SEMAJI AHMED ALLY BAADA YA MNYAMA KUMKAANGA CS SFAXIEN/WALIPOTEZA MUDA/NASHUKURU NIPO HAI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 313

  • @kelvinchohollo3613
    @kelvinchohollo3613 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +45

    Msemaji ana Akili kubwa sana..Calm and professional
    Simba nguvu moja

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Shule ipo

    • @josiahkombe4784
      @josiahkombe4784 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kuna yule mpiga kelele sasa 🙌

  • @Gastonpeter-k6v
    @Gastonpeter-k6v 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +21

    Ubaya upo nimeamin leo doh nimefulai leo simba nguvu moja ❤❤

  • @nathanaelchezalikatundu8869
    @nathanaelchezalikatundu8869 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +68

    Hii ndiyo tofauti ya huyu jamaa na yule wa Nyuma Mwiko. Ikifika wakati wa kusema ukweli huwa anasema. Big up sana bro.

    • @DomnHppy
      @DomnHppy 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

      Fact broooo

    • @FAUSTINAULEDI-ln5fi
      @FAUSTINAULEDI-ln5fi 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Exactly

    • @SimonAmon-dr8xw
      @SimonAmon-dr8xw 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Hakika

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

      Shule AHMED ALLY ,DEGREE YAKE INAMSAIDIA SANA KUBALANCE MAMBO,ALLY KAMWE NI MZURI ILA NATAMANI ANGEENDA SHULE AKAONGEZE KIDOGO,ATAKUWA MZURI ZAIDI.

    • @Lazarokidulanya
      @Lazarokidulanya 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Upo sahihi

  • @Ilhankhatibu
    @Ilhankhatibu 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +100

    Wanao mkubali semaji la caf like hapa...

  • @JordanMethod
    @JordanMethod 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +17

    Simba oyeeeeeeeeeeeeeeeeeee hongera San kinu D, wana simba tunakukubali xanaaaaa asante kwa kutufungia goli zote 2

  • @MumoraMumora
    @MumoraMumora 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +21

    Ahhh unanifurahisha semaji lang ❤❤ simb nguv moj ubaya ubwelaaaaa ❤❤❤❤

  • @FatmaAli-i8g
    @FatmaAli-i8g 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +111

    Fondo hapaswi kulaumiwa sana tusisahau ni mchezaji anayejituma sana anavuja jasho na damu akiwa mchezoni tumpe maua yake 🦁💪❤️❤️👍

    • @mankambise2000
      @mankambise2000 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

      ❤❤❤❤❤

    • @heisgwizy
      @heisgwizy 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

      Nakuunga mkono 🎉🎉

    • @MandoliiMoshi
      @MandoliiMoshi 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

      nikweli❤❤❤

    • @JosephineTumsifu
      @JosephineTumsifu 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

      Kabisaa 🎉

    • @careymariahhhh
      @careymariahhhh 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ni kweli lakin aanzie benchi tu

  • @NitGeneralsupplyDom
    @NitGeneralsupplyDom 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +33

    Akija kuungana na mpanzu daah itakuwa moto sana

  • @careymariahhhh
    @careymariahhhh 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +22

    Tunamshukuru Mungu kwakweli ilikua sio rahisi 👑🙌ila che Malone awe makini aache kujiamini Sana 💕

  • @ZepaniaJoseph-f4i
    @ZepaniaJoseph-f4i 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +79

    Kibu ndie mchezaji wetu kimataifa wala sio ligikuu akifanya vibaya ligikuu siwez msema vibaya mkandaji wanaokubali nipen like zangu

    • @kenedytheonest2798
      @kenedytheonest2798 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      bongo anauliwa na waamzi wanatabia ya kuzoea mchezaji

    • @bahatimshali2731
      @bahatimshali2731 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂

  • @KibadiKibadi
    @KibadiKibadi 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +15

    Chakwanza tumshukuru mungu kuwapa nguvu wachezaji wetu lkn kibud nampenda Sana Allah ampe maisha marefu

  • @DaniusDauson
    @DaniusDauson 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +13

