Njia 5 za KuSAVE/AKIBA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 63

  • @sharifaiddi5064
    @sharifaiddi5064 6 ปีที่แล้ว +5

    Nakupenda ndo kitu naweza kuambia kwa hii video nimekuwa nakufuatilia katika mapishi sikuwahi jua kama una video za hivi Mungu akubariki

  • @remigiusdeogratius8294
    @remigiusdeogratius8294 6 ปีที่แล้ว +7

    Saving is all about Discpline towards your goals

  • @mandyfitnesstv6738
    @mandyfitnesstv6738 7 ปีที่แล้ว +10

    Hii video imenisaidia sana nilikuwa nafulia Lakini sasa hivi nina uhuru wa kifedha nashukuru.

  • @mezani782
    @mezani782 5 ปีที่แล้ว +1

    Video nzuri...points zinaeleweka kabisa...

  • @eliudimwigi8368
    @eliudimwigi8368 6 ปีที่แล้ว +2

    Ahsante sana Dada kwa mafundisho haya mazuri

  • @tricycharly
    @tricycharly 6 ปีที่แล้ว +2

    Nimejifunza kitu. Asante mpz

  • @benmunisi3469
    @benmunisi3469 6 ปีที่แล้ว +2

    nakufatilia sana dada yang big up kwa hichi unachotupa

  • @braineltzmusicbraineltzmus6764
    @braineltzmusicbraineltzmus6764 7 ปีที่แล้ว +1

    respect sister Niko pamoja na wewe by brainel Tz official music

  • @kanasiamtui9816
    @kanasiamtui9816 6 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akubariki

  • @danielulomi8994
    @danielulomi8994 6 ปีที่แล้ว +2

    sikupingi dada asante kwa somo zuri

  • @pudensianalinwatu5320
    @pudensianalinwatu5320 5 ปีที่แล้ว +1

    Naelewa kama nmemaliza shule jana ubarikiwe dada yangu

  • @lichadavid7677
    @lichadavid7677 7 ปีที่แล้ว +4

    mungu abariki kazi ya mikono yako

  • @mammiejeyb6771
    @mammiejeyb6771 7 ปีที่แล้ว +3

    ok.my dear nipo job.Kenya.napokea 24000.but nauliza.katika uwo mshahara nitumie ngapi nisave ngapi

    • @MegatHomeSwahili
      @MegatHomeSwahili  7 ปีที่แล้ว +1

      Kwa mwezi ni vizuri kuanza kusave 10% ya mshahara wako, kwahiyo kama unapokea 24,000 basi save 2400. Matumizi ya lazima itakuwa 50% ambayo itakuwa 12,000. Matumizi ya ziada 30% ambayo itakuwa 7200.
      KWA MAELEZO ZAIDI JINSI YA KUANDAA BAJETI check hii video yangu
      th-cam.com/video/HoGwBDthzsY/w-d-xo.html

  • @annabenpol3866
    @annabenpol3866 4 ปีที่แล้ว

    Nimeipenda hii...

  • @RED-kr5vc
    @RED-kr5vc 6 ปีที่แล้ว

    viti vinacheza au vinaitikia? sijaelewa

  • @masomoyakarne5122
    @masomoyakarne5122 6 ปีที่แล้ว +2

    Umenisaidia madam!

  • @CHIEFBARUTV-e5e
    @CHIEFBARUTV-e5e 6 ปีที่แล้ว +3

    vizuri sana

  • @sundaymariba360
    @sundaymariba360 6 ปีที่แล้ว +4

    Asante mamaa

  • @raysalsalym6179
    @raysalsalym6179 7 ปีที่แล้ว +2

    ubarkiwe. mungu akupe umri. nme gain hpo

    • @ramadio968
      @ramadio968 5 ปีที่แล้ว

      Raysal Salym

  • @erickdioniz8277
    @erickdioniz8277 2 ปีที่แล้ว

    Safi

  • @empoweredentrepreneurworld7446
    @empoweredentrepreneurworld7446 6 ปีที่แล้ว +2

