Mahabati song by January FBI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 85

  • @cynthiaamadi
    @cynthiaamadi ปีที่แล้ว +12

    My love for love songs, I was still a kid back then in 2009, nilikariri huu wimbo,,,big love to the characters ♥️♥️👍

  • @mohamedoman9344
    @mohamedoman9344 2 ปีที่แล้ว +4

    Movie nzuri kweli bro Mussa banzi story nzuri kweli mahabati

  • @HarunaAbrahaman
    @HarunaAbrahaman 11 หลายเดือนก่อน +3

    Jamani wapo wapi Hawa watu daaah walitukosha sana asee🎉🎉🎉🎉

  • @MaggyAmbale
    @MaggyAmbale 2 หลายเดือนก่อน +4

    Jamani mimi nimetizama iyi movie kwa 2013 kweli siamini kama
    Nimekutana nayo kweli 2024😢😢😢😢

  • @veronicadaniel1122
    @veronicadaniel1122 4 ปีที่แล้ว +19

    Hakunakitu nilikua nikipenda movie kama hii muishi maisha marefu wahusika wa mahabati#mussabanziulijuakazi

  • @ashanamonga1851
    @ashanamonga1851 3 ปีที่แล้ว +8

    Naangalia mwaka 2021 bado inadumu aisee kanda nazur sana hii

  • @ndayijeanclaude5094
    @ndayijeanclaude5094 6 หลายเดือนก่อน +8

    Hii move ilituvurugha sana

  • @barikitvshow
    @barikitvshow 2 ปีที่แล้ว +6

    Mwenye mawasiliano ya huyu dada anipe kuna zawadi yake

  • @jafalchaula7253
    @jafalchaula7253 2 ปีที่แล้ว +2

    Haya maisha bhana tunatoka mbali sana😂🤣🤣

  • @ChancelineCatherine-bj6jd
    @ChancelineCatherine-bj6jd 16 วันที่ผ่านมา +1

    Mashallah ❤❤❤❤

  • @vivianabubakar254
    @vivianabubakar254 หลายเดือนก่อน

    2009 I was in class1😂 sahi I am a mother😊much love kwa wasani waliohusika na hii movie❤

  • @frorancekwizera2164
    @frorancekwizera2164 4 ปีที่แล้ว +9

    Nakumbuka Tanzania 😭2020 who’s watching

  • @tanuhamos5544
    @tanuhamos5544 4 ปีที่แล้ว +4

    Ivi kwanini baada ya Kanumba kufariki Bongo movie wengi walipotea?? Nakumbuka mbali sana nikiangalia nyimbo hizi kweli Movie hii niliipenda sana ivi uyu dada yuko wapi kwenye game simuoni tena.

  • @shanishani7690
    @shanishani7690 23 วันที่ผ่านมา

    Mlitukamata sana sis mi shangazi ezi za mabanda ya video 😂😂

  • @josephjengu2870
    @josephjengu2870 4 ปีที่แล้ว +8

    Nakumbuka mbali sana la mmepotea

  • @cabylake2320
    @cabylake2320 ปีที่แล้ว +2

    Ivi awa watu wapo kweny uyu ulimwengu au

  • @rajjsamir2038
    @rajjsamir2038 4 ปีที่แล้ว +6

    Weka full movie naipenda sana, from Kenya

  • @shabanikisagaseathumani7603
    @shabanikisagaseathumani7603 ปีที่แล้ว +1

    Nakubari sana 2023 twende pamoja

  • @HadijaMajo
    @HadijaMajo 6 หลายเดือนก่อน

    Kweli weka full hiy movie ninzur san hata mim from kenya

  • @salumuhasan5839
    @salumuhasan5839 2 ปีที่แล้ว +1

    Nakumbuka mbali enzi npo schooll

  • @maombinshedson5914
    @maombinshedson5914 4 ปีที่แล้ว +6

    Ivi hawa jamaa wamepotea sana kwenye game

  • @bitualibaruanimysonthebest8960
    @bitualibaruanimysonthebest8960 4 ปีที่แล้ว +11

    Huyu dada yupo wapi tunakumiss

  • @KevinDule
    @KevinDule 5 หลายเดือนก่อน +1

    Tamu kama haluwa

  • @verified0429
    @verified0429 3 ปีที่แล้ว +1

    Jamani we kaka na we dada mpo wapi

  • @kenyantraveller1195
    @kenyantraveller1195 4 ปีที่แล้ว +4

    Marehemu ndo aliwapoteza nilipenda Sana movie zenu

  • @salumjuma8553
    @salumjuma8553 4 ปีที่แล้ว +7

    Mapenzi haya yapo.wangapi wanayo?kwawengi haiwezekani,tufanyeje?

