🛑FRIJI BOVU USHINDI WA SIMBA ULIKUA MUHIMU KULIKO KITU CHOCHOTE LAKINI UKWELI SIMBA WESHUKA KIWANGO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @AllyjumaSwadi
    @AllyjumaSwadi 54 นาทีที่ผ่านมา +1

    Sema ukweli unaumaaa😢😢

  • @RamaAlly-m2q
    @RamaAlly-m2q ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Baba uko vizuri unajua kuzungumzia bol

  • @deusmanyenye5190
    @deusmanyenye5190 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Valentine Nouma ni mchezaji mzuri sana sana

  • @AllyjumaSwadi
    @AllyjumaSwadi 25 นาทีที่ผ่านมา

    Ukweli kabisa kaka yaan wanatupa mashaka Sana timu yetu😢😢

  • @EliyaKudaga-u4q
    @EliyaKudaga-u4q 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ushindi ni ushindi hongera sana wachezaji

  • @msamijoel6916
    @msamijoel6916 59 นาทีที่ผ่านมา +1

    😂😂

  • @djfoxfoxthedj65
    @djfoxfoxthedj65 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    nakubali

  • @YusufSwaibu
    @YusufSwaibu 25 นาทีที่ผ่านมา

    Friji bovu unaelezea uhalisia kunatatizo kubwa sana simba wachezaji wanashuka kiwango wanabweteka baadhi hawajitumi hakuna wafungaji fighter kama kina okwi

  • @adilmohamed2117
    @adilmohamed2117 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Simba itaka vizuri tuipe mda

  • @boazgodfrey865
    @boazgodfrey865 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Takwim ndo kila kitu kila mahara,,,,

  • @silvanuskisinza4303
    @silvanuskisinza4303 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hii simba inatia mashaka sana hatengenezi nafasi za kufunga. Kocha amefeli hapa.

    • @bahatimshali2731
      @bahatimshali2731 58 นาทีที่ผ่านมา

      Ndugu unafahamu maana ya kutengeneza nafasi? Ateba alikosa, Jean alikosa, hizo sio nafasi?

  • @silvanuskisinza4303
    @silvanuskisinza4303 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyo Fadlu ni kocha mbovu sana.

  • @silvanuskisinza4303
    @silvanuskisinza4303 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu kocha Fadlu ni kocha mbovu sana. Hawezi kutengeneza simba mpya. Simba mpya kwa huyu kocha ni ndoto.

  • @BayekeFarijala
    @BayekeFarijala ชั่วโมงที่ผ่านมา

    We make hujui. Simba inatatizo la namba 10, na winga ya uhakika. Leo unamlaumu nini kocha, watu wanakosa magnolia ya wazi wenyewe

  • @deusmanyenye5190
    @deusmanyenye5190 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mara Mavambo anakuwa hayupo kwenye first eleven.

  • @Alexjoseph-cu4nb
    @Alexjoseph-cu4nb ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu jmaaa mm sijawahi kumuelewa mana hata haeleweki anachambuaa mpira au ni msengenyaji wa timu zetu

  • @FrankKwanama-lo6fj
    @FrankKwanama-lo6fj 57 นาทีที่ผ่านมา

    Kawaida ni kama sheria dakika za nyongeza zikisha isha huwa haziongezwi zingine friji bovu acha kupotosha hiyo ni mbeleko kama mbeleko zingine!

  • @ANNAKISIGA-pc5qs
    @ANNAKISIGA-pc5qs 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pasua kaka kqneye ukqlei sifia kwmeye ubovu pasua ili walimu wajifunze😢😢😢

  • @shukuruiddi82
    @shukuruiddi82 49 นาทีที่ผ่านมา

    nafasi ya mutale heri acheze ladak chasambi

  • @KisagasiLuyangi
    @KisagasiLuyangi 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Friji bovi, uko sawa kwakweli kibu Leo katuoko, na hua hatulii, anapambaniaga sana

  • @jamesjames2368
    @jamesjames2368 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Utopolo wanaweweseka

  • @ernestkamata2555
    @ernestkamata2555 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Simba bado,safari hii quater final inatafutwa kwa touch

  • @januarysungura8119
    @januarysungura8119 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mtayakataa maneno yenu ninyi wachambuzi maana kabla ya michuano kuanza baada ya makundi kupangwa , hii ndio timu pia iliyokuwa ikionekana kubwa na pengine ndio ingekuwa tishio kwa simba kwaiyo muheshimu mpira msijekusema tunacheza na timu mbovu.