    Me namuombaa sanaaa Mungu muumba aisaidie simbaa iwe inashindaa goli nyingi maana quarter finals magoli ni muhimu sanaa jamanii au ushindi mnoooo 😊 Tunashukuru Allah kwa Hilo jamanii nimeamini Mungu hamtupi mja wake😊😊🎉 kwakwelii nampendaa sanaa Mungu wangu kwa haya matokeo jamanii. Maana nimeombaa Leo wakati wa ibada jmn 😊Mungu anajibu jmn

  • @ObedKhan-t6v
    @ObedKhan-t6v 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +13

    Semaji msema ukweli nakupenda ❤❤❤❤

  • @AishaShaban-s5r
    @AishaShaban-s5r 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +11

    Semaji la ubay ubwela hapo tu napp kupendea ikifik kweny ukwel unasem ukwel much love to you ❤❤❤

  • @tumaini37
    @tumaini37 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +10

    Semajii, ahsante kwa kazi nzuriii, wiki hii umepambana sana na hamasa, na vijana wamekulipa leo, hongeraa sanaa🎉🎉🎉🎉

  • @RamadhaniOmary-e3d
    @RamadhaniOmary-e3d 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +12

    Semaji hiloooo liko limepoaaa ❤❤❤❤❤ 🔥🎙️ on 🔥👑🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @PapaIbrahim-z7t
    @PapaIbrahim-z7t 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +64

    Tunao mkubali ahmed ally tujuane KWA like

  • @PendoSamweli-j9d
    @PendoSamweli-j9d 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +12

    Amza yupoo vizurii

  • @AminaMkumba-u3z
    @AminaMkumba-u3z 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +11

    Hivyo hivyo semaji wetu,nimefurahi sana kupata ushindi❤❤❤🌹❤🪴🌺🏂❤

  • @MRISHOALLY-s3q
    @MRISHOALLY-s3q 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +12

    Mungu awawezeshe safali ndefu CMBA 🎉🎉

  • @HumbiShaban-r4i
    @HumbiShaban-r4i 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Love you Simba🦁🦁

  • @AllyMadegeda-pz2wx
    @AllyMadegeda-pz2wx 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Hongera simba

  • @MwashamJoseph
    @MwashamJoseph 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Hongera sana simba

  • @AthumanMshaghasho-r2c
    @AthumanMshaghasho-r2c 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Hongera semej letu tabu tumepitia sana ila hatuna budi kuburudika sasa ila wew mwamba

  • @MusaDadi-pd3jd
    @MusaDadi-pd3jd 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +10

    Good performance 🎉🎉🎉

  • @MichaelNgalla
    @MichaelNgalla 21 นาทีที่ผ่านมา

    Yan semaji tukifunga mm nakuwazag ww tu unalipi jipy❤❤❤❤❤

  • @SharifaHamdan
    @SharifaHamdan 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Hongera Sana kibu umetufunua uso

  • @Chimamy1985
    @Chimamy1985 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    yaani mi mwenyewe nilikuwa naumia sana tusipo funga mungu nimwema kwetu naipenda simba yangu wanywa supu jangwani pole yao

  • @mindoimlangi6954
    @mindoimlangi6954 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Big up kagoma 🎉 na timu nzima .

  • @MeliNgussaMadaha-v6t
    @MeliNgussaMadaha-v6t 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Hongereni wanajeshi wetu nikianza na kibu D

  • @EvalistoMwandosya
    @EvalistoMwandosya 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Sana,

  • @Avith-l7n
    @Avith-l7n 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Dah ngoma ilikuwa ngumu ❤❤❤❤❤❤ simba

  • @filibetifilibeti534
    @filibetifilibeti534 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +9

    anae mlaum fondo si mwana simba

  • @slaviuslivinusnguvumali6063
    @slaviuslivinusnguvumali6063 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Umesema sahihi ubaya ubwela sehem ya ulinzi nichanga moto waache kuludi kwa kipa sana pia sehem ya finish pia Kuna kosa utulivu namuomba mwalimu aangalie hayo maeneo❤❤❤❤❤

  • @HAMISISAIDI-y6n
    @HAMISISAIDI-y6n 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Kaka hatarilisana kaka twamshukuru mungu tumeshinda

  • @FrenkiFrancis-t9v
    @FrenkiFrancis-t9v ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    fondo nibeki bora but we are not perfect always but alxo congratulations for kibu Denis

  • @Visionaria_HD
    @Visionaria_HD ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    yaan huyu jamaa , hana majigambo ya hovyo , anaongea ukweli na anamshukuru Mungu , anyway Thank God for this and more kwa kweli.

