NISAWA NA MACHOZI YA SAMAKI NDANI YA ZIWA_MH.AIDA KENANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ค. 2024

ความคิดเห็น • 27

  • @AlfredMwakabana
    @AlfredMwakabana 14 วันที่ผ่านมา +1

    Aidha mama na kupenda sana Mungu akutangulie unapingana mama

  • @FredMwamgogwa-td6ni
    @FredMwamgogwa-td6ni 16 วันที่ผ่านมา +6

    Hongera dada

  • @gilbertmkandawire5660
    @gilbertmkandawire5660 14 วันที่ผ่านมา +1

    Mama piga kazi napenda ujasili na ushawishi wako. Big up!!o

  • @user-bx3ko9ft5t
    @user-bx3ko9ft5t 16 วันที่ผ่านมา +5

    Dada wewe ni noma sana

  • @KelvinBamuhiga
    @KelvinBamuhiga 15 วันที่ผ่านมา +3

    Mh aida ananyomi sio poa huyu ni mbunge kwelikweli

  • @noahkamendu9081
    @noahkamendu9081 12 วันที่ผ่านมา

    💪💪💪

  • @AbnerKennedy
    @AbnerKennedy 16 วันที่ผ่านมา +3

    Ni balaah huku Kenani kule Heche mara hapa Lema😂😂

  • @emmanuelymganga5737
    @emmanuelymganga5737 13 วันที่ผ่านมา

    👏👏👏👏👏✌️✅

  • @nurusulley3276
    @nurusulley3276 16 วันที่ผ่านมา +3

    Anajua kujenga hoja anajitosheleza

  • @DanisNwita-il8zg
    @DanisNwita-il8zg 16 วันที่ผ่านมา +1

    ❤❤❤❤❤❤

  • @user-io6yj9fs2h
    @user-io6yj9fs2h 16 วันที่ผ่านมา +3

    Wewe ndo mbunge unaekula mshahala wa kodi zawa tz kihalali wengine niuchawa nakuweka matumbo yao mbele tu bunge limekosa mvuto wabunge wa ccm wanakula kodi zetu bule tu wamalize muhula wao tumewachoka sana

  • @mahanjisanga3077
    @mahanjisanga3077 16 วันที่ผ่านมา +3

    Wewe ndio mbunge .kweri sawa na mbunge wa ccm 40 sawa na akili mbunge Mmoja wa chadema

  • @AlfredMwakabana
    @AlfredMwakabana 14 วันที่ผ่านมา +1

    Najua Aidan ni mbunge amekuwa wajibu wake hasa bandari umewachoro

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 16 วันที่ผ่านมา +3

    Kuna lifisi. Lilisema eti aida aolewe likaolewe lenyewe

  • @danielkanso
    @danielkanso 14 วันที่ผ่านมา

    Huyu kawa umiza wenzake kweli

  • @shanjemanumba6325
    @shanjemanumba6325 13 วันที่ผ่านมา +1

    Egependeza majimbo yote yageendelea na mikutano kama hii mpaka kwenye uchaguzi naamini ccm wasigeambulia hata kijiji kimoja

  • @user-in6kk9fi8m
    @user-in6kk9fi8m 16 วันที่ผ่านมา +1

    Mwongo sana huyu

    • @leonceuwandameno6378
      @leonceuwandameno6378 15 วันที่ผ่านมา

      Mwongo nani tena? Unamaanisha CCM waongo?

    • @markoshem-ij6cf
      @markoshem-ij6cf 14 วันที่ผ่านมา

      Fara wewe aida ndoo mbunge pekee hapa Tanzania​@@leonceuwandameno6378

    • @user-bx3ko9ft5t
      @user-bx3ko9ft5t 9 วันที่ผ่านมา

      Aida oyeeeees

  • @michaelmwamanda8418
    @michaelmwamanda8418 16 วันที่ผ่านมา +2

    Oya mbona nyomi Sana?😱😱

  • @michaelmwamanda8418
    @michaelmwamanda8418 16 วันที่ผ่านมา +4

    Jamani naludia tena kuuliza huu mkutano niwamwaka huu au?????

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 16 วันที่ผ่านมา +1

    Una majonzi kweli ww? Acheni kuwadanya watu jamani

    • @AnwaryKweka-yf9xm
      @AnwaryKweka-yf9xm 16 วันที่ผ่านมา

      Kadanganya nn

    • @raymondnlelwa427
      @raymondnlelwa427 16 วันที่ผ่านมา

      Tatizo manyinyiem mnapoona nyomi kama hizi mnapata presha. Na kwa kweli kwa sasa hivi jiondoeni tu.