Nandy Mungu akubaliki sana mi kitu kimenifurahisha kukubali kumubebea mimba Billnass mzazi mwezako mi nawapenda sana na Mimba tumeifurahia sana juu niwengi wanatafuta wakishafanya harusi arafu mimba inakosekana
Mnafurahia kuwa Dandy anamimba , mimba ni baraka ukiwa umeolewa unazaa mtoto out of maried no dhambi Tena kubwakwa Mwenyezi Mungu kesho kunaadhabu zake hamjuwi watu wanajifanyia, tumuogope Allah watu wanaona fahari kuzaa bila mume ao nje ya ndowa tuwe naoga kwa Allah
Watoto wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa bwana asema Sasa wew mtot wa kike huende ukajianike tumbo mwaaa tena uzaz wenyew huu ni wa kwanza jaman jaman sisi tutabak kuwa wa africa tu mambo ya kina rianna tuyaache kama ya livyo hv ni macho mangap yanalitazama hilo tumbo jaman mtu akiguna tu bila ata uchawi tayar anakuwa kashakuwekea husda dah aya bana ya ngoso tuwaachie kina ngoso
Kitchen party....kibao kata....send off....then harusi yenyewe. Plus mimba mamii uko vizuri mashaallah wengine hapo sa hixi ingekua tunajitemea mate tu no make up..usingizi kama wot...uso haielezeki. Congratulation my dear
Toa makasiriko hapa kujikuta mtakatifu kumbe lizinzi kafiri ni ww mzinifu ....kwan uongo kibao kata wanafanya waislam sana tho sikuhiz wanafanya watu wote
@@noorynmohammedy6063 Kwenda uko mpumbavu mmoja mnakera kujikutaga watakatifu kuwaita wenzenu makafiri wakat mnamadhamb kibao tu sikulaum wewe nawalaum wazaz wako wazinifu kukulelea choon ndio maana mnakurupukiaga mambo yasio wahusu kuwaita watu makafiri mbweha ww
Hongera sana Nandy umependeza sana nakuombea kwa mwenyez Mungu ujifungue salama.
najua kila mtu anafuhia mapenzi ya bill nass na nandy na kupata mtoto ni jambo kila mtu amefurahia ❤❤
Nandi nakutakia kila LA kheri Mwenyezi Mungu akujalie salama ihshallah
Congratulations Nandy May God bless you and your hubby ❤️ you 🙌
Yan we nandy nakupenda mbaka naumwa🌺
Hongera Sana my dear nakutakia safari njema MUNGU akuongoze
KUNA watoto wanakupa NGUVU MUDA wote .MUNGU akupe kila jema 🙏🙏
Hongera sana nandy Mungu akutangulie. Huyo mtoto atakuwa wa kiume
Kbsa
Nandy congratulations 🎊 soon your in the team 👏 💙 ❤ mothers and God bless you 🙏 .
Mashaa allah ongerah Dada yangu mpendwa
Congratulations bilinand God
bless you and your family
Amina woooo nimekuombea sana na imekuwa
Kusema kweli nakupenda tu mwenyezimungu akusimamie ktk ndoa yako ♥️♥️♥️
Nandy Mungu akubaliki sana mi kitu kimenifurahisha kukubali kumubebea mimba Billnass mzazi mwezako mi nawapenda sana na Mimba tumeifurahia sana juu niwengi wanatafuta wakishafanya harusi arafu mimba inakosekana
Masha Allah God is Good may God bless your ❤❤❤❤😘😘🤲🤲🤲🤲👏🇰🇪🇰🇪
Mungu akulinde wewe mdada kavumilie kwa ndoa yako jman
Nakupendaje Faustiner be blessed d
Mungu akubariki sanaa
Nandi nakupenda cn allaakujaaliye maidhamaregu
Nasisi tunakupenda nandy♥️♥️
Hongera dada Nandy . Mungu awape nataka ktk ndoa yenu.❣️🌹
Mwenyezi Mungu akutangulie katika safar Yako ya ndoa na ukajifungue salama, Amen
Baraka. Za mungu
Mungu akujalie mamy
Woow mashaa allah
mungu akujalie nandi ,,kila la kheri
Tunakupenda piaaaaaa
Hongera Nandy nakupenda Sana
❤❤❤❤❤❤❤❤❤ ue Mrs William
hongera saaana
Mungu akufanyie wepesi🙏🙏
Excellent my dear,,,@official Nand
Safi.sana.nandy..mtoto.nimtoto.mungu.hapangiwi.
Nandy nakutakia kila la kheri nakupenda sana
Mnafurahia kuwa Dandy anamimba , mimba ni baraka ukiwa umeolewa unazaa mtoto out of maried no dhambi Tena kubwakwa Mwenyezi Mungu kesho kunaadhabu zake hamjuwi watu wanajifanyia, tumuogope Allah watu wanaona fahari kuzaa bila mume ao nje ya ndowa tuwe naoga kwa Allah
Amiiin
Ssa ulitaka atoe au
@@hawahosseni7695 kwani kuzini lazima?
