Nimefarijika Sana kukuona kaka mkubwa hakika unatuwakilisha vyema wangoni wampoto,wanyasa,wamanda wapembezoni mwaziwa nyasa lundu-mbamba-bay liuli,lituhi hakika familia ya mzee mpangala mnatuwakilisha vyema mpe hi mwanangu Sana honorius ngachipanda mpangala
Hizo timu zote bila Manara bila Manara mtajutq sanaaaa Huuyo Manara ana powerful aliyopewa na Mungu msimchezee Yanga kufungwa na Tabora hii kibokoooooo mrudisheni Haji haraka sana kwenye nafasi yake
Kaka unayosema ni kweli tupu Yanga imenyanyaswa na Simba lakini Engineer Herse ameisaidia Yanga Manara ni kirusi amended huko aliko toka asituvuruge niwakati mgumu kwetu WANACHAMA NA UONGOZI MZIMA TUWE KIMYA
Kwenye Kitabu " Things Fall Apart" by Chinua (Nigeria) kuna sehemu inasomeka Eneka, the bird once said, (ndege wanaoitwa Eneka waliwahi kusema) since men have learned to hunt without missing (tangu wanadamu walipojifunza kuwinda bila kukosa) we have learned to fly without petching (sisi ndege Eneka tumejifunza kuruka bila kutua ! )
Mbona Wachezaji ni wengi sana waliochezea vilabu vyote hivi viwili. Hata wafanyakazi wa Simba wamesha hamia yanga. Kocha Mzrai alikochi timu zote 2 kwa wakati tofauti. Senzo pia ametumikia vilabu vyote hivyo viwili.
Haji manara Mimi namtazama Kama mtu muhimu katika klabu ya yanga haswa hamasa kwa wachezaji lakini kwa namna ilivo yanga nikubwa kwenye mioyo ya mashabiki wa yanga kuliko haji manara lakini nimshauri tu Kaka yangu haji manara wanayanga tuna kupenda sana embu tafuta aina nzuri ya kumaliza tofauti zako wewe na harsy rais wa taasisi ya clabi ya yanga afrkans, Alafu kumbuka kwamba yanga ipo kwe tatizo ambae sisi ndio tunatakiwa kuishauri clabu namna ya kukabiliana na losi mbili zilizo tokea, haji manara huu sio wakati mzuri wa kupigana vijembe tumpe ushirikiano raisi kuitengeneza ikae vizuri ahsante
Manara anaroho mbaya sana kabisa siyo mtu mana kwakweli ila watu hawana shukurani tena nimegunduwa ana ugonjwa wakili sana afu anaongeya kwa kujiamini sana mtu mkubwa ila hana busara
Umejaribu kaka kiac umeongea vuzuri kaka rais wayanga Atulie sana tena anyamaze kabisaaa upo vizuri kaka ndio mwandisi mwenye uwezo wakuelewa na kuelezea
Wanafiki hujulikana wakati wa matatizo,huyu angejikalia kimya maana hapo atakuwa anajipendekeza,Rais aliyekuajiri ameamua kukufukuza Kama umeonewa kimbilia TFF au popote!
Khaji Manara hajawahi kuwa mkuu wa idara ya habari Yanga! Nilichokiona huyu mtu ni ngumu kuishi na yeyote yule! Ni anayependa ukubwa,kutukuzwa,kuzungumzwa! Ndio maana anasema yeye ni lijitulikubwa sana!!!
Manara ana akili sana 1. Amewasaidia sana Yanga, kawafundisha mpira walipoujua wakamfanya kuwa kafara yaani wamemtema 2. Mchambuzi wewe huenda huoni mbali Manara ana akili kubwa anajua ni wakati Gani mwafaka kuongea
Porojo za kumjadili Haji unaijazia wewe nwenyewe na umeingia chaka hilo. Haji kasema yake na nyiye mtaliongelea wiki nzima , badala ya kulipuuza na kujipendekeza.
Popote atakapo kwenda Manara lazima atavuruga sijui ana aina gani ya GUNDU aende hata singida ataharibu tu,bahati nyingine mbaya mdomo una muwasha kusema tu.
