KIJANA MZALENDO AMNG'ATA WASSIRA "ALIPASWA APUMZIKE AWE MSHAURI WA CHAMA/ALIWAHI KUIHAMA CCM"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
  • KIJANA MZALENDO AMNG'ATA WASSIRA "ALIPASWA APUMZIKE AWE MSHAURI WA CHAMA/ALIWAHI KUIHAMA CCM"
    🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
    🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
    🔘WhatsApp (+255 692 318213)
    🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
    🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionli...

ความคิดเห็น • 40

  • @IsabelaMwenda
    @IsabelaMwenda วันที่ผ่านมา

    ❤mbona unangania sana mzee atoke mzee ana busara bwana ukitaka kujua nini kinaendelea mwangalie kijana lisu anachofanya hasira usiku na mchana matusi kejeli mpenu mawazo yenu mzee wasira ayaji hii nchi inahitaji wazee maana wana hekima vijana amna kitu msapoti mzee wetu hii inahitaji tumechoka na kelele kila siku za vijana

  • @joshuaswai8203
    @joshuaswai8203 6 วันที่ผ่านมา +1

    Wewe ni kweli kijana mzalendo nakushauri ondoka ccm wanalinda himaya zao kila sehemu

  • @nurdinkassim
    @nurdinkassim 7 วันที่ผ่านมา +1

    Wasira hongera sana kweli unafaa na mama Samia hajakosea ameteua mtu sahihi

  • @tosh7671
    @tosh7671 7 วันที่ผ่านมา +3

    WASIRA NI WA KIZAZI CHA ENZI ZA MWANZO ZA MAWE HATA SURA YAKE IKO KAMA ZINJATHROPAS ATAWAAMBIA NINI HIKI KIZAZI CHA AI

  • @ThomasKaungo
    @ThomasKaungo 7 วันที่ผ่านมา +2

    Wasira amechoka kabisa ana tamaa kweli ccm mnachekesha kweli miaka 82 akili za kitoto kabisa

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 5 วันที่ผ่านมา

    Wasira namshangaa hata Mimi pia nae hakubaliki Kwa watu yaani mmekosa mtu kabisaaa

  • @IsabelaMwenda
    @IsabelaMwenda วันที่ผ่านมา

    Jamani watanzania tuwe macho sasa kwa nini wale wapinzani awaongelii hayo wanaongelea kura tu hayo ndio mzee wasira yachukue fanyia kazi sasa unafikiri ukishauri hivi safi hongera ndicho tunataka kwa manufaa point sio mtu anaongelea kura kila dakika watanzania toweni dukuduku msaidiwe jamani

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 7 วันที่ผ่านมา +1

    Ccm mnataka kutuambia miaka 60 ya uhulu bado hamjaandaa vijana kushika hatamu kwa kweli mnashangaza mnakokotaje vikongwe kuongoza jahazi jamani hao wangekuwepo kama washauli wa chama sio watendaji wakuu mbona mnatweza vijano mna makusudi gani?

    • @sophiemsuya6507
      @sophiemsuya6507 7 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂😂Hivi wasira na Mbowe nani nani Mzee? Mbona simsikii Mchg Msigwa akikemea Hilo au wazee hawapo ccm.

  • @donaldbenedict5761
    @donaldbenedict5761 6 วันที่ผ่านมา

    CCM bila wasanii hawawezi kufanya vikao hata wasanii hawakubariki tena na watanzania CCM wanatumia kodi za watanzania kuwalipa wasanii ili kuhamasisha wananchi kufuatilis mambo yao wananchi wengi kwasasa wanajua kwamba CCM wanawazuga wananchi kupitia wasanii ili wawapige vizuri, inapaswa wajue CCM watanzania wengi hawaipendi tena CCM

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 5 วันที่ผ่านมา

    Kweli kabisa ,mama anaiua ccm kidogikidogo cheo hichi kilimfaa makonda wasira wa nn keshazeeka na wakati wake umepita

    • @MACHAGGECHACHA
      @MACHAGGECHACHA 4 วันที่ผ่านมา

      @@simbarajabu4157 msimlaumu Samia Suluhu.!! Mlaumu Kikwete maana ndiye anaiongoza Tz kwa sasa. Mtindo wa. Awamu ya nne.