Achen kumnenea vibaya kama waona kakosea muombee Toba na rehema za mwennyez MUNGU, and wataka watu wamchukie au , mtoto ni baraka bana
Uckute ww pia ulizaliwa bila ndoa unatoa ukum ww ni Mungu achen ushamba tuombeane tu
Congratulations 👏
Kila lakheri Dada tunawatakia
Love you nandy 🥰🥰
Hongera sana
Nic San nandy
Congratulations my Sister God bless you and your family 👪 ❤ 🙏
Nice Dada angu 🥰😘
Nawatakia kila la kheri katika ndoa yenu Bilnas na Nand.
Watoto wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa bwana asema Sasa wew mtot wa kike huende ukajianike tumbo mwaaa tena uzaz wenyew huu ni wa kwanza jaman jaman sisi tutabak kuwa wa africa tu mambo ya kina rianna tuyaache kama ya livyo hv ni macho mangap yanalitazama hilo tumbo jaman mtu akiguna tu bila ata uchawi tayar anakuwa kashakuwekea husda dah aya bana ya ngoso tuwaachie kina ngoso
Nikipindi Cha kuwa karibu na mungu zaidi ya chochote ujauzito unamengi
Kwakweli
Nakutabiria mtoto wa kike nandy na ukipata mpe jina la Happy hongera mno.
🤣🤣🤣make kwanza nchekeee kwani mimba ulimpa ww jmn
@@akxakalapa8950 😂😂😂Jamanii 🤣🤣🤣
@@سلمىبوروندي 🤣🤣
Mtoto wakiume huyo
Anazaliwa wakike🙏❤
Kitchen party....kibao kata....send off....then harusi yenyewe. Plus mimba mamii uko vizuri mashaallah wengine hapo sa hixi ingekua tunajitemea mate tu no make up..usingizi kama wot...uso haielezeki. Congratulation my dear
Ndio hivyo kila mmoja ale kwa urefu wa kamba,,,,ukitaka kujitutumua utaumia
Umesahau ile ya muda wote kukunja uso kisilani kama chote
🤣🤣🤣🤣🤣
Pua tu ndy imekuwa kubwa😃😃
@@teddygabriel5662 😁😁😁😁
🥰🥰
Mtoto Ni mtoto aliyeko nje na ndani ya ndoa wote watoto
Iko alichoshika nandy ni nn nambie c wengine washamba kuuliza x ujinga nataka kujua🤭🤭🤭🤭🤭
Kifeni ch mkonon 😝
Mm mwenyw bado sijakielewaa ni kitu gani
Ni kifeni Cha mkononi unakichaji kama simu
❤️
Jamani mm najiuliza. Utafunga je harusi na hilo tumbo?? 🤔🤔 tatizo munakuwaga mna fatiliya wama rekani
Maamuzi yake,,we unafata kila kitu😏
Hivi hicho ni kifenii au ansejuaa
Hapana chezea mimba uzuri wote wa nandi leo hujui ni nandi au ni nani duuuuuu
🤣
Wasichana waki bongo ni washamba sana! Limbukeni wa maisha X 1000 😓😓😓
Wivu huo
Kla la kheri mdogo angu
Shkamoo mimba ,no kuvaa uchii avae uchi bac hahhahahahahahahahahaha mimba ndo kila mtu anavaa nguo kubwa hapo mungu kaweka usawa
Maamuzi tu mbna akina Rihanna wamejiachia sana tu
😎😎
Hai weeeeh kibao kata co cha waislam rabda cha makafiri usirudie hyo kauli kma ujuh uliza
Toa makasiriko hapa kujikuta mtakatifu kumbe lizinzi kafiri ni ww mzinifu ....kwan uongo kibao kata wanafanya waislam sana tho sikuhiz wanafanya watu wote
@@zenarupia544 ssa hpa mwenye makasiliko nani kma co ww kafili mwenzie mzinifu ww na baba yko na mama yko nguruwe poli www fyoooo
@@noorynmohammedy6063 Kwenda uko mpumbavu mmoja mnakera kujikutaga watakatifu kuwaita wenzenu makafiri wakat mnamadhamb kibao tu sikulaum wewe nawalaum wazaz wako wazinifu kukulelea choon ndio maana mnakurupukiaga mambo yasio wahusu kuwaita watu makafiri mbweha ww
@@noorynmohammedy6063 kajifunze kuandika na kusoma ndio uje ucomment ushuzi usiejua kutofaurisha r na l mshamba mmoja!!
@@zenarupia544 zena my wangu🍹karibu 😆😆😆😆😆😆😆😆ata sijui wana jikutaga nani alooooooo😝😝😝😝😝
Nakupnda nanakupnda tna nandy
🤐🤐🤐
Ongela yako Sasa ndoa Gani na mimba Tena
th-cam.com/video/mYMMNEgTW4M/w-d-xo.html
Vimba cover by Tutty.....#mauasama
🙄🤔niulize jamani hicho alichoshika nandy NI nini?!
Feni ya mononi...anajipepeq
Feni
Hili swali nilikuwa nalisubiria nimepata majibu
@@maryamconstantine2232 ndio my fen ilo rabda kutokana na hali yake muda wote anajickia joto
Hand fan
Penda nandy
Icho alichoshika ni nn
Ki fan Cha kushika
Hongera Nady
Fen
Kifeni, kwa joto la dar moyo lazma uwende kas, utazimia
@@miriamwinston9908 🤣