- 6
- 64 628
KWAYA YA MT.FRANCISCO - OLASITI
เข้าร่วมเมื่อ 1 มี.ค. 2022
Kwaya ya Mt. Francisco wa Asizi, tunafanya uinjilishaji katika Parokia ya Mt. Yosefu Mfanyakazi - Olasiti - Jimbo kuu Katoliki la Arusha.
Furaha Ya Pasaka - Kwaya Ya Mt Francisco Wa Asizi Parokia Ya Mt .Joseph Mfanyakazi - Olasiti Arusha
Audio & Video By: Global 24 Century Production.
Directed By Modred Kenny
Producer : Darkie Pro.
Directed By Modred Kenny
Producer : Darkie Pro.
มุมมอง: 14 185
วีดีโอ
WIMBO UNAITWA SHANGWE. NA KWAYA YA MT FRANSISCO WA ASIZI OLASITI JIMBO KUU LA ARUSHA
มุมมอง 31K2 ปีที่แล้ว
WIMBO UNAITWA SHANGWE. NA KWAYA YA MT FRANSISCO WA ASIZI OLASITI JIMBO KUU LA ARUSHA
BWANA HAKAWII. By;- M.L.Mwanampepo. KWAYA YA MT.FRANCISCO WA ASIZI OLASITI ARUSHA {Official video}
มุมมอง 9K2 ปีที่แล้ว
Karibu utazame na kusikiliza wimbo huu ulojaa faraja hasa katika kipindi hiki cha Kwaresma.
Mungu.nimwema👍
Haleluya👍
Wimbo mzuri sana tuendelee kuburudika
Quite a masterpiece... Hongereni sana wapendwa
Ni kweli ❤ upendo ndio tegemeo letu.
Wimbo mtamu kabisa. Ni wapi naweza pata stanzas zote?
Nice 🎉
Ooooo Yeeees full maujumbee saanaa
Kazi nzuri Mungu awabariki Tunapataje nota ya wimbo huu
Kazi nzur .namuona sheji yang apo brijta
Nice song congratulation
Furaha kweli! Wimbo mzuri huo
Hongereni sana wanafamilia ya olasiti mungu awatangulie Katika utume wenu wa uimbaji hakika ni ujumbe mzurii sana by pamphili
Waoooo hongereni sana wimbo mzuri na mmependeza sana
Tamuu sana hongereni kwa utume
Wimbo mzuri.Utukufu kwa Mungu
Kazi nzuri. Hongereni Sana Wana Mt. Fransisco.....
NICE SONG
Wimbo mzuri sana,. Hongereni sana wapendwa
kazi bomba sana, Audio na video... Supa sana!
Vijana wayesu kwa furaha zaidi🕵️👷🤴💂👩🔬👩🚀 kilamtu lazima afurahiii
Yapendeza kweli💯👏👏
Kazi nzurii 🥰🥰
Vema sana
Ongereni kwa kazi nzuri
Kaz nzur hongeren
Amina
Nyimbo nzuri, hongereni
wow,. i like your ways,,. you do sing very Beautiful,. keep it up🤩👏👏👏
Thank you so much
@@kwayayamt.francisco-olasit3582 Much welcome,.
Honger mwali uko vizuri sana
Nkiskiliza huu wimbo napata furaha ya ajabu mpka natokwa na ukungu mungu anafanya jamnii bwana akuinue zaidi maana yeye ndiye akutiae nguvu
Wow very amazing👏
Kazi njema sana
🙏🙏🙏🙏
Amen
Perfecto 👌🔥
Wimbo mtamu kweli wa kusisimua. Nota tafadhali wakuu. 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Great
Kazi nzuri sana
Wapiiii franciscooooo piga keleleeeeee
Woyooooooooooooo
Mmetisha ndugu zangu mungu awabariki
Kazi njema hongereni Sana
Duuuuuúuuuuuuuuh!!! Kazi nzuri sana. Mungu awabariki sana wote waliofanikisha kazi hii. Naombeni sana kama naweza kupata mziki(nota) wa nyimbo hii.
Hongereni sana Fransisco kwa utume mzuri kweli tumuimbie bwana kila wakati
Nimewapeda kwa wimbo mtamuuu
Mmetisha sana, Mungu awabariki sana
Wow 🥰🥰🔥❤️
Hongereni Sana! Keep it up
Utukufu ukurudie wewe Mungu wetu Aleluya
Hongera Wana Fransisco wa Asizi, Mungu azidi kuwabariki.
Hii nyimbo ni nzur san hakika kwaya ya mt: fransico mnajuwa hasa huyo kijana aliyepuliza philimb kapatiya kabisa 🔥🔥🔥🔥
Asante sana tunashukuru
Tafadhali ikiwezekana tupe Nota. Shukurani kwa wimbo huu mtamu sana. Mbarikiwe.
Yaaa they did the best