Kuna sababu nyingi za wewe kuhishi but unatibu mioyo ya walio wengi, nguvu ya roho mtakatifu imo ndaniyako unaweza fanya jambo ukahisi ni jambo ndogo kumbe nikubwa sana tofahuti na unavyo dhania Hongera sana mwana wa Mungu!
Ukweli ni kwamba Godrey ni mwimbaji mzuri na mwenye sauti bora sana hapa nchini. LAKINI HUU NI WIMBO WA CHINI SANA KIMAUDHUI, KITHEOLOJIA NA HATA KIMUZIKI. KWANGU MIMI HUU NI WIMBO DUNI KABISA KATI YA ZOTE ALIZOWAHI KUZITOA. NASHAURI ANGEUFUTA AU KUUONDOA. UMEMSHUSHA SANA UKILINGANISHA NA NYIMBO BORA SANA ALIZOWAHI KUZITOA KAMA LEGENDARY, TEAMO N.K. NAOMBA NIPOKEWE KWA MTAZAMO CHANYA.
@@GradnessMgaya Si kila ukosoaji ni uadui. Ukosoaji chanya hulenga kumfanya mtu kuwa bora zaidi. Kutokukubali kukosolewa ni kujigeuza kuwa jiwe. Jiwe hupasuliwa bali mnyenyekevu akosolewapo hujifunza. Ninamheshimu sana Godfrey na ninatambua uwezo wake mkubwa katika uimbaji. Ninatambua baadhi ya nyimbo zake bora kabisa katika utunzi na katika muziki. Huu wa JIKUBALI hapana. Kiwango cha maudhui, uimbaji na muziki kiko chini sana ukilinganisha na Legendary, Teamo n.k. Ukitaka kujua hilo TAFUTA MUSICIAN yeyote au mtu anayefanya kazi studio atakuambia.
Mziki msafi wenye Ubunifu WA kisomi Kijana anauweza. Nani anakubaliana NAMI HAPA?
Wa Kwanza Ni Mimi Nipeni Like Zangu Basi Tafadhali Kabisa
❤❤❤❤ kabisa nimeipenda hiyi nyimbo inanifariji unanifurahisha sana hakika nimeipenda kaka ngu mungu wambinguni
Kaka mungu wambinguni akupemaisha malefu akuongeze baraka nakibari na mafuta napenda nyimbo zako sana
Nakukubali sana my brother kazi nzuri 🎉
Ukikutana kichwa kinasema hii nyimbo sio kali icho kichwa kinawaduduh waduduh watwupu MC SANA apaaaaaaaa
Kazi nzuri sana❤
Nashindwa nikoment nn ila unanibariki saaaaana,Mungu akutunzeee❤❤❤❤❤❤❤❤
Asante kaka angu mungu awe nawe nakukubali sana mungu awe nawe katika kazi yako nzuri❤❤🎉🎉
Continue à nous bénir avec tes chansons. Que Dieu te bénisse
Kuna sababu nyingi za wewe kuhishi but unatibu mioyo ya walio wengi, nguvu ya roho mtakatifu imo ndaniyako unaweza fanya jambo ukahisi ni jambo ndogo kumbe nikubwa sana tofahuti na unavyo dhania
Hongera sana mwana wa Mungu!
Amen. Najikubali🤗🤗
Amina najikubali nikiwa na bwana
❤ bhu unaimb balaa
Nyimbo zako zinanitia moyo Sana uzidi kuinuliw❤
unabariki sana brother
You are my role model Steven 🤝
Amen kubwaaa 🎉❤
Inapendeza hi nyimbo yanipa usajili
Blessed
Amina kaka
Kaka kaka kaka hii ni nzito😂😂
MUNGU anakupenda sana jamaa YANGU
Umebarikiwa mno jinsi ya uimbaji wko hongera sana
Wakwanza ni ww kweli Wimbo mtamu
Jikubaliiii
Waaaaaaaoooooo hongera sana jmn Man ov God
Nimebarikiwa sana na huu wimbo jmn
Mungu akubariki sana🙏🙏🙏🙏💕💕
Huyu kijan ametoka mbali pia anawainuwa wengine
Duh!! Kaka unaimba kweli kwelii
Yes, Big brother, nice song 🎵 👌
Hongera sana Godfrey keep going kijana wa Mzee Kibwana na Bi. V....🙏🏾
❤❤❤❤Barikiwa sana kwa kipaji alichokupa mungu
Kaka una mziki halis unaoishi ndani yako, Omba sana adui asiibe huo mziki ndani yako
Amina kubwa kaka
Nabarikiwa sana na nyimbo zako God bless you ❤️❤️❤️
Amina kaka wimbo mzuri sana
Wooooow❤❤❤❤
A nice one,I love it, may God's favour fellow you always.
