Martha Baraka - Nimekuja Na Maua (Official Music Video) For Skiza dial *837*3263#
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2017
- / @marthabaraka
Listen to Martha Baraka
Apple Music / martha-baraka
Boomplay www.boomplay.com/artists/857016
Spotify open.spotify.com/artist/5ThTH...
Audiomack audiomack.com/marthabaraka
TH-cam Music / martha baraka - topic
Deezer deezer.page.link/wprzvQMhFSDg...
Amazon Music music.amazon.com/artists/B071...
Stay in touch with Martha Baraka
Instagram / marthabaraka_official
Tiktok: / marthabaraka_
Facebook: web. people/Marth...
For Booking WhatsApp / Call +255743502257
The official TH-cam channel of Martha Baraka. Subscribe for the latest music videos, perfomance and More.
#NimekujaNaMaua #Marthabaraka #gospel - เพลง
Usifiwe, Uabudiwe uinuliwe😊😊😢😢❤❤ I love you my Lord Jesus. my hero. Weka like chini Uliekuja tena 2024
Nitampamba Yesu kwa sifa zangu.
Maua ya mungu like hapochini👇
Nimetafuta finally nimepata nimeisikia sana Kwa Bibilia usema radio 📻
Powerful song Martha baraka
Amen amen,maua ya sifa👏👏👏uinuliwe Bwana,majiana yote mazuri ni yako Bwana 👏🙏🙏
Ako na sauti kama ya anastasia mukabwa❤
Nampendaga hyu dada hanaga mambo meng
My favourite song 2024
Inafurahisha nyimbo
Martha this is one of the greatest hits in your album! Pure talent ❤
Niko hapa 2023❤️ can't get enough of this song 🔥🥰
iam here from fb 2024🎉
🇯🇲❤️🤲🤝poa
From tiktok 🎉🎉🎉❤❤❤
Amen mungu azidikukuinua
Ameeeeeeeeen🙏🙏🙏🙏
Nyimbo inanifulahisha sana hii 😂😂😂
hii nyimbo imeimba kwa akili tangu jana usiku , thank you God nimeipata
Nice song
Well composed and a lot effort put into the video. Keep it up
Nipo hapa 2021, still feeling blessed by this song.
Aseee Dada matha nyimbo zinatubaliki sanaaa
Yaani huyu dada nnapenda Sana nyimbo zake mie
Aisee hii nyimbo hajawai chuja 2021 kama ndio imetoka ivi👏👏👏👏
Mupambe Yesu kabisa
Nyimbo pendwa san Amina dada
Usifiwe uabudiwe nimebarikiwa sana dada angu endelea kumtumikia mungu katika shida na raha pia
Nakupenda sana
🎉🎉🎉🎉🎉 nice song...
My wedding song I really love it and I can't stop watching this song, may God bless you mum martha
Praise God 🙏 nyimbo tamu sana Martha baraka Mungu akubariki sana uenderee kuhubiri kupitia nyimbo
Wimbo mzur san japo kuw ss wengine waislam lakin wimbo mzur san saf martha baraka
Excellent they are good for all generation because they scriptual
Balikiwa sana mtu wa Mungu
Naipenda san hinyimbo yaniburudisha san haizeek2 ipo fiti kila dakika😂❤
Wow amazing
Safi mungu akutumie
Iko vzr mno.
Kwakweli ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu alie hai
Yaan hii nyimboo sikuu nikizaaa to mtto wanguu namtoa na hii nyimboo yaani aky tam san
Mm nitatumia hii kumsuprize babangu mzazi siku ya Birthday yake
Jambo madame Martha ubarikiwe kwa wimbou mungu akubariki,mimi niko mu Congo Mani niko pasteur apa Congo,
Hongera
Nyimbo nzur hii
Nimependa sana huu wimbo❤❤❤❤❤
Nakupenda xana ktk Jina l yesu mana nyimbo zko zote zinanibariki.
