WIMBO UNAITWA SHANGWE. NA KWAYA YA MT FRANSISCO WA ASIZI OLASITI JIMBO KUU LA ARUSHA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 17

  • @martinanjero
    @martinanjero 8 หลายเดือนก่อน

    Wimbo mzuri sana tuendelee kuburudika

  • @edumay7422
    @edumay7422 2 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo mtamu kweli wa kusisimua. Nota tafadhali wakuu. 🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @anatorikigahe
    @anatorikigahe 2 ปีที่แล้ว +2

    Mmetisha sana, Mungu awabariki sana

  • @nickmuinde8817
    @nickmuinde8817 2 ปีที่แล้ว

    Perfecto 👌🔥

  • @stidiavedasto9302
    @stidiavedasto9302 2 ปีที่แล้ว +1

    Mmetisha ndugu zangu mungu awabariki

  • @martialeagleadventuretv4958
    @martialeagleadventuretv4958 2 ปีที่แล้ว +3

    Hii nyimbo ni nzur san hakika kwaya ya mt: fransico mnajuwa hasa huyo kijana aliyepuliza philimb kapatiya kabisa 🔥🔥🔥🔥

  • @andreahamaro5139
    @andreahamaro5139 2 ปีที่แล้ว +1

    Kazi njema hongereni Sana

  • @daudiwilliam1971
    @daudiwilliam1971 2 ปีที่แล้ว +1

    Duuuuuúuuuuuuuuh!!! Kazi nzuri sana. Mungu awabariki sana wote waliofanikisha kazi hii. Naombeni sana kama naweza kupata mziki(nota) wa nyimbo hii.

  • @michaelmumo8355
    @michaelmumo8355 ปีที่แล้ว

    Nice 🎉

  • @asha7750
    @asha7750 2 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri sana

  • @franciskironjo9369
    @franciskironjo9369 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimewapeda kwa wimbo mtamuuu

  • @stidiavedasto9302
    @stidiavedasto9302 2 ปีที่แล้ว +1

    Wapiiii franciscooooo piga keleleeeeee

  • @lucysimonntandu4437
    @lucysimonntandu4437 2 ปีที่แล้ว +3

    Utukufu ukurudie wewe Mungu wetu Aleluya

  • @felisterligwa
    @felisterligwa ปีที่แล้ว

    🙏🙏🙏🙏