    • @boazgodfrey865
      @boazgodfrey865 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hawajielewi hawa

  • @januarysungura8119
    @januarysungura8119 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wewe acha ujinga kama tunabahatisha au nguvu yetu ni ya soda iwaje tunaongoza ligi kutokea nyuma?

    • @boazgodfrey865
      @boazgodfrey865 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mwmbie huyu anabwabwaja tu hajui chochote

  • @Lulaboytz
    @Lulaboytz ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tumu yetu bado inacheza cheza tu lakini atuna wachezaji shupavu wakututengenezea nafasi kama wazee waliopita akina babu saido na babu chama, kikubwa tulitewe 10 sshupavu na kiungo shambuliaji mwengine mwenye uwezo

  • @PakatJames
    @PakatJames 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Friji bovu limekuwa bovu kweli yaani unaichambua simba kwa mihemko bila kwenda kwenye facts. Kundi la simba sio rahisi kama watanzania wengi wanavyopayuka. Timu za warabu hazijawahi kuwa vibonde wa hivyo. Timu za Angola zipo vizuri tu na hili kundi kama simba watapita na kuziba makosa wanayofanya sasa basi fainali inawahusu. Simba leo wamecheza vizuri mno hata wangetoka sare mimi nisinge wadai kitu.

  • @Alexjoseph-cu4nb
    @Alexjoseph-cu4nb ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Na usje ukaisifia simba tena mpumbavu ww

  • @deusmanyenye5190
    @deusmanyenye5190 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    FADLU ANACHANGAMOTO.
    Ghafla Chasambi, na Barua hawachezi tena.

  • @boazgodfrey865
    @boazgodfrey865 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Acha kumsema fadulu,ni kocha pekee alieweza kupambana na vijana wadogo,wengi tena wageni na anapata matokeo,ko tumpe maua yake na apewe muda,,,sikba sasa sli project na hakun project inakamilika kwa miez 3,

  • @GeofreySemadinga-l2z
    @GeofreySemadinga-l2z ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Joseph ukosahihi wakawaida san

  • @silvanuskisinza4303
    @silvanuskisinza4303 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mutale hana kipya

  • @Alexjoseph-cu4nb
    @Alexjoseph-cu4nb ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Achana na uchambuz uko someee ukocha kijanaa

  • @shukuruiddi82
    @shukuruiddi82 53 นาทีที่ผ่านมา

    kagoma mtu sana

  • @Alexjoseph-cu4nb
    @Alexjoseph-cu4nb ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yan uyu jmaa anataka kila mchezaji acheze sasa jmn kwel ww ni ni frij bovu kwl hata akil yako mbovu

  • @anthonymilinga8696
    @anthonymilinga8696 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wachambuzi wa bongo tunawajua mnajifanyaga mmnajua sana mpira. Kwani kufunga dakika za mwiaho kwenye game kunashida gan?? Mbona mnataka timu ifanye mnavyotaka nyie? Nendeni.mkacheze nyinyi sasa mfunge hayo magoli ya mapema

  • @mohayussuf2057
    @mohayussuf2057 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Waraabu muda umewagharimu

  • @Shemahonge-ku7xx
    @Shemahonge-ku7xx 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Uritaka ishinde dakika yangapi turia wewe haya mashindano kilatimuinacheza kwambinu sana hii sio ligi

  • @Oman-k4j
    @Oman-k4j 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sasa firij bovu usiongee pembeni tu nendani mkamuambie kochw ukwel achen maneno pembeni so vzr

    • @Visionaria_HD
      @Visionaria_HD 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      fact

  • @ISSACKNTACHO-u3y
    @ISSACKNTACHO-u3y 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wachezaj wetu kipindi cha kwanza wanachezaga mpira wa show off,,hawaonesh nia ya kutaka magori mengi,,hii inatugharim sana kipindi cha pili,,,tuna hahaaa,,

  • @Zuubaby-lp9uj
    @Zuubaby-lp9uj 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Kiukweli naipenda simba yangu lkn mbona kama simba ii co kama simba ilio pita naona kama simba ya kina saidoo ilikia Ina tengeneza nafasi nyingi lkn ii kutengeneza nafasi ni mtiani

    • @Shemahonge-ku7xx
      @Shemahonge-ku7xx 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Kwanihujui kama imesajili wachezaji wengi nakocha nimpya

    • @januarysungura8119
      @januarysungura8119 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

      Chakwanza wala hazifanani maana simba iliyopita isingeendelea kupambana mpaka dakika ile nakupata goli.

