DULLAYO ATAJA MAZITO ALIYOPITIA Baada ya KUSHUKA KIMUZIKI, KULALA BARAZANI | UNLOCK

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2024
  • DULLAYO ATAJA MAZITO ALIYOPITIA Baada ya KUSHUKA KIMUZIKI, KULALA BARAZANI | UNLOCK
    www.youtube.co...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 28

  • @RukhaiyaNassir
    @RukhaiyaNassir 14 วันที่ผ่านมา

    Nakuelewa sana poleeee sana

  • @MsodokiSokoine-k2x
    @MsodokiSokoine-k2x ปีที่แล้ว +1

    Dulayo noma diamond haoni ndani hapa

  • @Basagamp4
    @Basagamp4 ปีที่แล้ว +14

    Mtangazaji unajifanya Star kuliko Unaemuhoji.....Be have baaaasi

  • @RukhaiyaNassir
    @RukhaiyaNassir 14 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤dullayooo

  • @giftrevocatus8040
    @giftrevocatus8040 ปีที่แล้ว +2

    Daaaaa utangazaji siyo 2 kipaji hata darasa linaitajika

  • @RukhaiyaNassir
    @RukhaiyaNassir 14 วันที่ผ่านมา

    Kama hujarogwa hujui nikweli unachosema ata hao wanahoji unafikiri hawajui wao we yewe wanarogana sana tu uctumie nguvu kumuelezea

  • @abdullyswamad
    @abdullyswamad ปีที่แล้ว +1

    I'm waiting

  • @imeldangoda2319
    @imeldangoda2319 ปีที่แล้ว

    Ok kama umejitambua basi simama tena ...mungu yupo pamoja na wewe .tunajifunza kutokana na makosa yetu

  • @ombeniruvubika5392
    @ombeniruvubika5392 ปีที่แล้ว +2

    Wasafi ntakuuwa jamani...
    Nimependa sn gisi imesetiwa iyo seemu...

  • @thestonetown3302
    @thestonetown3302 ปีที่แล้ว +3

    We mwandishi hujui kumhoji mtu yaan unauliza suali mtu hajibu unasahau kumrudisha msanii kwnye suali ulilouliza#kwa mfno uliuliza”ukiachana na pombe ulishawahi kutumia bangi au Ngada”???hakuna majibu yaliotoka!!

    • @Fundikichwa
      @Fundikichwa ปีที่แล้ว

      Hujaskiza vzuri wew, unarusha rusha

  • @lujobilz7482
    @lujobilz7482 ปีที่แล้ว +1

    💪

  • @bainolatino3412
    @bainolatino3412 ปีที่แล้ว +1

    Mbona me naona jamaa anapresent fresh tuu pia sio kila kipnd lazima kiwe shangwe kama vipindi vengine manake hiki ni kipindi cha usiku sio the switch yani kama lavidavi uwe na swagga kama xxl hapana kila kipndi kina maudhui yake kwahyo sio mbaya jamaa ni mkali mpaka kukaa wasafi sio kazi rahisi kama rahisi fanya wewe tukuone kama kupaji najua mnatamani kua kama yeye manake mnajifanya mnajua sana kujaji mamayo zenu ninyi

  • @allymwilu8089
    @allymwilu8089 ปีที่แล้ว +1

    Aache kwanza pombe kali zinamkaanga mdomo anapanik wapi huyu akae atulie ajipange upya Hana haja ya kupanik maisha kushuka kupanda kawaida

  • @Haizurumakombo-cu5cu
    @Haizurumakombo-cu5cu ปีที่แล้ว +3

    We we ni muongeaji sio mtangazaj

  • @hassanstoch7607
    @hassanstoch7607 ปีที่แล้ว +1

    Mtangazaji unafosi sana kumudu kipindi pasipo kujua unajikuta unaharibu. Haufit kabisa

  • @raufsaid3691
    @raufsaid3691 ปีที่แล้ว +2

    Mtangazaji ndio anaonekana msanii,msanii anaonekana mtangazaji 😀😀

  • @ujenziwanyumbakisasatanzan6343
    @ujenziwanyumbakisasatanzan6343 ปีที่แล้ว +1

    Mtangazaji mweupe kabisa, hamna kitu

  • @wazoboy1319
    @wazoboy1319 ปีที่แล้ว +1

    uhakika mbaba

  • @jorumkiungo303
    @jorumkiungo303 9 หลายเดือนก่อน

    Hakuna mtangazaji hapo

  • @yusuphswai6851
    @yusuphswai6851 ปีที่แล้ว

    Mtangazaj apo akuna kabisa yani

  • @HusseinRj
    @HusseinRj ปีที่แล้ว

    Mtangazaji😂😂😂

  • @westhamtznalenale3093
    @westhamtznalenale3093 ปีที่แล้ว

    Double kick

  • @christophergeorge5490
    @christophergeorge5490 ปีที่แล้ว

    😂😂😂 Msanii ndo yupi hapo