    Good Good Godbless you

  • @samsan95tvlaizer59
    @samsan95tvlaizer59 7 ปีที่แล้ว +4

    good job my ccter nakupendaga bure

  • @kamandab7976
    @kamandab7976 7 ปีที่แล้ว +1

    Ongera Dadangu nimependa elimu yako keep doing it

    • @ggabo3222
      @ggabo3222 7 ปีที่แล้ว

      checkhizipia

  • @jerryjuma1339
    @jerryjuma1339 2 ปีที่แล้ว

    namba yako ya WhatsApp ni ipi dada yangu? Kuna kitu nataka tuongee

  • @erickmsallenge3724
    @erickmsallenge3724 7 ปีที่แล้ว +1

    Asante,somo zuri

  • @happyedson1406
    @happyedson1406 5 ปีที่แล้ว

    Barikiwa mom

  • @mamapekupekupilipilimuwash9016
    @mamapekupekupilipilimuwash9016 7 ปีที่แล้ว +3

    ww mdio mwanamke bora

  • @mwandoimma123
    @mwandoimma123 6 ปีที่แล้ว +2

    Nc one

  • @josephatjohn2125
    @josephatjohn2125 6 ปีที่แล้ว

    samahani kuuliza sasa kama utakuwa unaweka akiba kwanza alafu siku ikitokea tatizo kubwa si itakulazimu kutumia kiasi chote na akiba yako itakuwa imekwisha?

    • @MegatHomeSwahili
      @MegatHomeSwahili  6 ปีที่แล้ว

      +Josephat John huo ndio umuhimu wa kuweka Akiba, tatizo likitokea hauadhiriki kwani umeshajipanga kukabiliana na hilo tatizo. Alafu unaanza kusave tena kwa matatizo ya mbeleni.

    • @hamisa3447
      @hamisa3447 6 ปีที่แล้ว

      ndugu jitahidi uku unaweka akiba uku unafanya kitu maana ata mie nilikuwa naweka ila likaja tatizo yote ikaishaa yaan nusu weka nusu tumia

  • @davidphares5316
    @davidphares5316 7 ปีที่แล้ว +4

    mi namajukum home family yote inaniangalia mm mshahara wangu kwa mwezi laki 3 na nipo oman nifanyeje ili nipate kumalizia nyumba yangu hatua niliyofikia nipo kwenye kench lakini hizo kench hata kununua bado cjui napunguza vipi hiyo bajet

    • @MegatHomeSwahili
      @MegatHomeSwahili  7 ปีที่แล้ว

      Jitahidi kupitia Matumizi yako na kuacha Matumizi yasio ya lazima. Angalia ni mambo gani ambao ni muhimu na yenye thamani kwenye maisha yako na familia yako. Mambo yasio yalizima acha ili uweze kusave. Kama umeshajibana vyakutosha basi tafuta kipato cha ziada au endelea na ujenzi taratibu kadiri ya uwezo wako.

    • @renaldakamugishazeramulake940
      @renaldakamugishazeramulake940 7 ปีที่แล้ว

      David Phares weeeee laki 3! Huo mshahara laki 3 ulishazuiliwa na ubarozi. KM unakuja kwa mara ya kwanza OMAN mshahara ni laki 450, yaani unatakiwa upewe rial 80 ZIDISHA mara 5500 unapata Tsh .Km laki 470. Unaporudi mara ya pili km ni tajiri huyo huyo anatakiwa akupe riali 100. WAOMBE kwa upole waeleze una wazazi na watoto wote wanakutegemea ukiona hawataki waambie Mimi kazi basi narudi nyumbani walahi utaongezwa japo km alikuwa anakupa 60, atakuwa 75 au 70. Mimi niko Oman pia napata rial 150, tena kwa kazi za ndani ila Jumba ni kubwa sana. Wetu wangu ni 4, ijumaa ndio wanakuja watoto wake 5.