    • @josephgomalo41
      @josephgomalo41 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      ​@@Shemahonge-ku7xx Suala sio wachezaji wapya .. suala ni kwamba ni wachezaji wa kawaida sana ambao hawana uwezo wa kupangua ngome ya upinzani kwa hiyo .. wachezaji wengi wa Simba hupendelea back passes ambazo husababisha wasiwe na forward moves kuelekea golini kwa wapinzani..! Tofauti na tabia za akina |Chama, Saidoo ama enzi za akina Okwi..! Wachezaji hawa hawapush forward..!

    • @Mnuanofilms
      @Mnuanofilms 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      wakina SAIDO ni wazee ila hakuna mpaka sasa mtu kama Saido au CHAMA

    • @Lulaboytz
      @Lulaboytz ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Uko sahii mwanafamilia mwenzangu uho ni ukweli usiopingika bado timu yetu inaitaji maboresha baazi ya maeneo

  • @OmarAlly-r7b
    @OmarAlly-r7b ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwel friji waambie wangalie mechi ya costantin na bravos dakika zilvo ongezwaa

  • @MaikoDisimas
    @MaikoDisimas 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wana Sema eti tumebebwa nikweli

    • @KhamisHamada-v3g
      @KhamisHamada-v3g 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mbona wao hawaja bembwa jana

    • @januarysungura8119
      @januarysungura8119 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Sasa wasiposema hivyo unadhani vile vibonzo vyao walivyokuwa wameviaandaa wataviteteaje

  • @boazgodfrey865
    @boazgodfrey865 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Acha unfiki,mukwala kakosa nafasi moj tu,,,,ateba kakosa nafasi 2 au 3 kwann unachukia watu wewe?,,,,
    Zungumza mpr acha kujifanya kocha wewe,mchezaj mzuri ni nan anaewekwa nje? Umewahi kwenda kwenye uwnja wa mazoez ukaona ni nn anaapaform?,ulilalamika Debora anaanza bench leo ameanza kafanya nini?kaa kimya jifunz kuchambua mpira acha kubeba watu

  • @imraniqbal00765
    @imraniqbal00765 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Siku zote nilikua najua fridge bovu unajua mpira kumbe una mapenzi zaidi kuliko uhalisia wa mpira hayo unayo zungumza ndio maaana kunaongezwa dakika na refa hua haongezi yeye ni kamisaa kutokana na na matukio yanayotokea ndio maana kunaongezwa dakika

  • @mohayussuf2057
    @mohayussuf2057 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Waarabu sio wajanja ni wajinga na wapumbavu

  • @JohnJoseph-qq7ow
    @JohnJoseph-qq7ow 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Waarabu huwa wanapoteza muda sana wajinga wajinga kama yanga

  • @josephgomalo41
    @josephgomalo41 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    ​ @Shemahonge-ku7xx Suala sio wachezaji wapya .. suala ni kwamba ni wachezaji wa kawaida sana ambao hawana uwezo wa kupangua ngome ya upinzani kwa hiyo .. wachezaji wengi wa Simba hupendelea back passes ambazo husababisha wasiwe na forward moves kuelekea golini kwa wapinzani..! Tofauti na tabia za akina |Chama, Saidoo ama enzi za akina Okwi..! Wachezaji hawa hawapush forward..!

  • @silvanuskisinza4303
    @silvanuskisinza4303 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu kocha Fadlu ni kocha mbovu sana. Hawezi kutengeneza simba mpya. Simba mpya kwa huyu kocha ni ndoto.

  • @silvanuskisinza4303
    @silvanuskisinza4303 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu kocha Fadlu ni kocha mbovu sana. Hawezi kutengeneza simba mpya. Simba mpya kwa huyu kocha ni ndoto.

  • @silvanuskisinza4303
    @silvanuskisinza4303 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Huyu kocha Fadlu ni kocha mbovu sana. Hawezi kutengeneza simba mpya. Simba mpya kwa huyu kocha ni ndoto.

    • @salahaljahury2907
      @salahaljahury2907 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mpuuzi wewe nenda katafute basha hujui mpira na Simba hatutaki msemaji achana na ss

  • @silvanuskisinza4303
    @silvanuskisinza4303 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu kocha Fadlu ni kocha mbovu sana. Hawezi kutengeneza simba mpya. Simba mpya kwa huyu kocha ni ndoto.

  • @silvanuskisinza4303
    @silvanuskisinza4303 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu kocha Fadlu ni kocha mbovu sana. Hawezi kutengeneza simba mpya. Simba mpya kwa huyu kocha ni ndoto.