@@Zuhuranadadoita pole sana 😢 muhimu unalipwa kwa wakati nijambo nzuri Maana unaweza kutunza hela yako kidogo kidogo Siku ukiona umepata mtaji unaacha kufanya hizo kazi kuliko kukosa kabisa kitu cha kufanya
Yaani Ambwene mshike sana huyo mama, kwanza enda jifunze driving,,hayo mambo mengine ataaa..huyo kesha kuonyesha uwezo wake wakukutafutia deals usijali udhaifu wake nenda nae sambamba baba..huy ndo mama lao nikwambie basi
Namba 1 ❤
Ambwene ana nyota ya wamama
Polee sanaa
Yan me nikimuonaga huyu Kaka waga naona kabisa jinni mkata kamba wa story kafika😢😢
😂😂😂😂😂
Wapi ulimwona
@@Kiddohsanga-fw7jh kanisani
Kwakwel hata hapo Ambwene Alikuwa ni mpambanaji sana
Muhimu alikuwa analipwa hela kwa wakati lilikuwa jambo la kushukuru Sana
Hakika hayo ndo Maisha tunaishi huku uarabuni boss hataki ukae pesa yake utolee jasho 😊
@@Zuhuranadadoita pole sana 😢 muhimu unalipwa kwa wakati nijambo nzuri Maana unaweza kutunza hela yako kidogo kidogo Siku ukiona umepata mtaji unaacha kufanya hizo kazi kuliko kukosa kabisa kitu cha kufanya
Boss wewe😢
❤❤
Boss wa Ambwene yupo kama mwarabu hamna kuumwa hamna kuchoka km punda 😂
Habibty sio Waarabu wote Hata Wa Africa wapo
@@kulthumsaif2856 kwa mwarabu hata uumwe ni humu tu 😂😂😂
Mwarabu Hataki mchezo @@ZuleykhaIsmail-rc5ly
@@kulthumsaif2856 ni roho mbaya tu km huwezi kumhurumia mwenzio ambae anakufanyia kazi zako sio ubinaadamu
Yaani Ambwene mshike sana huyo mama, kwanza enda jifunze driving,,hayo mambo mengine ataaa..huyo kesha kuonyesha uwezo wake wakukutafutia deals usijali udhaifu wake nenda nae sambamba baba..huy ndo mama lao nikwambie basi
Mhhhhhh
Ungekuwa unaweka yu tube mwendelezo mtu aangalie kwa wakati wake
Mbona hua ipo andika ripot ya leo efm utaona mpaka za myaka iliyopita
Zinawekwa Kila siku, ingia efm live
huyo anaroho mbaya
🎉
Duuuu
Mmmmmmmmh
Mmmmmmmh