ALI ISMAIL KAFARA YANGU LIVE PARFOMANCE IN SWAUTUL WARDI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 พ.ค. 2021
  • TAFADHALI USIACHE KUSUBSCRIBE CHANAL YETU YAMMY YAMI TZ

ความคิดเห็น • 60

  • @user-db8wm8cl2y
    @user-db8wm8cl2y 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah qaswida zinu tamu Allah bless you all

  • @hamadrashid5140
    @hamadrashid5140 3 ปีที่แล้ว +3

    Tukiachilia mbali huo mziki ila kitendo cha kukusanyika pamoja na wanawake na kucheza pamoja ni kuvunja heshima ya dini yetu.
    Allah atunusuru na atupe mwisho mwema.

  • @othmanisaidsaid6698
    @othmanisaidsaid6698 ปีที่แล้ว +1

    vingapi mnafanya kila mtu na maisha yake

  • @mohamedyally9673
    @mohamedyally9673 3 ปีที่แล้ว +7

    YANI mtu anaimbanyimbo kisha mnamuambia Mashaallah!! INALILAH WAINA ILAHI RAJIUN

  • @hajjmohd3602
    @hajjmohd3602 3 ปีที่แล้ว +6

    Mfuateni mzee yusuf awajir kwenye labo ya taarab , WALLAH UWO NIUJINGA MTUPU WANAUME WAZIMA MNALEGEXA SAUT, , MNATUDHALILISHA KWA KWEL ALAF MNANASBISHA NA DINI , MBORA MNGALISEMA TU MNAEND KUPIGA TAARAB

  • @aliabdalla9297
    @aliabdalla9297 3 ปีที่แล้ว +4

    Upuuzi mtupu utatupeleka katika maangamizi na mwisho wake motoni Mwenyezi Mungu atunusuru

  • @rahimasaid6721
    @rahimasaid6721 3 ปีที่แล้ว +2

    Kweli kafara mnayo !!! Msiba !!! Innalilaahi wainnaa ilahi rajiuun Allah akuongoeni

  • @saidikitambulio6264
    @saidikitambulio6264 ปีที่แล้ว

    Allah awabariki katika zenu

  • @aliabdallasuleiman9433
    @aliabdallasuleiman9433 2 ปีที่แล้ว

    Masha Alwaah Ali Ismail Qasda Tam Sana alwah akuzudishie kheri na barakah inshaa Alwah

  • @aishaomar9621
    @aishaomar9621 ปีที่แล้ว

    Mashaa Allah tabaraka Allah Allah akuzidishie kipaji chako liwe cha kheri na chenye faida ndani yake🤲

  • @aliabdalla9297
    @aliabdalla9297 3 ปีที่แล้ว +3

    Inna Lillahi Wa Inna Ilayhi Rajiun huku tunapoelekea waislamu sasa sipo kabisa halafu mtu anakoment Maa Shaa Allah kwamba hili wanalofanya hawa ni jambo zuri

  • @tatukassim9930
    @tatukassim9930 3 ปีที่แล้ว +2

    Hasaa we Nasra unapingana na Allah alivoelekeza kusoma kasda au kaulizie iyo ndokasda

  • @hasanimmekubalisanabgsamij7673
    @hasanimmekubalisanabgsamij7673 2 ปีที่แล้ว

    Mungu tuongoze kaswida zasku izi nikama mziki Wana tafautiana wakaswida kazu wamziki modo ila mstari nimmoja dunia ime isha jamani mungu tunusuru sisi

  • @suleimanmohd6382
    @suleimanmohd6382 3 ปีที่แล้ว

    Inna Lilah waina ilah rajioun wazaz tunaelekea wap hatujui kwa Allah tutakua mas uul
    Leo watt wetu wa kike tunawaacha namna km hio tunabeba jukumu kwa Allah
    Wazaz wa leo tunaogopa wtt wetuu

  • @SUBU-SCRIBE
    @SUBU-SCRIBE 3 ปีที่แล้ว +2

    Zote tatizo.letu.wazabari.ubaguzi mwing tunashindwa.kunyanyuana.tatizo.roho zetu

  • @ramakigem5352
    @ramakigem5352 3 ปีที่แล้ว

    Safi San Ali Ismail nimeipenda sana kafara yangu

  • @sitiabdallah458
    @sitiabdallah458 3 ปีที่แล้ว +1

    Hzi kasida ck hz c kasida Bali n nyimbo hazina tofaut

  • @hassanameir1710
    @hassanameir1710 3 ปีที่แล้ว +1

    Jamani tumcheni Allah tunakoelekea siko

  • @suleimanhusseinmlinde4863
    @suleimanhusseinmlinde4863 3 ปีที่แล้ว

    du mtihani mtupu tarabu hii Allah atupe mwisho mwema

  • @mouwanahamisi8216
    @mouwanahamisi8216 3 ปีที่แล้ว +2

    Duh....noma Sana mziki kabisàaa ilo bit Na mashair mmmmm

  • @fatmarashid0005
    @fatmarashid0005 2 ปีที่แล้ว

    Jamani tumuogopeni allah hiyi Dunia tunapita tu

  • @ashirafali1117
    @ashirafali1117 3 ปีที่แล้ว +2

    Ali ismail wewe ni noma yani 🔥🔥🔥🔥

  • @shanishamsi9576
    @shanishamsi9576 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah mashallah aly wangu peke yangu😍😍😍😍😍😍