Haji manara anatoka ukoo wa mpira ! ubaya wa haji manara ni kusema ukweli ! Hana kosa lolote. Hata ungekuwa wewe alichofanyiwa Haji Manara hakikuwa kitu cha uungwaana. mwacheni Haji Manara yeye siyo msemaji tena wa yanga.
Iyo point kabisa kaka
Umeongea point kaka .
❤❤❤❤❤ pokea maua yako🎉🎉🎉
msemaji huyu very smart na anakarama wa kusema aina ya timu yoyote mashallah..
Nimefarijika Sana kukuona kaka mkubwa hakika unatuwakilisha vyema wangoni wampoto,wanyasa,wamanda wapembezoni mwaziwa nyasa lundu-mbamba-bay liuli,lituhi hakika familia ya mzee mpangala mnatuwakilisha vyema mpe hi mwanangu Sana honorius ngachipanda mpangala
Hizo timu zote bila Manara bila Manara mtajutq sanaaaa Huuyo Manara ana powerful aliyopewa na Mungu msimchezee Yanga kufungwa na Tabora hii kibokoooooo mrudisheni Haji haraka sana kwenye nafasi yake
Weeeeeeee!!! Funga mdomo wako
Brother you are very Smart
Ndo maana Hamed Ally kasema kuwa kuna jasusi lao wameliseti liko yanga
Kaka,uyoss,atumtaki,manara
Jasusi ni Manala na Mobeto
Hakika kijana wewe una karama ya uongozi🙏🙏🙏
Manaraa ana tamaaa ya madaraka
Kaka unayosema ni kweli tupu Yanga imenyanyaswa na Simba lakini Engineer Herse ameisaidia Yanga Manara ni kirusi amended huko aliko toka asituvuruge niwakati mgumu kwetu WANACHAMA NA UONGOZI MZIMA TUWE KIMYA
Kwenye Kitabu " Things Fall Apart" by Chinua (Nigeria) kuna sehemu inasomeka
Eneka, the bird once said,
(ndege wanaoitwa Eneka waliwahi kusema)
since men have learned to hunt without missing
(tangu wanadamu walipojifunza kuwinda bila kukosa)
we have learned to fly without petching
(sisi ndege Eneka tumejifunza kuruka bila kutua ! )
Huyo manara harudi tu simba kwani nafasi sio uwana habari kwani nafasi zipo sana atakuja kupanua uwigo kwenye time
Arundi kwao 🚶♂️
Good ama kweli wewe unaujua mpira right kama wachambuzi wangekuwa kama wewe nadhan mpira wetu ungefika mbali sana
Watajijua wenyewe si walimuon keki ss simba hatumtaki
MTAMJUA KIRUSI MANARA NI NANI .....VURUGA TOPE MANARA....HERSI AKIKAAKIMYA ANAMUOGOPA.😅😅😅😅😅
Mchambuzi umezungumza vizuri, Manara huyu bado anaishadadia Simba, na haeleweki, ni mswahili, na hapendi MAENDELEO ya Yanga.
Manara hawezi kufahuru kutvuluga yanga yy apite tu hatuna ujinga huo anatapatapa tu yanga hipo vzr wanachama tuko vizr mashabiki tupo vzr .
Manara ni mnafiki na ni opportunist, Yuko kimaslahi zaidi ni kigeugeu, atupishe, kwani yeye ni nani.
Manara ni shetani
Kwa hiyo ataakisema kitu chochote haitasaidia kitu aende tu simba
Wewemuongo kengewewe manaraajasema ivokasemaanaugomvinae atakidogo
WEWE NA MANARA NI THOFU LIHALI HUNA JIPYA...ZIMEFUNGWA TIMU NGAPI AMBAZO NI MABINGWA HUO NI MPIRA UNADUNDA...MANARA BWEGE TU...ANAPENDA KIKI
Manara kasema ukweli SIMBA ndo iko na matokeo mazur kwenye soka bongo
Mbona Wachezaji ni wengi sana waliochezea vilabu vyote hivi viwili. Hata wafanyakazi wa Simba wamesha hamia yanga. Kocha Mzrai alikochi timu zote 2 kwa wakati tofauti. Senzo pia ametumikia vilabu vyote hivyo viwili.