  • @abassjuma6248
    @abassjuma6248 6 วันที่ผ่านมา

    Wewe hujazaliwa mzee yuko kwenye system.ivi unaona unawezo wa mzee waira

  • @IsabelaMwenda
    @IsabelaMwenda วันที่ผ่านมา

    Anafaa sana mpaka sasa wamemtukana mpaka tumeona watanzania tutaamua muda ukifika wache waendelee kutukama mpaka mwisho ccm msiogope kwa sababu hao wanaendelea kutana atuoni chochote kile ccm mama anasera sawa tu wale kazi yao kutukama lakini amna anaongea lakini ccm inaongelewa kila dakika jamani ongeleni na vyama vingine tu usiku na mchana ccm tu

  • @FrolaMwanja-yk1ck
    @FrolaMwanja-yk1ck 7 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂 , siasa za historia hazitakiwi mzee akalee wajukuuu

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 7 วันที่ผ่านมา +1

    Kamshsuli trampo uchawa ni kazi sana

  • @IsabelaMwenda
    @IsabelaMwenda วันที่ผ่านมา

    Mwache mzee apambane na hao vishoka wa nchi hii

  • @HekimaSalama
    @HekimaSalama 7 วันที่ผ่านมา +1

    Wasila yeye mda wote yupo yupo yupooo yupo yupo yupoooooooo

  • @Maria-cx4kn
    @Maria-cx4kn 7 วันที่ผ่านมา +1

    Chama kinaonekana cha wazee tu. kina GenZ hawana nafasi kwa sasa.
    Wakati huu ni wa GenZ penda tusipende. Huu ni wakati wa kina Ibrahim Traore na kina Assimi Goita. Wakati ni ukuta yote yatajulikana

  • @ZiggysebahZiggysebah
    @ZiggysebahZiggysebah 7 วันที่ผ่านมา

    Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu. Yote ni sawa.

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 7 วันที่ผ่านมา

    Yasni hiyo ni funika kombe mwanahalamu apite wasila mzee wa miaka 82 akili ilishaludi nyuma anasimulia hadithi za alfulela ulela zilizopitwa wakati jamani ccm tuleteeni vijana tunawahitaji watumikie taifa letu

  • @YohanaKamota-vl2ir
    @YohanaKamota-vl2ir 7 วันที่ผ่านมา +1

    Ukweli unauma ila unaponya

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle 7 วันที่ผ่านมา

    Umeongea ukweli mzalendo ajira nizawatoto wa wakubwa tu

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 7 วันที่ผ่านมา

    Kweli ccm hakuna vijana wenye mvuto na fikra za kisasa

  • @maggiehiza5884
    @maggiehiza5884 7 วันที่ผ่านมา

    Haya mambo ya ardhi ni ya serikali siyo ccm!
    La!
    Chama kina utaalamu gani wa mambo ya ardhi?
    Mnaharibu nchi

  • @LinusKyando
    @LinusKyando 6 วันที่ผ่านมา

    HAPASWI kujibizana na vijana WA sasa

  • @jeremiaaugustino7187
    @jeremiaaugustino7187 6 วันที่ผ่านมา

    Ukiambiwa CCM ina wenyewe nyie kapuku ni wabeba mabeg muwe mnaelewa

  • @hassannyalile2256
    @hassannyalile2256 7 วันที่ผ่านมา

    Hamna kitu hapo, huyo ni boga tuu. Wala sio mwanaccm ni mamluki huyo. Angekuja tungemuinesha k huyo. Babaake ni mshauri wa nini?

  • @adamsanga062
    @adamsanga062 7 วันที่ผ่านมา

    Sasa kumtoa kinana hakuna sababu kabisa

    • @MACHAGGECHACHA
      @MACHAGGECHACHA 7 วันที่ผ่านมา

      Kinana ni mwizi na fisadi. Ujanja na domo kubwa pia ni mvivu.

  • @yunusimchala6569
    @yunusimchala6569 6 วันที่ผ่านมา

    Kwani m/kiti ni mtendaji huyo anatombwa

  • @RichardMadebe-f1m
    @RichardMadebe-f1m 7 วันที่ผ่านมา +1

    Ni kweli ccm imechokwa na wtz angalia mikutano Yao watz hawajitokezi mpaka wakusanye watu Kwa malori na mabasi chama kimekuja na mwaka huu wajipange kuwa upinzani

    • @MACHAGGECHACHA
      @MACHAGGECHACHA 7 วันที่ผ่านมา

      CCM inaelekea
      mstuni mwaka huu. Uchaguzi hawashindi.!! CCM haina mashiko tena. Watu wamechoka na wizi ufisadi uongo wao.

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 5 วันที่ผ่านมา

      @@MACHAGGECHACHAsi hashiriki Uchaguzi sasa CCM kwani asipite bila shida CCM lazima ishinde hakuna chama kinaweza ongoza nchi hii zaidi ya CCM

    • @MACHAGGECHACHA
      @MACHAGGECHACHA 4 วันที่ผ่านมา

      @ Unaota.! Subiri ktk uchaguzi. Kama ccm itaiba kura na kuwadanganya watu kuwa wameshinda, basi kutakuwa na fujo nyumbani. Yangu macho.

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 3 วันที่ผ่านมา

      @ Endelea kuota kama hao wenzio 🤣🤣🤣

  • @hamzaameir4680
    @hamzaameir4680 7 วันที่ผ่านมา

    MZALENDO kwa baba yake, bado mchanga sn.

  • @lameckbalekere1962
    @lameckbalekere1962 7 วันที่ผ่านมา

    Kindikwa nipe namba yako