  • @user-qv5or4nq6r
    @user-qv5or4nq6r 7 หลายเดือนก่อน

    Kudadadeki zenu😂😂😂😂😂

  • @firdausmakupula9144
    @firdausmakupula9144 3 ปีที่แล้ว +2

    Mnaboaaaa c museme tu kam mnatamani kuw wanamziki....ptuuuuu na makanzu mnaburuzaa hoovyo kbx

  • @aminaseiph1218
    @aminaseiph1218 3 ปีที่แล้ว +3

    Ila Allah atunusulu

  • @asmasaidi4760
    @asmasaidi4760 2 ปีที่แล้ว

    Innalillah wainnaillaih rajiun

  • @salathaabdallah4916
    @salathaabdallah4916 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @fatmahaji5536
    @fatmahaji5536 2 ปีที่แล้ว

    Naomba namba zake

  • @mariamumohamedi1486
    @mariamumohamedi1486 3 ปีที่แล้ว +1

    Uwoni utopolo kwakweli

  • @sitisalum9091
    @sitisalum9091 3 ปีที่แล้ว

    Mhh jmn hayrat msomaji ama mshindikizaji

  • @allyothman9698
    @allyothman9698 3 ปีที่แล้ว

    asa hii kasida au nyimbo

  • @minarabdillah831
    @minarabdillah831 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallah mashaallah sheikh nakukubal upo vzr

  • @qaswidamix675
    @qaswidamix675 3 ปีที่แล้ว

    Mucngeweka saut bn tukackia live

  • @aliabdallah5183
    @aliabdallah5183 3 ปีที่แล้ว +5

    Hiyo tarabu msitudanganye

    • @fathimalathifa8926
      @fathimalathifa8926 3 ปีที่แล้ว

      Itabidii hizi kasida wakajiunge na nad ikhwan swafaa mana kasida nyengine mtihanii subuhanallah

    • @zuwenamrisho5321
      @zuwenamrisho5321 3 ปีที่แล้ว

      Mashaallah

  • @arafaabdi6231
    @arafaabdi6231 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallaha

  • @mandujaro
    @mandujaro 3 ปีที่แล้ว

    😋😋😋

  • @nasaraoman5489
    @nasaraoman5489 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah mtafika mbali sana

  • @mohamedyally9673
    @mohamedyally9673 3 ปีที่แล้ว +6

    WANAZALILISHA DINI SANA HAWA HAWANA TOFAUTI YOYOTE NA WAIMBA KWAYA MAKANISANI TENA HAWA NDO WANA DHAMBIZAI KULIKO MAKAFIRI WANAFANYA MAKOSA KWA KUJUA.

  • @naahemed4374
    @naahemed4374 3 ปีที่แล้ว

    Wow wow wow wow cjui niseme nn pambe balaaaa jmn

  • @sultannassor4868
    @sultannassor4868 3 ปีที่แล้ว +3

    ♥️

  • @hassanmakame4382
    @hassanmakame4382 3 ปีที่แล้ว +3

    Hiyo sio dini nilaaana,ktk dini yakiislam hakuna ujinga km huo

    • @hasanimmekubalisanabgsamij7673
      @hasanimmekubalisanabgsamij7673 2 ปีที่แล้ว

      Acha Pumba waombee hatakama ww nimkiristo dunia ime kwisha imekwisha ndugu zangu mungu tuongoze

  • @mohamedyally9673
    @mohamedyally9673 3 ปีที่แล้ว +2

    UJINGA MTUPU HAPO

  • @soldierbig9892
    @soldierbig9892 2 ปีที่แล้ว

    Kasida haina zaman wala sasa kasida ukiitia ayo mananda ni haramu tu

  • @samirangereja4287
    @samirangereja4287 2 ปีที่แล้ว +1

    Tafuteni biashara nyingigine wanafki wakubwa nyie

  • @aliissa3006
    @aliissa3006 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah somo

  • @tatukassim9930
    @tatukassim9930 3 ปีที่แล้ว

    Ndo kasda gani ovyoo

    • @nasaraoman5489
      @nasaraoman5489 3 ปีที่แล้ว +2

      Iyo yako mbona hujasoma ilokuwa nzur

    • @aliabdalla9297
      @aliabdalla9297 3 ปีที่แล้ว

      @@nasaraoman5489 usitetee upuuzi

    • @zulfatabdallah7942
      @zulfatabdallah7942 3 ปีที่แล้ว

      Maashaallah rahil na hashir mmenichekesha mko juu

  • @nassorrashid2857
    @nassorrashid2857 3 ปีที่แล้ว

    Ally ismali kaharib tamasha

  • @SUBU-SCRIBE
    @SUBU-SCRIBE 3 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuriii sana Ila ushaurii wangu tuacheni ubaguzi wazanzibarii ktk kaz muwashirikishe na madrasa za.chini chipkiz.wa.sehem.to