VIWANJA VYA VILIVYOPIMWA VYA KUPATA HATI MILIKI ZA WIZARA! KISEMVULE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 พ.ย. 2024
  • #investment #realestate #africancity #hati #kigamboni #property #land #house #hatimiliki #travel
    📌Huu ni Mradi pekee wa kupata Hati miliki za Wizara (Yaani Mradi uliopimwa) katika ukanda huu wa Kisemvule na Vikindu.
    ■MAHALI ULIPO
    Kisemvule Km. 6 tu kutokea
    Kisemvule stendi/Main road.
    ■SIFA ZA VIWANJA
    -Vimepimwa
    -Vina hatimilikia
    -Ni tambarare
    -Huduma za kijamii zipo jirani.
    ■BEI ZA VIWANJA
    Kwa Sqm moja ni Tsh. 10,000/= ambapo Sqm 400 = Tsh. 4,000,000/= Viwanja vyote ni vikubwa kuanzia Sqm 400 hadi Sqm 2000+
    ■MALIPO YA VIWANJA
    Malipo ya Viwanja ni kwa Awamu au Kwa Mkupuo(Cash) utachagua wewe ni mfumo gani unamudu...
    📍Kwa malipo ya awamu utatakiwa kuanza na asilimia hamsini (50%) yaani Nusu ya bei ya kiwanja, kisha nusu inayobaki utamalizia kwa muda wa miezi sita/6/ (Nusu Mwaka).
    NB. HAKUNA RIBA/DHAMANA
    ■SIKU ZA KUONA VIWANJA
    Ni kila siku isipokuwa Siku ya Ijumaa tu! na gharama ya kupelekwa site ni Tsh. 10,000/= tu
    ■OFISI ZETU
    Ofisi yetu ipo Kisemvule mjini(Nyumba nyeupe)
    ■MAWASILIANO YETU
    WhatsApp/Call📍
    +255747141871
    #viwanjavilivyopimwa #makazisalama #viwanja nafuu #makazibora #viwanjaeneosafi
    INSTAGRAM
    ...
    TH-cam CHANNEL
    youtube.com/@a...
    FACEBOOK ACCOUNT
    www.facebook.c...
    📌📌 📌📌

ความคิดเห็น • 2

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula ปีที่แล้ว

    Kosemvule sure 10000 ha ha ha .mmedata

    • @aisambestlandviwanjanyumba
      @aisambestlandviwanjanyumba  ปีที่แล้ว

      Acha mambo ya kishamba na chuki zisizo na kichwa wala miguu kama unaona bei ni kubwa tulia tena ikibidi jiondoe kabisa bei ya Viwanja hupangwa kulingana na ubora wa eneo.