Mungu akujalie mema, siha na usalama. Umegonga ndipo. Mungu atatulinda ila nasi tuamke kwa usingizi. Wanasema tu wajinga na ni kwa sababu ya kuupuza maslahi yetu . Hatujali kesho yetu. Ubinafsi umetuingia. Uchoyo na ukiritimba. Tuamke tuache kuuza ardhi. Turudini kwenye miji yetu, tuyatawale na kufanya biashara kule. 😢😢😢😢
Nimetazama na kusikiliza zaidi ya mara nne, hakika dada una kipaji maalumu, hongera sana, umeimba kwa hisia sana, naomba sasa mashahiri haya bila kuyapunguza uyaimbe kwa lugha walau ya kiswahili ili ujumbe huu uzidi kuwafikia wengi zaidi.❤️❤️
Engai naata enkidimata kiomon iye enkiting'oto namayana. Hongera sana Nganashe kwa kutuhamasisha kuwa pamoja katika kipindi hichi kigumu kwetu, naamini huu ujumbe itamfikia kila mmoja popote pale alipo Ee Mungu uwaokoe wangorongoro katika hili jaribu
Ni wimbo uliojaa majonzi na maudhui. Imenigusa sana. Nimeona pia watu nyumbani (Elerai). Hakika Mungu ametusikia na atatujibu, Ubarikiwe Mary na Paulo na wengine wote waliofanikisha hilo. You're the presenter of our the community grow up with wisdom ad love. 🙏🙏🙏🙏
At times you just never understand what it takes to be someone else until u fit right into their shoes ,,am humbled to listen to this song tho and not a native of the maa I feel like am one of them tho....ancestral land should be treated as such ,not to be grabbed by The selfish few ..kudos maa community for placing 🇰🇪🇰🇪in the global map with ua culture,
Mungu akubariki na kukulinda umenifanya nilie Sana, naamingu Mungu amesikia kilio chetu, atafanya njia pasipo nanjia Amen, marry paulo lemburis, God bless you.
Congratulations Mary Paulo for Your GREAT SONG mean to beseech God to Save Our Little Maa Tribe Against Discrimination. I LOVE THE SONG,,, BE BLESS. ❤❤🙌🙌🙏🙏
Pure truth in the song, Maa community is are the best ecosystem preservers. May the Almighty God Remember and Rescue them from all oppression. Enkop ang' ninye ejung'ore ang' Enkai tasaru ele mong'o
Hatuna rafiki mwingine zaidi ya wewe MUNGU. Mikononi mwako ndipo penye tumaini letu. Ulilolipanga wewe mwanadamu kamwe hawezi kulipangua. Tuepushe na walafi hawa wanaotaka kuifuta ardhi ya babu zetu katika uso wa Dunia.
Emaisisa OLAITORYANI esipa maiting' Adikata Irkiyo tenajur Ena Video. Kwakweli tumsifu mwenyezi MUNGU Hakika machozi yananitiririka kilaniangaliapo hu Video Mery Paulo MUNGU akubari na mzee wako Pst Paulo Lembiris mkojuu hakika. Ore Olosho Lemaa netoning'o pookin Elesingolyo. Ebaikie Elosho Le USA 🇺🇸 kitumito kinoto Ena massage nawapenda sana MUNGU awabariki sana
What a Song!! with realistic and Factual words. Congratulation Mary and team . We need to keep preaching the power of Unity and Maa purpose . All of us have a role. Thank-you for the song. UBARIKIWE MNO
The world needs to know what is happening to the Maasai right now; like Indigenous people around the world, they are the care-takers of our Nature planet, while everyone else is busy hustling for money. Understand who the greedy colonialists are. Including banks offering bad deals for enketeng. Ulimwengu unahitaji kujua nini kinawapata Wamasai hivi sasa; kama watu wa kiasili duniani kote, wao ni walezi wa sayari yetu ya Asili, huku kila mtu akiwa na shughuli nyingi za kutafuta pesa. Elewa wakoloni walafi ni akina nani. Ikiwa ni pamoja na benki zinazotoa ofa mbaya kwa enketeng
Mungu aweponawe ktk kusema kweli naktk kutia moyo naktk kuwakumbusha viongozwajibuwao
Jamani tumuamini mungu kwa maana yeye ni mungu pekee
Hongera sana my Sister merry Paulo mungu akupe maisha masuri mungu atawasaidieni ndugu setu wa Ngorongoro mungu awapiganie mshinde changamoto hio?
