Namshkuru Mungu Kwa maisha niliyonayo japo nimepotezza wazazi nikiwa na Miaka miwili ila bibi angu amenilea mpka now nipo mkubwa hivi THANK YOU SOO MUCH MUNGU WANGU
Mungu ni mwema kila wakat kikubwa usiache kumuomba na kumuamini. Ahsanteh mungu. Kwa Maisha. Ninayo pitia sina kikubwa ila sehem ya kulala ninayo. Chakula. Nakula. Napata hela ya kubadilisha. Mboga to na yakod Ahsanteh hata kufika hapa

Kama unamuamini Mungu like hapa❤
Atakae soma comment hii MUNGU amfungulie Milango ya baraka
Mungu akufungulii baraka kwa kusoma comment Bali mungu anakufungulia kwa kuweka tafakuli na Imani ya kweli ndani yako
Namshkuru Mungu Kwa maisha niliyonayo japo nimepotezza wazazi nikiwa na Miaka miwili ila bibi angu amenilea mpka now nipo mkubwa hivi THANK YOU SOO MUCH MUNGU WANGU
Maisha ni safar,nakushukuru Mungu wangu kwa kila hatua kweny maisha yang hujawahi kuniacha
Daima ukitenda mema Mungu anakulipa ni kuwa mvumilivu hadi mwisho.pole Ambwene
Mungu ni mwema kila wakat kikubwa usiache kumuomba na kumuamini. Ahsanteh mungu. Kwa Maisha. Ninayo pitia sina kikubwa ila sehem ya kulala ninayo. Chakula. Nakula. Napata hela ya kubadilisha. Mboga to na yakod Ahsanteh hata kufika hapa
Natamani nijue mwisho wake pole Sana Ambwene
Ambwene anasema......
😂
Maisha ni fumbo zito😢
Maisha nifumbo