  • @BwaxyWaMicha
    @BwaxyWaMicha 19 วันที่ผ่านมา

    Hivi hawa wasanii walienda wapi

  • @mirajhrs
    @mirajhrs 3 หลายเดือนก่อน

    😂 apo walikuwa wanajiona wahindi wenyewe....
    Ila tumetok mbaliii

  • @rassleila6089
    @rassleila6089 5 ปีที่แล้ว +7

    Hii nyimbo ni kali siioni kwa tubidy 😰

  • @ndayijeanclaude5094
    @ndayijeanclaude5094 ปีที่แล้ว

    2023 naikumbuka hii move

  • @g_familytv2081
    @g_familytv2081 หลายเดือนก่อน

    What’s her real name

  • @barakaamos3538
    @barakaamos3538 14 วันที่ผ่านมา

    Watoto wa 2000 watuache kidogo

  • @mzombabejamzombabejamzomba
    @mzombabejamzombabejamzomba 4 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤🎉

  • @elizabeth1546
    @elizabeth1546 2 ปีที่แล้ว

    I love this 🎸🌴

  • @KeithaNdayisaba
    @KeithaNdayisaba 6 หลายเดือนก่อน

    Mnikubushe jina yayi sinema

  • @abdallahkambondoma7188
    @abdallahkambondoma7188 4 ปีที่แล้ว +4

    Nice

  • @Ummy-yn7pv
    @Ummy-yn7pv 5 หลายเดือนก่อน

    Walikua wanaimba Of ki🤣🤣🤣🤣🤣

  • @MwanamisiJapani
    @MwanamisiJapani 15 วันที่ผ่านมา

    Mtutafutie na hawa tujue wko wap

  • @bridgitnechesa7463
    @bridgitnechesa7463 3 ปีที่แล้ว +3

    mlienda wapi nyi nyote,,, am telling you you know how to act like seriously

  • @donnalettah
    @donnalettah 2 ปีที่แล้ว

    Jina please??

  • @sesiliabahath4806
    @sesiliabahath4806 3 ปีที่แล้ว

    Hii movie imechezwaa mala 2 m naombaa ileee alocheza jenifer kyaka

  • @henryhennzkuria1350
    @henryhennzkuria1350 2 หลายเดือนก่อน

    Repeating Mahabati in 2024

  • @saidabdallah8608
    @saidabdallah8608 ปีที่แล้ว

    Hoyeeee 2023

  • @stevenscott8651
    @stevenscott8651 ปีที่แล้ว

    😂😂😂i finally found it

  • @Dogoria
    @Dogoria 3 ปีที่แล้ว +3

    Finally

  • @hakimselemankhalfan1555
    @hakimselemankhalfan1555 ปีที่แล้ว

    Uongo uoooo

  • @omarimanzi9954
    @omarimanzi9954 4 ปีที่แล้ว +5

    bodoza kama bodoza

  • @emmanuelybonifase4017
    @emmanuelybonifase4017 2 ปีที่แล้ว +2

    Yani ezi izo

  • @elizabethwikana4955
    @elizabethwikana4955 2 ปีที่แล้ว

    I LOVE 💞❣️💓💗💖💝🔥🔥🔥💯💯💯🙏🧎‍♀️🧎‍♀️

  • @saidiyasin1449
    @saidiyasin1449 3 ปีที่แล้ว

    Wengine movie inatoka walikuwa hawajazaliwa hapa nawazungumzia wale wa 2009

  • @husseinamisse8683
    @husseinamisse8683 4 ปีที่แล้ว +2

    Kama alivyo sema kinguendo, mapenzi ndio raha duniani

  • @espererancesudi7600
    @espererancesudi7600 14 วันที่ผ่านมา

    To be continued

  • @yoabumkambati1278
    @yoabumkambati1278 4 ปีที่แล้ว +4

    KITAMBO

  • @mudrick_
    @mudrick_ 2 ปีที่แล้ว +1

    ❣❣❣❣🤣🤣

  • @mangilemkira1662
    @mangilemkira1662 3 ปีที่แล้ว

    Good

  • @ericklaiton2763
    @ericklaiton2763 2 ปีที่แล้ว

    2022

  • @pendojengela6643
    @pendojengela6643 4 ปีที่แล้ว +4

    Heeeeee

  • @Susan-xx1nf
    @Susan-xx1nf ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂

  • @yayamakine185
    @yayamakine185 5 ปีที่แล้ว +3

    Munaganda

    • @niyonzimajanuaryfbi1411
      @niyonzimajanuaryfbi1411  5 ปีที่แล้ว

      Munaganda inamaanisha nini
      Tafazali usisahau ku subscribe Asante ❤❤🙏

  • @saidmahmoudsaid621
    @saidmahmoudsaid621 3 ปีที่แล้ว +1

    MAHABATI naipenda sn hii movie Tanzania tunajua kuigza tatz wasanii wazur wanakj na kupotea2
    Follow Instagram@machete_themonster51

    • @lwt472
      @lwt472 3 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/pSkBX5TBodM/w-d-xo.html

  • @emmanuelybonifase4017
    @emmanuelybonifase4017 2 ปีที่แล้ว

    Yani ezi izo