ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Noma saana
Jongwe hapa uliuua Sana huu wimbo nilikuwa nautafuta Sana
Kapiga verse la kibabe mnoo..SUGU anajua kuimba kwa tambo bwana..acha kabisa
Good job baba sasha 💥🔥🔥🔥🔥🔥
Nausikiliza leo 5 Sept 2021 Ngoma kama imepigwa Leo..
Bonge la verse halafu flow la kibabe.umetisha sana jongwe!
nipo leo tena
sugu ameuwa humu , kumbuka ni 2022
Huyu sio mad ice kwenye chorus?
Original hyo ngoma ni Mike tee na Mad ice ila Remix sasa Sugu ndanii
Noma saana
Jongwe hapa uliuua Sana huu wimbo nilikuwa nautafuta Sana
Kapiga verse la kibabe mnoo..SUGU anajua kuimba kwa tambo bwana..acha kabisa
Good job baba sasha 💥🔥🔥🔥🔥🔥
Nausikiliza leo 5 Sept 2021 Ngoma kama imepigwa Leo..
Bonge la verse halafu flow la kibabe.
umetisha sana jongwe!
nipo leo tena
sugu ameuwa humu , kumbuka ni 2022
Huyu sio mad ice kwenye chorus?
Original hyo ngoma ni Mike tee na Mad ice ila Remix sasa Sugu ndanii