Baada ya Gari la Msafara wa Ali Kiba Kugoma, Hiki Ndicho Kilichotokea
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 1 ม.ค. 2025
- MSANII mahiri wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Ali Kiba mara baada ya kuwasili katia uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwl. Julius Nyerere akitokea South Africa alikoenda kukabidhiwa tuzo yake ambayo alishinda lakini yakafanyika magumashi na kupewa msanii mwingine.
Baada ya kuwasili uwanjani hapo, Ali Kiba alipokelewa na nyomi ya mashabiki wake waliokuwa wakimsubiri kwa hamu, ambapo alipata nafasi ya kuzungumza machache kabla ya kuingia kwenye gari maalum lililokuwa limeandaliwa, kisha kuondoka huku akisindikizwa na mashabiki wake ambao walionekana kulalamika kutokana na gari alilipanda Kiba kutokuwa na sehemu yenye kufunguka kwa juu ambayo wangeweza kumuona, jambo lililosababasha Abdu Kiba kupigiwa simu na kisha kuleta gari yake yenye kufunguka juu ambapo furaha ya mashabaki wake ilirudi na kisha wakaunga msafara kumsindikiza huku wakiimba nyimbo zake kwa shangwe.
kabla ya kukabidhiwa tuzo hiyo ya MTV, licha ya kushinda, alitangazwa msanii mwingine, Wiz Kid kwamba ndiye aliyeshinda lakini baada ya menejimenti ya msanii huyo kusimama kidete, baadaye MTV wakakiri kwamba mshindi halali alikuwa ni Ali Kiba na kuahidi kumpa tuzo yake, jambo ambalo hatimaye limetimia.
ALIKIBA| MTV| TUZO| KIBA| AJE| KING KIBA|
kiba wewe nimsanii mwenye sauti ya kipekee sana, kazi nzuri
kukaa kwenye game kwa kipindi kirefu alafu bado unakubalika hiyo ni ishara tosha ya kuitwa king ,, we love you Kiba kenyan fan here
mungu akulinde na kila shari za waja in sha Allah kiba
Kazi kubwa xana mungu akuongenzee unjuz mkubwa alikiba ni msaniii ambae anafanya Kazi kwa uelend mboraa na wahali ya yuuu
Ali kiba we love you from Kerry
uko juu bb
Mungu akupe maisha mrefu king kiba no one like you brother
Ally kiba love you nakukubalisana
thank you Ali k
east west king is the best keep it up
ali kiba king tuko pamoja hadi OMAN MUSCAT
Zuweina Alhabsy haya bhana
Zuweina Alhabsy haya bhana nimekubali
Zuweina Alhabsy kweli kabisaaa
Zuweina Alhabsy mmmmmmh haya bhana
oyoooooo kiba forever
pamoja king kiba mpaka Qatar
that is a gentleman
Noma sana
hongera kuitangaza tzn
king kibaaaaaaaa
Nijambo jema lakini
Jamaa Yuko poa sana he's HuMble
WATASEMA SAAANA, LKN WEWE NDO KING WA MUZIKI HAPA BONGO.
may yu live long kiba king
nampend Ali Kiba sio brother men
God bless him
king kiba baby pamoja sana...
king sikuzote ni 👑
kibaaaaa iyooooooo
wasikutishe luminati
nakupendaga sana king
nakubali
safiii
kiba💪💪💪💪
nakukubal king kiba
king Ali kiba juu nikiwa huku dubai
oyoooooooooooooo congratulations Kiba
That's good
daaaah kiba maskin 😀😀😀😀sa umevaaje mmmmh 😷😷😷😷
joyce michael love love ulitaka avaaje
joyce michael love love vp kwani amevaa vibaya dada
jamni naipenda teama Diamond naomba wasije wakapatana maana asingekuwa diamond muziki wa Tz ungekufa kabisa
Kingkiba on top
lov dat
king ndo king
master wa master
together ma broo king kiba
werraaa💪
Jamani sio kipensi icho tumachi
Ataliiii king kibaa
nomaaaaaaah
Ukiwa nanyota ya mende aji mtu apo zaid yamama yako
King
king kiba noma
mpka raha jmn
🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼
TANZANIA KUMBE NI RAHA HIVI...YAANI WANAYO MINGI YAKUWAWEKA HAPPY😅
Jmn c ningekuepo tuh....
ni knoma
like lupelaaaaa na inapendezaaaaaa tixhaaaaa king
king kibaaaaaa noma
Jane Edward mwangoma.kwani mondy yeye nani mpaka unasema asingekuepo mondy mziki usingekuwepo.kwani hapo hawali walivyokuepo kina afande sele dully nawengine wengi mziki ulikua haupo .mbona ulikuepo kabla ya uyo mondy wako ajaanza mziki.kuanza mziki juzi tu unaanza kumshobokea loo keakipi hasa .
Cute
ivi mnalipwa
timu domo naona midomo wazi
global tv mimi nikama nyinyi mimi ni editor ,kunakipande nimefanya angalieni kina itwa yaliyotokea tanzania,chekini global tv nipejibu nipoa
AKILI ZA KWENYE MATAKO NDO ZINAZOSUMBUA WATUU!!
was Oman nichek
Alikiba ww unajua huna mpizan tz hii
hayo maandishi yako yanaharibu utamu bora ondosha video yenyewe pia
hii ni video ya aina gani maadish mtu haoni
Nyokabi Waweru hapakosagi choko aliyepagawa hawachelewi kutoa kosa visivyo vya msingi
hatar king
Mpaka tuzo
oyoooooooi
Afu kuongea na watu jamaa bado duh
inabid wakamatwe wanavunja sheria ,sheria hailusu kukaa juu ya gari
emmanuel asheri hiyo ni wivu brother
emmanuel asheri
sheria hyoo vepeeee
emmanuel asheri sheria ya nyumbani kwani hio
emmanuel asheri 😂😂😂
global tv mkovizuli
Kipenzi cha watu
F**** off GlobalTv inakuhusu Kama ame codisha gari Kila mtu hata Kama anagari ako na safari anaacha atatumiya za wengine
Kiba nakukubalxna
Amevaa boxer hahahaaaa
Babu yko ndo kavaa boxer
less wa nyika
kiba wewe nimsanii mwenye sauti ya kipekee sana, kazi nzuri