Yesu mwema sana
Surprise, I loved it
Ameen barikiwa sana jamani.maua ya siri.kubwa sana Haleluya 👏👏👏👏
Hongera mpendwa kwayimbo nzr
Wimbo nzuri,,,love it
My song🙌
Nakubali sana kazi yako
sijui Martha aliwaza nini akaimba huu wimbo,mimi huwa unanibariki sana,kuna muda unazidiwa na upendo wa Mungu na unakosa namna ya kumweleza Mungu jinsi unavyompenda..lakini hii idea ya "maua"inagusa moyo wangu..
Martha Mungu akubariki sana...mimi hubarikiwa sana na mziki huu...kila asubuhi husikilizq wimbo huu kabla ni toke...Mungu awabariki pia walio panga mziku huu na uchezaji
Amina Dada unakonga nyoyo zetu co kwa kipawa hiki mungu alichokupa
DIRECTED-MAINO ooooooh nice song god bless you
Umetisha❤❤❤
Hongera dada matha baraka napenda nyimbo zako mno
Napenda nyimbo zako dada matha
Barikiwa dada Martha.... Nathamani kuimba nawe siku moja Bwana apendapo ....
mungu akubalk sana
I like da songs of this lady mungu azidi kimpa nguvu ya kuimba
Sina cha kukupa dada zaidi mungu akuinue
Amen
Barikiwa sana mtu wa mungu
Hongera sana
Nice song ilike😂😂🎉🎉❤❤❤❤
Ameen maua niishaara ya upendo maua haya ya chanue ndani ya moyoyetu
🥀🥀maua yangu kwa Yesu.💝
Haleluaaaaaaa❤😅😅
Wow this is so good n full of grace what a revelation, you gave it all my sister Na Yesu amepokea Na ataendelea kupokea Maua...God.b.u n strengthen u
Nakupenda dada
Tumpambe Yesu . Yesu ni wa thamani kuliko maua ya dhahabu
🎆🎆🎆wonderful
Am here from instagram 2024 Huyu dada namfananisha na rose muhando same energy
Wow ❣️ God is omnipresent to be praised highly 🙏🏻
God exactly but not jesus
Wimbo mtamu mpka raha ubarikiwe madam Martha baraka
Wow! Aki hii nyimbo inakumbusha mbali sana ubarikiwe Martha,,,, hiii nyimbo iko sawa kwa wedo smarty
Barikiwa kwaajili ya jehova mungu akushike usitoke kwenye uwepo
Wimbo huu wanbrki xna
Amen ❤❤
Ama kwer bwana ni mwema .nimebalikiwa Sana na wimbo huu
Pendga saaan wajina wangu mimi mungumuongezeeee aishi maisha malefu
ooooh Yesu nakupenda. watching from Kenya ,Sifa za Bwana zivume
Wimbo nmzur
It is really a surprise for Jesus and us
Wimbo mzuri ubarikiwe na MUNGU aliye mbinguni
Honger mam ubarikiwe ujumbe mzur
Still in 2023 the song is very fresh God bless you more madam martha
Mungu aendelee kukubariki mtumishi Martha Baraka unanibatiki sana
Be blessed mummy.nami Niko Yu tube jameni mum nisaidie msiniache Amen
I Vincent thanks God bless you iam in zbimbia
Just noticed this song in Dec 2021 for the first time and it is blessing my soul
Ameen. Pokea maua yetu ya sifa Bwana Yesu
Yani nilikuwa nimelala nimeamka nyimbo inaimba tu ndani ya moyo nikasema Ngoja nije hapa
Nakukubali sana dada enderea kufanya kazi ya mungu
Had sasa naangalia video hii asnt Martha🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗
Jina la yesu lipewe sifa milele
Msenge sanaa
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪😍😍😍pendasana dada
God protect you every thing
Tamu kweli
Barikiwa sana kwa uimbaji wako mtumishi hakika unanibariki na nyimbo zako🤷🤷🤷🤷 acha Mungu azidi kuchochea vipawa na karama ndani yako 🤝🤝🤝 na huduma yako isonge mbele zaidi.🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
dada nyimbo hii ni kali sana
Ubarikiwe matha baraka.
Hongers Kwa wimbo nzuri
Dada Martha wajina wangu sichoki kusikiliza nyimbo hii nakupenda buree mungu azidi kukubaliki my sister
Asante ubarikiwe sana
Maua ni ishara ya upendo kwa yesu wangu
Ubarikiwe sana martha from USA