😂😂😂😂kwanza hapo kwa mabwende nicheke na nikukaribishe kwa Gozi gang,nakupenda bure jamani,tena nimefurahi kukuona huku welcome sana,alafu hapo kwa kalisti sijui nani anamfikishia hizi salamu kua napenda uigizaji wake sana yani kwa series zote amecheza basi ametokea kua bora zaidi kwa uigizaji❤❤to make story short nampenda😂😂am from kenya 🇰🇪
Toka day one naanza kuatilia kazi zako kaka angu gozi nimeona utofauti mkubwa sana una experience kubwa sana kwenye uandishi na directing pia all in all we umeshindikana 🔥🔥🔥🔥
😂😂😂Tamu zaidi ya asali can't wait to see part 2
Gozi ntambua kazi zako upo vzri xana bro keep it up nkfatilia xana
Ndo tumeanza hivyo kazi kazi mwamba gozi🙏🙏👏👏💪🏻💪🏻🖐️🖐️☝️
Nimeipenda sana hii ngoma, pole sana Gozi kwakumpoteza baba yako. Mungu umuweke pema...
😂😂😂😂kwanza hapo kwa mabwende nicheke na nikukaribishe kwa Gozi gang,nakupenda bure jamani,tena nimefurahi kukuona huku welcome sana,alafu hapo kwa kalisti sijui nani anamfikishia hizi salamu kua napenda uigizaji wake sana yani kwa series zote amecheza basi ametokea kua bora zaidi kwa uigizaji❤❤to make story short nampenda😂😂am from kenya 🇰🇪
Kutoka Kenya Mombasa congratulation bro gozi .....ila uwe ukifunga mlango🎉🎉🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇾
Dahh!!, kijana wa midabangulo mmemchukua saiv. Kazi itakuwa ya moto sana
Gozi você merece um aplauso. Faz bom trabalho eu gosto do seu trabalho
Toka day one naanza kuatilia kazi zako kaka angu gozi nimeona utofauti mkubwa sana una experience kubwa sana kwenye uandishi na directing pia all in all we umeshindikana 🔥🔥🔥🔥
Mashallah Mashallah kazi nzuri sana ❤❤❤🇧🇮🇧🇮
Kazi nzuri sana bro Gozi ❤❤ ❤ ❤❤❤❤
Wazi ngoze vipi natamani kutana nawe kaka ❤❤from kenya 🇰🇪 kazi nzuri
salute kwako mwamba kaza movie tamu tunaisubiria kwa HAMU
Kazi nzuri sana❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉
Gozi utafika mbari unafany kaz seriously ❤
Kila la kher gozi kazi nzur jaman ❤❤❤😊
Kazi nzuri ❤❤❤kaka
Nakuelewa kazi zako gosi 🔥
Haunaga mbambamba director Gozi.... Kazi swafi🤗🤗🤗🤗🤗
Aminia mwana
Kazi nzuri ❤❤ Nakupenda
Ina mafundisho mazuri❤
Kazi nzuri bro gozi
❤❤❤ na mi nimo 5
Naamini kazi itakuwa nzuri sana Gozi
❤kazi nzuri sna kaka
Kazi Iko powa sana
Blessed 🙌
Bazuu rada zako naaminia msee..#254
Always nasema gozi nakuelewa sana
Nimeipenda saana ❤ ❤❤
Nimeipenda sana🎉🎉🎉🎉
Mashaallah kazi mpya jaman
Much love from Kenya guys like back❤😂
Hongera sana rafiki yangu kazi nzuri🙌
Firiji mbofu haligandishi 😂😂😂😂
Nime penda iyo ❤❤❤🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Unyamaa sana
Director gozi mtu makini bila kuchelewesha kazi
Gozi funga milango waona yalio kukuta wallah mtiani
Nimefurahi kumuona mambwende haha😅😅😅 eti mlevi
We love you guys from Burundi
You are keeping me very busy I like it from 🇰🇪 Kenya. Mie Mkenya .Ewe ❤
Oya kamoste ndio nishafika representing kenya 🇰🇪 kiifi😅😅 safi sana Gozi
🙏🎉
Movie inatisha alafu nzuri
Khalist bhan😅😅😅
Gozi Naomba nifunze kuigiza jamani napenda
Watanzania movie zenyu ziko na mafunzo tena za pendeza mno❤🇰🇪
Mambende unajuwa 😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Gozi the greatest👍👍
Unajua sana kaka
Ina mafundisho mazuri
Mambwende kama mambwende noma sana
I like
Kudambagula😂😂😂, natokea Kenya ila ninamarafiki tokea Burundi, hao ndio walinifunza hizo neno
asante Gozi
Kazi nzuri Tena naitaje likes zenu kama unamkubali gozi ❤❤❤❤from burundi 🇧🇮
From TZ My regard to broo 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Sema uyo mambwende sijuh m simuelewagi yaan mh ovyoo 😂
😂😂jirani anashi nanyashii
Nimeona hiyo sana
Ahsante..sana dada yangu Vai zidi kuiwakilisha Kanda ya ziwa..
Gozi wewe siyo mnafiki,😂😂😂😂🏃
Gozi nampend bure jmn
Kazi safi
Unalala mbila kufunga mlango ona sasa 😅😅kila mtu apo tu😅
Gozi hanaga kazi bovu
Mbuzi kafia kwa muuza supu
Huyu Gozi ni mwamba banaa
Kazi nzuri kaka
Naelewa sana kazi zako da Vai..❤❤❤
Wapili jamani kutoka 🇰🇪 like zangu ata tano
Sisi apa 🔥🔥🔥
Kru,@@khamzdady7977
Goz kula mali iyo🇦🇿
Hapo ndio kwenye tatizo likubwa daa uyo kaka atapata mitihani
Achana nahuyo mlevi utateseka bure
this is great mr.Ngozi....Daniel from Kenya
nawomba like zenu hapa kama mnapenda mke wa jirani from RWANDA 🇬🇦🇬🇦
Mambwendeee waow❤
Goziii ❤❤❤
😂😂😂😂😅😅 nimecheka mpka 😢
Midabanguro 🎉🎉 Kama kawaida yako😂😂
Part 2 katanonga mnoo😂😂😂😂
Wap hanifa
Bom trabalho
Mambende mzungu wetu vipi yoo?
Gozi kama iyo eps hauyuko hainibambi niko na imani na ww
Wanae mkubali midabangulo dondo sha like🎉
Mambwende umerudi kwa awamu
Sijapenda mwanaume sio mkarimu
Wah nikubaya mume mlevi huwa ni kazi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Gozii kwenye ubora wakeeeee🎉🎉🎉🎉
Interessante 👍
Anu baba kawa kibonge hatar😂😂😂😂
Kula jirani uyo wew,
Vizuri sana KBS MTU wangu
Haha ungoni
Kula mzigo, mbuzi kafia kwa muuza supu
Gozi ntambua kazi zako upo vzri xana nkfatilia xana bro keep it up
Kaz nzuri
umelalaje bila kufunga mlango
Eti? Angeamka akakuta yupo nje c angetulaumu wachawi 😂
Nice work
Huyu ni mtu muungwana sana.