Tunakualika kutazama video fupi ya Ziwa Duluti!
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 31 ธ.ค. 2024
- Tazama uzuri wa Ziwa Duluti kupitia makala hii fupi inayopatikana kwa Kiswahili, Kijerumani, Kiingereza, na Kichina! Kutoka kwenye msitu wa asili uliojaa ndege wakuvutia hadi maji ya kijani kibichi ya volkeno, Ziwa Duluti linatoa adventure isiyosahaulika.
🚣♂️ Kayaking na Canoeing
🐟 Uvuvi wa Michezo
🐦 Utazamaji wa Ndege
🌲 Matembezini Misituni
🎥 Utengenezaji wa Filamu na Picha
🛶 Kambi za Picnic na Kujitenga kwa Ibada
Likiwa umbali wa kilomita 14 tu kutoka Jiji la Arusha, Ziwa Duluti ni eneo bora la Utalii Ikolojia. Pata uzoefu wa utulivu na uzuri ambao hifadhi hii inatoa!
Tazama na subscribe kwenye TH-cam Channel yetu ya Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania - TFS kwa video zaidi za uhifadhi wa misitu na nyuki, utalii ikolojia, utalii wa utamaduni.
#LakeDuluti #Ecotourism #ExploreTanzania #NatureLovers #Travel
#tanzaniatourism #tanzania #tanzaniasafari #tanzaniatravel #tanzaniaunforgettable #tanzaniasafaris #tanzaniaparks #tanzaniaholiday #tanzaniavacation #tanzaniatours #tanzaniabirdsafaris #tanzaniaadventure #utaliiwandani #visittanzania #tanzaniatourismboard #tanzanian #tanzaniainme #tanzaniaholidays #zanzibar #travel #kilimanjaro #tanzaniaweddings #serengetinationalpark #ngorongoro #safari #daressalaam #tanzaniafootball