Ubarikwe san mtumishi wa MUNGU
Mungu ni mwema wakat wote, msiogope.
Mungu akujalie mema, siha na usalama. Umegonga ndipo. Mungu atatulinda ila nasi tuamke kwa usingizi. Wanasema tu wajinga na ni kwa sababu ya kuupuza maslahi yetu . Hatujali kesho yetu. Ubinafsi umetuingia. Uchoyo na ukiritimba. Tuamke tuache kuuza ardhi. Turudini kwenye miji yetu, tuyatawale na kufanya biashara kule. 😢😢😢😢
Ashe naleng'i Meri Paulo je pameuzwa wapi na je mmehamishwa kutoka wapi
Ashe oleng Merry Paulo tesiai sidai
Kinoto iyie esidai
Mungu atusaidie
May God take over and throw away the shame more blessings mary Paulo 🙏🙏
Amina kubwa mungu unajibu kwaji yetu nikweli mtumishi wa mungu mery Paulo lemburis ,, 🎶🎶💥💥💥🎤💯💯💯💪💪
MUNGU wa mbinguni awabariki kwa ujumbe ambae ina mguso kwa kila massai!
Nimetazama na kusikiliza zaidi ya mara nne, hakika dada una kipaji maalumu, hongera sana, umeimba kwa hisia sana, naomba sasa mashahiri haya bila kuyapunguza uyaimbe kwa lugha walau ya kiswahili ili ujumbe huu uzidi kuwafikia wengi zaidi.❤️❤️
Mungu ipo na ww karibu sana
Ashenare dada mery wimbo mzuri ❤
Mungu atazidi kukulinda kwa kutogopa kusema ukweli,Mungu ndie mwenye jibu,watching here Belgium 🇧🇪
Nyc song
Ka
Pole sn dada yangu akika wimbo wako inausunisha sn ila kupitia wimbo huu Mungu atawakumbuka kiukweli
From Laikipia.
Lomaasai matoomon Enkai metaa tenebo oo iyio
Mungu akubariki sana merry paulo
Engai naata enkidimata kiomon iye enkiting'oto namayana.
Hongera sana Nganashe kwa kutuhamasisha kuwa pamoja katika kipindi hichi kigumu kwetu, naamini huu ujumbe itamfikia kila mmoja popote pale alipo
Ee Mungu uwaokoe wangorongoro katika hili jaribu
Mungu akubariki sana mwimbaji merry hakika yesu amesikia kilio cha wana ngorongoro amen
Wimbo hii mery Paulo mungu akubariki sana
Ni wimbo uliojaa majonzi na maudhui. Imenigusa sana. Nimeona pia watu nyumbani (Elerai). Hakika Mungu ametusikia na atatujibu, Ubarikiwe Mary na Paulo na wengine wote waliofanikisha hilo. You're the presenter of our the community grow up with wisdom ad love. 🙏🙏🙏🙏
Dah hawa watumishi Mungu kumbuka agano wa chache leo wenye sifa kama hz
Mungu Yupo pamoja nasi 🙏🏼🙏🏼
Mungu akusaidie mtumishi wa mkombozi na siku nikijaga kumiliki cim kubwa hautakosa tena comments zangu
Mungu atusadie kwayete yele hungereni sana dugu zangu kwa mawazo mazuri
Poleni sana Meri mungu yupo
At times you just never understand what it takes to be someone else until u fit right into their shoes ,,am humbled to listen to this song tho and not a native of the maa I feel like am one of them tho....ancestral land should be treated as such ,not to be grabbed by The selfish few ..kudos maa community for placing 🇰🇪🇰🇪in the global map with ua culture,
ū
barikiw san mamy umeimba vizur San jamn mungu azid kukutia nguvu San San jamn
😭😭😭Enkai tasaru olosholai lolmaasai
Mungu akubariki na kukulinda umenifanya nilie Sana, naamingu Mungu amesikia kilio chetu, atafanya njia pasipo nanjia Amen, marry paulo lemburis, God bless you.
