ANIPHA KIJORA- SIMULIZI YA KUSISIMUA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ธ.ค. 2023
  • Anipha anaishi na babaake na dadaake tu, mama yao aliitelekeza familia baada ya kuona Baba Anipha hana pesa, Anipha anajishughulisa na biashara ya uuzaji wa nguo (Vijora).
    Alibahatika kuingia kwenye mahusiano na mwanaume aitwae Allen na wakaoana na kubarikiwa mtoto mmoja, lakini kwabahati mbaya Anipha alimfumania Allen akiwa anashiriki tendo na mamaake mzazi, Je! Ilikuaje????
    ungana nami LUCAS LUMBASI mwanzo mpaka mwisho
    KAMA UMEPENDA SIMULIZI ZANGU LIKE, SHARE, COMMENT, SUBSCRIBE NA USISAHAU KUBONYEZA ALAMA YA KENGERE ILI USIPITWE NA SIMULIZI MPYA
    Pia Tembelea kurasa zangu za mitandao ya kijamii
    INSTAGRAM: / lucaslumbasi_tz
    FACEBOOK: / mrlumbasi
    TIKTOK: / lucaslumbasi
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 47

  • @nahimanahawa
    @nahimanahawa 7 หลายเดือนก่อน +3

    Leo niko namba 1 weeeeeeeeeeeeeeee❤❤❤❤❤❤ thanks my lucasi

  • @fatmahmkuzi
    @fatmahmkuzi 7 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani tuwe na moyo ya uvumilivu mana umasikini ni nafasi ya mwanandam asate kaka kwa kazi zuri

  • @zenaathumani8144
    @zenaathumani8144 7 หลายเดือนก่อน +1

    🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️♥️ from 🇮🇹 🇹🇿

  • @fatimafoaani2263
    @fatimafoaani2263 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu azidi kukubariki sana kaka yetu Lucas Lumbasi mjengoni ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @AAa-it7nx
    @AAa-it7nx 7 หลายเดือนก่อน +2

    Wakwanza leo❤🎉

  • @Happiness-eh4jc
    @Happiness-eh4jc 7 หลายเดือนก่อน +1

    N story nzur na inamafundisho mazur sana hongera

  • @medinahsamita3981
    @medinahsamita3981 7 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana lucas 🎉🎉🎉

  • @scollamwanisisi2739
    @scollamwanisisi2739 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂 Lucas lumbasi jamn 🌹🌹

  • @aminanuranassor660
    @aminanuranassor660 7 หลายเดือนก่อน +1

    Very stor so much ❤❤

  • @omerrashed9080
    @omerrashed9080 7 หลายเดือนก่อน +1

    Thanks Lucas lumbasi pamoja sana

  • @Mrsmick712
    @Mrsmick712 7 หลายเดือนก่อน +1

    Asaantee lucas umetish mbaya mwak unaish kiulain

    • @Pretty22750
      @Pretty22750 7 หลายเดือนก่อน

      Aaaah wapi,mm nachungulia kila wkt km part 2 ya mjomba sioni na ikikaa sana ukuta mtu anasahau tulipoishia 😊😊

  • @dashuushu6883
    @dashuushu6883 7 หลายเดือนก่อน

    Sasa ivi kaka lucas upo moto.safi sana

  • @user-bu4ew6re3h
    @user-bu4ew6re3h 7 หลายเดือนก่อน

    Asante lucas Kwa simuliz nzur

  • @AthmanMasini
    @AthmanMasini 15 วันที่ผ่านมา

    Kwaio inamaana hawa Alen n Anipha pia watkua wameathirik😮

  • @MsafiriMoza-uu9gd
    @MsafiriMoza-uu9gd 7 หลายเดือนก่อน +1

    Humerudiliya tena 😂😂😂❤❤

  • @dashuushu6883
    @dashuushu6883 7 หลายเดือนก่อน

    Nice 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @user-de5eq9bh6z
    @user-de5eq9bh6z หลายเดือนก่อน

