Kura za siri zikipigwa kwenye kila kaya kwa marika yote , itasaidia sana kuwafichua wenye hizo tabia, watoto kwa vijana watawavumbua watu mtashangaa🙏,hongereni sana Bunge hili na MUNGU akupe maisha marefu mama kwa kupinga uovu huu kwamaumivu hayo kama mzazi,inasikitisha mno mno mno 😭😭😭😭
Kizazi Cha Rika la chini kikiharibiwa, umeharibu na kulipoteza Taifa la baadae. Ukiharibu mfumo wa uzazi, umeharibu kizazi. Baadae Taifa litabaki na wanyama.
Tukioana wanawake kwa wanawake, wanaume kwa wanaume, biashara imekwisha,,, kizaz bas,,,,, tunamadin, tuna almas, tuna mal kibao,,, waris hawayokuepo kama tutaoana wenyewe kwa wenyewe,
Kwa hii double standard na unafiki wa kupenda pesa (shina la mabaya yote) miaka 10 tu dunia hii haifiki, Niko hapa Njombe nakaanga karanga; ikifika mniite mbwa! Swala hili la ushoga ni utangulizi wa sheria za jumapili kinyume na SABATO ya BWANA hapo kikombe kitajaa! Taasisi mbili zilianza mwanzo ilitangulia ndoa ijumaa Kisha SABATO jumamosi. Dini na serikali zitaungana kuiinua sabato ya Vatican wakidhani wanarudisha maadili kumbe wamedanganyika na majesuit math.24 yote inaelezea udanganyifu ndio mchezo mkuu wa siku za mwisho v.20 mataifa kuwashambulia WASABATO...
Umeongea nukta muhimu Sana, ukichunguza kwamakini pia matatizo mengi wanayotolea msaada katika kupambana nayo wanayasababisha wao, sasa wanatelea ushoga baadae wajifanye wanapambana kuondoa ushoga wakati tushaharibiikiwa kiufupi hawana nia njia na hili jambo lakutuletea Mtoto alilelewe kimayaimayai huenda lengo lao pia nihilo lakueneza ushoga
Duuuuuuu, hiii ni hatar,,,,, kama kwel tunatakiwa kuishi kiiman,,, heeeeeee,,,,, jaman, hili ni balaa, fedheha, ukosefu wa maadil wakupitiliza,,, hakuna kukubal ufedhuli huo
Allah akupe umri mrefu ww mama yaaan una akili mpk zinamwagika Viongozi wapo kimya saaana serikali haijatoa tamko lolote mwataka kutuangamiza Adhabu ya Allah ikishuka si itawapata wale wafsnyaji itatupata sote Yaa Rabby inusuru nchi yetu inusuru Tanzania Wape Umoja Viongozi wetu wala wasiwaogope wazungu Hakika wazungu ni watu bayaaa saaana na Wana ushetaaani Allah awaangamize wote wenye nia ya kuharibu nchi yetu
Well done 👍 & nice speach for representative of MP'S in Iringa big up 🤝🇹🇿📖💪
Saf Sana mbunge wangu nakupenda buleee iringa tunajivunia jembe letu Mungu akuinue Sana unamujua mi gu sana
Asante mama kazaneni itungwe sheria kali
Kura za siri zikipigwa kwenye kila kaya kwa marika yote , itasaidia sana kuwafichua wenye hizo tabia, watoto kwa vijana watawavumbua watu mtashangaa🙏,hongereni sana Bunge hili na MUNGU akupe maisha marefu mama kwa kupinga uovu huu kwamaumivu hayo kama mzazi,inasikitisha mno mno mno 😭😭😭😭
Very true madam god bless you
Asante sana,Mungu alibariki na akutunze
Songa mbele Mungu akubariki kazi yako si bure
Well said
Tuzidi kuombea serikari yetu kwa kweli
Safi sana, walawi 20:13
Mungu akubariki Muheshimiwa kwa ujasiri wa kusema kweli. Mungu akutetee na aitetee nchi yetu kupitia watakaosimama kusema kweli.
Mungu akulinde Mama simamia ukweli daima uponye taiga la kesho sio word watakao SEMA ukweli Mama Ila ni kwa mwema tu
Mungu akuinue na asimame na wote wanaotambua hiyo ni dhambi mbele za Mungu
TANZANIA bila ushoga ina wezekana Mwenyezi MUNGU atukomboe cc na mataifa mengine.
Great speech, Thanks Mama!
Mungu akutunze MH ujumbe umefika
Mungu akutunze sana mama👏👏
Hakika, Mama umeongea cancel Ushoga Stop it
Mungu baba tusaidie kuhusu huu ushoga. Kwakweli hapana .mama kemea kwakweli
Kemeeniiiiiiiiii, uhanisi, usagaj, heeeee, hatukubal, jaman, uchafu mno😢😢😢😢
Umefanya vzr, haudaiwi kitu mama, ur a true leader
Great speech
👏🏿👏🏿👏🏿future indeed is the priority
apo sawa madam
Hongera sana mama
Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Afrika.