    • @gloriachristianshirima5001
      @gloriachristianshirima5001 6 ปีที่แล้ว +1

      Huko oman unafanya nn usirud kama unapokea laki 3'bora urudi

    • @fofomohammed6253
      @fofomohammed6253 6 ปีที่แล้ว

      David Phares Mimi pia tupo sawa kwenye majukumu

    • @rahimaaaaa8699
      @rahimaaaaa8699 6 ปีที่แล้ว

      MmmmTz hakuna kazi za mshahara laki 3? Mbona unatuma aibu ndg yangu.

  • @rahmasellemani4563
    @rahmasellemani4563 7 ปีที่แล้ว +2

    mashaallah

  • @faridahussein350
    @faridahussein350 5 ปีที่แล้ว

    Je unawezaje kulipa madeni na wakati huohuo ukaweka akiba, na bado familia inakutegema wewe?

    • @MegatHomeSwahili
      @MegatHomeSwahili  5 ปีที่แล้ว

      Hapo ndio unatakiwa kuangalia jambo ngani ni muhimu Kwanza, kwa mfano wako unaweza kusaidia familia Kwanza kadri ya uwezo wako, Kisha panga utaratibu wa kulipa madeni, halafu weka akiba.

  • @shedsmicharazo7308
    @shedsmicharazo7308 6 ปีที่แล้ว

    Naomba NAMBA zako mwaya

  • @joyceabdallah465
    @joyceabdallah465 7 ปีที่แล้ว +6

    We ni noumaaa😂😂😂

  • @shabanchuma7832
    @shabanchuma7832 7 ปีที่แล้ว

    Mchanganuo nimeupenda

  • @marizianasumba7110
    @marizianasumba7110 7 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana dada

  • @valentinamussa4212
    @valentinamussa4212 7 ปีที่แล้ว +2

    je ukiwa na madeni unaweza kusave kweli

    • @MegatHomeSwahili
      @MegatHomeSwahili  7 ปีที่แล้ว

      Swali nzuri, Kama una deni basi panga utaratibu wa kulipa hilo deni kwa muda maalum wakati pia unasave kidogo. Kwani tharura hazikwepeki na ni vizuri kujiandaa kwa kuwa na akiba.

  • @victormkello9575
    @victormkello9575 7 ปีที่แล้ว +1

    bless

  • @ahdahmed8383
    @ahdahmed8383 6 ปีที่แล้ว

    Safisana

  • @mussasuleiman.2198
    @mussasuleiman.2198 6 ปีที่แล้ว

    Asant dd

  • @nyanzalakaporo2504
    @nyanzalakaporo2504 7 ปีที่แล้ว +1

    SAFI SANA NIME KUELEWA SANA.

  • @sylvanussebastian6209
    @sylvanussebastian6209 7 ปีที่แล้ว +1

    Ccta hiyo njia ya tano inanihusu na ya pili

    • @misckkoba7224
      @misckkoba7224 6 ปีที่แล้ว

      Sylvanus Sebastian bigup sis asante kwa elimu bora

  • @shabanmahamud9215
    @shabanmahamud9215 6 ปีที่แล้ว

    nice

  • @aikasolomon7781
    @aikasolomon7781 7 ปีที่แล้ว +1

    thank u

  • @jastinnyatano4049
    @jastinnyatano4049 6 ปีที่แล้ว

    Sijapoteza muda kukusikiliza

    • @MegatHomeSwahili
      @MegatHomeSwahili  6 ปีที่แล้ว

      +Jastin Nyatano Nafurahi kusikia hivyo 😊

  • @jerryjuma1339
    @jerryjuma1339 2 ปีที่แล้ว

    namba yako ya WhatsApp ni ipi dada yangu? Kuna kitu nataka tuongee