😭😭😭😭
Amina meriy akikanyimbo inagusa🙉🙉🙉🙉
Mungu akubariki Sana kwa wimbo mzuri dada marry na familia yako
Naumia sana nikisikia nyimba hii mungu akutangulie na familia yako📂😂😂😂😂😂😂😂😂
ubarikiwe sana mtumishi wa mungu engerai olosho lang'
Daaah machozi yanatoka,hongera sana dada mery,hakika ujumbe umefikisha,Mungu atafanya njia
Shida ya loliondo na ngorongoro tayari Kuna wamasai ambao wanawahujumu wezao kwa hiyo kikubwa wamasai wawe tu tayari kuhama
Mungu atatusaidia sana yaani.
Hongereni sana kwa nyimbo nzuri.
Barikiwe sana
I can't hold my tears😭😭😭😭 Mungu akutembelea dadaa
😭😭😭 Naai toning'o olkiyioi lang'😭
Mungu akujalishe
Kimayian nkanashai Nkai,Nkai taa tenebo yioo
Kweli wimbo mxuri sana ubarikiwe sana my sister
Meibunga yiok enkai woii enkaji oruasi nkishu
Very nice song watching from laikipia.
yutubu you have any of uyyyyyyy66678 of Ernest Laizer of f and the
Congratulatuletion my xixter😢
Becaus i m very glad god bless you and your family
Hongera Sana Dada yangu Mary imenikumbusha mbali sana na Mungu akubariki Wimbo mzuri sana
😭😭😭the song is touching surely...let's keep our strong love and unity us maasai tribe
Mungu akubariki Mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana sana sanaaa nakupenda my sister
Mungu akubariki sana sana kwa kazi nzuri mary mwaaaaaaaa
Kweli kabisa - ummoja ni nguvu, utengano ni udhaifu.
Sooo touchful..... may our lord answer our prayer to protect our land
Njo kimayan engai tiro singoryo sidai oreng'i🙏🙏
Congratulations Mary Paulo for Your GREAT SONG mean to beseech God to Save Our Little Maa Tribe Against Discrimination. I LOVE THE SONG,,, BE BLESS. ❤❤🙌🙌🙏🙏
Mungu akubariki Sana Mary paulo kwa Kasi yake akulinde na family yako usidi kusonga mbele
Injoo kimayani Olaitorin Merry
Ngoma Nzurii sana nimekipenda San
Pure truth in the song, Maa community is are the best ecosystem preservers.
May the Almighty God Remember and Rescue them from all oppression.
Enkop ang' ninye ejung'ore ang'
Enkai tasaru ele mong'o
Nai tasaru enkaji emaa asanti Mary Paulo 😔
Am touched and feeling for my brothers in TZ..may God protect you and fight for you my people 🙏
Amen barikiwe sana mtumishi wa mungu
Kopkop TV onetime ❤❤
Waha hii wimbo imenigusa sana amen 🙏🙏
May God keep you save and live long.....hii ni ukweli mtupu lakini mungu yupo....
Hongereni sana Mary na team yako wimbo mzuri, nimeupenda hasa maudhui ya wimbo, mazingira halisi ya kitamaduni na hisia katika ujumbe ... Congrats 👏
Watching from University of Nairobi-kenya ,,Mola atusaidie
this song just expresses how Maasai leaders keep failing us , the educated ones are not providing solutions to our people .
