WIRING: JINSI YA UFUNGAJI WA FENI NA TAA KATIKA CIRCUIT BOARD "SIMPLE" -(HOME PRACTICAL💡)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
- #Neutral_Grounding,_Why_transformer_neutral_connected_to_earth_|_Neutral_earthing_
#havells ||Tanesco #tanesco #electrician #africabusiness #usa #1mviews
💡+++🔌+++💡
(SUBSCRIBE)
KARIBU SANA TUJI FUNZE UMEME KATIKA VIPINDI VYETU VINAVYO ENDELEA KUPITIA CHANNEL YENU PENDWA YA TH-cam👉( ODESSA ELECTRICAL_INSTALLATION)+🔌+💡, PIA
KAMA WEWE NI MWANAFUNZI UNAE JIFUNZA UMEME AU UNA TAMANI KUFAMU UMEME KUPITIA VIPINDI HIVI VYA PRACTICAL NA THEORY VITA KUSAIDIA SANA KU UELEWA KWA HARAKA UMEME UKIWA NI MFATILIAJI NA MUUDHURIAJI MZURII KATIKA VIPINDI VINAVYO ENDELEA.
💡+++🔌++💡
1:UNAWEZA KUTUPATA WHATSAPP KWA NAMBA 👉0713973162 NIKUUNGE KATIKA GROUP LETU LA WHATSAPP KUCHANGIA MAMBO MBALI MBALI YANAYO HUSIANA NA ELIMU KUHUSU UMENE.
ODESSA ELECTRICAL INSTALLATION TOGETHER WE CAN 💡+++🔌+++💡💪.
👇.....on TH-cam.....👇
/ @odessaelectricaltechn...
Tumekuelewaa mkufunzi je kwenye leguletor hakuna live & nutul?
Daah asee broo nakuelew mpk rah MUNGU azidi kukufanyia uwepesi kwa Kila jambo
Amen 💯
Tunatumiaje single waya kuwasha taa na feni
saf sana ndg zangu mungu awabaliki sana ili muendelee kutupa dalasa la uhakika.
Kuna zingne zishaonganiahwa kapastor kwaiyo apo alip renga ndio muhimu zaid na zaid
Asantee
Mwalim sema sijaona capacitor hapo mwalim au fane inawaka tu fresh bila capacitor na hata kma ipo pengne cjaiona ungetuelekeza hata namna ya kuiweka pia mwalim
Capacitor ipo na imeelezewa kwenye ufungaji tazama hicho kipindi Kwa makini.
Mfano nafunga ukumbi unao hitaji feni tano, kuna madhara gani kama hizo feni zote zitafungwa kwa kutumia regulator moja????