Ok
👏👏👏
Hotuba yenye nguvu ya Mungu hakika umenena vyema na ndugu Mungu anataka watu kama wewe ili dunia uelewe .
Nilikuwa naumia sana ila nilisema mungu yupo ipo siku litaguswa tu katika jina la yesu .ee mungu tuokoe .
Mama ongea wazungu nooooo
We heard u, frm south pacific Vanuatu l get u thanx🇫🇯tanzani 🇹🇿
Mama mungu akubaliki na pia wananchi tunataman kusikia serikali inamsimamo gan na itachukua jukumu gan kwa hao wanao waharib vijana wetu?
Hakunaaaaaaa
Huyu mama moja kwa moja mbinguni....
Kizazi Cha Rika la chini kikiharibiwa, umeharibu na kulipoteza Taifa la baadae. Ukiharibu mfumo wa uzazi, umeharibu kizazi. Baadae Taifa litabaki na wanyama.
Ubarikiwe hivyi Rais anawa nini juu ya hilo kwanini hatoi tamko maana yeye hapa duniani ni sauti ya mwisho
Wambie mama
Mwanaume na mwanaume mwezie .hapana aise
Nyie ndio watunga sheria jamani hakikisheni mhusika anakamatwa na hizo NGO zifungwe na hao vijana watibiwe.
Tukioana wanawake kwa wanawake, wanaume kwa wanaume, biashara imekwisha,,, kizaz bas,,,,, tunamadin, tuna almas, tuna mal kibao,,, waris hawayokuepo kama tutaoana wenyewe kwa wenyewe,
Mukiongea ndo isaidie nini emergency sheria itoke haraka shetia itolewe haraka iwezekinavyo
Utawasaidia wangap na wanaendelea
Wapo wanao toa misada waingie
Kwa hii double standard na unafiki wa kupenda pesa (shina la mabaya yote) miaka 10 tu dunia hii haifiki, Niko hapa Njombe nakaanga karanga; ikifika mniite mbwa! Swala hili la ushoga ni utangulizi wa sheria za jumapili kinyume na SABATO ya BWANA hapo kikombe kitajaa! Taasisi mbili zilianza mwanzo ilitangulia ndoa ijumaa Kisha SABATO jumamosi. Dini na serikali zitaungana kuiinua sabato ya Vatican wakidhani wanarudisha maadili kumbe wamedanganyika na majesuit math.24 yote inaelezea udanganyifu ndio mchezo mkuu wa siku za mwisho v.20 mataifa kuwashambulia WASABATO...
Umeongea nukta muhimu Sana, ukichunguza kwamakini pia matatizo mengi wanayotolea msaada katika kupambana nayo wanayasababisha wao, sasa wanatelea ushoga baadae wajifanye wanapambana kuondoa ushoga wakati tushaharibiikiwa kiufupi hawana nia njia na hili jambo lakutuletea Mtoto alilelewe kimayaimayai huenda lengo lao pia nihilo lakueneza ushoga
Mnafanywa wtt wenu masoga na nyie mnatangaza ushoga toen sheria mara moja kMaten school zote na kampun zote na wa kampun zifungiwe
Kakuna cha yamkini wote hatakuwepo
Duuuuuuu, hiii ni hatar,,,,, kama kwel tunatakiwa kuishi kiiman,,, heeeeeee,,,,, jaman, hili ni balaa, fedheha, ukosefu wa maadil wakupitiliza,,, hakuna kukubal ufedhuli huo
Umeongea point ila tungeni sheria mtu akipatikana kalawiti au amebaka anyongwe hadharani
Pointi anyongwe tu wanafaida gani hao
Tungeni sheria ya kudhibiti hiyo usagaji na ushoga siyo kuishia kuongea tu.tunataka sheria itungwe na kupitishwa kama lilivyofanya bunge la uganda
Allah akupe umri mrefu ww mama yaaan una akili mpk zinamwagika
Viongozi wapo kimya saaana serikali haijatoa tamko lolote mwataka kutuangamiza
Adhabu ya Allah ikishuka si itawapata wale wafsnyaji itatupata sote
Yaa Rabby inusuru nchi yetu inusuru Tanzania
Wape Umoja Viongozi wetu wala wasiwaogope wazungu
Hakika wazungu ni watu bayaaa saaana na Wana ushetaaani Allah awaangamize wote wenye nia ya kuharibu nchi yetu
Kwani Kigugumizi cha Serikali ya Tanzania Kutowa Tamko Mpaka sasa kinasababishwa na Nini??
Wameshavuta mpunga
TUNGENI SHERIA TAFADHALI
Sawa kabisa anyongwe tu
th-cam.com/video/eRkt0Da35e0/w-d-xo.html safi sana
👏👏👏