warsha ya wajumbe wa Kitaifa wa Shabaha za kuondoa Uharibifu wa ardhi
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 31 ธ.ค. 2024
- Wataalamu na wadau wa sekta mbalimbali nchini walishiriki katika warsha ya siku mbili kwa ajili ya wajumbe wa Kitaifa wa Shabaha za Kuondoa Uharibifu wa Ardhi (Land Degradation Neutrality National Working Group - LDN WG) sambamba na mafunzo ya Mbinu Shirikishi za Tathmini ya Ardhi (Integrated Land Assessment Methodology - ILAM).
____
Experts and stakeholders from various sectors in the country participated in a two-day workshop for the National Working Group on Land Degradation Neutrality (LDN WG) alongside training on the Integrated Land Assessment Methodology (ILAM).