  • @SharifaHamdan
    @SharifaHamdan 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Simba oyeeeeeeee

  • @HelenaMakuya
    @HelenaMakuya 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +10

    Jaman,ukuta wa Yeriko upo vzr tusiwe watu wa kulaumwana Simba wenzangi❤❤❤

  • @TorongeiIkoyo
    @TorongeiIkoyo 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +17

    Fondo ni mchezaji mzuri ila Leo kaamka vibaya tusimlaumu

    • @SAIGONEJOHNDALALNHEBA
      @SAIGONEJOHNDALALNHEBA 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Tangu asajiliwe simba ndo nimemuona leo fondo akicheza chini ya kiwango kabisa lakni yote kwa yote ni jambo la kumshukuru sana Mungu kwakua yeye ndo muweza wa yote

  • @SharifaHamdan
    @SharifaHamdan 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Hongera Sana kibu umetufunua uso ubaya ubwela

  • @maslahiajili1689
    @maslahiajili1689 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Kiukweli goli si kuliona mana nili sikia nikiwa nje ya uwanja nkasikia kelele tu ila ubaya ubwela pongezi kwa mnyama🎉🎉

  • @SalumGodfrey
    @SalumGodfrey 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +21

    Ubaya ubwela😊

  • @YusuphDeo-p3u
    @YusuphDeo-p3u 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Popote ulipo mwana simba jipige kifua naikubali sana simba

  • @mubarakaally3741
    @mubarakaally3741 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    💥💥💥Simba nguvu moja

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +9

    Yani angekuwepo yule wa upande wa pili afya mgogoro angezimia na kukimbizwa hospital 😂😂😂

  • @KulwaMaganga-j9c
    @KulwaMaganga-j9c 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Ubaya ubwela ule ule ❤❤❤ sana chama langu Nguvu moja#

  • @wilbard-vv9nx
    @wilbard-vv9nx ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    hata Mimi nilipa shida sana ❤❤❤❤

  • @LeonardSilwamba-so6ig
    @LeonardSilwamba-so6ig 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    SIMBAA nguvu 1

  • @MohamedJabir-i3r
    @MohamedJabir-i3r 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Nakubali sana ally

  • @BenardFredMickydaddy
    @BenardFredMickydaddy 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +11

    Kocha muweka mapema kagoma anafaa sana kuliko ngoma

    • @EmmanuelMnuna-pd3os
      @EmmanuelMnuna-pd3os 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kagoma fundi hatarii anatakiwa kocha kumuweka first

    • @MaweMallack
      @MaweMallack 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Kagoma asingeanza kwakuwa katoka kwenye majeraha,..
      Ila kikawaida kagoma ndio mwenye namba yake

  • @YusuphMatalle
    @YusuphMatalle 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Mashaallah

  • @Benzeema_graphics
    @Benzeema_graphics 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +21

    Semaji mwambiy kibu aje achukue dada angu.. na kitanda nitamnunulia😂😂

    • @januarysungura8119
      @januarysungura8119 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Sura ya dada yako kwanza tuipime na thamani ya goli la kibu alafu ndio tuamue

    • @davidmisiwa4622
      @davidmisiwa4622 49 นาทีที่ผ่านมา

      Ahahahahahaaa ​@@januarysungura8119

    • @keisamamek327
      @keisamamek327 9 นาทีที่ผ่านมา

      😂😂😂😂dah​@@januarysungura8119

  • @Brunoh90Tv
    @Brunoh90Tv ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Semaji sasa hii week nyuma mwiko kazi wanayo😂😂😂 ubaya ubwelaaa🔥🔥🔥🦁💪

