safi professor.watu kila kitu wanazani ni siasa.hakuna siasa professor mjema kuja cbe ni kama magukufuri kuwa rais wa tanzania,,mjema kabadilisha kila kitu cbe,majipu yametumbuliwa sasa yanaandika habari habari za uongo kwa magazeti ona sasa na nyie waandishi mmeponzwa mmeshakuwa majipu kinachofwata sasa ni kutumbuliwa kwa gazeti la DIRA.HABARI MNAYOOOO
mwandishi kakurupuka, Professor Mjema anatoa evidence za surplus ya chuo na namna gan alikikuta na deficit pia CAG na PPRA report ni evidence tosha ktk auditing

Nakubaliana na wewe @rose
mwandishi kakurupuka, Professor Mjema anatoa evidence za surplus ya chuo na namna gan alikikuta na deficit pia CAG na PPRA report ni evidence tosha ktk auditing
Mimi ndio maana siwaamini hawa makanjanja Wa Tanzania afadhali niangalie pornography au CNN,CBC,BBC,MNCBC,RT,AL JAZEERA
Sio hafai huyo mwandishi, mimi naona kuna jambo hapo kwa sababu huyo mwandishi siyo kichaa au kakurupuka.
Mwandishi kakurupuka
mzee anaongea kwa waxwax sana, hapo kuna jipu limeiva tayar haha
Wewe angalia hoja za msingi sio poyoyo! Wasiwasi umeupimaje? Kama huna cha kucomment kaa kimya!
Mwandishi kakurupuka mchezo wote ninaufahamu. Mwandishi amepewa rushwa na watu wanaotaka kumchafua Prof. Time will tell!
mwaandishi wa bongo wana miemko
kwanini uongozi wa CBE usimshitaki mtu kama huyo hafai kwenye jamii anachafua
Kweli kabisa, huyu mwandishi na mhariri wachukuliwe hatua.