Hazungumzii wachezaji anazungumzia wasemaji wa vilabu vya Kariakoo[Sendeu,Jery Muro,Clifford Ndimbo,Dismas Ten,Kimwaga,Manara]
Aende zake ...😂😂😂
Kaka unaweza kujenga hoja, hekima, busara, kichwa kina akili sana. Big up brother. Namwamini sana Raisi wa yanga yuko smart sana sina wasiwasi naye.
Bora aende kuna shida yanga 😭😭😭
Bwana eeee aende kashazeeka hatumtaki
Mjue bado hamjasema hivyo
Ninarudia tunacheza na shilingi shimoni mahali manara ana vurugwa hapopia panavurugika kalekajamaaa ni mchongo!!!!!
Umeongea ukweli yeye manarah ndo kamati ya ufundi pande zote uchawi ndo
Huyo pacha wake mchome
Bado hamjasema
Umeaza vibaya lakini umemaliza vizur
Mchome jezy Simba moyo yanga
bado amjasema tutajua mengi kwann msikae kimia 😢😢😂 na mkipigwa tena kutakucha
Manara ni mvurugaji,tuwe makini atatumaliza,kumbe ndo maana alifukuzwa simba
Haya yanakuja ili kweli ya ubora wa simba ujulikane kwa sababu yanga mlikuwa mnafunikà ubora wa simba na sisi hatuna haja nae
Hapa nitabasam tu😂
Haji manara Mimi namtazama Kama mtu muhimu katika klabu ya yanga haswa hamasa kwa wachezaji lakini kwa namna ilivo yanga nikubwa kwenye mioyo ya mashabiki wa yanga kuliko haji manara lakini nimshauri tu Kaka yangu haji manara wanayanga tuna kupenda sana embu tafuta aina nzuri ya kumaliza tofauti zako wewe na harsy rais wa taasisi ya clabi ya yanga afrkans, Alafu kumbuka kwamba yanga ipo kwe tatizo ambae sisi ndio tunatakiwa kuishauri clabu namna ya kukabiliana na losi mbili zilizo tokea, haji manara huu sio wakati mzuri wa kupigana vijembe tumpe ushirikiano raisi kuitengeneza ikae vizuri ahsante
Sasa paka aongee nae kwani nimume wake
Inaitwa "shifting of agenda"
Ebwana unaufamu sana mpira waTanzania kiufupi simlizi yako Huyu ni shetan pia maraika masululu masuluh sagara kongwa
Manara anaroho mbaya sana kabisa siyo mtu mana kwakweli ila watu hawana shukurani tena nimegunduwa ana ugonjwa wakili sana afu anaongeya kwa kujiamini sana mtu mkubwa ila hana busara
Umejaribu kaka kiac umeongea vuzuri kaka rais wayanga Atulie sana tena anyamaze kabisaaa upo vizuri kaka ndio mwandisi mwenye uwezo wakuelewa na kuelezea
Heshima kwako mkuu
nandi
Ijninia amemkosea haji neno la kusema ni mwanachama tu
Ongelea mambo ya Yanga , unaongelea ya Simba ya nini???
Manara nisimba dam aache nongo
Kwani uongo kuwa Simba ndiyo Club ya kwanza kufanya hayo???? Zmnaumia nini???
Tuna muda wa kujadili mafanikio ya timu SIYO ujinga na migogoro
Manara anatafuta ukubwa kwa akili ya wivu hai kusikilizwa mvurugaji huyo anatafuta kiki. Asisikilizwe kabisa.
Wanafiki hujulikana wakati wa matatizo,huyu angejikalia kimya maana hapo atakuwa anajipendekeza,Rais aliyekuajiri ameamua kukufukuza Kama umeonewa kimbilia TFF au popote!
Manara Fei aliposema ukamkejeli sasa KAZI kwako mkuki Kwa guruwe Kwa bin,....mchungu
Huyo kijana haji Manara muacheni aludi kwao akiwepo hapo yanga
Sasa kwani kaongopa kusema hayo yote? Msene kwa mengine lakini kuhusu simba kuongea kweli
Khaji Manara hajawahi kuwa mkuu wa idara ya habari Yanga! Nilichokiona huyu mtu ni ngumu kuishi na yeyote yule! Ni anayependa ukubwa,kutukuzwa,kuzungumzwa! Ndio maana anasema yeye ni lijitulikubwa sana!!!