  • @gracemakengo
    @gracemakengo 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Pole semaji na hongera

  • @fatoommeraje2133
    @fatoommeraje2133 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +8

    Mie presha ilikuwa juu kabla ya goli la pili kwakweli simba naipenda sana

  • @renatustinsimile5410
    @renatustinsimile5410 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    ❤Kibu D Oyeeeeeeeeeeeeeeweeeeeeeee

  • @AshbbySimba
    @AshbbySimba 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Duuiiii hatar mungu ni mwema

  • @JumaMartin-e4v
    @JumaMartin-e4v ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Alhamdulilah

  • @MachameMachame-tx3bk
    @MachameMachame-tx3bk 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    🎉🎉🎉mtare atupishe machachali Hana mazala Simba nguvu moja

    • @KhamisShekifu
      @KhamisShekifu ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Imeisha iyo Mutale atatusamehe.

  • @RafaeliPetro-b6f
    @RafaeliPetro-b6f 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    ❤❤❤❤❤❤ubaya ubwelaaaaaaaa

  • @AbdullatifHamisi
    @AbdullatifHamisi 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    🦁🦁

  • @AbduliShabani-c9z
    @AbduliShabani-c9z 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Safsana semajilakafu 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @RommyDekizzy729
    @RommyDekizzy729 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Hahahahaha 😁😁😁 Mimi Gori sijaliona sijaliona🤣🤣🤣

  • @NuruHussein-t4f
    @NuruHussein-t4f 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    We Ahmed umenichekesha balaa, eti roo inatoka mwenyewe nimeteseka sana ila Mungu mkubwa

  • @Lazarokidulanya
    @Lazarokidulanya 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Tunashukuru Mungu kw kupata point 3

  • @EGM-TZ
    @EGM-TZ 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    From #EconomicallyGrowthMusicians Congratulations Guys 😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉 and Special Congratulations to #kibu let's enjoy the Beautiful Music from EGM

  • @BurhaniMbwana
    @BurhaniMbwana 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    😊😊😊😊nafuc inatoka roho inabaki tushukuru mungu

  • @regmaimumaimu6475
    @regmaimumaimu6475 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu mwema kibu d mungu akutunze

  • @SuleimanAlly-c9p
    @SuleimanAlly-c9p 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Mimi nnachoomba kwa wachezaji wetu jiangalieni sna tunafanya makosa ya kizembe mno ,alafu kaka fadlu unafanya kazi na hatukuingiliii katika kazi yko ila mutale hafai ,ingiza akina chasambi na hata balua bora kuliko huyo kipara pesa

    • @mkaliwow3435
      @mkaliwow3435 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Asante umenisemea nimeangalia mpila nilikua natamani kulia kwanini barua haingiii daaaah nilihuzunika sana

    • @kenedytheonest2798
      @kenedytheonest2798 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      mutqle bhnaa sema Fadlu kuna wakati waga anayumba unahitaji magoli unaanza kutoa washambuljaji angepunguza kiungo mmoja mshambuliqji akaweka hata double stricker mkwala na Ateba kwa pamoja

  • @ShukuruMakoko
    @ShukuruMakoko 27 นาทีที่ผ่านมา

    🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Charlesmayunga-jd3ii
    @Charlesmayunga-jd3ii 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Ubaya ubwela 🫶💪💪💪moja

  • @EdwinKabasa
    @EdwinKabasa 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Simba ubaya ubwera Mungu ibaliki timu yangu

  • @Abuushaymaatz
    @Abuushaymaatz ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kibu De ❤

  • @AbelKitime
    @AbelKitime 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    😅😅goli la pil hujaliona af unalielezea ila semaj😂😂

  • @HusseinathumaniSheshe
    @HusseinathumaniSheshe 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tim haichez vizuri tatizo Ngoma hata mwaka Jana Ngoma anafungisha mazuri. Simba ikimilik mpira mbovu simba akishabuliwa kocha ajiangalie

  • @endasakdaycare
    @endasakdaycare ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sio mbaya

  • @RaymondCharlesSaliboko-to6vx
    @RaymondCharlesSaliboko-to6vx 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ukweli mzuli ❤❤🎉🎉

  • @enockmlyuka6475
    @enockmlyuka6475 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Hiyo caption timu tajwa sio sahihi.