  • @user-gc8cz9ei4j
    @user-gc8cz9ei4j 6 หลายเดือนก่อน

    jamn haa! ❤❤❤❤❤❤

  • @josianekwizera3809
    @josianekwizera3809 7 หลายเดือนก่อน +2

    😢😢😢😢❤❤❤

  • @KhadijaKajoli-wm5rc
    @KhadijaKajoli-wm5rc 7 หลายเดือนก่อน +1

    Wakumi naine

  • @user-kf8yl1lc4m
    @user-kf8yl1lc4m 3 หลายเดือนก่อน

    Me napenda simulizi za wadada wa kijijini mana wanamajibu hao

  • @ftimaramadan4748
    @ftimaramadan4748 7 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤

  • @user-cj8ow8we4p
    @user-cj8ow8we4p 7 หลายเดือนก่อน

    Daah

  • @GraceBakari-wo8ly
    @GraceBakari-wo8ly 7 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤🎉

  • @rosewandebi6496
    @rosewandebi6496 7 หลายเดือนก่อน

    Yasisimua kweli na mengi yakujifunza

  • @aaq9812Bintksaim
    @aaq9812Bintksaim 7 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤

  • @chumchum1526
    @chumchum1526 7 หลายเดือนก่อน

    Wa kwanza

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 7 หลายเดือนก่อน

    Anaonewa jamani Anifa!hata hasikilizwi

  • @user-im3xr5ru7c
    @user-im3xr5ru7c 5 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤😂😂🎉🎉🎉🎉🎉😢😢

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 7 หลายเดือนก่อน

    Mhmm,mama Allen nae?kachemka

  • @christinasinderema3005
    @christinasinderema3005 7 หลายเดือนก่อน

    😂😂❤

  • @MwanatumuJumaa-rj4fg
    @MwanatumuJumaa-rj4fg 7 หลายเดือนก่อน +6

    Kaka lucas roundi hii umetutendea haki naona tukifunga mwaka kiulaini😂😂.ila hii simulizi ni kama imerudiwa

    • @israeluronu9958
      @israeluronu9958 7 หลายเดือนก่อน

      Kweli Mwana, hii imerudiwa bana.

    • @MwanatumuJumaa-rj4fg
      @MwanatumuJumaa-rj4fg 7 หลายเดือนก่อน

      @@israeluronu9958 ila sio hapa

    • @dashuushu6883
      @dashuushu6883 7 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤❤❤❤❤

  • @marthasonia5005
    @marthasonia5005 7 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢🤭

  • @user-iu6if9bg6f
    @user-iu6if9bg6f 6 หลายเดือนก่อน

    Sasa kwann anipha arudiane na mumewe kabla ya kwenda kuchek afya manake mamayake Alisha kuwa muathirika vipi haku muambukiza Alen?

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 7 หลายเดือนก่อน

    😷😷😷

  • @saadamohammed7431
    @saadamohammed7431 7 หลายเดือนก่อน

    Ndugu Lucas wewe wacha 2

  • @user-mb3yn8up4e
    @user-mb3yn8up4e 7 หลายเดือนก่อน

    Jmn mama huyo ni moto hadi kwa mume wa mwanae ee hatari

  • @Azizasango
    @Azizasango 6 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂😂

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 7 หลายเดือนก่อน

    😮❤❤❤💐💐💐🪴🪴🪴🎄🎄🎄

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 7 หลายเดือนก่อน

    Maisha ni safari yenye milima na mabonde,hakuna la ajabu,chochote chaweza kukutokea, Asanteni mtunzi na msimulizi tumeelimika na kuburudika❤❤❤❤❤🪴🪴🪴🪴🪴🪴🎄🎄🎄🎄🎄🎄🎄

  • @nancybendera9011
    @nancybendera9011 7 หลายเดือนก่อน

    😂😂kwan hajuathirika huyo kijan

  • @JudithSalehe-mp2eq
    @JudithSalehe-mp2eq 2 หลายเดือนก่อน

    Kaka napenda sana kazi zako👎

  • @user-it5ej8eq6m
    @user-it5ej8eq6m 7 หลายเดือนก่อน +1