Wanasimba wote toka Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, hapa nikimaanisha kuwa, toka mikoa yote ya Tanzania Bara na Tanzania Visiwani tunatakiwa tuje kwa wingi sana kwa pamoja ili tuujaze uwanja na kuipa support timu yetu, katika mechi yetu ya kwanza ya confederation cup, itakayochezwa kwenye uwanja wa Benjamin W. Mkapa, jijini Dar es salaam. SGR trains za aina zote, zenye madaraja na ubora tofauti zitakuwepo kuwasafisisha abiria wote siku hiyo, ili waweze kwa pamoja kuishangilia na kuipa nguvu timu ya Simba SC. Kwa pamoja tutaweza kuipeleka Simba SC kwenye hatua ya robo fainali.
Simba oyeeeee
WANASIMBA TUMELALA SANAAAAA TUINGIE TUSAPOT CLUBE
Kwel kabisa chanika wanasimba tupo wengi
Kitu kimoja club yangunachokipenda tunaanza na dua na tunamaliza na dua🙏. Kwa hili Mungu hawezi kututupa
Nguvu mojaaa
Masatu mzaramoo gb 64 kinyago mzee wa salutiiii
Hdi rahaaaaa ❤❤❤❤
Wanasimba wote toka Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,
hapa nikimaanisha kuwa, toka mikoa yote ya Tanzania Bara na Tanzania Visiwani tunatakiwa tuje kwa wingi sana kwa pamoja ili tuujaze uwanja na kuipa support timu yetu, katika mechi yetu ya kwanza ya confederation cup, itakayochezwa kwenye uwanja wa Benjamin W. Mkapa, jijini Dar es salaam.
SGR trains za aina zote, zenye madaraja na ubora tofauti zitakuwepo kuwasafisisha abiria wote siku hiyo, ili waweze kwa pamoja kuishangilia na kuipa nguvu timu ya Simba SC.
Kwa pamoja tutaweza kuipeleka Simba SC kwenye hatua ya robo fainali.
Nyie chekeni tu saizi,c mnajion a mko vzr.
GB 64 SPEECH 💪💪💪
GB ni pungu kweli badala ya kuzungumzia timu yako unakimbilia kuisema Yanga.
nawaona wanasimba wen zangu simba nguvumoja kwamajina gasipar Richard nikutabora ubaya ubwela
Dah Kun namna Mpira unatuungnisha
Okay
Jamani kama kunamtu anafahamu chochote kuhusu V. Mashaka anieleweshe yukowapi na vipi kuhusu kuchezea simba...
Yupo kwenye majukumu ya timu ya taifa under 20
Walev kwakulibuvikao
Yanga uyo mungu ni ndugu yao anautan nao hawez waletea malaika. Tabora wanawatosha😂😂😂
Ubaya ubwela
We bado utakoma
Yanga walikufulu walisema wanataka kucheza na malaika
Walitaka wachezaji wenye mbawa😅
Walevi hao Chama na wenziwe
Uwanja wa KMC ni wenu🤣🤣🤣🤣🤣
UBAYA UBWELA
😂😂😂😂
Sijamuona GB 64
Angalia vzr.
CANAL SIMBA + MZEE MASATU×GB 64÷MZEE SAID× MIRAJI MARA MOJA =UBAYA UBWELA..
Kama siyo sare,basi kichapo.
Pungu ni wewe sawa?
Ubaya ubaya ubwela
Tumbo kubwa akili hakuna.
Ubaya ubwela
Ubaya ubwela