Keep blessing mor and more engajanga nanyor 😢 but all in all Mungu atatupigania🙏
A good song emaasai enyoto maibunga pooki peemeya emangati enkopi ang
Much Congratulations 💙@Merry Paulo... Ubarikiwe sana kwa kazi nzuri. May GOD bless you 🙏🙏🙏
heart touching 😭😭😭mungu atatupigania 🙏congratulations it's a gud song be blessed
Kayumba mama
Nice although sijaelewa na io lugha so sweet
MERRIY PAULO MUNGU AKUBARIKI
Hakika Mimi sipo ngorongoro na sijawahi kufika. Napaona tu kwenye mtandao, lakini kwa wimbo huu nimetoa machozi. Kwa UJUMBE wake.
So sad😭😭😭be blessed Mary for nice song🙏🙏
Naaai tadamu enkaji e maa
May our God hear this prayer and save us and our land
So touching indeed,God will be with us all, watching from Kenya
🔥🔥🔥🔥 sana
Soo touchful.....may God answer your prayers
Hatuna rafiki mwingine zaidi ya wewe MUNGU. Mikononi mwako ndipo penye tumaini letu. Ulilolipanga wewe mwanadamu kamwe hawezi kulipangua.
Tuepushe na walafi hawa wanaotaka kuifuta ardhi ya babu zetu katika uso wa Dunia.
May God preserve enkaji e maasinta intarasi o intarasi.
The song totally touching keep going far and we need to come. together
Greetings from elerai kibirashi,
More strong more powerful
I feel like crying so sorry God will protect your country and everyone over there
Emaisisa OLAITORYANI esipa maiting' Adikata Irkiyo tenajur Ena Video.
Kwakweli tumsifu mwenyezi MUNGU Hakika machozi yananitiririka kilaniangaliapo hu Video Mery Paulo MUNGU akubari na mzee wako Pst Paulo Lembiris mkojuu hakika.
Ore Olosho Lemaa netoning'o pookin Elesingolyo.
Ebaikie Elosho Le USA 🇺🇸 kitumito kinoto Ena massage nawapenda sana MUNGU awabariki sana
Mungu akubariki sana
Hongera kwako lkn mbona nimedanlod imekataa
What a Song!! with realistic and Factual words. Congratulation Mary and team . We need to keep preaching the power of Unity and Maa purpose . All of us have a role.
Thank-you for the song. UBARIKIWE MNO
Ashe oleng
Watching from Denmark 🇩🇰 god is number one other things nothing
Injoo kimayan merry ''paulo
Kimayani Esinga Engai
So touch my heart this song thankful sister god her is with you
Entubul enkaji emaaa kiti
Good songs my sister God bless you 😭😭😭😭😭
Hongera sana dada mery
The song needs an award from Maa leaders!
Wao blessings
The world needs to know what is happening to the Maasai right now; like Indigenous people around the world, they are the care-takers of our Nature planet, while everyone else is busy hustling for money. Understand who the greedy colonialists are. Including banks offering bad deals for enketeng.
Ulimwengu unahitaji kujua nini kinawapata Wamasai hivi sasa; kama watu wa kiasili duniani kote, wao ni walezi wa sayari yetu ya Asili, huku kila mtu akiwa na shughuli nyingi za kutafuta pesa. Elewa wakoloni walafi ni akina nani. Ikiwa ni pamoja na benki zinazotoa ofa mbaya kwa enketeng
Umenifanya nimelia mungu ackie kilio cha wamasai
Can weeeeee🙏🙏🙏🏼🙏🏼🙏🏼💪💪💪💪
Mungu akubar sana umesema ukwel
Ubarikiwe san mery inaumiza mno😭😭😭
Mungu atatupigania,tuendelee kupasa sauti zetu tunasikika.
heart touching song congratulation paul familly
Mhae💥💥💥💥💥🔥🔥🔥🔥🔥💯💯💯🙏🏽🙏🙏🙏🙏🙏🙏