SHULE YA UDONGO NA MITI ILIYOZUA GUMZO ARUSHA, RAIS SAMIA ATOA FEDHA IJENGWE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 พ.ย. 2021

ความคิดเห็น • 36

  • @renatusrevocatus3895
    @renatusrevocatus3895 2 ปีที่แล้ว

    Situliambiwa tuko uchumi wa KATI. Watu mkakubali kudanganywa tu. Let the movie continue...tutaona mengi

  • @NDEWARA
    @NDEWARA 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana Raisi mama Samia. Huu ni uwekezaji muhimu sana kwa maendeleo ya taifa letu. Maendeleo ni WATU. Maendeleo ya kudumu huwekezwa kwenye elimu ya watoto wetu

    • @alimakame9215
      @alimakame9215 2 ปีที่แล้ว

      Mbona Zanzibar izo tozo za miamala hamzungumzii wakati hats sisi tulip kuwepo Zanzibar tunakatwa kwenye simu

  • @magretkijanga6038
    @magretkijanga6038 2 ปีที่แล้ว +1

    Miamala lkn kazi nzuri sana,

  • @whatisthetruth.8793
    @whatisthetruth.8793 2 ปีที่แล้ว +1

    Kiongozi anasifia madarasa 4 yanajengwa halafu ni mabanda ya kuku , na mbuzi duh 🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️

  • @ramadhanimbulu6716
    @ramadhanimbulu6716 2 ปีที่แล้ว +1

    Mnaona kama mnafanya kampeni ila watanzania wa Leo sio wa jana.Miaka 61 ya Uhuru bado tuna while za nyasi?

  • @johnkyara2016
    @johnkyara2016 2 ปีที่แล้ว

    Haya maviongozi natembea mengi project ndogo akili zao hovio

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 2 ปีที่แล้ว

    Nchi iko nyuma sana Kwa nini mishahara ya watu serikalini na bungeni ikatwe ili kuingiza kwenye miradi ya kijamii. Hata hospitali nyingi zinazojengwa majengo sio wanayojenga karne ya 21, hospital zote jengo la kwanza ukiingia ni emergency department

  • @magretkijanga6038
    @magretkijanga6038 2 ปีที่แล้ว +1

    Maji chimbeni kisima hapohapo ili watt wafaidike

  • @aminahamisi8987
    @aminahamisi8987 2 ปีที่แล้ว

    Jaman nashkuru Sana mama Samia lakin ningewaomba wananch binafsi tushirikiaane na mama yetuu tuwajengee wanafunzi Hawa inauma sanaaa 😩😫

  • @demycratia2567
    @demycratia2567 2 ปีที่แล้ว

    KAZI kweli kweli Kuna kitu kinakosewa HEBU WATU WAWE NA UHURU WANA REPORT VITUKO KAMA HIVI STRAIGHT KWA WAZIRI KAMA LUKUVI NA WAZIRI GWAJIMA WAMETOA NAMBA NA EMAIL ZAO

  • @azizaabubakar5595
    @azizaabubakar5595 2 ปีที่แล้ว

    Alafu maafisa elimu wapo wanskula mishahara waziri yupo mkuu wamkoa yupo mkuu wawilaya yupo

  • @danielkabigili875
    @danielkabigili875 2 ปีที่แล้ว

    If you are a leader you are not serious!!

  • @jacksongidion5170
    @jacksongidion5170 2 ปีที่แล้ว +1

    Hatar

  • @danielkabigili875
    @danielkabigili875 2 ปีที่แล้ว +4

    Ni aibu kubwa mnadiliki hata kuonyesha kwenye media???

  • @paullupembe4247
    @paullupembe4247 2 ปีที่แล้ว

    Aibu kubwa mnooo

  • @edinachami4318
    @edinachami4318 2 ปีที่แล้ว

    Tz bado iko nyuma sana 🤣

  • @demycratia2567
    @demycratia2567 2 ปีที่แล้ว

    Madarasa. 4 HAYATOSHIII, PESA MBONA NYINGI KWA NINI MADARASA MANNE?? DINNING HALL, LIBRARY, EMERGENCY VEHICLE, MADACTARI, EMERGENCY KITTS, SPORTS, KIWANJA CHA MPIRA BASKET BALL VOLLEY BALL ELECTRICITY

  • @medardkiheka4447
    @medardkiheka4447 2 ปีที่แล้ว

    Halafu kuna watu wanakwambia Tanzania ni kama Toronto

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 2 ปีที่แล้ว

    Hivi viongozi mbona mnakuwa na akili uozo Kwa nini msiombe msaada wa modern model za shule kutoka nchi zilizoendelea, au mtutumie watu wa diaspora ambao wanajua wawape maarifa vitu gani ni muhimu viwe kwenye shule .

  • @edigajoseph5130
    @edigajoseph5130 2 ปีที่แล้ว

    Serikari ya Ccm toka 1962 mpaka leo mnaezeka makuti?👉😁😁😁

  • @lucyanthony1365
    @lucyanthony1365 2 ปีที่แล้ว

    Kwani hakuna vigezo vya usajili Wa shule??

  • @thomasmunis9814
    @thomasmunis9814 2 ปีที่แล้ว

    viongozi wanakula pesa za bure kabisa u

  • @saidbakari1127
    @saidbakari1127 2 ปีที่แล้ว

    Ni Mambo ya aibu Sana mbunge yupo wap mkuu wa wilaya n.k

  • @methodiutou7278
    @methodiutou7278 2 ปีที่แล้ว +3

    Hivi mbunge wa uko alikuwa wapi miaka yote? Diwani nae alikuwa anafanya kazi gani? Ki ukweli ni aibu! Sikuwahi kuwaza kama kuna kitu kama hiki Tanzania. Mama Samia tuma watu wako wachunguze Cz huenda kuna changamoto nyingine za ajabu zaidi

    • @demycratia2567
      @demycratia2567 2 ปีที่แล้ว

      Sasa hata MJUMBE alikua wapi na diwani. Je wanafaa kuendelea na kazi? Unauliza wabungee unachekesha hujui WANALALA bungeniii wakiamka POSHO iko mfukoniii

    • @hamidaala2832
      @hamidaala2832 2 ปีที่แล้ว +1

      MpakaleoZipoZamiti😭😭😭😭

  • @jamesvmusic2677
    @jamesvmusic2677 2 ปีที่แล้ว

    Asante Mama yetu👏👏👏🙏🙏

  • @Ndu-wa.uroony2
    @Ndu-wa.uroony2 2 ปีที่แล้ว

    Eti asante mama yetu. Loooh! ajabu sana

  • @peterkichochi7510
    @peterkichochi7510 2 ปีที่แล้ว

    Huu ni utoto kabisa.

  • @mcpambe8063
    @mcpambe8063 2 ปีที่แล้ว

    Still a joke!

  • @demycratia2567
    @demycratia2567 2 ปีที่แล้ว

    AAA jamani Tanzania ya Leo kweli hiyo NI SHULE MBONA TUKO NYUMA NA MAENDELEO HAYA... IUNDWE KAMATI YA UCHUNGUZI YA HIZI SHULE NA DISPENSARIES VIJIJINI