Brother Mbwaduke uchambuzi wako ni mzuri sana,Ila naushauri kdg km ingewezekana ukawa unatembelea kwenye kambi au mazoezi ya hizi team zetu zinazoshiriki hii michuano miwili ukaenda kuutoa uchambuzi huu kwa wachezaji pamoja na makocha on my side naona ingesaidia sana (IF IS POSSIBLE)🙏🙏🙏
Simba wanakosea sana kuwaacha wachezaji muhimu kama Elie Mpanzu na Kapoma kwani uwepo wao ungesaidia kuwasoma washindani kwa manufaa ya michezo ya mbele.
Fadlu anaupenzi na Ahoua,dogo ndio anaongoza kwa kupoteza mipira, kwangu mimi ile game afadhali angemuweka Debora acheze namba 10 badala ya Ahoua, angemsaidia sana kwakua ananguvu na uwezo mkubwa wa kutoa pasi.
UFAFANUZI KUHUSU MPANZU KUCHEZA CAF Elie Mpanzu kuichezea Simba CAF ni mpaka pale Simba itakapofuzu hatua za mtoano, yaani kuanzia robo fainali. Dirisha la usajili kwa ajili ya hatua hiyo linaanzia Januari 1 hadi Januari 31, 2025. Hivyo, hatahusika katika mechi hizi za hatua ya makundi. By Mhariri -- Mbwaduke Stats "Spoti Next Level"
UFAFANUZI KUHUSU MPANZU KUCHEZA CAF Nyota wa Simba, Elie Mpanzu atapata nafasi ya kuanza kuichezea timu yake Kombe la Shirikisho CAF pale Simba itakapofuzu hatua za mtoano za micghuano hiyo, yaani kuanzia robo fainali. Kwa utaratibu wa CAF, Dirisha la nne la usajili kwa ajili ya hatua hizo za mtoano, linaanzia Januari 1 hadi Januari 31, 2025. Hivyo, Mpanzu hatahusika katika mechi hizi za hatua ya makundi. By Mhariri -- Mbwaduke Stats "Spoti Next Level".
Huo ndiyo ukweli, Simba watafute wachezaji aina ya Morrison, Pacome, Max na Cuca Wa Lunda sul. Mukwala, Budo , Ahoua waangaliwe kwa karibu vinginevyo dirisha kubwa wasepe.
@@samwelsimon7392 Ni baada ya kupata uhalali wa kucheza katika ligi wanayoshiriki Simba nchini kwao, yaani Ligi Kuu ya Tanzania Bara. Maana yake kama kule CAF kila kitu okay, basi usajili wa dirisha dogo nchini ukifanikishwa naye atakuwa tayari kuitumikia klabu yake mpya ya Simba kwenye mechi za CAF. Dirisha dogo la usajili nchini hufunguliwa Desemba 15.
@@erneusbasanga7939 Simply, staying on the ball while moving it around the pitch. It allows dribblers (players) to run into space, skip past an opponent, help their team keep possession e.t.c
Brother Mbwaduke uchambuzi wako ni mzuri sana,Ila naushauri kdg km ingewezekana ukawa unatembelea kwenye kambi au mazoezi ya hizi team zetu zinazoshiriki hii michuano miwili ukaenda kuutoa uchambuzi huu kwa wachezaji pamoja na makocha on my side naona ingesaidia sana (IF IS POSSIBLE)🙏🙏🙏
Mwaduke sio kochi ni muchambuzi
Nakubaliana na wewe hajawahi sema kitu kisitokee yuko poa sana
Nakubali sana mzeee wa data
Ramadhani mbwaduke wewe ni mchambuzi wangu bora wa mda wote nakufuatilia nikiwa nchini kenya 🇰🇪
Huyo Ahoua ni mchezaji wa Level ya kati, hatuwezi kufika mbali kwa ,No.10 ya Ahoua
Nakuelewa sana mkuu
Kwa simba hii mpishi wa magoli AHOUA tutasubir sana jamaa hajielewi uwanjani kazi yake ni ipi kufunga au kuzuia au kuasisti
❤hongera kiongozi hakika unaweza kuchambua mpira
Huyu ndiyo mchambuzi sasa 👏👏
Mzee wa data❤❤❤❤❤❤
safi sana karibu mpanzu
Nakuelewa vzulii mkuu❤❤❤
wow mpanzu tulimsubili Kwa hamu hatimaye mda tu utaongea tunatamani tumuone
Kunatakiwa pia kupatikana wachezaji wengine kama mpanzu ili kuipa timu nguvu.