  • @stephen8522
    @stephen8522 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ila kwa upande wa kocha sijui kama Simba mlifanya chaguo sahihi.

  • @rahmakassanga9013
    @rahmakassanga9013 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Tulishikilia wote semaji letu

  • @EstherMichael-s6j
    @EstherMichael-s6j 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    mmyama daimaa❤😂dakika za jioniiiiiii😊

  • @RaphaelMashoba
    @RaphaelMashoba 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Safu ya mabeki waache kudedesa mpira wakati hatuna ushindi pia wawe makini kosa kama la che malone na Yale ya Algeria ni makosa yaleyale inatuuma sana aisee makosa yamezid

  • @YusuphDaud-b9y
    @YusuphDaud-b9y 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +12

    Chemalone beki mzuri tatizo kujiamin kupita kias, akae bench kwanza

    • @florahcyprian6175
      @florahcyprian6175 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Af acheze nan

    • @FirdausAlly-ez4er
      @FirdausAlly-ez4er 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Ni mechi tu leo haijakaa saw leo kwaiyo sio m2 wakumuweka bench kabisa

    • @careymariahhhh
      @careymariahhhh 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@florahcyprian6175 chamou aanze

    • @LeoniaLyimo
      @LeoniaLyimo 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

      Toka aingie Simba shemualone anapishana na nani. Tumshukuru Mungu kwa uwepo wake Simba. Eee Mungu mpe afya njema mchezaji wetu.❤❤❤❤❤

    • @rizikiplatnumz5575
      @rizikiplatnumz5575 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      We ni k

  • @monicachacha455
    @monicachacha455 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    ❤❤❤

  • @MudathirMussa-vc8uc
    @MudathirMussa-vc8uc 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mmekosea apo afisa sio costantine

  • @ObedKhan-t6v
    @ObedKhan-t6v 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Sema mm sijui kwanini team yetu kipindi chapili hua inakata moto😢

  • @EmanuelMwambu
    @EmanuelMwambu 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Simba wapembeni Tabor's United awaazime Yacuob sogne.+ Mpanzu tutaenda final

  • @WaSimba-n6z
    @WaSimba-n6z 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Simba nguvu moya

  • @mongogwelaanthony6867
    @mongogwelaanthony6867 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Fondo asamehewe

  • @JosephKulwa-rc7en
    @JosephKulwa-rc7en 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mabeki wa simba wanapenda mno kurudisha mpira kwa gorikipa wanagarim timu mpk wanakera

  • @simonzelote5998
    @simonzelote5998 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Simba Coach have to improve and to select best combination with the best defense as the team and the creative players and objective players with more goals

  • @ThomasLosiokiK.Landei
    @ThomasLosiokiK.Landei 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Badilisheni jina la Constantine ,team ya habari

  • @FranceSimon-bw2fd
    @FranceSimon-bw2fd 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kibuuuuuuuuu 38

  • @clarangowi4402
    @clarangowi4402 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Sio costantine, ni sfaxien

  • @JumaSelemani-q3f
    @JumaSelemani-q3f 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Umeongea ukweli sana kaka semaji ra kafu mabeki wanatuponza

  • @stephanonchumbo429
    @stephanonchumbo429 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nikweli mm Nashauli Fondo Asilaumiwe sana Badala yake Wachezaji Waache Utoto wa kurudisha Mpira Nyuma Marakwa mara.

  • @kmlbariadi
    @kmlbariadi 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Semaji anajua sana, anatoa uharisia wa Moyo, kitu ambacho wote tumekiona, tyr tulikuwa tushakata tamaa wote yaani!

  • @PhanMussa
    @PhanMussa ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    😂😂😂😂

  • @AwedhaAbdallah
    @AwedhaAbdallah 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Semaji jitahidini kila mchezo musome duwa na mutoe swadaka naamin kwa uwezo Allah atafanya wepesi