Akili nyingi
Aende Azam😂
Kwani hiyo ninini kama mwanachama wa Yanga abaki kuwa mwanachama mwingine Yanga kufungwa sio ishu club ngipi zimefungwa? acheni vurugu na majungu
Hersi hatoi pesa yeye ni mfanya kazi wa GSM km alivyo haji,ommy dimpoz kwhy tulia kijana
Kumekuchaaaaaaa
Tutathibitishaje hakulipwa.....ushike kipaza Sauti kwenye tukio kubwa vile Na usilipwe!!!!ulifikajefikaje!?
Atalipwa na mobeto na K azz
Manara ana chuki na roho mbaya2 kaiyaribu simba yanga ataweza
Anatengeza channel ya kwenda azam
Haji manara ndio alivyo anamaana kama bila ya yeye timu simba au yanga aziwezi kufanya vizur. Haji mjanja sn duh
Tripu hii ataenda azam
Mbona kama unatuchanganya hatukuelewi
Haji aliondoka simba akatutusi Sana abaki hukohuko
Manara ana akili sana
1. Amewasaidia sana Yanga, kawafundisha mpira walipoujua wakamfanya kuwa kafara yaani wamemtema
2. Mchambuzi wewe huenda huoni mbali Manara ana akili kubwa anajua ni wakati Gani mwafaka kuongea
Porojo za kumjadili Haji unaijazia wewe nwenyewe na umeingia chaka hilo.
Haji kasema yake na nyiye mtaliongelea wiki nzima , badala ya kulipuuza na kujipendekeza.
Mnatakakiki mnamjuahaji mnamzungumzia
Manara akeye pembeni
Kaka unajuwa mambo,kwa kweli wewe unafaa kuwa msemajii,umetuliaa, katika kuzungumzaa
Endelea Manara kuwavuruga hao Wala vibudu wenzio mashetani wenzio,
Mshabiki anafukuzwaje?
Za ndaaani manara alipewa ukalibu na injinia heris lakini akataka kumzunguka kwa GSM asa iweje . Mpuuzi manara. Injinia yule ni genius
Popote atakapo kwenda Manara lazima atavuruga sijui ana aina gani ya GUNDU aende hata singida ataharibu tu,bahati nyingine mbaya mdomo una muwasha kusema tu.
Poa u
Silete mzozoo manara
Alikamwe amuachietu mwache mkewamanara tafazal
Haji manara akapumzike tu
Naombe hivyo hovyo eng mambo yaende vizuri pale yanga la sivyo
Manara anashida Gani jamani ,kwann anaropoka hovyo kwann walimfungulia ,mm simpendi kabisa
Manara atoke tu, kila kitu kinawakati wake now ni wakati WA vijana. Ni vyema asitafu kwa heshima kuliko kustafu kwa fedhea.
Manaraa alikua anajipendekeza kwa gsm aonekane mzuri kushinda Hersi
Hatumtaki aondoke kbs manara anataka cheo sn kila k2 na wakat wake
Kufungwa mara moja tu munafukuzana? Ama kweli kufungwa kunauma.
Aondoke tu wanini sisi?
Haji Manara ni aina ya watu hatari sana, ni mtu mwenye hilka ya kitaka kuwa juu ya sehem yoyote aliyopo!
Unanjaa ww kwenda zako hamtaki
Haji aende kimyakimya, kwani si arudi tu kule alikotoka, kwani lazima awe yanga?. Atuachie yanga yetu ibaki salama.
Haji manara anatoka ukoo wa mpira !
ubaya wa haji manara ni kusema ukweli !
Hana kosa lolote.
Hata ungekuwa wewe alichofanyiwa Haji Manara hakikuwa kitu cha uungwaana.
mwacheni Haji Manara yeye siyo msemaji tena wa yanga.
Alituletea gundu huyo kwa kumtambulisha Mobeto na kumruhusu Aziz ki kumvalisha jezi.Akwende zake huyo
Wewe..namanara..wajinga..tu
Manara ni simba na soon linarudi simba
Akienda simba atakuwa katumwa na Yanga
Sasa wwe kinacho Kuuma ni kip Kuma la mama yako chawa wa injinia
Kwani ni nani yanga mpaka muheshimu hivyo