WAKULIMA WA PARACHICHI NGARA KUPIGA MAMILIONI YA PESA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ต.ค. 2024
  • Unaweza kuiita Dhahabu ya kijani! Hili ni zao la Parachichi aina ya HASS ambayo inakwenda kuwatajirisha wakulima wa Wilaya ya Ngara Mkoani Kagera
    Kipindi chetu siku ya leo kimerekodiwa wakati wa zoezi la Mavuno. wasiliana nasi kwa Simu namba 0756432748

ความคิดเห็น • 21

  • @gilbertmugisha4509
    @gilbertmugisha4509 2 ปีที่แล้ว +4

    Nawapa kongole sana NGARA TV kwa harakati kubwa mnazofanya kwa ajili yetu wana Ngara!! Haya ni mapinduzi makubwa sana sana. Ningependa wana Ngara wenye mapenzi mema wajiunge kufuatilia taarifa za Ngara TV. Nimevutiwa sana kwa habari ya ujio wa wawezeshaji katika kilimo cha parachichi. Kwa kweli nimehemewa kwa habari hii. Huu biashara hii ni kama mgodi wa dhahabu. Wana Ngara tuchukue fursa...Viva Ngara TV

  • @magoritv7448
    @magoritv7448 8 หลายเดือนก่อน

    Naomba mawasiliano tafadhali!

  • @ELIABDICKEN
    @ELIABDICKEN 8 วันที่ผ่านมา

    Namba zake za cm

  • @mayungaleonard6042
    @mayungaleonard6042 2 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana boss

    • @juveillatv
      @juveillatv ปีที่แล้ว

      Next will be in english

  • @HidayaMwimbo
    @HidayaMwimbo ปีที่แล้ว

    Tunapataje miche iyo ya kisasa

  • @RUDIAPAULO-m1r
    @RUDIAPAULO-m1r 9 หลายเดือนก่อน

    Ok

  • @joshuampagaze8891
    @joshuampagaze8891 2 ปีที่แล้ว

    🙏🤝

  • @fravianpapian9194
    @fravianpapian9194 2 ปีที่แล้ว +1

    Mbengu zinapatikana wapi

  • @NtanunuraWillsonBaru
    @NtanunuraWillsonBaru 2 ปีที่แล้ว +1

    Shamba mbona dogo Sanaa watu wanalima hekali kumi au ndio maono ya ngara

  • @mayungaleonard6042
    @mayungaleonard6042 2 ปีที่แล้ว

    Kutoka mkibogoye naona mambo si mabaya

  • @SMARTCADO1870.
    @SMARTCADO1870. 2 ปีที่แล้ว +1

    Mawasiliano

    • @jimbolangara
      @jimbolangara  2 ปีที่แล้ว

      0766553083

    • @arsenimatemu5920
      @arsenimatemu5920 2 ปีที่แล้ว +1

      @@jimbolangara Bravo. Sambazeni hizi mbegu nchi nzima.

    • @jimbolangara
      @jimbolangara  ปีที่แล้ว

      @@arsenimatemu5920 karibu sana

  • @gynae8407
    @gynae8407 2 ปีที่แล้ว

    GMO fruits