JINSI YA KUTENGENEZA WEPESI WA MIGUU NA NGUVU JIFUNZE NA THE SHOKA TEAM KEEP MOVIN
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
- hollarhollahTHE SHOKA TEAM NI DOJO AU CLUB YA SANAA ZA MAPIGANO MBALI MBALI IKIWAMO SHOTOKAN KARATE
THE SHOKA TEAM INAPENDA KUWAKARIBISHA WALE WOTE WENYE UHITAJI WA HII SANAA YA MAPIGANO DOJO LINATOA MAFUNZO YA PAMOJA GROUP TRAINNING NA MAFUNZO YA MMOJA MMOJA INDIVIDUAL OR SELF TRAINNING WAKUBWA KWA WADOGO
DOJO INAPATIKANA MBAGALA KIPATI NJIA YA KWENDA KWAMANGAYA NA NAMBA ZETU NI 0654689922 AU 0785162604
KARIBUNI SANA