitiri kila siku kifo chako kikatokea gest na mume wa mtu au mke wa mtu na chupi mkononi cha msingi Mungu atupe mwisho mwema 🙏🙏🙏

    • @antonywilliama2868
      @antonywilliama2868 9 หลายเดือนก่อน +2

      unajakasiriko ya nn kwa mungu kila moja taenda pekee yake hat ww unajifanya mwema utakufa tu

    • @Meryda623
      @Meryda623 9 หลายเดือนก่อน +2

      Ulitaka avae hivyo akiwa anaimba we vip kwanini unamwongelea hivyo

  • @AshaSalum-v6e
    @AshaSalum-v6e 9 หลายเดือนก่อน +6

    ALIYEKWAMBIA KUJISTIRI NI MSIBANI NANI??MAANA KUTWA NA VICHUPI.MUOGOPE MUNGU WAKO WEE ZUCHU.

    • @benadethamwenda
      @benadethamwenda 9 หลายเดือนก่อน +1

      Vichupi vinavaliwa kwa malengo akiwa kazini,😏😏

    • @AnnaMakunja-qk3xw
      @AnnaMakunja-qk3xw 9 หลายเดือนก่อน +2

      Khaaaaa jinga kabisa huyu Sasa ulitaka nahapo msibani aende navichupi kama huna oja c unakaa kimya vichupi akivaa c nikazini chupi ww

    • @rereshap9416
      @rereshap9416 9 หลายเดือนก่อน

      Kama wewe unaweza tembea utupu kabisaa !
      Ni khiar yako.
      Ya ngoswe muachie mwenyewe.

    • @MdNasr-jm8pj
      @MdNasr-jm8pj 9 หลายเดือนก่อน

      Ndo msibani hawez kuenda na chup😢

    • @salmakhalid6196
      @salmakhalid6196 9 หลายเดือนก่อน

      Hebu jamani mwacheni mtt WA mwanamke wa watu, mmemsakama kutwa yupo midomoni mwenu kwa mabaya

  • @ahmedelalawy639
    @ahmedelalawy639 9 หลายเดือนก่อน

    huo msiba haumuhusu huyu changudoa