Badae utasikia ooo,kocha alikosea kumuweka debora njeee
Good mchambuzi wetu tunakukubali sana
Maisha malefu my brother❤
Haunabay Ramadan mbwaduke
Simba wanakosea sana kuwaacha wachezaji muhimu kama Elie Mpanzu na Kapoma kwani uwepo wao ungesaidia kuwasoma washindani kwa manufaa ya michezo ya mbele.
Mpanzu atacheza tarehe 15
Fadlu anaupenzi na Ahoua,dogo ndio anaongoza kwa kupoteza mipira, kwangu mimi ile game afadhali angemuweka Debora acheze namba 10 badala ya Ahoua, angemsaidia sana kwakua ananguvu na uwezo mkubwa wa kutoa pasi.
UFAFANUZI KUHUSU MPANZU KUCHEZA CAF
Elie Mpanzu kuichezea Simba CAF ni mpaka pale Simba itakapofuzu hatua za mtoano, yaani kuanzia robo fainali. Dirisha la usajili kwa ajili ya hatua hiyo linaanzia Januari 1 hadi Januari 31, 2025. Hivyo, hatahusika katika mechi hizi za hatua ya makundi.
By Mhariri -- Mbwaduke Stats "Spoti Next Level"
Kwann mbwaduke usiwe mshauri wa Simba kwenye usajili?
Mzee wa Data anasema usihofu. Simba wako vizuri sana eneo hilo.
@@MbwadukeStats sisi tunakutaka wewe
@@AgreyNdelwa-eh1plsimba wakimpata huyu mwamba watakuwa na vizuri kwenye sajili
Bora awesu kuliko ahoua
Dirisha dogo linafunguliwa tar.15 na ndio siku wanacheza na sc faxien je,anaweza akaruhusiwa kucheza siku hiyo hiyo ya ufunguzi?
UFAFANUZI KUHUSU MPANZU KUCHEZA CAF
Nyota wa Simba, Elie Mpanzu atapata nafasi ya kuanza kuichezea timu yake Kombe la Shirikisho CAF pale Simba itakapofuzu hatua za mtoano za micghuano hiyo, yaani kuanzia robo fainali. Kwa utaratibu wa CAF, Dirisha la nne la usajili kwa ajili ya hatua hizo za mtoano, linaanzia Januari 1 hadi Januari 31, 2025. Hivyo, Mpanzu hatahusika katika mechi hizi za hatua ya makundi.
By Mhariri -- Mbwaduke Stats "Spoti Next Level".
Achatuone kam nikwel
Kikwazo kikubwa cha simba huyo AHOUA ni mzigo mkubwa pale simba
Huo ndiyo ukweli, Simba watafute wachezaji aina ya Morrison, Pacome, Max na Cuca Wa Lunda sul. Mukwala, Budo , Ahoua waangaliwe kwa karibu vinginevyo dirisha kubwa wasepe.
Kuna timu ina akina pacome na max lkn wamepigwa mechi mbili
unajua sana
Good
🔥🔥🔥
Anacheza lini sasa
sasa mbona huyo Mpanzu hachezi tu japo ulichambua tangu droo ilipofanyika ukasema Mpanzu atacheza lkn tear mechi 2 hajacheza
Inavyoesabu Ivo nachoka inanimalizia Mb za bure pia nakata tamaa
Pole. Ni utaratibu wa wenyewe You Tube wakati kazi inapopanda mubashara. Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono!
@@MbwadukeStatsasante kwa kuendelea kutujuza swali langu ni jee ataanza lini kucheza
@@samwelsimon7392 Ni baada ya kupata uhalali wa kucheza katika ligi wanayoshiriki Simba nchini kwao, yaani Ligi Kuu ya Tanzania Bara. Maana yake kama kule CAF kila kitu okay, basi usajili wa dirisha dogo nchini ukifanikishwa naye atakuwa tayari kuitumikia klabu yake mpya ya Simba kwenye mechi za CAF. Dirisha dogo la usajili nchini hufunguliwa Desemba 15.
What does it mean by dribbling?
@@erneusbasanga7939 Simply, staying on the ball while moving it around the pitch. It allows dribblers (players) to run into space, skip past an opponent, help their team keep possession e.t.c
𝙈𝙗𝙬𝙖𝙣𝙙𝙪𝙠𝙚 𝙠𝙖𝙢𝙖 𝙣𝙞𝙠𝙞𝙩𝙖𝙠𝙖 𝙠𝙪𝙠𝙪𝙛𝙖𝙩𝙞𝙡𝙞𝙖 𝙞𝙣𝙨𝙩𝙖 𝙣𝙖𝙠𝙪𝙥𝙖𝙩𝙖𝙟𝙚 🙏
Unaweza kumpata Mzee wa Data instagram yake: @ramadhani_mbwaduke