Bon travail mon Grand.
Vous êtes une bénédiction 🙏🏽
Hongera sana mtumishi wa mungu❤❤❤
Kaka wewe ni fundi sana, hongera mno
Your blessings is another level brother May God give you more steps
Nice song man of God,be blessed🙏🙏
I love this song🙌🏽
Fundi wa mziki❤
Mjombaaaaa🎉🎉🎉🎉
Barikiwa sana mtumishi
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 nguvu ya mungu we kweko
Naiweivyo mtumishi.
Nyimbo nzuri sanaa
Baba 🙌🙌
Amen Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu
❤❤❤nimekubali bro
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉 amazing 🤩
Be blessed
🔥🔥❤️
Blessed my brother 🔥
🙌🙌🙌
Hatariii❤ blessed
Unafanya kazi nzuri.
Ukweli ni kwamba Godrey ni mwimbaji mzuri na mwenye sauti bora sana hapa nchini.
LAKINI HUU NI WIMBO WA CHINI SANA KIMAUDHUI, KITHEOLOJIA NA HATA KIMUZIKI. KWANGU MIMI HUU NI WIMBO DUNI KABISA KATI YA ZOTE ALIZOWAHI KUZITOA. NASHAURI ANGEUFUTA AU KUUONDOA. UMEMSHUSHA SANA UKILINGANISHA NA NYIMBO BORA SANA ALIZOWAHI KUZITOA KAMA LEGENDARY, TEAMO N.K.
NAOMBA NIPOKEWE KWA MTAZAMO CHANYA.
Palipo na wema maaduu hawakosekan kabsa
@@GradnessMgaya Si kila ukosoaji ni uadui. Ukosoaji chanya hulenga kumfanya mtu kuwa bora zaidi. Kutokukubali kukosolewa ni kujigeuza kuwa jiwe. Jiwe hupasuliwa bali mnyenyekevu akosolewapo hujifunza.
Ninamheshimu sana Godfrey na ninatambua uwezo wake mkubwa katika uimbaji. Ninatambua baadhi ya nyimbo zake bora kabisa katika utunzi na katika muziki. Huu wa JIKUBALI hapana. Kiwango cha maudhui, uimbaji na muziki kiko chini sana ukilinganisha na Legendary, Teamo n.k. Ukitaka kujua hilo TAFUTA MUSICIAN yeyote au mtu anayefanya kazi studio atakuambia.
Kaka ulikaa kimya sana mpaka tulimiss sana nhoma zako
Hongera sana bro
Ubarikiwe sana
🔥🧡
MUNGU akubariki sana
God bless you broo
Umebarikiwa sana kaka
👏👏🎉
Amen, Amen, Amen🙏🙏🙏
❤❤❤❤
Nice song ❤❤❤
God bless,
Ajikubali
Kaka unajua kiukweli
Amen amen❤
Amina
🔥🔥🔥🔥
😊Ameen
✅✅✅
Church boy
🙏🙏
🙏
❤❤❤❤❤❤❤❤
🙏amina
❤
🎉
Barikiwa sana kaka G hujawahi kukosea mashairi
Asante kaka
kakakakaka
☺️👏😊
🥰🥰🥰🥰🥰
Video lini??
Mbona hutoi video sikuizi kaka@gofreysteven
❤❤❤❤
😊Ameen
🙏🙏
❤
❤❤❤
😊Ameen