SEGA LANGU LA ASALI - SADIQ TAARAB

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 35

  • @beastmasteraloha7214
    @beastmasteraloha7214 9 ปีที่แล้ว +6

    nakumbuka mwambao wa pwani wetu Mola abariki pwani na amani Ameen

  • @saidrashid9275
    @saidrashid9275 6 ปีที่แล้ว +5

    sio siri hizi nyimbo zinanikumbusha kipind nipo secondary nilikuwa napenda kusikiliza wakati wa usiku nilipokuwa nikipitia masomo yangu lovo all people whos store this songs

  • @khamisshehe3979
    @khamisshehe3979 7 ปีที่แล้ว +6

    Asanteni kwa taarab asilia nnavozipenda kila wakati nnaziskiliza shukran Bin Seif na Sadik Juma

  • @aisshamohamed3452
    @aisshamohamed3452 8 ปีที่แล้ว +5

    asanteni bin seif kwa kutuburudisha na taarab nzuri nzuri..

    • @ringorichard7935
      @ringorichard7935 3 ปีที่แล้ว

      @@utaani1 thank you seif Mungu akulinde God blz u

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 21 วันที่ผ่านมา

      Hizo ndio zikiitwa Taarab siyo sasa eti Taarab mipasho Mhhh

  • @aminaosmannoor1565
    @aminaosmannoor1565 7 ปีที่แล้ว +9

    nyimbo hizi za taarabu zani kumbusha sana nilipo kuwa nikizisikiza kule kwetu malindi kenya. nashukuru sana kwa hisani yako. asili haipotei love taarab. jazakala kher kwa ndugu zeto wote waliotoka mwambao.

    • @nassermaqbaly5231
      @nassermaqbaly5231 7 ปีที่แล้ว +2

      hii ndio zanzibar ilipokua chini ya mfalme sio sasa mavi mtupu nchi yote inanuka

    • @aminaosmannoor1565
      @aminaosmannoor1565 7 ปีที่แล้ว +1

      Nasser Maqbaly
      kweli zanzibar nikuzuri ninapo ona picha ufuo wake white sands and beutiful beaches insha Allah nitakwenda mwenyezi mngu akinijaalia. peace and love my friends💜💜💜

    • @lipymuscat4779
      @lipymuscat4779 7 ปีที่แล้ว +1

      Amina Osman Noor 😍 maneno kuntu..mimi kutoka zanzibar

    • @aminaosmannoor1565
      @aminaosmannoor1565 7 ปีที่แล้ว +1

      masha Allah kheri nzuri nawatakia watu wa oman.

    • @hudhayfrashid8868
      @hudhayfrashid8868 6 ปีที่แล้ว

      Hakika maneno kuntu hizi nyimbo zinatoa huzuni na kuchangamsha akili

  • @sulaiman9113
    @sulaiman9113 9 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana Bin Seif mshikaji.Ved nzuri nyimbo haikongi wala haitokonga sauti safii kabisa.Bless u bro greetings from Muscat.

  • @khadijamachellah239
    @khadijamachellah239 5 ปีที่แล้ว +2

    Hizi ndizo nyimbo za kusikiliza❤

  • @Queen-be1uf
    @Queen-be1uf 5 ปีที่แล้ว

    Yaa salaam. Old is gold mashaallah. Hatuchoki kusikiliza.

  • @ibuliko3226
    @ibuliko3226 2 ปีที่แล้ว

    🥰🥰💯💯💯💯

  • @fatumaridhiwani8407
    @fatumaridhiwani8407 5 ปีที่แล้ว

    Ukickia taarab ndio hizi zinaburudisha zinafikirisha unaweza kuckiliza hata nawatu wenye hadhi na rika tofauti mko wapi watunzi wetu wa zamani

  • @khansaabakar9337
    @khansaabakar9337 6 ปีที่แล้ว

    Jmni masha allah old is gold ...I like it

  • @user-di1cw5yo8u
    @user-di1cw5yo8u 9 หลายเดือนก่อน

    Kwe😅😅😅😅😅😅

  • @zahranmimibahamasnawimbled6546
    @zahranmimibahamasnawimbled6546 24 วันที่ผ่านมา

    KUNA NYIMBO NIMEISAHAU INAITWAJE (NA UKITAKIWA RAHISI USIWE)

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 21 วันที่ผ่านมา

      Na ukitakiwa rahisi usiwe… Unguja kulikuwa kweli na waimbaji na watungaji wazuri. Wapiiiii. Mungu awaraham. Amin

  • @lutfiamohammed1891
    @lutfiamohammed1891 2 ปีที่แล้ว

    💕

  • @hafsarashidallyrashidally3100
    @hafsarashidallyrashidally3100 5 ปีที่แล้ว +1

    Sana sn tu twazipenda

  • @maryamjuma2931
    @maryamjuma2931 4 ปีที่แล้ว

    Nikisikiliza nataman kulia

  • @mwajuma1734
    @mwajuma1734 7 ปีที่แล้ว

    hili sega kweli mana wimbo nce

  • @abfattogether7824
    @abfattogether7824 9 ปีที่แล้ว

    pls weka nyimbo za sadi hasa kibali and pls

  • @khamisshehe3979
    @khamisshehe3979 7 ปีที่แล้ว +1

    Ila kuna wimbo unasema "mwenzangu nihurumie" siuoni unatumika kwa jina gani?

    • @hassansuha2490
      @hassansuha2490 7 ปีที่แล้ว +1

      Maasalam masalam hakika zakale zahabu

    • @zenaal-baalawy1953
      @zenaal-baalawy1953 3 หลายเดือนก่อน

      @khamisshehe3979 nadhani hiyo nyimbo uloisema inaitwa “Naomba Kibali Chako”

    • @zahranmimibahamasnawimbled6546
      @zahranmimibahamasnawimbled6546 24 วันที่ผ่านมา

      KUNA NYIMBO NIMESAHAU INAITWAJE (NA UKITAKIWA RAHISI USIWE)

  • @shabannyota2341
    @shabannyota2341 8 ปีที่แล้ว

    nitafutiye nyimbo.kilio cha mama

    • @sabrinaabdalla360
      @sabrinaabdalla360 6 ปีที่แล้ว

      Nimeipenda hii nyimbo maana inaichukuwa hisia yangu yote ninapo skiliza

    • @user-bc4ob3up4r
      @user-bc4ob3up4r ปีที่แล้ว

      ❤❤❤❤